Nikumbushe (Cover song) - Nandy

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 4,6 тыс.

  • @zainabu-tz
    @zainabu-tz 20 дней назад +63

    Tulio sikiliza hiii nyimboo 2025 ,,,,tufurahie uwepo wa mungu maisha yetuu🥹🥹🙏

  • @Lacopabinsimba
    @Lacopabinsimba Год назад +250

    Tujuwane tunao angalia huu wimbo 2024 ❤❤❤

  • @MalcolmNicole-dt5mn
    @MalcolmNicole-dt5mn Год назад +315

    Wakenya wenzangu like zenu 2024

  • @Conshamusic
    @Conshamusic 2 года назад +1961

    WALIOBAKI NA MIMI HUMU MPAKA 2024 MWEZI WA KWANZA TUJUANE KIDOGO🔥🔥🔥🙏🙏🙏

    • @jacksonproneth6099
      @jacksonproneth6099 2 года назад +17

      tupo

    • @bettymoraa2258
      @bettymoraa2258 2 года назад +22

      this song sounds new every time

    • @linetnekesa4130
      @linetnekesa4130 2 года назад +7

      This song keeps on blessing and changing my spiritual being to higher level every time. Blessings

    • @Conshamusic
      @Conshamusic 2 года назад +5

      Nyimbo kari Sana Imeimbwa kwa Hisia sana

    • @terrykabue3205
      @terrykabue3205 2 года назад +2

      We are here 😀

  • @EXPLOREQUES692
    @EXPLOREQUES692 Год назад +230

    Unaesoma hii comment sikujui Wala wewe hunijui ila nakutakia furaha na kila la heri maishani mwako MUNGU Anakupenda❤❤❤

  • @Reneeshans04
    @Reneeshans04 10 месяцев назад +23

    My mom cursed me daily since i was in highschool....this song used to comfort me 😢...nikumbushe wema wako na makuu yako nitakapo kua na machozi🤲🏽😭

    • @tes_tes
      @tes_tes 7 месяцев назад

      Hugs❤❤ you dint deserve that at all, but if you may I'd like to say even though I don know your entire life story that our parents especially African parents dint really grow up with much love , some/ most of them were born and raised in the era of war and chaos which made them so tough and little knowledge of how families should run or exist in an environment of love. Nevertheless, you dint deserve to be cursed and I hope your psychology is developing so as to heal and 'un- believe' what was ingrained to u during that highschool period. I'd suggest you indulge in to listening to positive affirmations that aims to un curse especially wat was being said about u like say for example if someone said to someone else that ' ul never prosper' to un believe that and feed your subconscious with an affirmation like' I am successful and I will achieve my goals or dreams ' would do. Hope u Gerrit!
      Daily especially before u sleep or even better play affirmations on repeat as you sleep the entire night. Also listen to Joe dispenza alot here on RUclips.
      You're worthy of everything good!

  • @yaliomo1808
    @yaliomo1808 4 года назад +1094

    Kama mungu amekutoa mbali, nipe like.

  • @CynthiaBitutu.
    @CynthiaBitutu. 3 часа назад +1

    I discovered this song in 2016,it’s been my blessings since then,l relate line by line…thank you Nandy for doing this cover….sikuzote Mungu Nikumbushe.

  • @bonifacetharu6952
    @bonifacetharu6952 4 года назад +757

    This song!!!I really believe it was meant for me 😭 I was battling stress, hatred,depression, sadness was killing me after the loss of my teenage boy.I used to sing this song with tears in my eyes,then God blessed me with a baby agirl I named her Sifa,coz n Wimbo wangu wa Sifa katikati ya machozi.praise God

    • @KMK714
      @KMK714 4 года назад +8

      Hugs bro, it is well

    • @rosiewakio1777
      @rosiewakio1777 3 года назад +12

      It is well bro, thank God for the testimony that He is still God in every situation!

    • @raymsanii
      @raymsanii 3 года назад +4

      Hugs dear ❤❤❤

    • @omilnetwork
      @omilnetwork 3 года назад +4

      Hugs...

    • @debbiethekenyan3274
      @debbiethekenyan3274 3 года назад +4

      What a testimony.

  • @maryatieno3230
    @maryatieno3230 2 года назад +284

    God has done so much for me,was battling with depression and bipolar disorder ,I dropped out of school in my last semester,I had money but money can't buy peace ..I decided to give up on my job and focus in my healing journey,was healed completely managed to go back and finish my degree,as am talking am only remaining with a few things to do and graduate...God is a faithful God he never leaves,and answers at his own time even if it's late

  • @Kottiz_23
    @Kottiz_23 3 года назад +201

    ''Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi."
    Powerful and honest praise.

  • @brendamshai5394
    @brendamshai5394 Год назад +193

    It's my prayer that Nandy will sing for Jesus Christ the Saviour of the world. This is my prayer. She has a heavenly voice.

  • @heriwokovujacob9650
    @heriwokovujacob9650 6 лет назад +754

    Nakuombea kwa Mungu siku ya Bwana ikifika uwe umemjua Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako

  • @chitototafuteni2284
    @chitototafuteni2284 4 года назад +678

    Wangapi tungemshauri nandy abaki kumuimbia MUNGU wala asichanganye bongofleva kamwe.
    Tujuwane kwa like hapa

    • @stellaj6733
      @stellaj6733 4 года назад +2

      Mm hapa hata itakuwa ya baraka zaid

    • @MrJijos
      @MrJijos 4 года назад +1

      Kabisa

    • @GodfreyGChawe
      @GodfreyGChawe 4 года назад +7

      Riziki kwa Mungu,yey ndo anaamua nani afanye jmbo gani kwa wakati fulani machoni mwake.

    • @josezewamipango6738
      @josezewamipango6738 4 года назад +1

      Inge2bariki xanaa.

    • @evalyanga9899
      @evalyanga9899 4 года назад

      🙋🙋🙋🙋

  • @CessEA
    @CessEA 5 лет назад +110

    Nandy imba tu gospel na huache nyimbo za dunia this so sweet

  • @aguanrichniger7744
    @aguanrichniger7744 2 года назад +17

    Sauti yke laini ya kumtoa nyoka pangoni my best female artist am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rodeysylves3354
    @rodeysylves3354 6 лет назад +260

    Dah! Nandy umebarkiwa saut nzur ambayo japo maramojamoja Unakuwa ukituma saut yko kumkumbuka mungu........ Shout out to da African princess 🔥🔥💯

    • @mariamsaidaboud4959
      @mariamsaidaboud4959 6 лет назад +3

      I am a Muslim but I like this song which also brings out Nandy's very special talent. Love from Nairobi and kila la kheri tunakutakia Nandy.

    • @giftmosses7495
      @giftmosses7495 6 лет назад

      kweeeli

    • @mariasimon7280
      @mariasimon7280 5 лет назад

      Rodey Sylves huu wimbo naupenda mpaka naumwa sauti nzuri sana ujumbe mzuri sana.

    • @josephinekicheleri860
      @josephinekicheleri860 5 лет назад +1

      Nandyy HAKIKA WEW NI MTOTO WA YESU..NA MUNGU ANAISHI KWENYE SIFA ...TUNAKUOMBEAA SAN IPO SIKU UTAKUWA UNAMUIMBIAA YESU ...YESU ANANIPAA Nandyy UBARIKIWE SANA.

    • @lynnafulah7340
      @lynnafulah7340 4 года назад +1

      Baba umejuakunifurahisha

  • @emmykasitykasity3415
    @emmykasitykasity3415 3 года назад +592

    If you are listening to this song, May God heal whatever is hurting you. Amen

  • @aidanchuleha5774
    @aidanchuleha5774 4 года назад +9

    Nabarikiwa xan na wimbo wako mungu akupe maisha marefu NANDY👌👌👌👌👌

  • @richardsafi4338
    @richardsafi4338 10 месяцев назад +5

    Da Nandy ulikuwa nasauti nzuri sana ya kuimba nyimbo za Mungu

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 5 лет назад +274

    tanzania the country endowed with talents, wapi likes za wakenya?

    • @villagekulture5608
      @villagekulture5608 4 года назад +2

      Oooliskia wapiii

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 4 года назад +10

      @@villagekulture5608 even the uliskia wapi thing is actually Tanzanian

    • @frankyservices
      @frankyservices 4 года назад

      ruclips.net/video/DAgaCM3UZjQ/видео.html

    • @felahmusic9939
      @felahmusic9939 4 года назад

      @@patrickKitambo wee umerogwa akili

    • @brendamshai5394
      @brendamshai5394 4 года назад +2

      @@patrickKitambo 😂😂😂😂😂

  • @WiniWulison
    @WiniWulison 8 месяцев назад +32

    Kama nandy akiimba nyimbo za mungu anapendeza nope like

  • @bonfaceaminga1777
    @bonfaceaminga1777 4 года назад +94

    Ghai, huyu mtoto si aimbange tu gospel walai...nilikuwa tu napitia pitia nikajikuta huku

    • @johnbalanyika3737
      @johnbalanyika3737 3 года назад

      Namuomba mungu nibaki kwake hapo si laisi naomba maombi yenu wapendwa

  • @edwinmulela7841
    @edwinmulela7841 2 года назад +151

    My girlfriend and I broke up.
    I was so stressed up. I could not eat. that woman was my everything. I came across this song. It turned out to be my all-time song listening to it in the office, and on the bus back in the house, I played it loud over and over. indeed Nandy your song is a blessing. I healed up.

    • @salomeoguk1792
      @salomeoguk1792 2 года назад +5

      Im Here two days now the tears and breaking down but bado mungu yuko

    • @mwendemaureen385
      @mwendemaureen385 Год назад +3

      hugs bro it shall be well with us,been 3months trying to heal from a heartbreak and its not easy for sure ,am trusting on God yatapita na niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi

    • @pastorsoffice8783
      @pastorsoffice8783 Год назад +3

      Pole

    • @peterosiemo
      @peterosiemo Год назад +1

      Sorry brother ❤️

    • @jusphinemasenge8463
      @jusphinemasenge8463 Год назад +1

      So sorry

  • @margretmkumbo4039
    @margretmkumbo4039 5 лет назад +13

    Nakupenda sana mdogo angu, natamani kukuona ukizidi kua juu cku zote mdogo angu!! nakuombea kheri daima.

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 года назад +170

    Nandy huu wimbo uliutendea HAKI SANA wanaoamini wanipe like 2020 june

    • @amospasco2161
      @amospasco2161 3 года назад

      Hakika

    • @TheNdaki
      @TheNdaki Год назад

      Hakuimba tu bali pia aliupa Uhai Wimbo, ukisikiliza unaguswa na pia unakupa faraja kama ulikua umekata tamaa.

  • @anniedesmond977
    @anniedesmond977 6 лет назад +22

    Wooooooooowwwww nandy ur voice iko on top wafaa uwe unaimba gospel nandy kwa yesu kuna raha

  • @liliansyokau8583
    @liliansyokau8583 2 года назад +121

    This song, knew it one year ago when I lost my dear mom😭😭😭, right now am going through a wilderness and I just found it. This one too shall pass ❤️

  • @mariashee2448
    @mariashee2448 3 года назад +223

    My son who died 7months ago brought me here mourning is hard 😭😭it shall
    Be well

  • @edwarddawson3523
    @edwarddawson3523 3 года назад +90

    Nimerudi hapa baada ya kifo Cha Rais wangu mpendwa JPM😭😭😭

  • @ikenylivingstone
    @ikenylivingstone 5 месяцев назад +30

    Nani mwingine yuko nami hapa mwezi Wa nane 2024♥️♥️♥️💕💕nipeni like kibao ya Huu wimbo jameni.

  • @hucky-lh5mr
    @hucky-lh5mr Год назад +2

    Nandy nakuombea Mungu urudi uimbe nyimbo za Mungu utatokaa zaidii ya hapoo,, Mungu akurudishee

  • @everiusmsalvatory7674
    @everiusmsalvatory7674 5 лет назад +16

    Ajabu sana moyo unapoonyesha mashaka,,,, japo kuwa Mungu anayeishi katikati yangu,,,, Jamani wimbo mzr sana,,,, tusije kuwa kama wana wa Israel.

  • @malisafiii254
    @malisafiii254 3 года назад +292

    kama hii wimbo kuna vile imekugusa kwa maisha yako nipe like apa

    • @elvislangat6464
      @elvislangat6464 Год назад +1

      Me imenigusa sana kwenye maisha yangu,sichoki kuisikiliza👂wimbo huu hata iweje🙏🙏

  • @mxaniim.o.nmintoclan
    @mxaniim.o.nmintoclan 4 года назад +6

    Nikumbushe wema wako baba wakati kama huu wa corona..lovely song God be with you nandy

  • @totikevin2249
    @totikevin2249 18 дней назад +1

    This song reminds me of my life when I was in campus i still remember it like yesterday when i was in depression due lack of money, fees, but God stood beside meeh

  • @bradakalufanya473
    @bradakalufanya473 5 лет назад +7

    Iyo sauti yako umwimbiye muumbaji wako kwa kupa sauti nzuri.bwana.yesu asifiwe..waouh!!!+243 like zangu jamani

  • @shikohmuriithi5216
    @shikohmuriithi5216 3 года назад +143

    I can never get tired of this song...+254🇰🇪

    • @mercymutuli3737
      @mercymutuli3737 3 года назад

      This song is soo fresh in my mind

    • @birusinyemi5113
      @birusinyemi5113 3 года назад +1

      Me also

    • @joyan4236
      @joyan4236 3 года назад

      🇰🇪

    • @Phidelia-f6e
      @Phidelia-f6e 3 года назад

      @@birusinyemi5113 ooo9999oooiioiiiioiiiiioiiiiiio9oiioiiiiiiiiiiioii9 999iiiiiiiiioiooooiiioiíiiii8ok mi

  • @musamaliskits5963
    @musamaliskits5963 5 лет назад +501

    Nandy, Nandy,Nandy unayo sauti nyoronyoro ya kuimba nyimbo za sifa,, tafadhali okoka uimbe nyimbo za kikristo

  • @janesancha9374
    @janesancha9374 10 месяцев назад +2

    Whenever I hear her sing this song I can't help😢😢,she will be a great worshipper of Yahweh

  • @wilondjamajaliwa6376
    @wilondjamajaliwa6376 6 лет назад +31

    Uyu dada nandy amshukuru mungu kwa zawadi ya sahuti nyororo aliopewa

  • @ndayishimiyenicodeme9904
    @ndayishimiyenicodeme9904 6 лет назад +433

    ungekuwa worshiper watu wangeokoka kwa wingi sababu unasauti nzuri sana!lakini njia uliofuata ya seculer siyo nzuri kwako!bora umuimbie Mungu!ni maoni yangu tu.na asante kwa wimbo ume nibariki sana

    • @joeykiki7469
      @joeykiki7469 6 лет назад +1

      Ni ukweli bro ebu mwambie

    • @godmashiku2676
      @godmashiku2676 6 лет назад

      Ndayishimiye Nicodème

    • @Tr.Abdussamiy
      @Tr.Abdussamiy 6 лет назад +2

      Bado kuna wengine wanasema zao ni za Mungu lakini maudhui yake yanakuwa ya kisheitani

    • @wilsonirungu27
      @wilsonirungu27 6 лет назад +8

      Ni sauti inaokoa au ni yesu

    • @festonkandonga85
      @festonkandonga85 6 лет назад +11

      Kazi ya kuokoa ni ya Mungu Mwenyewe na watu hawaokoki kwa sababu ya sauti ya mwimbaji Bali kwa sababu wamesikia neno na Roho wa Mungu amesema nao kwa ndani

  • @rosebendera2591
    @rosebendera2591 5 лет назад +17

    Nyimbo nzuri Sana,Nandy una uwezo wa kupeleka watu mbinguni kupitia nyimbo,plz imba nyimbo za Mungu achana na za dunia

  • @FabiolaTemba-kz2sq
    @FabiolaTemba-kz2sq 7 месяцев назад +4

    Eeh Mungu wa mbinguni,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @samanthamueni6322
    @samanthamueni6322 2 года назад +30

    I'm so down right now as I listen to this song but one thing I know is that there's a God who is able to come and rescue me this is March 2022 few months from now I'll be rejoicing anybody going through something right now don't give up don't throw in the towel we shall testify because our redeemer liveth 🙏🙏🙏

  • @Patrick-zm5cc
    @Patrick-zm5cc 3 года назад +107

    This song always reminds of all the promises that God has fulfilled in my life, the pain that He has brought me out of and the faith I have in Christ for my future. Amen.

    • @angelstacy7592
      @angelstacy7592 2 года назад

      AMEN

    • @carolynemuia9171
      @carolynemuia9171 Год назад

      Fcvg cgcdv fggcvbvbuhcjvyxjbhf hcbg ychjvjjdcsf dxxcfvjduhitlm
      Fvjggbuhbikihijiooojtujhhh
      107546

    • @carolynemuia9171
      @carolynemuia9171 Год назад

      Addye zj tobjjknknbjgj hhkbytkudvkf ybfjj mkay g ✨✨✨✨😉

  • @mimikihiu5562
    @mimikihiu5562 5 лет назад +733

    Lyrics
    Nirahisi kinywa kujawa na lawama tele Pale mambo yanapoonekana hayaendi ni ajabu sana namna moyo unahangaika Ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka yakwamba japokuwa Mungu anaishi ndani yangu kuna muda nahofu, Japokuwa Mungu anaketi kati yetu kuna muda nahofu, ahh nakumbuka wana wa Israel katika bahari yashamu Japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi,
    Kwa nyimbo nyingi waliimba na kumsifu Bwanaa.
    Lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa yalibadilika mambo, manung'unikoo yalisimama Na kusahau muujiza alotenda Bwana Mwanzo aah. Eee MUNGU Nisaidie ee eeh Nikumbushe wema wako nisije laumu Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi, Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi,
    Eeh ee MUNGU Nisaidie Nisaidie kukumbuka baba yakwamba umenichora Kiganjani mwako kati ya wengi walioko duniani eenh na mimi umenionaa oooh ooo Nikumbushe baba yakwamba ni wewe umeniponya nilipoumwa Yakwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shuleni. ouoh ooh Yakwamba kama ungeniacha hatua moja nisingelifika nilipo ooh eee Babaa umenikung'uta mavumbi, kung'uta mavumbi mimi na kuniheshimisha. Nikumbushe wema wako nisije laumu Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi, Nikumbushe wema wako nisije laumu Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi, Yesu nakutazama ninakuamini wewe Fungua maisha yangu, nisaidie nisilalamike Mbele zako, katika hali zote nijue upo Umesema hutaniacha eeh Yahweh

  • @mdmMacie
    @mdmMacie 2 месяца назад +2

    2024 has been the hardest for me 😢but God still remains to be God😢i get peace when i hear this song❤❤❤it's 1month to 2025,, thank you God for this far 🙏 ❤️ ♥️

  • @TahyaRwezahula
    @TahyaRwezahula 2 месяца назад +11

    Ambao mpk Leo Dec 1 2024 bado tunaiangaliaga hii nyimbo tujuane❤❤

  • @magrethjonh451
    @magrethjonh451 6 лет назад +193

    Huu wimbo umeniliza aliposimama nandy akimuimbia Ruge

  • @lilianlazaro4189
    @lilianlazaro4189 4 года назад +162

    Natamani kama angeendelea kuimba nyimbo za dini. Kama unamawazo kma yangu bofya like yako hapa.

    • @dennismuoki120
      @dennismuoki120 4 года назад

      Mandy akh murudie Maulana achia bongo flaver kna diamond God stil need you

    • @dionizmwendo2046
      @dionizmwendo2046 4 года назад +1

      Nakuona boss kweli Bora angeenderea kuimba nyimbo za dini

    • @kouseikemei3651
      @kouseikemei3651 4 года назад

      Kabisa , lakini Mungu atamgusa arudie gospel

    • @frankyservices
      @frankyservices 4 года назад

      ruclips.net/video/DAgaCM3UZjQ/видео.html

    • @sarahogama9540
      @sarahogama9540 4 года назад

      Huyu alishanaswa na shetani lakini tuzidi kumuombea

  • @franknyaganya1453
    @franknyaganya1453 Год назад +1

    2024 bado namtazama Nandy na cover yenye baraka be blessed African princess

  • @susanmwangi6857
    @susanmwangi6857 2 года назад +28

    Tomorrow is my birthday and I have lost everything I ever had ..in pain confused I just came across this song am just replaying it over and over ....all things work together for good for those who love the Lord

  • @moureenjay4559
    @moureenjay4559 4 года назад +8

    Hallelujah!Nakupenda Bureee Nandy,Barikiwa Sana,Kila Mara Mm Husikiza Hii Wimbo Hua Na Mpata Amani Sana..Mungu Akupe Neema..🙏,Ikiwa Wabarikiwa 2020 Na Milele Mpe Like Nandi....

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 4 года назад +13

    Hii cover song huwa naweza kuweka inarudiarudia na drive from Arusha to Dodoma na sibadilishi.. Amen to the talent!

  • @AmperiusAhima
    @AmperiusAhima Год назад +2

    Amen wimbo huu umenikumbusha aina ya marafiki niliokuwanao🎉🙏🙏dah!!!!

  • @LizzyJames-mh6fg
    @LizzyJames-mh6fg 2 месяца назад +38

    One month to end 2024 kama uko na Mimi like hapa na mungu akushidishe ❤

  • @marthanyagwa6003
    @marthanyagwa6003 4 года назад +189

    My father's death brought me here, 'niimbe wimbo was sifa Kati Kati ya machozi'😭😭

  • @joycechitumbi175
    @joycechitumbi175 7 месяцев назад +13

    Huu wimbo ni mpya kila siku kwanguuu...❤❤❤❤❤❤❤❤ June 2024

  • @NeemaMosses-ew7pg
    @NeemaMosses-ew7pg Год назад +1

    Ohhh jmn role model wangu.. nakupenda sana big up

  • @jacksonwilliam6621
    @jacksonwilliam6621 6 лет назад +871

    daa!nandy ulitoa machozi kwenye msiba Wa ruge huu wimbi unahuzunisha sana kama unamkubali nandy gonga like hapo chini

  • @mn2376
    @mn2376 3 года назад +411

    Watu wa 2021 wako wapi. Every time I listen to this song I do feel blessed. Our God is good 🙏

  • @osifoomoruyi1672
    @osifoomoruyi1672 4 года назад +22

    How i wish i can sing this song....I am a Nigerian
    This song always put me in spirit anytime i plays it

    • @jynythira1074
      @jynythira1074 3 года назад +3

      Originally done by Angel Benard a Kenyan gospel musician,so pls visit Kenya and sing along. 😊

    • @maureenmj8706
      @maureenmj8706 3 года назад

      Come i teach you

    • @hakunamatata9919
      @hakunamatata9919 9 месяцев назад

      @@jynythira1074Ona hii mbuzi the original song was done by a Tanzanian gospel singer nyoko wee you guys can’t sing the only thing you know is stealing everything from Tanzania and say it’s yours kajambe huko

  • @vatamutuku3276
    @vatamutuku3276 Год назад +1

    Ata wakati kama juu Jehovah nikumbushe wema wako nisije laumu ... nkumbushe baba ya kwamba n wewe mponyaji 🙏🙏

  • @douglastoshtorombo738
    @douglastoshtorombo738 5 лет назад +133

    Waaaaaaaaaaaaah!!!! For Heaven sake, why don't you sing GOSPEL sister Nandy. Your voice has melt my heart. I love you soooooo much NANDY..........!

  • @bullesqgitz1573
    @bullesqgitz1573 5 лет назад +183

    This voice is much needed in God kingdom assignments may he touch ur heart n reveal to u how he needs u to serve u...

    • @willingtonmagbell7533
      @willingtonmagbell7533 4 года назад +5

      True, may the will of God prevail in her life in Jesus Mighty name. Amen

    • @sidibagos6071
      @sidibagos6071 2 года назад

      @@willingtonmagbell7533 mighty who go kill by cross?

    • @princemumo3817
      @princemumo3817 2 года назад

      This song heals me

    • @jacksonabed001
      @jacksonabed001 2 года назад

      the first day I heard this I said to myself Nandys voice deserves the kingdom way

    • @danielkamaret
      @danielkamaret Год назад

      Amen 🎉

  • @GidiMahnMusic
    @GidiMahnMusic 3 года назад +108

    Every morning I find myself here . This song awakens my relationship with my Almighty and fills me with praises.I pray God to hear the cry of each and every soul that comes along this comment , God will bless you abudantly🙏🙏

  • @erasminamrema-d2v
    @erasminamrema-d2v 29 дней назад

    Da nandy ungeendelea kumsifu mungu ungebarikiwa sanaaa❤❤❤❤❤

  • @Witter602
    @Witter602 5 лет назад +27

    Worshiping God is most valuable thing in life.i think she one day turn to Gods family.we welcome you

  • @keits255
    @keits255 2 года назад +11

    " Niimbe Wimbo wa sifa katikati ya majonzi" it's such a powerful phrase . Whenever I miss my brother who passed on 2 years ago I pray with those words and remember in everything I leave it to God despite of it being so painful.

  • @uncleboniface5403
    @uncleboniface5403 4 года назад +99

    Anyone here in August still feeling the overflow from the voice and cool instrumentals???

  • @steveodipo4636
    @steveodipo4636 10 месяцев назад +3

    This rendition of Angel Benards song is a true worship that makes one feel to get into the realm of worship. It's 2024 and I still listen to this song I am always moved when I sing to what my sinful nature considers as pain when I'm not sure it's God's way of testing my faith in Him. Ising this song and play on headphones en route to and from work as a prayer of Thanksgiving. I am moved to always know of God's great contribution into my life with a unique way of always drawing me to Him. I will testify of God's doing in my life soon

    • @comradewilliam6930
      @comradewilliam6930 10 месяцев назад +1

      Really true bro,,it makes me shed tears, but I know it shall come to pass all my problems

    • @comradewilliam6930
      @comradewilliam6930 10 месяцев назад +1

      Really true bro,,it makes me shed tears, but I know it shall come to pass all my problems

    • @steveodipo4636
      @steveodipo4636 10 месяцев назад +1

      @@comradewilliam6930 yes indeed amidst your trouble you need to thank God. Job lost everything but he kept on insisting that for he knew his redeemer lives and so is our faith today for we know our redeemer lives we shall fear nothing.

  • @sebastianemmanuelatilio468
    @sebastianemmanuelatilio468 5 лет назад +67

    Jamani si tupo pamoja hapa? Nandy hongera sana wimbo huu unatufanya tuongeze hofu zaidi kwa Mungu gonga like kama nawe una hofu na Mungu wetu aketie juu

    • @allysendalomuya5517
      @allysendalomuya5517 5 лет назад +1

      Nandy una imba vizuri lakini kama uki imba nyimbo za gospel dada iyo vazi ya juu sio nzuri.

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 5 лет назад +61

    Huu wimbo unetumbukia kilindini mwa moyo wangu 2019 na haujafanikiwa kabisa kutoka

    • @boscoiratwemva9258
      @boscoiratwemva9258 3 года назад

      Wimbo ni mauli Sana maana mungu mpaji wayote endereeni kumsifu Sana

  • @baholabuya3544
    @baholabuya3544 4 года назад +39

    The voice is angelic the rendition is of another level...this is dope. Kenya love.

  • @zipporahOdongo
    @zipporahOdongo 8 месяцев назад

    Anytime I listen to this song I feel God loves me so much regardless of temptation s I go through

  • @kithekacatherine8826
    @kithekacatherine8826 3 года назад +24

    Has am listening to this song am in pain , sadness ,worried 😭 ,stressed depressed but am trusting in the Lord knowing my next minute will be fine

    • @psychologistme
      @psychologistme 2 года назад +1

      I hope God came through for you 🙏

  • @victoriatabitha6400
    @victoriatabitha6400 5 лет назад +14

    30Dec 2019 i love Angel Benard's songs this being one of them,,Nandy dadah okoka akii yakufaa,,wapi like...

  • @samkatsukiwa1740
    @samkatsukiwa1740 2 года назад +25

    I wish Nandy could stay eternally in gospel. I definitively falled in love with her since i heard this song. Dispite all what Nandy is doing actually, i still love her for her exceptionnal talent 💓💓💓💓💓💕❤️❤️❤️

  • @abrahamoduor5082
    @abrahamoduor5082 2 года назад

    nkiskia huu wimbo najazua na roho wa mungu yani huu wimbo unanikumbusha mbali sana,,mungu nikumbushe wema wako kila siku

  • @erico1991
    @erico1991 3 года назад +14

    2021 was my worst year loosing my Dad, uncle, grandma and grandpa same year. Anyone whose ever lost a close relative will tell you how its important to treasure every little moments we share with our loved ones because one day they'll just become a memory. Listening to this song reminds me of how lucky we are to have what we have. Stay blessed.

  • @marymwaitsi4941
    @marymwaitsi4941 4 года назад +16

    Been listening to this song when my mum was sick with corona,,,, it wasn't easy for us and being far from Kenya even makes it worse because its just us here in America......... God is faithful "niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi".... take care ya'll corona aint a joke at all and my mum is a living testimony i thank God 🙏🏽🙏🏽.

  • @celestinemutua1072
    @celestinemutua1072 5 лет назад +70

    actually this song has changed my life,,whenever i go through difficulties i only listen de song ,,,,its a nice song indeed ,,,nice voice,,join gospel nandy plz

    • @judeomoruyiosifoiyamu7103
      @judeomoruyiosifoiyamu7103 5 лет назад +4

      pls what does it mean....I am from Nigeria I have been repeating this song 4 days now

    • @josephkachala65
      @josephkachala65 5 лет назад +1

      Nipo dutwa kama unamkubal nandy gonga like kam zotee

    • @jacktirkolo
      @jacktirkolo 3 года назад

      Absolutely life changing

    • @MabawaVocal
      @MabawaVocal 2 года назад

      @@judeomoruyiosifoiyamu7103 MEANS Lord help me,llord you have writen me in the palm of your hands,remind me of all the good things you have done,if it was not for you Lord i would not be here,you have wiped dust from me,remind me of your goodness when Im going through hardship,when Im cryine remind me of your love

  • @cliffordogonji-qk9os
    @cliffordogonji-qk9os Год назад +3

    Nandi this is where you belong,your voice alone is a blessing to many how I wish you quit circular music an use your voice to praise our living God I've written this with a feeling in my heart this is not just a comment it's a call thanks for this song may our good Lord open your inner eyes to see the treasures that awaits you if you'll choose this path for the rest of your life

  • @marionachieng9576
    @marionachieng9576 5 лет назад +34

    Daa!sauti unayo dada yangu...watching all the way from kenya

  • @richardharold7128
    @richardharold7128 4 года назад +76

    This song touches my inner spirits. Nandy this was the sweetest reward for us your followers, i love Tanzania swahili ❤️❤️

    • @novatussgervasi4315
      @novatussgervasi4315 4 года назад +1

      Nand nand nakupenda sana imba nyimbo za dini uko juuuu juuu ten sanaaaa

    • @kemuntoemily7170
      @kemuntoemily7170 4 года назад +1

      Well sàid... It's the best reward.

  • @nyakinyuaskitchen6446
    @nyakinyuaskitchen6446 4 года назад +129

    This song is keeping my Faith strong during this hard times,my mom is in ICU due to Covid,praying for her healing.

  • @DanLagat-rq7zq
    @DanLagat-rq7zq 2 месяца назад +1

    Anyone who is giving up.. please listen to this gospel..thank you nandy I'm not where i was since i knew this song 2019..much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @getrudewangari9373
    @getrudewangari9373 5 лет назад +16

    u got it al gal 🙏👏👏👏🙏🙏,God bless u always Nandy.

  • @charlesmichael6900
    @charlesmichael6900 4 года назад +9

    Hebu gonga like hapa Tanzania tulimtegema Mungu kipicha corona na sasa tunakula bata2 Mungu mwisho wa matatizo

  • @JaneNyoni-yy2ek
    @JaneNyoni-yy2ek 9 месяцев назад +107

    Tuliopo paka 2024 mwezi wa 4 gonga like🎉

  • @EmmanuelMUCIZACIZUNGU
    @EmmanuelMUCIZACIZUNGU Месяц назад +3

    Mungu asifiwe kwa Neema ya ,tunavuka mwaka 2024,tunaigia mu 2025

  • @Alleyxoon
    @Alleyxoon 6 лет назад +19

    Nyimbo nzuri kabisa, I like it

  • @sammymuchinah5214
    @sammymuchinah5214 4 года назад +88

    Nandy, it's the highest time you start worshiping our creator...You can do it! You have a great calling.

    • @carolineokonya7449
      @carolineokonya7449 3 года назад

      Yes Sammy very true

    • @frankyservices
      @frankyservices 2 года назад

      That's a laughable joke considering her latest music releases...... Sad how a physically beautiful soul can be taken over by the leader of darkness.

    • @chosenemmanuel
      @chosenemmanuel 2 года назад

      The best of nandy Charles, I intercede that she will release another worship song as nice as its.

    • @mercykombo6744
      @mercykombo6744 2 года назад +2

      that's why lm having it hard to believe she is singing the same song,the lips don't go with words,her dress cord,aai here l have alot of questions

    • @4dakulture651
      @4dakulture651 2 года назад

      @@frankyservices she has a whole album full of gospel songs released not long ago....so koma!

  • @kuikamau8934
    @kuikamau8934 4 года назад +9

    I come here whenever I feel low to get uplifted #ehmungunisaidieeeeee

  • @whimsymaverick3057
    @whimsymaverick3057 2 года назад +2

    Nandy kweli unaweza. Sauti, maudhui uzuri hakuna kama wewe Binti.Mshukuru sana Mwenyezi Mungu kakubariki sana 🙏❤️

  • @situmawanjala488
    @situmawanjala488 5 лет назад +31

    Love you Nandy... Gospel industry suits you more... I speak the anointing upon you in the might name of Jesus

    • @felisterjohn493
      @felisterjohn493 4 года назад

      Umeimba sana mdogo wangu love sanaaaaaaaaa

  • @aishamwerevu3427
    @aishamwerevu3427 3 года назад +65

    Japo mi nimuislam lakini naipenda Sana hii nyimbo wallah na ile misuli ya iman

    • @lightnessntaganyila1667
      @lightnessntaganyila1667 3 года назад

      Mungu akubariki

    • @njoki.mkassim117
      @njoki.mkassim117 3 года назад

      Mi pia muislam na napenda sana hii nyimba na matamshi yake , majina ya mungu muumba Mbingu , Ardhi naViumbe vyote ni mmoja tu, isipo kuwa majna ni mengi ya kumuita. Sisi tunae mpigania jina lake lisichafuliwe ndio tunajua yuko na an at upendo na kututumia majeshi yake yatulinde na kuwa na ujasiri wa kusema ukweli ulipokuwa Bila kuogopa. They're watching us and We too , same. Love u , find peace in u and ur Loved ones. U not alone. .

    • @bettyomusikoyo1547
      @bettyomusikoyo1547 3 года назад +1

      I think in mkristo

    • @alimwanambuzi1381
      @alimwanambuzi1381 3 года назад

      Nandy umenitoa machoz huu wimbo ulipoimba pare ulipo torewa mbere kumuaga baba magufuli

    • @EliwadaKikoti
      @EliwadaKikoti 5 месяцев назад

      Karibu kanisan mamy

  • @virgginiaandrew1872
    @virgginiaandrew1872 5 лет назад +16

    the voice everything nandy you have put in this song is something great and lovely,,,`ungeniacha hatua moja cngekuwa pale nilipo`,,woow

  • @TuzlineMinNyiri
    @TuzlineMinNyiri 3 года назад +2

    My comfort and condolence song 🙏. Nikumbushe baba,ata yawe mazito vipi.Mourning my dad reminded of how you renew strength. Mungu kweli umeniona🙏.