I was in the same situation before caused by my family members but now am back in Doha Qatar 🇶🇦. Life is moving on well .Faustine I pray may God open your door and blessings 🙏
Please guys let's stand with this bro also he has to get justice , but people who eats people's money God will punish them for ever but be strong bro you will get what God has given you ❤❤
Wah moha saidia huyo boy ako depressed he can do something crazy . Huyo mama arafutwe apeane full story na arudishe documents za faustine 😢. So bad familia unajua since wanakukataa
Huyu kijana hakuwai the ntroduce Lavender Kwa mamake alihofia tabia zake kama uliwatch hiyo episode yenye alikua anajieleza vile huyo mama alitumana mtoto akidinapiwe bila kujua ni mjukuu wake utaelewa
😭😭😭😭😭😭family family tuko wengi tumepitia God have mercy and give me another chance nirundi gulf nitafutie maisha yangu mom wherever you're nilikuforgive whatever you did to me and my bro
Justice for this boy. That mama doesn't have right to burn his documents please. God protect this man and covered him with the blood of Jesus Christ Amen Amen Amen 🙏
May God lntervine kwa huyu kijana, working gulf is not easy, we strangle to fulfill our destiny but unapata watu tunaamini wanatukanyagia chini tuangamie,l have passed through this and l've learned that never trust anyone with money
Moha Napenda Kazi yako Bro May God Bless you....Alafu Moha Good ulipambana Lavender akapata mtoto wake,kindly Bro Saidia faustine pia apate haki Yake....Kuna Daktari Wa Msafiree anaweza msaidia please....ukimshughulikia na Mungu atakubariki zaidi
Aki inauma sana familia yenye unajua ni yako ndio imekufanyia kitu kma hiki😢 aki huyo mama MUNGU ndio atamlipa maana hii dunia ina zunguuka, hadi karatasi amearibu adi kumfukuza kijana😢 this is so sad aki😟 my bro when there is life there is hope🙏☝️
Moha help that boy plz wajua pesa ya gulf ni ngumu kupata .......huyo mama atoe doh za wenyewe .....alfu atafute documents arudi qatar tu na Mungu amsaidie aki
Faustine be strong be a man of yourself. GOD is on your side, sometimes those whom we call our people are not, we end up separately in bad terms. Believe in God everything will be fine.
This guy needs justice for sure may the almighty help him i really feel what he's going through but same times when the situation is hard God has a reason behind that situation
Agostine he is genuine for one alichukua mtoto kwa camera kama prove that he is the one who.had the baby so agostine he knew nothing about pesa ya brathake
Mahali imefika Mungu shuka sasa coz weeeeee..,..Moha tunangoja kusikia Faustine amepata justice na Lavender Mungu amemjalia neema...our prayers to them😢
Nikama hamuelewi uchungu wa ku loose pesa ya gulf na venye tunaipatanga kwa shinda mi zangu ziliwai kuliwa na wacha niseme Faustin anaumwa wacha tu niwaambie alafu to make matters worse hana makaratasi ya kurudi akaponee huko Qatar may God comfort Him🙏
Hii story ya huyu kijana ni ngumu bt God ako one day atakuja kupatana na familia yake tumuombee tu apate aki yake mungu yuko pamoja naye na hawezi muacha ateseke 😢😢
Wale tulianza kutoka airport adii saii pitieni apa❤❤❤
I was in the same situation before caused by my family members but now am back in Doha Qatar 🇶🇦. Life is moving on well .Faustine I pray may God open your door and blessings 🙏
Hawezi rudi qatari juu huyo mama alimuchomea documents zake zote za qatari aki mungu amusaidie
Nothing is possible mungu akiwa @@rozkin6921
Shida kurenue documents need money
@zipporahmujiti5435 yeah but I believe in God ,I know he will give me another chance en he will make it
Amen 🙏🙏🙏
Faustin usijali mungu ndio alikukutanisha na Lavender ndio ujue mambo inaendelea kwa maisha yako
Please guys let's stand with this bro also he has to get justice , but people who eats people's money God will punish them for ever but be strong bro you will get what God has given you ❤❤
Sure supporting him matoke kwa depression will help him
Mungu akusaidie boy child
Mungu unonekania uyo kijana n uxuni kwel
Kweli😢
hii familia niwauwaji waondokee ufate kuishi maisha yako namungu atakufungulia njia
Pore. Una. Wumiyabr. Nawona. Nikubaya. Wawurize. Wakuwoneshemama.wako.muzazikbx😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔
Moha msaidie huyu boychild asife juu yuk kwa depression ak,, saidia huy kbla hjajinyonga aki😢😢😢😢
Am trying my best he is depressed 😢
Gaaaai huyu mama ni mnyama mungu wangu🔥🔥🔥mchawi kweli😭😭😭
Wallah mie najiulizaga kenya wanaishi mashetan am kabla gan moha hebu i jibu duuh
Very sad😢😢😢na vile gulf ni kugumu
Imagine 😢
Moha ongea na Dactari wa the pl Brighton Ndio atamalisa hii kesi
True hii pesa inatoka mbali 🎉
Maybe no kichapa ju ulimdhau lavender ukamwita kiwete n hata YA bila kumtea wakumheshimu unaona
Mungu apiganie huyu ndugu aki 😢
Ameni mungu anaweza yote
For sure
@@mohaclassicfamilykama alichukua vacation mwambie atulie arudi job astabalize maisha yake.
God atamuonenekania but na yeye aache kiburi huyo tu God ako njia mob zakuangusha wenye viburi..venye tu alidharau Lavendar at first
Chenye. Ufichwa ujitokeza unknowingly💯
Am with you bro in prayers 🙏 May God protect you and give you to start your life in Jesus name I pray 🙏
Aky woyii nafeel your pain Faustin aky 😭😭 justice for him plz
We support him achukue passport arudu am trying my best😢😢
Wah moha saidia huyo boy ako depressed he can do something crazy .
Huyo mama arafutwe apeane full story na arudishe documents za faustine 😢. So bad familia unajua since wanakukataa
Weee life ya gulf ni ngumu jaman 😢😢😢😢😢😢, justice ya Team strong 💪 apate vitu zake plz 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😢😢😢😢😢😢
Mbona mamake hakukataa Lavender initially akizaa na kijana wake meaning they had a plan together
Huyo mama hajui Lavender na hajawai Jua kama Kijana wake ako na mtoto...
Huyu kijana hakuwai the ntroduce Lavender Kwa mamake alihofia tabia zake kama uliwatch hiyo episode yenye alikua anajieleza vile huyo mama alitumana mtoto akidinapiwe bila kujua ni mjukuu wake utaelewa
Pole sana kaka mungu,akusaidie
Woiyeee 😭😭tafta dactari aiii hiyo pesa ni mingi sana
Mungu akusaidie udugu akupe rehema nyingi sana
Mimi hata sina lakusema nihuzuni tu na mungu amusaidie huyu kijana mana hajui ashike lipi ache lipi uwe masikin iwe shida ujitafute shida ndo zizidi 😢
Mpereke jajo atafutiwe Familie
???????
Mungu upo pamoja nae bro juu mungu
Njoo akii uwe Kaka yangu njoo Tanzania usijiuwe
I love Lavender thank you Moha for the support of making this lady happy
N ndio mzazi wake ...n my son fast boan❤❤❤
Moha tafter dactari plz uyi kijana apate justice yake inauma sana
Wallah
I second you
Yeah 👍👍👍 doctor die atafanya huyu kijana apate pesa zake
😢😢😢😢😢aki si dakitari afanye ma.mbo
Mnapenda kazi yawachawi sana
Utapata mamake ako hai but huyu mama alimuiba akiwa mdogo,,vile waliiba mtoi wa lavender but the truth will come out soon
Yeah true
I think so
Yeah 💯
😭😭😭😭😭😭family family tuko wengi tumepitia God have mercy and give me another chance nirundi gulf nitafutie maisha yangu mom wherever you're nilikuforgive whatever you did to me and my bro
Moha saidia huyo boy arudi Qatar🙏
Please help him asifanye hivo ajinyonge/ apate depression
Am trying to help him though nkiwa pekeyangu ni ngumu
@@mohaclassicfamilymtaftie dackari wa Angie b pesa zake zitarud😢
Tafuteni Daktari mkali please kwa Kina Angie B apate pesa yake.
Justice for this boy. That mama doesn't have right to burn his documents please. God protect this man and covered him with the blood of Jesus Christ Amen Amen Amen 🙏
Msaidie pia abate kwao
Daktari mukali akuje amsaidie aky
May God lntervine kwa huyu kijana, working gulf is not easy, we strangle to fulfill our destiny but unapata watu tunaamini wanatukanyagia chini tuangamie,l have passed through this and l've learned that never trust anyone with money
Moha Napenda Kazi yako Bro May God Bless you....Alafu Moha Good ulipambana Lavender akapata mtoto wake,kindly Bro Saidia faustine pia apate haki Yake....Kuna Daktari Wa Msafiree anaweza msaidia please....ukimshughulikia na Mungu atakubariki zaidi
Leteni dakitari hapa sasa😢😢😢
Eeh kabsa mukali ndio asaidike juu we haezi ajwa Ivo
Very correct
Cjui kwa nn wanachelewa.
Moha tafuta msafiri asaidia huyo fustent aki😢😢😢😢😢😢😢😢
Hii story unaeza pata faustine na lavender ni mabrothers juu ni kama wana look the same wanafanana😅😅
😂😂😂walai
Kabisaa😅
Inaweza kua ukweli😢😂😂😂😂😂
Kabisa
Aki nmeurumia uyu kijana 😢😢😢
Docta plz moha fanya mambo 😢😢😢
Faustine you can start 😢😢😢hujavunjwa mkono......Zangu za 2020-2022 zilikuliwa zote 😢😢nilirudi na namalizia...
Aki inauma sana familia yenye unajua ni yako ndio imekufanyia kitu kma hiki😢 aki huyo mama MUNGU ndio atamlipa maana hii dunia ina zunguuka, hadi karatasi amearibu adi kumfukuza kijana😢 this is so sad aki😟 my bro when there is life there is hope🙏☝️
God plz help this boy fostin aki plus lavender dear God mungu nkuamini sana najuwa utawatendea Aki 😢😢
I know this condition so don't worry my bro our God be with you the time is comes 🤲🙏
Huyo sio mama wa kukuzaa
😢😢 God come through for this boy aki
May God intervene in Jesus Mighty Name
Hii sometimes naona ni matunda ya kuita lavender kiwete but Faustin pole may God open your ways to go back to Qatar
This boy is going through a lot😢😢😢😢rudi q
Painful lavender kafukuzwa na mama mpeanaji ,,,mtoto
Moha mtafutie daktari 😢😢yule wa Brighton the pl na Angie B atapata msaada plz 🙏 😢
Moha Saidia huyo boy arudi Qatar
Aki
Let's come together it's possible nikiwa alone ni ngumu
Moha help that boy plz wajua pesa ya gulf ni ngumu kupata .......huyo mama atoe doh za wenyewe .....alfu atafute documents arudi qatar tu na Mungu amsaidie aki
Moha plz mtafute msafiree aletee dactar huyu kijana apate Mali yake
Very correct
Utapata huyo mamaa si the real mamaa...maybe alimuiba angali mdogo the truth itajulikana
Hukusikia akisema she is not the real mother
Sasa kama anajua c wake ,na mbona anamfanyia madharau kumfukuza pia na kukula Doo zake ak
Hata mimi nafikiria hivyo
Kabisa, lkn mm naona hii deal walikuwa wanataka kuchukua pesa
Kama alikuwa mmke hajui, na alijuaje kuwa anaweza tumia mtoto kublackmail faustin
Faustine be strong be a man of yourself. GOD is on your side, sometimes those whom we call our people are not, we end up separately in bad terms. Believe in God everything will be fine.
This guy needs justice for sure may the almighty help him i really feel what he's going through but same times when the situation is hard God has a reason behind that situation
Agostine kiswahili chake yaani nachanganywa sana
Bona nalia peke yangu aki Mungu aonekanie faustine😢 ajikubali ameloose everything for now bt ako na God mwenye kila kitu
Siuni connect ya uyo faustine
Agostine he is genuine for one alichukua mtoto kwa camera kama prove that he is the one who.had the baby so agostine he knew nothing about pesa ya brathake
Nipen mim awe kijana wangu😢😢
Justice for foustine yawa team strong has suffered 😢😢😢😢
May God comfort you butler u need to let dis lady go dis is a plan even lavender is a liar
lavender na Faust ian nikama wako relayed wanafanana sana moha chiguza hoyo
Moha tafta lamonic ama Briton wakutafutie dakitari mkali
Augustine anajua everything ju hata dem Austine alitafutiwa amelala naye
Hapa Kuna game inachezwa.ubaya ni game ya kuangamiza Mmoja.
Mahali imefika Mungu shuka sasa coz weeeeee..,..Moha tunangoja kusikia Faustine amepata justice na Lavender Mungu amemjalia neema...our prayers to them😢
Ak hii ilikuwa n deal 😢😢😢😢how comes lavender alilala na huyu jamaa tena yule msichana mwigne alilala na huyu jamaa aki wallai hii n deal imepangwa 😢😢
I feel the pain of this boy Faustine 😢😢😢😢😢😢😢😢
Moha huyo jaam msaidien tafuta yule doctar asaidiw arudishiw pesa zake
Very painful, may every mother live long enough to be there for their kids 🙏
Moha muambie atafute dakitari mukali kwa Agie b vitu zake zote zitarudi
Plz meet daktari wa msafiree,they will bring everything
Moha taktari amusaitia uyu kijana wawatu passport atatavuta 20 k atavute passport igine
Msaidieni tu arudi Qatar woiyee huyu anaeza jiua
Moha daķitari mkali atamsaidia kujuwa kuusu wazazi wake plz mtafute😅😅
Nikama hamuelewi uchungu wa ku loose pesa ya gulf na venye tunaipatanga kwa shinda mi zangu ziliwai kuliwa na wacha niseme Faustin anaumwa wacha tu niwaambie alafu to make matters worse hana makaratasi ya kurudi akaponee huko Qatar may God comfort Him🙏
Mimi kwa macho yangu naona faustine na lavender n siz na bro Guys na ukweli utajulikana tu
Meb walimuteka huyu mutoto akiwa mdogo jamani nihuzuni san
Justince qwa mwenxes2 faustin apate pesa yake. Juu n mwenxe2 c c team strong.
Mungu muonekanie uyu kijana inauma
But moha please 🙏🙏 if u fair God find for this young guy daktari
inaniuma haki hata yanitoa machozi😢😢😢
Woiyee justice for this guy aki life in gulf is hard😢
Usiwambie hawo mahalo umeishi sasa watakusumbua wanajuavwashakula pesa yako mama gani mungu weee
B4 achukue mtoi i remember alitisha 1.5 that means anajua anajidefend bure😢,walipe faustine
Moha si ufanye ivo daktari afanye kazi yake watu wawekwe miguu ya ng'ombe na pembe
sijawai amino kama hii story ni kweli
Lakini ata kama mtoi c wako mbona umufanyie ivo aky😢😢😢 bt mungu yuko
Hii story ya huyu kijana ni ngumu bt God ako one day atakuja kupatana na familia yake tumuombee tu apate aki yake mungu yuko pamoja naye na hawezi muacha ateseke 😢😢
Moha plzzz msaidie huyo kijana apate haki yake huku gulf sio mchezo
Hii case mohaaa nipe doctor mkali mama apenana pesa