HAKI ZA WABABA MSAIDIENI MASANJA MKANDAMIZAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 566

  • @emilywanje9256
    @emilywanje9256 4 года назад +117

    Jamani hawa watu wana upendo mzuri tueni mfano huu

  • @antonymanyenye8665
    @antonymanyenye8665 4 года назад +110

    Gonga like km umegundua Masanja ndo Dj na Moni ni spika, ni mwendo wa Bluetooth😅😅😅😅😅😅😅

  • @wailesdeus3764
    @wailesdeus3764 4 года назад +48

    Masanjaaa bana I wish niwaone hivi miaka 30 tena baadae ☝️😂😂😂

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 4 года назад +46

    Hahahahaha hii yote ili mtt akubali kwenda shule? Masanja sikuzoweagi haki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 4 года назад +41

    Hahahahahahaha huyu jamaa ni ginues yaan familia yake yote anaivesha akili zake nakukubali sana masanja huo ndio upendo😂😂😂😂😂😂😂

    • @subiramichael3840
      @subiramichael3840 4 года назад

      Ira mchungaji mmh nyota yakijani aipo mbona dabodabo

  • @magrethkisamo594
    @magrethkisamo594 4 года назад +130

    Nimependa Sana comments za RUclips nzuri najikuta na like zote coz hamna ule ujinga wa insta

  • @agnessanga2940
    @agnessanga2940 4 года назад +85

    Eeeeeh Mungu Baba Nipe Mume Kama Huyu Aiseee Jaman 🤔 🤔😥😥😥

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 4 года назад +39

    Mpk raha Mungu azidi.kuwaimarishia upendo wenu

  • @happylaban1564
    @happylaban1564 4 года назад +10

    Eeee Mungu naomba unipatie Mume kama uyuu Amina

  • @happinessmsangi1385
    @happinessmsangi1385 4 года назад +66

    Nseme nini zaidi ya ku like❤

  • @mimwaninelitha6666
    @mimwaninelitha6666 4 года назад +19

    MUNGU Wangu nipe Mme mwema kama huyu

  • @juniourmgallah9719
    @juniourmgallah9719 4 года назад +37

    Ubarikiwe sana masanja mkandamizaji you're my insiparational

  • @zuwenajuma2927
    @zuwenajuma2927 4 года назад +40

    Huyo mkata majan mbn hamumshirikishi kwenye uimbaj mnamtukuza mungu wenyewe,mungu anawaona masanja

  • @nancyalex4804
    @nancyalex4804 4 года назад +22

    Nampenda sana Monica jamani mung aitinze familia yako bro

  • @lovenesscollman8232
    @lovenesscollman8232 4 года назад +19

    Yani masaja bwana nirikuwa naumwa nimecheka hadinimepona👍

  • @iganchaamos7673
    @iganchaamos7673 4 года назад +112

    Naona mke wa masanja kaishafanana akili na mmewe

  • @isackkajanja9897
    @isackkajanja9897 4 года назад +1

    Mtumishi nakukubali sana nahuo wimbo nimeupenda naupataje nisaidie niupate

  • @salomejohn6395
    @salomejohn6395 4 года назад +7

    Eeeh mwenyezi mungu nibariki namimi nipate mume mwenye upendo nàkujari kama huyu

  • @abelbaraka263
    @abelbaraka263 4 года назад +38

    Heee Raha ya kwenda marekeni matokeo yake ndo hayo.... Mwendo wa maisha ya ulaya... Love you guys from Australia 🇦🇺🇦🇺 siku moja uje na huku Australia 🇦🇺

  • @fainesnyalile9716
    @fainesnyalile9716 4 года назад +23

    Mungu awape upendo wa kudumu..hii familia ni nzuri saaan

    • @agnesyjoseph3906
      @agnesyjoseph3906 2 года назад

      wawaooh, Safi Sana inapendeza nimeipenda hii

  • @emanuelernest8710
    @emanuelernest8710 4 года назад +13

    Daaaah I wish ingekua family yangu 💝💝💝💝 much love

    • @donathasimon9292
      @donathasimon9292 4 года назад +1

      Emanuel Ernest hujachelewa piga goti Mungu pia anapenda familia zote ziwe hiv

    • @lovesallu1405
      @lovesallu1405 4 года назад

      Ukiamua kuifanya ivyo inakua

  • @omarykitchenware5144
    @omarykitchenware5144 4 года назад +28

    😁😁😁😁🙌🙌🙌Hapana chezea masanja family..... That's good I like it

    • @brandinafidelis8596
      @brandinafidelis8596 4 года назад

      Mungu ni mwema jaman namuomba sana mwenyez mungu anijalie mme kama uyo jaman

  • @neemamkunte3127
    @neemamkunte3127 4 года назад +5

    Mungu awatie nguvu mzidi kupendana😍😍🥰🥰❤❤❤

  • @aggymc1203
    @aggymc1203 4 года назад +6

    Vichaa wawili waliokutana😃😃😃

  • @jeninunu9177
    @jeninunu9177 4 года назад +1

    upendo wa baba na mama unaleta amani na furaha msingi bora kwa sisi wote maishani i like the video

  • @RealGiftLydia
    @RealGiftLydia 4 года назад +4

    Baraka sana una kila aina ya tabia nzuri ya kuigwa kwakweli. Kijana mwenye hofu ya Mungu,mchapa kazi na mwenye upendo wa dhati kwa familia Mungu Baba aendelee kukuongoza katika yote brother

  • @musomatvumakinijadiyetu550
    @musomatvumakinijadiyetu550 4 года назад +30

    Nimependezwa na life style yako mkuu nimejifunza nikumtanguliza mungu katika kila jambo

    • @simonhussle-6833
      @simonhussle-6833 4 года назад

      Mungu awabariki

    • @peterprimus8703
      @peterprimus8703 4 года назад

      Hujakosea hata Kidogo, Mungu kwanza mengine yanajipapamba yenyewe, Barikiwa sana.

  • @selinaemanuelnyemela6182
    @selinaemanuelnyemela6182 4 года назад +6

    Mwenyezi mungu awazidishie upendo katika family yako nawapenda Sana'a uuuuuu mwaaaaaa

  • @dianaleole6460
    @dianaleole6460 4 года назад +13

    Ninawapenda Mungu awalinde familia yenu😍😍

    • @peterprimus8703
      @peterprimus8703 4 года назад

      Umenena Vema, Mungu akuepushe na mabaya yote.

  • @beatricemapunda2519
    @beatricemapunda2519 4 года назад +20

    Jaman kumbe kusifu kunasidia unaona binti Leo amezwelaaaaa kusikia school bus

  • @lucianjr6807
    @lucianjr6807 4 года назад +14

    Nimeipenda sn hii familia 🙏🙏🙏

  • @herrybethnziku
    @herrybethnziku 2 года назад

    Hongera nimependa creative idea

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 4 года назад +13

    Haha hahahahahahaha, hongera Sana, mko vizuri

  • @agnessahia415
    @agnessahia415 4 года назад +5

    Nimejifunza kitu kikubwa kutoka kwenu familia Bora upendo Kama wote

  • @davidchengula3044
    @davidchengula3044 3 года назад +1

    Naomba jina lahuo wimbo nimeupenda sana

  • @kikiake4490
    @kikiake4490 2 года назад

    Kwa kweli now ndo tunapata picha, sura za vitoto mmh au Basi mungu endelea kufanya kazi yako

  • @esperancenathali
    @esperancenathali 4 года назад +6

    Ndo furaha ya ndoa kweli sijawai hona masandja na anaskendo kama wa kaka wa insta wala mkewe jamani much love them from Congo

  • @jacobomabula3619
    @jacobomabula3619 3 года назад +1

    Mmenifurahixha kweli mbarikiwe mungu awazidixhie upendo wen

  • @hajifonga6475
    @hajifonga6475 4 года назад +110

    Unaipenda familia yako nahivyo ndivyo tunatakiwa tuishi

    • @rehemaabdy9160
      @rehemaabdy9160 4 года назад

      Dadeq wallah good family WAP mume wanguuuuuu kuja tuyarud hapa

  • @beatricemapembe8941
    @beatricemapembe8941 4 года назад +6

    Duh! Sikutegemea hii. Hongereni sana kwa amani mliyonayo

  • @mashaurijohn2977
    @mashaurijohn2977 4 года назад +4

    Goog life..Tafadhali mwenye kujua majina ya izo nyimbo anitajie

  • @furahaonesmo9394
    @furahaonesmo9394 4 года назад +23

    Simple life,happy family

  • @ashleyluvanda3031
    @ashleyluvanda3031 4 года назад +1

    napenda sana fulayenu na mungu awazidishie balaka naupendo

  • @reginaclemence1200
    @reginaclemence1200 4 года назад +4

    Mungu awazidie upendo mzidi kupendana daima ..nawapenda

  • @emmanueljaphet8876
    @emmanueljaphet8876 4 года назад +2

    Barikiwa sana mtumishi

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 4 года назад +2

    Nimebarikiwa sana na hii nyimbo mmbarikiwe sana wapendwa

  • @estareliasmagesa8791
    @estareliasmagesa8791 2 года назад

    😀😀😀😀😀😀👋👋👋👋👋 yesu Kristo awabaliki sana nimewamic

  • @highnesseverest3619
    @highnesseverest3619 4 года назад +4

    Happy family Mungu awafanye muwe na furahaa siku zote za maisha yenu nawapenda sana

  • @honhonhaule9232
    @honhonhaule9232 3 года назад +1

    I like the way you are doing big up

  • @privashirima6903
    @privashirima6903 4 года назад +3

    Rose ninamkubali sana, kiukweli hiyo nyimbo ninaipenda sana.....🔥🔥🔥

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 4 года назад +3

    Furahini katika Bwana!@ tena nasema Furahini. Mbarikiwe watu wangu😘😘

  • @theresiamazua3246
    @theresiamazua3246 4 года назад +1

    Yes mungu nimwema kaka very nice song

  • @elizakileo9125
    @elizakileo9125 4 года назад +3

    Masanja unamke mzuri na anajielewa sana..Mimi nampendaga tuu

  • @graceshemdoe4484
    @graceshemdoe4484 4 года назад +11

    Daa jamani kaka masanja naomba ata namba yako jamani nabarikiwa nawew na familia yako pia af uwekage na live chat daa love it

  • @brightonbenetus5408
    @brightonbenetus5408 4 года назад +1

    Mungu wa mbinguni awabariki nawapenda mnoooo jaman

  • @dicksonsheja251
    @dicksonsheja251 4 года назад +25

    Hahahaaaaa Masanja kwa HAMIDA UMETUA MABEGI😅😅😅

  • @eunicewavinya244
    @eunicewavinya244 4 года назад +3

    Feels so good to have a family like this...Eeeh Munngu nijalie wakwangu kama uyu

  • @winniehpatrick6086
    @winniehpatrick6086 4 года назад +13

    Haha naipenda bure familia ya masanja

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 4 года назад +1

      Mungu azidi kuitunza familiya yenu hakika Ni wachache sana wanayeishi Maisha ya fraha kama nyie jitahidi Kuomba sana Adui asipate nafasi

    • @fatumamwantumu4081
      @fatumamwantumu4081 4 года назад

      Mashalla Allah inapendza sana nami natamani nipate mume kama ww duuu hongeran

  • @silviafabian7758
    @silviafabian7758 4 года назад +2

    looonh cleria anamapozi hatari barikiwa sana mtumishi wa mungu na familia yako

  • @Crownvalz
    @Crownvalz 4 года назад +17

    Amazing content i have ever see this year...❤️❤️

  • @atkinsoriko6862
    @atkinsoriko6862 4 года назад

    Masanja wewe mwana comedy bombastic, naomba Mungu anijalie siku moja kufanya kazi nawe

  • @marryaloyce2438
    @marryaloyce2438 2 года назад

    Nawapenda mnoo Mungu awape uzima yele

  • @celinekenedy870
    @celinekenedy870 3 года назад +1

    Hii nyimbo haujaishoot video jamani,, nawaza ambavo ingekua nzur.❤❤❤❤

  • @anitakidola3820
    @anitakidola3820 4 года назад +2

    Waooo ameshazoea kumbee hongera baba na mama mnajua kumuandaa kisaikologia

  • @fridaykwama7715
    @fridaykwama7715 4 года назад +2

    Bongzozo karithi jina lako bro,bungeni wamesema aitwe Masanja.

  • @enockchaula6292
    @enockchaula6292 4 года назад +6

    Sema nyimbo tamu Man nmeikukubali inaendana na uhalisia

  • @gloriousnp
    @gloriousnp 4 года назад +4

    Maisha yenu comedy tosha
    I love me some y’all 🤣🤣🤣🤣🙏🇹🇿👌

  • @gadimbajo
    @gadimbajo 4 года назад +1

    You are such an inspiration to young generation..Vijana wengi wanatakiwa kuiga maisha yako...kuna ugonjwa wa kichaa cha ndoa lakin wewe ni mfano unaonyesha kwa Mungu hakuna lisilowezekana...ndoa ngumu nani kasema ukitaka iwe ngumu itakuwa ngumu tu...we mtoe Mungu katikati muingie wawili tu kwenye boti..im lulookin foward kukulipa..i will inspire the whole nation and the world so our God to be glorified

  • @anitakidola3820
    @anitakidola3820 4 года назад +7

    Ahahahaha tatizo pale tu schoolbus ikija pozi lote linaishaa🤭

  • @trophainamagogwa7966
    @trophainamagogwa7966 4 года назад

    Masanja kumbe ukija nje unajifunza kitu katika Familia safi saana

  • @agnesgervas8070
    @agnesgervas8070 3 года назад +1

    Ckuwahi kuona hiii bana ndo Leo na mm napnd kuwa na happy kam Nyie ntakuja kuomba kukaa pmj nany

  • @victoriamagina1885
    @victoriamagina1885 4 года назад +1

    Mungu awabariki sana najifunza kitu kwenu

  • @marwalzzy5983
    @marwalzzy5983 4 года назад +23

    Ukimtanguliza Mungu Ndo Kama hivi

  • @zamanineema3057
    @zamanineema3057 4 года назад +1

    Wapi msukumaaaa👌👌ndio maana huwa unawaza ukatoe mahar upyaa kaka big up for this amaizng love,wifi jamaniii😂😂 umenifutahisha mara unactua kijot

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 4 года назад +2

    Hivi msukuma wetu anakuja Sana..hataree🔥🔥🔥much ❤️ mum

  • @franknamkoko8228
    @franknamkoko8228 4 года назад +2

    Mtoto wa watu ulimchukua akiwa na akili huyu..ona sasa brother...na yeye ameshakuwa original comedy...haaaa haaaa..lakin napenda hiyo life style asee

  • @fridahkabiritho2165
    @fridahkabiritho2165 4 года назад +1

    MUGNU akuzidishie milele huo upendo wa family yako i really love that

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 4 года назад +3

    Imependeza sana nimeipenda

  • @magejoseph9258
    @magejoseph9258 4 года назад

    Ee Bwana Mungu nijalie nami pia naomba nipe mme mwema nami niwe mke mwema kwake upendo na amani zikatawale maishani mwetu pongezi kwenu family

  • @joycembalakele8512
    @joycembalakele8512 4 года назад +6

    Mi nawaoenda mnooooooo!! Aswa moni nampenda sana 😂😂😂😂😂😂

  • @raheemamkambha6013
    @raheemamkambha6013 4 года назад +3

    Sawa hamida wa masanja uko vizuri😆😆

  • @mctidohondoa1652
    @mctidohondoa1652 4 года назад +2

    Kweli ndege wafananao huruka pamoja

  • @anthonyjoseph4979
    @anthonyjoseph4979 4 года назад +2

    Masanja Ameisha muambukiza Mke Wake Ukomedian

  • @mmkwenihira7826
    @mmkwenihira7826 4 года назад +1

    Mubarikiwe watu wa Mungu
    Grace from
    CND👍🏆🌹

  • @linnahndelwa6351
    @linnahndelwa6351 3 года назад +1

    Nawapenda bure nimfano wakuigwa

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 года назад

    Masanja tunaomba uruhisu muandishi aje kuwahoji wafanya kazi wako hiyo Happy 😊 unayotuonyesha na wao wanachangia au happy 😁 kwako tu.

  • @mamaneneskitchen4771
    @mamaneneskitchen4771 4 года назад +5

    Couple hiyi amazing sana.. Such an happy family 😘😘

  • @pejakathedonone9174
    @pejakathedonone9174 4 года назад +4

    Sawa kaka furahaaaa ndo kila kitu

  • @frankngoloka8311
    @frankngoloka8311 4 года назад

    Hongera mtumishi song limetulia

  • @winfridaanania9047
    @winfridaanania9047 4 года назад +1

    Ndowa yenye utukufu wa mungu ina raha jaman naomba na mimi mungu mme anayejua utukufu wako.

  • @paulojoseph8876
    @paulojoseph8876 3 года назад +1

    Eeeee mungu nipe upendo kama huuu namke mwema kama huyu hakika hii nifamilia bora

  • @christophermgoli1236
    @christophermgoli1236 4 года назад +1

    U po vizuri Baba Mchungaji Hongera Sana

  • @leahkitundulu6367
    @leahkitundulu6367 4 года назад +11

    Ur blessed bro,just like ur craziness
    Much love from 254

  • @musarichard2934
    @musarichard2934 3 года назад +2

    Ni raha Sana ukipata mwanamke simple na mcheshi Kama huyu..na si wanaojua kuvimba tu..hata Kama mwanaume mcheshi lakin mwanamke Ni sehem kubwa ya kuleta furaha ya familia..

  • @lawjoseph6590
    @lawjoseph6590 3 года назад +1

    Mk wako anafuraa sana

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 4 года назад +1

    Lazima mungu awabariki kwa sababu munaupendo wa kwel

  • @rehemaradhid5716
    @rehemaradhid5716 4 года назад +2

    Njoo Malesia masanja mkandamizaji ukandamize uku😃

  • @elizabethnasambu3068
    @elizabethnasambu3068 4 года назад +6

    Nawapenda sana good family

  • @evelynjohn4764
    @evelynjohn4764 4 года назад +11

    Kwani kaka masanja mmeongeza mtoto mwingine

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 4 года назад +1

    Niseme nini bwana bali ninashukuru😘😘😘😘