Johayna Abdallah:"Nilijikuta nikitokwa na mchozi nilipokatazwa kuimba " familia yangu ilikhofia sana

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 55

  • @fatmahassan1820
    @fatmahassan1820 6 лет назад +6

    johaynaa nakupenda sana ...kasida zako zinanifurahisha sanaaa

  • @allysaid6742
    @allysaid6742 6 лет назад +14

    Masha Allah, nakukubali sana Jokhayna, ila ningewashauri wa Tanzania wenzangu tuipendeni sana Lugha yetu ya kiswahili pale tinapoongea au kufanya mahijiano kuliko kuchanganya English na kiswahili tambua kua wanaokuangalia wengi ni wa Tanzania na wanaongea kiswahili na Mtambue kua Sio Wa Tanzania wote ambao wanajua kuongea English, kwahio nawashauri tubadilike na tuwe wazalendo na lugha yetu na utamaduni wetu pia

  • @turukimedia
    @turukimedia 5 лет назад +3

    MashaAllah Johayna

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 2 года назад

    Mashaallah 💓

  • @zuberiismaili9075
    @zuberiismaili9075 4 года назад +1

    Mnatuzngua na milugha yenu hayo,,, sio wote wanaojua kingereza,,, ongea kiswahili kieleweke,,, kaswaida zako nzuri lkn mamekap yako hatuyaelew,,, kwann usibaki ivo Kama Arafa?? Lkn mashaallah

    • @KHAIRIYYAONLINETV
      @KHAIRIYYAONLINETV 3 года назад

      Lkn mashaaallah 😂😂😂!!! haya njoo na huku bas

  • @nuratmohammed2627
    @nuratmohammed2627 6 лет назад +2

    Masha Allah

  • @husnaabdallah9767
    @husnaabdallah9767 6 лет назад +5

    Allah aendelee kukufanyia wepes Johayna

  • @mohamedomaronline7459
    @mohamedomaronline7459 4 года назад

    Johayna we love you so much keep be strong 💪

  • @yuscomxela6181
    @yuscomxela6181 6 лет назад +4

    mashaallah johayna jitahid zaid Allah akufanyie wepes

    • @naimayassin9640
      @naimayassin9640 5 лет назад

      Mashaallah ❤️ johayna nakupenda sana pia nazipendaga sana qasda zako zinanifanya nakua na furaha kwenye nafsi yangu Allah akufanyie wepesi

  • @yasristeven1135
    @yasristeven1135 2 года назад

    Anaongea vzr

  • @omaramed5021
    @omaramed5021 6 лет назад +2

    thanks

  • @madogoentertainment2578
    @madogoentertainment2578 5 лет назад +2

    Well

  • @hawanjunde1331
    @hawanjunde1331 6 лет назад +2

    Allah akufanyie wepesi moi sister pia usichoke kutusapport wadog zako

  • @muhammadislam7554
    @muhammadislam7554 5 лет назад +2

    joahna masha allah kwa kilakitu chako na kwakeli una nia nzuri ndani ya imani yako wallai na kweli kama babako ni masni na wwe pia nimsani iko kwa damu kisha naona hapa dadako anaku saidia vile waumwa na mimba na nimefurai allah amkupatia zawadi ya mtoto na cijui kama macho yangu imeona mbaya na utaeza.kuni samehe pia na mmi napenda vile ukaomba ruksa kuimba na wakakupa ruksa yakuimba na wakaku sport nammi pia nakusport uiendele kuimba

    • @rahmasalum8642
      @rahmasalum8642 5 лет назад +1

      MashaAllah

    • @muhammadislam7554
      @muhammadislam7554 5 лет назад

      rahma naomba uni wtsp kwa hi number +256776505633

    • @saidikiembeh1414
      @saidikiembeh1414 5 лет назад +2

      Kuimba hairuhusiwi kwa mwanamke pia unajipodoa wanaume wa nakuona huoni kama wajipatia Dhambi achana na mambo hayo hizo ni ala za muziki zi me katazwa

  • @simioniezekiel1954
    @simioniezekiel1954 4 года назад

    Mashaallah

  • @allyrashid7280
    @allyrashid7280 4 года назад

    ماشاءالله

  • @TM-hz7ix
    @TM-hz7ix 5 лет назад

    FORWARD EVER NEVER N BACK DOWN @JOHAYNA

  • @zainaburajabu2863
    @zainaburajabu2863 5 лет назад +1

    Tumia inshaallah na naam au maashallah abee kwa sababu tu ndo mafundisho ya uislaam lkn pia ni ibada, kidini haijapendeza lugha lkn kikafiri upo sawa ,

  • @ramadhanimohamedisheshe7073
    @ramadhanimohamedisheshe7073 4 года назад

    Nampenda huyu bi dada

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 лет назад +1

    ❤❤

  • @aliseifkarim1705
    @aliseifkarim1705 5 лет назад +9

    Daa waislam dini yetu hatuijui na hatuitaki kuijua na hatuna ht malengo ya akhera tupo tuu .Yani huu upuuzi tunasapoti tena wote waislam daa kweli dunia imeisha kila mtu acheze na akili yake

    • @aliseifkarim1705
      @aliseifkarim1705 5 лет назад

      @@hawachora3015 hapana km kamuumba kila mtu na kipaji chake kwanini kawaandalia adhabu watu wa miziki ?

    • @aliseifkarim1705
      @aliseifkarim1705 5 лет назад

      @@hawachora3015 huo sio mziki ni nini Mama hawa ivi mpk mtu avae kimini ujue ndo mziki. Allah kakataza ala ya mziki na kila kitu kinachohusiana na mziki haijalishi ni maneno gani unayatumia..na kufanya zambi kila mtu anafanya ila utakapo fanya kitu ambacho kitawathiri watu wengi kovu lake ni kubwa my ona kila mtu a namuona hapo ujue kuna walosoma dini watajua ila kuna ambao hawakusoma watamfuata tu kwa iyo watu wengi atawapoteza sasa km ww kwa vile hujui utapenda tu ila ni dhambi na ni heri hawa dhambi ufanye kuliko kuitetea ni kosa kubwa maana utakua unahalalisha alichoharamisha Mola wako na si uzuri my

    • @fatmakhalid755
      @fatmakhalid755 5 лет назад

      @@aliseifkarim1705 na pia anaemtaja Allah kwa maasi basis Allah anasema atamtaja kwa laana,

  • @قاسممحمد-ص5ت
    @قاسممحمد-ص5ت 5 лет назад +4

    Acheni ujinga uislam sio din ya qaswida , hii minyimbo haikusaidii chochote ni upumbavuuuuu

  • @hawrathawrat4555
    @hawrathawrat4555 5 лет назад +2

    Unaweza kuimba n tunakukubali ilaaaaa. Nguo nyingine unazovaa visuruali vya kubana n mipaja mbiiiiiiiiiiiii na mapoda mengi Kama unatangaza make up achaaaaa kabisaaaa msema kweli mpenz w mungu na kurembua rembua ovyo kwenye camera TUNAKUPENDA WEWE N KAZI YAKO

  • @NEWMOVIES-ln3gg
    @NEWMOVIES-ln3gg 5 лет назад +1

    Hicho kingereza ovyoooo...

  • @salwasuleiman8943
    @salwasuleiman8943 5 лет назад +3

    Kama unaongea kingereza ongea moja kwa zote sio wachanganya kutuharibia kiswahili chetu

  • @amanimatokeo6765
    @amanimatokeo6765 6 лет назад +5

    Naaam usijal pamban kwa ajil allah

  • @salwasuleiman8943
    @salwasuleiman8943 5 лет назад

    Usipo acha huo mziki utalia sana kwa Allah na huyo baba yupo sahihi sana japo kuwa ww hujielewi

  • @abuuimraan7903
    @abuuimraan7903 5 лет назад +6

    Mziki ni Haram na utaulizwa nakushauli uachane na nyimbo kaswida na bongo flava Hakuna utofauti

    • @hawamrimbo9443
      @hawamrimbo9443 5 лет назад

      Abuu Imran mbn madrasa tunaimba kaswida

    • @sahilabdulhakiim4092
      @sahilabdulhakiim4092 5 лет назад

      Tusimkashifu kikubw ni kumueleza kwa utaratibu na kumuombea dua ishallah allah atafanya wepesi na atajua nini maana ya kuimba

    • @SUBU-SCRIBE
      @SUBU-SCRIBE 2 года назад

      Tofauti ipo kubwa sana ispokuwa ww unasema kwa jazba kwenye bongo fleva watu wanacheza nusu uchi na wanakumbatiana. Wanasuka Rasta n.k jee kwenye kaswida watu wanakumbatiana wakiimba kaswida utake usitake tofati ipo Kati ya kaswida na bongo fleva

  • @dashuusaalim8882
    @dashuusaalim8882 6 лет назад +1

    وعند جهينة خبر اليقين..

  • @dashuusaalim8882
    @dashuusaalim8882 6 лет назад

    Me mwenyew napenda maxhairy vbyvby

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 5 лет назад

    kaswida mumelisiwa kuimba ila munacho tia uwalamu n kuwa sawa nabongo freva kwasababu munatia hara zamuziki wabongo freva navinanda namiruzi iyo irusiwi kabisa yan irusiw kaswida munazo imba n sawa namond t anavy imba maan munatia hara zamuziki uwo niukwel

    • @hudashaib7349
      @hudashaib7349 5 лет назад

      Ayo mapambo sihalal kuonekana na kila mtu saut yako 💄utafurahia leo jee kesho kwa allah huyo baba yuko sahihi

    • @zulfamohamed4549
      @zulfamohamed4549 5 лет назад

      naam baba yupo sahihi wala akuna wakumpinga

  • @fatinkhanyyounus861
    @fatinkhanyyounus861 4 года назад

    Asalam alaikum Thamarat Tv Nahitaji kuongea nanyinyi Number yangu ni +257 68482095 za WhatsAp

    • @thamarat4563
      @thamarat4563  4 года назад

      W.salaam Tutafute kupitia nambari hizi kaka +255654060075/ +255718220999 kwa njia ya kawaida au watsapp

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 4 года назад

    Masha Allah

  • @muzakarezakia7607
    @muzakarezakia7607 5 лет назад +2

    💖💖💖