Mch Moses Magembe - SIKU YA BWANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 41

  • @christophergenya7499
    @christophergenya7499 2 года назад +1

    Nabarikiwa nikiwa Geita Mungu wetu ni Mwaminifu.

  • @kyalagwamaka1550
    @kyalagwamaka1550 3 года назад +1

    Bwana Yesu asifiwe sana Baba. Naomna kujua kama umesharudi dar es salaam

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 2 года назад

    Asante sana Baba kwa ujumbe huu maalumu na mwomba Bwana anifiche na family yangu tuhitaji kuingia mbingu makao yetu ya milele, barikiwe Baba🙏

  • @ericapaul162
    @ericapaul162 Год назад

    Mchungaji Baba mwenye maono ya kristo .Mungu akutunze daima

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 3 года назад +4

    Amina Asante Mungu kwa kutupa mtumishi unayemtumia kwa viwango vya juu ongeza mafuta mengi juuu yake ili tuzidi kukusikia nabalikiwa Sana Sana Kila ninaposikiliza baba njoo geita

  • @amanimwakalomba8511
    @amanimwakalomba8511 3 года назад +1

    Mungu akubariki sana mtumishi wake kwa jumbe zenye baraka na mafuta ya Roho mtakatifu.

  • @maidamugassa4675
    @maidamugassa4675 2 года назад

    Niko Kagera Nabarikiwa kusikia chakula chenye lishe ya kutosha. Hakuna mtu kupata utapiamulo Hapa. Mungu akubariki, Mchungaji. Natamani uje na Huku Kagera angalau tusikie neno la Mungu kupitia. Tumeshachoka na Mikutano ya Injili za mafuta na vitambaa. Karibu Kagera Mch. Mungu akubariki

  • @jothammalale8747
    @jothammalale8747 3 года назад +1

    Ashukuliwe Mungu. Darasa la thiorojia. Mungu akuwezeshe zaidi. Kuyafafanua maandiko kwetu ni akiba. Naomba sehemu zisizo sikika maneno mitambo Irekebishwe maneno yasikike yote Barikiwa baba. Magembe

  • @erickswai440
    @erickswai440 3 года назад +1

    kweli kwa huduma hii ya baba napenda na mie niupate upako huu hasa katika huduma yangu ya uimbaji hakika ukiwa na upako kama mzee huyu utamfurahia Mungu sana

  • @christophergenya7499
    @christophergenya7499 2 года назад +1

    Glory be to God. Thanks Pastor MAGEMBE l have been healed and blessed

  • @captainluganje453
    @captainluganje453 3 года назад +3

    Mungu akubariki sana mchungaji Magembe kwa jumbe zako za uamsho na matengenezo

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 3 года назад +2

    Amina baba nabarikiwa nikiwa moshi Kilimanjaro

  • @pendobabel6563
    @pendobabel6563 3 года назад

    Ahsante baba,Mungu akufikishe mahali unapotaka kufika

  • @sellvicoba5690
    @sellvicoba5690 2 года назад

    Barikiwa Baba. Tunabarikiwa sana. Tunatamani Kila jioni ikifika tukusikilize

  • @rehemamsami8000
    @rehemamsami8000 3 года назад +2

    Namshukuru MUNGU kwa neema hii,hata tusiokuwepo tumepokea baraka

  • @jasperjackson8871
    @jasperjackson8871 3 года назад +2

    Nabarikiwa nikiwa Mtwara.
    Mungu azidi kukutumia mtumishi wa Bwana Moses Magembe.
    Glory to God 🙏🙏🙏

  • @amanimwakalomba8511
    @amanimwakalomba8511 3 года назад

    Nikiwa hapa Dar es salaam natamani sana siku moja nihudumiwe nawe Moses wetu.

  • @ruthaloyce1012
    @ruthaloyce1012 3 года назад +3

    Ee Mungu, mtumze baba huyu kwa ajili ya kazi yako

  • @paulogerald34
    @paulogerald34 3 года назад +1

    Bwana Yesu akubariki mtumishi wa Mungu, nabarikiwa nikiwa Chato Geita TAG Bethlehem

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 3 года назад +1

    MUNGU Akutunze BABA chakula kimeiva san

  • @everinemasoka6327
    @everinemasoka6327 3 года назад +1

    Amen ubarikiwe sana Mchungaji, nimebarikiwa

  • @annamwaipopo9485
    @annamwaipopo9485 3 года назад +2

    Nabarikiwa nikiwa check Republic

  • @yahayatuly627
    @yahayatuly627 3 года назад +3

    Ilikuwa ibada ya tofauti sana hii

  • @keziaranga6329
    @keziaranga6329 3 года назад +3

    Nabarikiwa nikiwa Australia, Bwana akubariki baba mchungaji

    • @evangelistkelvinjohn630
      @evangelistkelvinjohn630 3 года назад +1

      Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu# Naomba nipate Neema ya kuja kukutana na wewe live.

    • @isayamalale9833
      @isayamalale9833 3 года назад

      Nabarikiwa sana Baba mchungaji nikiwa tag busenda

  • @pastorimaniboaz5081
    @pastorimaniboaz5081 2 года назад

    Mungu akubariki baba yangu

  • @festaaroni1736
    @festaaroni1736 3 года назад +1

    Ameni

  • @godywiseman4982
    @godywiseman4982 3 года назад +3

    Naomba namba ya simu, Hapo Mchungaji Magembe

    • @elizabethmushi8524
      @elizabethmushi8524 3 года назад

      Tunaomba namba ya Mchungaj Moses magembe mwenye nayo atusaidiee Mimi mwenyew nahitaji pls

  • @laurentemmanuel2242
    @laurentemmanuel2242 3 года назад +1

    🙏

  • @ngox100
    @ngox100 3 года назад +1

    Mchungaji ratiba ya ibada ikoje kwa wiki nzima. Nahitaji nije kupata sala ya toba toka kwako.

    • @Ede184
      @Ede184 3 года назад

      Nabarikiwa nikiwa Kigali Rwanda.
      Mungu azidi kumpaka mafuta Mchunga Moses M.
      Rev Claude.

  • @francisthoya8972
    @francisthoya8972 2 года назад

    Kwa njia ya RUclips nabarikiwa nikiwa malindi kenya

  • @erickswai440
    @erickswai440 3 года назад +1

    kwakweli baba Mungu azidi kukutumia kwa viwango ivyo ili na kwa sisi tunao penda huduma hiyo Mungu ajitwalie na wakuvaa kiatu chako kwakweli