Mama Faustine Is a Threat To The family Mom's tuangalie tusizeeke vibaya🙆This mum is a demon😱

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 197

  • @NancyMakobi
    @NancyMakobi 14 часов назад +18

    Hio shamba ikipatikana iuzwe huyo kijana anunue shamba mahali pengine

    • @mohaclassicfamily
      @mohaclassicfamily  6 часов назад +1

      Sasa amekataa na shamba😢

    • @AliceNjeru-os1yb
      @AliceNjeru-os1yb Час назад

      Moha uyu mama hana shamba, anafaa miguu y ng'ombe ii serikali inafanya mambo ikue ngumu xna

  • @eunicenjoroge2754
    @eunicenjoroge2754 12 часов назад +12

    Nyinyi hamsaidii huyu kijana kuwaleta pamoja wagombane wagombane halafu siku iishe 😢

    • @beatouhokwach4848
      @beatouhokwach4848 11 часов назад +1

      Nakuunga mkono. Infact wamgetafta DCI mwanamke asadiane nahuyu ili huyu mama afinywefinywe na afanye kinatohitajika. She's a big beast under demonic powers.

    • @BetyMaraga
      @BetyMaraga 11 часов назад +2

      Ukwel

    • @fatumahapesamohamedfatumah4633
      @fatumahapesamohamedfatumah4633 8 часов назад

      Huyu mama anahitaji makofi nyinyi mnamubembeleza.

    • @MejumaMatari
      @MejumaMatari Час назад +1

      ​@beatouhokwach4848 exactly💯aletewe female DCI afanyiwe ile kitu😅

    • @beatouhokwach4848
      @beatouhokwach4848 53 минуты назад

      @MejumaMatari 😂😂😂kabisaa nakwambia yaani nimetani saaba niwe hapo angekipatapata hata kama anatumia nguvu za kiuchawi ningezikemea hafi zitii sauti.
      Yaani pepo hukemewa kwa kuamrishwa ndio liogope na limrifee au lifeee dafangu .wajuaa?

  • @merrymerry5199
    @merrymerry5199 14 часов назад +12

    Huyu mwanamke makosa ya kwanza anasema ati aliiba mtoto wa mke mwenzake kwa sababu ya revange... Hata hata sio revange kwa sababu baba faustine alimtesa bali huyu mama ni uke wenza ilimusubua.... Polycamy... Maybe hata yy ndie aliua mama ya huyu kijana kama ni ukweli alikufa

    • @MamaabdulWanga
      @MamaabdulWanga 12 часов назад +1

      Yani ni kidnaper

    • @LamaribamJumbe
      @LamaribamJumbe 11 часов назад +1

      Kabisa
      Ata Juu ya Faust na Lavenda Ndugu Yeye Huyu Jibwa Hanajua vizuri sana Wafinye papa lake ili ataongea kila kitu Jibwa ili

  • @ShiroNgure
    @ShiroNgure 14 часов назад +8

    mum usicheze na watt yatima mungu alie juu ndie bb Yao mwenye nguvu zote kwa hiyo acha kiburi pls😢😢😢😢

  • @brendahmakena-p7f
    @brendahmakena-p7f День назад +6

    4th to comment ♥️ like tukisonga.cant want 😢

  • @MwanaidiNguluma
    @MwanaidiNguluma 18 часов назад +5

    Kwani huyo shetani anawashinda the way anafanyia our bro sio powaa wallah

    • @LydiahObungu-l9e
      @LydiahObungu-l9e 14 часов назад +1

      Huyu afai detective anafaa daktari wa msafiree ama daktari mkali ama yule wa lamonike

  • @nancymainanjeri1714
    @nancymainanjeri1714 14 часов назад +3

    Dci Fredrick wa senior Dave atagogwa camera ikiwa tu on nkt

  • @MariahNyaboke
    @MariahNyaboke 14 часов назад +2

    Huyu mwanamke aombe sana you are so humbled dealing with her kisheria..amebeba laana kuliko miaka yake ...let God fight for you our brother❤

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 14 часов назад +9

    Huyo sio your mum don't call her mother she devil 👿👿

  • @JoyceMwasi-i4h
    @JoyceMwasi-i4h 13 часов назад +1

    Nyinyi ata mnabembeleza uyu mama sana

  • @JuliaAdhiambo-e8e
    @JuliaAdhiambo-e8e 13 часов назад +5

    Hawa wakikuyu ndio mtu alisema ni kabila nzuri ya kuoa??mwanamke mshenzi😢

    • @userkemmy
      @userkemmy 3 часа назад

      😢😢 mkikuyu akiolewa kwnyu make sure mwenye amemuoa asimpee bank account yake na asijue salary ynye anlipwa coz anaeza kuua juu ya mali

  • @eleginzaaaaa5030
    @eleginzaaaaa5030 14 часов назад +2

    Faustine tafuta stano akusaidie plz hiyo moha hawezi chochote hapo

  • @onyeomachinyeremaka6809
    @onyeomachinyeremaka6809 13 часов назад +3

    *To a person reading this, May every of your tears, May every hardship turn into positive blessings be strong and safe.*

    • @Yuca878
      @Yuca878 12 часов назад

      Amen 🙏

  • @leahwanjiku3566
    @leahwanjiku3566 13 часов назад +1

    Mama Mungu ndie huu pingania watoto wa yatima wacha majifuno mingi hapo...uki aribia wakikuyu jina

  • @prettyannitah5237
    @prettyannitah5237 12 часов назад +1

    Moha hapa hakuna mambo ya wakikuyu na land huyo nyangao ni mkora kivyake na mdeal nayeye kaa mkora sio kaa mkikuyu

  • @euniceshanii2980
    @euniceshanii2980 7 часов назад

    Angalieni sim Yake vzr MTAPATA stori kuhusu austine wazazi wake

  • @AliceNjeru-os1yb
    @AliceNjeru-os1yb Час назад

    Uyu mama akiachiliwa police ju najua serikali vile iko siku izi, atafutiwe daktari awekewe miguu y ng'ombe mara io io 😢😿😭 ananisubua akili xna

  • @euniceshanii2980
    @euniceshanii2980 7 часов назад

    Handsome detactive chapA huyo mama makofi mawili ya Moto aogope au fastime amsha wazim huyo sio mum yako chapA yy viboko au belt za matako akuogope

  • @dorothyosoko4661
    @dorothyosoko4661 13 часов назад +1

    Moha look also pastor Joshua to help too. DM Dave or Director Jay even pastor Nancy mama Joshua . There are lot of things and when the three pastors join in prayers the truth will be out. Please

  • @josphinekimando
    @josphinekimando 8 часов назад

    Phaustin ite doc wa msafree atapata kila kitu

  • @Janet-p6k
    @Janet-p6k 10 часов назад

    Uyu mama n Pepo atoe Kila kitu yenye uyu kijana alimpatia akiwa katali😢

  • @selemanshaban7496
    @selemanshaban7496 13 часов назад +2

    Huo u pole wa detective unasaidia nn au mnafikiri tunafurahi kuona hata detective anakaa kimya

    • @jeniffermwende2603
      @jeniffermwende2603 6 часов назад

      Ebu watafute dci Fred wa senior Dave huyo achanguaji umri ... agekuwa ashapewa makofi hafunguke yote

  • @AliceNjeru-os1yb
    @AliceNjeru-os1yb Час назад

    Moha mtashinda apo na serikali na mwishiwe uyu mama ataachiliwa na kila kitu y Faustine ipoteleee, eli mtafute daktari afanye kitu 😢

  • @AnitahMaika
    @AnitahMaika 10 часов назад

    I would also advice Faustine aende kwa prophet Kakande kule uganda atacama solution

  • @MariamNakoa
    @MariamNakoa 2 часа назад

    Na huyu mama ana smile nini😂😂😂

  • @SusanOil-g7k
    @SusanOil-g7k 11 часов назад

    Ai hawa kuwaleta pamoja hamtapata solution nikugombana tu

  • @DivinaDivina-j4r
    @DivinaDivina-j4r 15 часов назад +3

    Jameni

  • @euniceshanii2980
    @euniceshanii2980 7 часов назад

    Mtatusiwa mpaka mupakwe Mavi huyu mama ningekuwa hapo na funga mdomo wake shenzi sana

  • @HasiKhosi-qh4uo
    @HasiKhosi-qh4uo 10 часов назад

    Mungu atatenda haki one day moha hii nyimbo nani aliimba naitafta sijaipati

  • @TumainiSatian
    @TumainiSatian 9 часов назад

    Huyo mama ni mchawi😢😢😢😢

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 9 часов назад

    Heee huyu mama ni kiboko khaaaa😢

  • @RuthObwana-fr3iq
    @RuthObwana-fr3iq 14 часов назад +2

    Kwani kiwete si mtu
    Ni nini mbaya na uyu mathe ungekuwa my own mama walai ningekudishown

  • @Yuca878
    @Yuca878 12 часов назад

    Dci unaona anaeleza vizuri si ujukue hatua.justice for fostine

  • @BrendaMogambi
    @BrendaMogambi 14 часов назад +2

    Huyu mm ako na roho mbaya kaa mtu mwenye ajawai enda labour 😢😢😢

  • @AnitahMaika
    @AnitahMaika 10 часов назад

    Hi Moha please just advice Faustine akuwe patient ju hata hamallow detective kuongea ju akò juu sana inafaa akuwe Mpole ndio detective Addeal na yeye ju akiongea detective anakosa kupata information ju yeye ndio amekuwa kama detective sasa

  • @DamarisShiroh
    @DamarisShiroh 12 часов назад

    Detective please pea huyu mama adabu

  • @CynthiaKatunge-e1i
    @CynthiaKatunge-e1i 13 часов назад

    Ujafa ujaubika, mama watch ur tongue na what goes on comes around,ni hayo kwa sasa

  • @florencebosibori9961
    @florencebosibori9961 15 часов назад +1

    The pride in this woman,inafaa iondolewe na dakitari au pastor joshua

    • @rachel0073
      @rachel0073 15 часов назад

      Huyu mama angepata DCI Fred angebakurwa vibare aongee kama redio

  • @polly-h8z
    @polly-h8z 12 часов назад

    DCI kwani ulifunzwa kua mpole hebu finya huyu mwanamke, faustine arudi Qatar ajipe maisha Wacha kupembeleza mtu roho mbaya

  • @Peterdota-h3w
    @Peterdota-h3w 12 часов назад

    Fausting should be cool....Moha wacha ujinga aty Camera mnahurumia uyo mchawi heri ningekuwa hapo nivurute nywele 😊

  • @mwanashasjambia8572
    @mwanashasjambia8572 14 часов назад +1

    Mnabembeleza uyu mwanamke mkemchapa makofi uyuu paka katoa kilakitu,fanya kama Yule dci Fred Wa senior Dave.

  • @humbleladymilly9893
    @humbleladymilly9893 14 часов назад

    Huyo mama n mchawi walai kulingana na vile anaongea. Moha, mjaribu sana kuwekea faustine security ya kutosha plz for his safety

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 12 часов назад

    Hapa mnapoteza wakati na huyu mama mangaa. Tafuteni msafiree Awapatie daktari ajikune atoe documents za faustine mara moja

  • @marykiarie6658
    @marykiarie6658 14 часов назад +3

    Huyu mama ako na kiburi sana

  • @LydiaKarioki
    @LydiaKarioki 12 часов назад

    Moha pli tafuta daktari wa lamo afanye kitu, huyu mama ako na kiburi sana

  • @rachaelwambui3407
    @rachaelwambui3407 5 часов назад

    Mbona nchi anamupebereza huyu mama hivi mutaichi kwajano monja

  • @cynthiaburundi5116
    @cynthiaburundi5116 11 часов назад

    Mwitedoctl. Amusaidiye. Jamani😭😭😭😭

  • @modestajamada3496
    @modestajamada3496 13 часов назад

    Uyu mama ako nakibuli 😉😏😏😏😏

  • @estherwahome9889
    @estherwahome9889 14 часов назад +11

    Moha toa Wakikuyu na mashamba kwa mdomo yako deal na mtu individually juu si kila mtu ako hivyo

  • @FlorenceMalingu
    @FlorenceMalingu 13 часов назад

    Huyo mama ni jeuri mupelekeni mbele

  • @FranciscaPeter-rm1hx
    @FranciscaPeter-rm1hx 10 часов назад

    Nafikiri ata ilikuwa plan na ule msichana alikuwa amemwozea ni kumwuua uyo kijana

  • @Mercy-l3k
    @Mercy-l3k 11 часов назад

    Watafute fred au Godfrey wa samaa aonyeshwe kilichomfanya kuku asikojowe

  • @Pamelasidi-y9s
    @Pamelasidi-y9s 15 часов назад +1

    Huwa mngemfinya tu vizur ili aongee kila kitu

  • @paulinef.millanzinana8279
    @paulinef.millanzinana8279 11 часов назад

    Huyo mama ni shetani kweli😮

  • @janewayua6412
    @janewayua6412 14 часов назад

    Uyo. Mchawi ako na kiburi sana lakini kuna siku ipo

  • @MariahNyaboke
    @MariahNyaboke 14 часов назад

    Huyu mwanamke aombe sana you so humbled

  • @NyokaDeGal
    @NyokaDeGal 3 часа назад

    Mohaa uko na upuzi mbona msizime camera surely

  • @muasyairene7626
    @muasyairene7626 14 часов назад +1

    Moha huyu mama anamjua lavender vizuri vizuri.ndio sababu ako na beef hivyo.i believe anajua they are brother and sister

  • @susanwangui7135
    @susanwangui7135 12 часов назад

    Kwani hakuna law moha, sometimes inakaa kama ni mchezo mko nayo, si huyu mama ashikwe aongee hio mamboanasema akiwa dani

  • @rachaelwambui3407
    @rachaelwambui3407 5 часов назад

    Munamubeberesa sana sijui mutamariza rini

  • @sylviaogwedhi513
    @sylviaogwedhi513 12 часов назад

    Mfinye huyo mama off camera ,aseme ukweli yote moha, Faustine has suffered alot.

  • @Peterdota-h3w
    @Peterdota-h3w 12 часов назад

    UYU DCI MBONA ASICHAPE UYU MATHEE DCI FREDERICK BEATS THEM KABISA....ATY CAMERA FREDERICK HAJALI ..WEWE UNAJALI JINA AMA KAZI??

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 9 часов назад

    Huyu mama ni shetani kweli baba ya mtoto akutese utoe kisilani chako kwa mtoto aduwi sana

  • @سميرهكينيا
    @سميرهكينيا 13 часов назад

    Iyo shamba ikipatikana hiuzwe akanunue kwengine uyu kijana

  • @Amina-i4r
    @Amina-i4r 14 часов назад +1

    Moha name of the song 🎵 🙏 🙏 🙏

  • @افريليناف
    @افريليناف 11 часов назад

    Mbona moha munabebeleza iki kimama nyinyi munasinya naiki kimama chenyu

  • @Maleek503
    @Maleek503 8 часов назад

    Huyu mama kwani anakaa aje nkt ata ni mchawi mama hana huruma

  • @PurityKerubo-k7m
    @PurityKerubo-k7m 8 часов назад

    I thank God to my mum she's the best mum ever this lady is so evil oooh my God bless this boy 👦

  • @bahatikadzo8896
    @bahatikadzo8896 14 часов назад

    Mbn kila nikiangalia huyu mama naumwa sana

  • @CarolineImbwaga
    @CarolineImbwaga 10 часов назад +1

    Huyu mama amekula nyama nyoka

  • @prettyannitah5237
    @prettyannitah5237 12 часов назад

    Bona hamuezi leta karao mwanamke akuje a interfere na hii nyangao iongee

  • @Ruthmueni-w1g
    @Ruthmueni-w1g 5 часов назад

    Moha mnaleta uyu mama kiburi wann stop wasting tym anafaa kupelekwa mbele amsaidii ivi kabxa

  • @EdinahMogire-d4w
    @EdinahMogire-d4w 14 часов назад

    Plz tafuta dactari mkali afanye hle kitu uyu mama ampee faustine ata kitu kidogo juu pesa ya gulf si mchezo

  • @nicenaomi8459
    @nicenaomi8459 14 часов назад

    Uyo mama angepigwa, angeongeya vizuri, ila anawatiliya kiburi juu munaogopa kumupiga

  • @isaacjosephjoseph2733
    @isaacjosephjoseph2733 10 часов назад

    Kwanza lilimuiba mtoto sio wake ndio maana halina uchungu lishetani faustine tamka kabisa Kwa ujasili kabisa kwamba wewe sio mama yangu maana uliniiba, na yeye alitamka kuwa wewe sio mama yako na wewe tamka kuwa wewe si mama yangu.🇹🇿 Yaani mimi ningekuwepo hapo ningempiga makofi ya kutosha yaani inaniuma sana hawezi kumtesa hivi huyu kijana. Ninahasira

  • @austrinemutsotso1560
    @austrinemutsotso1560 12 часов назад

    Fastine stop crying Kila kitu hu happen with a purpose... be strong

  • @JaneGaturo
    @JaneGaturo 10 часов назад

    Alf mbona huyo DCI akona upole hovyo Hadi ametulia akiitwa chief

  • @Tam.H.
    @Tam.H. 15 часов назад

    Dci Fred hapana cheza na vimama kama hizi........piga MTU bana

  • @HsuusuJeheu
    @HsuusuJeheu 13 часов назад +1

    Huyu mama hata jana mwenyewe alisema Mungu alimpa bwanake na mke mwenza kichapo cha mtoto mlemavu,na saa hizi anasema hajui kwani aliongea akiwa mlevi jamani? huyu akifinywa ataongea yote kama radio

  • @achybellahpergo5459
    @achybellahpergo5459 10 часов назад

    FAUSTIN AWACHANE NA HUYU MAMA COZ ANAWEZA HATA MUUA FAUSTIN AKAE MBALI NA YEYE

  • @charitywangeci4846
    @charitywangeci4846 12 часов назад

    Huyu mama ako na roho chafu kaa mganga mwenzake

  • @Priscah-d8s
    @Priscah-d8s 8 часов назад

    Huyo mama ata anakaa mgojwa ukendi

  • @dianaatieno3922
    @dianaatieno3922 13 часов назад

    Ita dactari wa msafiree amalize hii case

  • @MillicentFuraha
    @MillicentFuraha 14 часов назад

    Halafu DCI imezidi pole ungepiga kofu hata kma NI 2 aamke akiwa kwa ndoto😊

  • @eunicenjoroge2754
    @eunicenjoroge2754 13 часов назад

    Hebu Faustine atulie kila wakati huyu mama akitaka kuongea kuhusu baba yake akisema tu "nikaiba huyu mtoto ni revange "anarukia kuongea na hasira story inakatika hii ni mara ya pili

  • @mercimerci9540
    @mercimerci9540 13 часов назад

    Huyu mama ni mwiziiiiii mkora suguu ,peana vitu za kijana ukam Qatar utafute vitu zako jinga hii

  • @LucyLucy-q2e
    @LucyLucy-q2e 13 часов назад

    From tz,western,kk how big confusion

  • @FAHYMAALI-zd8sg
    @FAHYMAALI-zd8sg 14 часов назад

    Huyo mama anafaa mzime camera na apewe kichapo hadi aongee

  • @DaianaMakangai
    @DaianaMakangai 13 часов назад

    Huyu mumama nikama n mchawi nalijua faustine ako na nyota thats why akamchukua iliamumuumizee 😢😢😢

  • @joanongera7042
    @joanongera7042 11 часов назад

    Moha unanisinya mbona msizime camera hii story inaboo

  • @JaneGaturo
    @JaneGaturo 10 часов назад

    Mbona anampiga faustine na bado si mamake

  • @RobbyMukonjero
    @RobbyMukonjero 13 часов назад

    Moha zima camera uyu mama achapwe kidogo.

  • @thechosenone01-h5e
    @thechosenone01-h5e 14 часов назад

    Moha leave wakikuyu deal with individual nkt

  • @sarahnambuya5818
    @sarahnambuya5818 11 часов назад

    Musaidieni sana mkipata hiyo shamba muiuse mununue mbali sana

  • @Bettybioz
    @Bettybioz 13 часов назад

    Leta DAKITARI kutoka lamp show arudishe KILA KITU ya Huyu yatima

  • @AplA-x9b
    @AplA-x9b 14 часов назад +1

    Kwan nyinyi mnashinda mkibembeleza huyu mama mpaka waleo?? Hakuna vile mnaeza mshtaki huyu na serikali ikachukua mkondo wake.
    Ananisinya sana huyu mwanamke

  • @Seranjoroge9244
    @Seranjoroge9244 День назад +6

    First one to comment, upcoming RUclipsrs, tupitianeni hapa pia sisi tugrow pamoja ❤❤❤

  • @judychepcheng7839
    @judychepcheng7839 10 часов назад

    Same same same story si mchukue hatua..inabidi we forward juu ni repetition 😳

  • @EdiokoAtembi
    @EdiokoAtembi 13 часов назад

    Huyo mama sida yake ana hixo pesa n kaa Kuna mwanaume mwenye pia amekula nayo hiyo pesa saa ndio maana Ako na machungu hivo ata amejiachilia kijana ungewajana nayeye huyo anatafuta kifo.....

  • @eunicenjoroge2754
    @eunicenjoroge2754 12 часов назад

    Huyu ditective hajui kazi yake siatumie profession yake huyu mama aongee kwani kina stano hua wanatumia mbinu gani watu wana ongea kama radio