Mch Moses Magembe - UAMSHO NA MATENGENEZO | KONGAMANO LA KRISMASI 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 63

  • @jesusnetworkministry
    @jesusnetworkministry 20 дней назад +12

    Babu Yangu Mungu ni mkuu nakwambia tupo wajukuu na watoto zako wakereketwa GOSPLE CAMPAIGN 2025 🎉🎉🎉🎉

  • @staphordsanga2436
    @staphordsanga2436 20 дней назад +3

    Mungu akutangulie mzee wetu, kazi ya Mungu isongembele

  • @IsayaSchone-kt7uq
    @IsayaSchone-kt7uq 20 дней назад +3

    Mungu akutunzee..namshukuru Mungu kuwa kijana na kukuta mzee wa imanii yupo najua ndo kunapambazuka ..yaani mm ni mkereketwa hamna mfanoo

  • @godbariki3666
    @godbariki3666 20 дней назад +2

    Mtumishi wa Mungu Moses Magembe Mungu akubariki sana kwakutoinea haya Injili ya kweli iletayo wokovu ktk maisha ya mwanadamu na ole wao wanaokuchukia kwa sababu ya kuhubiri uamsho na kuikeme dhambi bila kumung'unya maneno tupo pamoja na wewe sisi tunao ipenda injili ya kweli na kuichukia dhambi tunataka kwenda mbinguni hatutaki kwenda jehanamu

  • @PatrickGeraldi-wd1er
    @PatrickGeraldi-wd1er 19 дней назад

    Mpaka kazi ya mungu wetu ikamilike.mungu wetu akutie nguvu utufikishe alipokusudia kutuweka.Amina.

  • @RobertSilington
    @RobertSilington 20 дней назад +3

    Balikiwa sanaa mtumishi wa BWANA Kwa kuihubili injili kweli MUNGU akutie nguvu mzee🙏🙏🙏

  • @HelmenegildaManyara
    @HelmenegildaManyara 20 дней назад +3

    Mungu yuko nawe baba,hakika timiza kusudi la Bwana alilokupa bila wasiwasi wala mashaka

  • @MarthaSulle-tt8ew
    @MarthaSulle-tt8ew 20 дней назад +2

    Babaangu shujaa wa injili Mungu akulinde siku zote,

  • @FredyMakota
    @FredyMakota 20 дней назад +3

    Nafurahia sana hili somo ,Mungu akubarik pastor🤝🤝

  • @DionizyDidas
    @DionizyDidas 20 дней назад +4

    Mungu akutunze mzee wangu Mimi kibinafsi ni miongoni walionufaika na huduma yako,Yesu akuonekanie

  • @UpendoNgitiri
    @UpendoNgitiri 20 дней назад +2

    Hakika wewe umeletwa duniani kwa makusudi maalum.! Mafundisho mazuri sana. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @mtumejosephgoliama6159
    @mtumejosephgoliama6159 20 дней назад +2

    Baba moyo wako wa kumpenda Mungu ndio unaotufanya vijana wako kujivunia wewe. Songa mbele fanya kazi ya Mungu tupo pamoja nawewe

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 20 дней назад +4

    Magembe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mafundisho yenye uzima yasiyoghoshiwa

  • @AloyceJames-e3g
    @AloyceJames-e3g 20 дней назад +3

    Mungu atimize kazi aliyoanzisha moyoni mwako amen

  • @alphonsinemauwa
    @alphonsinemauwa 20 дней назад +4

    Mungu Akubariki na Akulinde tunakuombea baba mtu aliye nyikani tunakuombea.

    • @alphonsinemauwa
      @alphonsinemauwa 20 дней назад

      Wewe ni sauti ya mtu aliyaye nyikani Mungu Akupe uhodari na moyo mkuu.

    • @mlowegb4097
      @mlowegb4097 20 дней назад

      Bwana Yesu asifiwe Wana na Binti wa Mungu.......! Hongera sana Mchungaji Moses Magembe kwa kujitenga kwaajili ya Injili ya Uamsho..... Sasa sisitiza watu kuishi Maisha Matakatifu Sawa Sawa na NENO.... Naona Waumini wako Wanasuka, Biblia imekataza Kusuka...... Naona unashabikia Krismasi..... Krismasi haija andikwa kwenye Biblia..... FUNDISHA UTAKATIFU... WATU WASISUKE, WASIWEKE DAWA NYWELE (KUKALIKITI), KUVAA HELENI, KUPAKA RANGI KUCHA NA MIDOMO n.K.
      Hongera kwa Fundisho la UJAZO WA ROHO MTAKATIFU..... YAANI HILI NDIO LA MUHIMU KULIKO YOTE...... WATU WAISHI KWA KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU...... Fursa hii ya Kujitenga na TAG Itumie vyema kuhubiri Utakatifu.
      Zidi kubarikiwa na Bwana Yesu Mchungaji Magembe, Amen.

  • @esther9892
    @esther9892 20 дней назад +2

    Amen amen hallelujah, asante Mungu kwa Neno lako, umubariki mutumishi wako 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🔥🔥🔥🔥

  • @Zabronmwakaniemba
    @Zabronmwakaniemba 20 дней назад +1

    Mwana UAMSHO MOSES MAGEMBE NAKUONA KAMA MOSES KULOLA🎉🎉🎉 NAPENDA INJILI YAKO YA MATENGENEZO

  • @VeronikaMaria-j5d
    @VeronikaMaria-j5d 20 дней назад +2

    Polesana baba Mugu akuti yeguvu

  • @JacksonRamadhanMchakila
    @JacksonRamadhanMchakila 20 дней назад +6

    Mzee natamani uje kigoma mjini ufungue hata tawi kabisaa aisee

  • @devothawnchilaus9378
    @devothawnchilaus9378 20 дней назад +1

    Asante kwa yesu naomba sana ukuongeze nguvu

  • @HumphreyNgunda
    @HumphreyNgunda 20 дней назад +1

    Mungu akusaidie tuendelee mbele jipe moyo mkuu na uwe hodari.Tunahitaji injiliyako ktk nyakati hizi haupo peke yako

  • @johnsebastian-bx6qn
    @johnsebastian-bx6qn 20 дней назад

    Songa mbele baba songa mbele usiogope Mungu unaemtumikia hakika huko pamoja nawe

  • @luciamajula4719
    @luciamajula4719 20 дней назад

    Tupo pamoja baba nakuombea na Mungu yupo pamoja nawe

  • @MerryMussa-y2v
    @MerryMussa-y2v 20 дней назад +2

    Mungu akutunze wewe ni tunu baba hakika soma joshua 1,5_9

  • @JaysonJoseph-n9t
    @JaysonJoseph-n9t 20 дней назад

    Mungu akubariki baba kwa kusimamia ukweli tunahitaji kweli ya Mungu isemwe na watu kama wewe, hatuhitaji siasa makanisani

  • @DaudiKasubi
    @DaudiKasubi 20 дней назад +2

    Somo zuri sana ❤

  • @ezekiele-m8g
    @ezekiele-m8g 20 дней назад +1

    Amen Amen Amen Amen eeeeeéeee YESU KRISTO akubariki.

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 20 дней назад

    Amina baba yetu, Mungu wetu tunamuomba azidi sana sana sana kukutunza mno

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 20 дней назад +3

    Uwe na moyo mkuu baba tunakuhitaji sana sana

  • @WinfridaCosmas-g8b
    @WinfridaCosmas-g8b 20 дней назад

    Lazima uamusho utembee Asante Yesu kwa kutuinulia Tena Mbeba mono,

  • @ApostleGr
    @ApostleGr 20 дней назад +2

    Kazi imeeanzaa 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FarijiEdson
    @FarijiEdson 20 дней назад +1

    Stay blessed
    Moses Magembe kuyataka matendo makuu ya Bwana Mungu
    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @GraceJepkoech-v2r
    @GraceJepkoech-v2r 20 дней назад +1

    Kwa mafundisho yako Mtumishi wa Mungu ..yamenisaidia mm...nakufuatilia mtandaoni

  • @Morrisfamily-v2j
    @Morrisfamily-v2j 20 дней назад +1

    Mungu mzima yupo nawe baba

  • @SamwelSadock
    @SamwelSadock 20 дней назад

    Tuko pamoja mzee wangu Mungu awe pamoja na hauko peke ysko tuko pamoja

  • @GERALDHAMBAGELE
    @GERALDHAMBAGELE 20 дней назад +1

    Amina , tuko pamoja . Na enjoy nikiwa Kahama.

  • @Amosbenard6321
    @Amosbenard6321 20 дней назад +1

    Babaangu huo ni Uchungu wa Kuzaa Uamsho tuko Pamoja mzee wangu

  • @Chungana
    @Chungana 20 дней назад +1

    Uamsho🎉🎉

  • @EdisaZesane
    @EdisaZesane 20 дней назад +1

    Mungu akutunze baba tunakupenda sana

  • @aimen5584
    @aimen5584 20 дней назад

    Amém ❤

  • @MAGESAMAGESA-b7s
    @MAGESAMAGESA-b7s 20 дней назад

    Mungu akupiganie sana

  • @stevenkayuni767
    @stevenkayuni767 20 дней назад +1

    Baba mm mjukuuu wako tuko pamoja

  • @michaelemanuelsulle3155
    @michaelemanuelsulle3155 20 дней назад +4

    MUNGU YUPO UPANDE WA HUYU MZEE TENA YUPO PAMOJA NAYE...NIAMINI MIMI.

  • @gaudencenkwera1040
    @gaudencenkwera1040 20 дней назад +2

    Tuko pamoja Baba

  • @NuruYaBWANA-z7q
    @NuruYaBWANA-z7q 20 дней назад

    Nime balikiwa sana mtumishi wa MUNGU na MUNGU akutuze ili tuzidi kukua kiroho.

  • @Barikimgalla-u9i
    @Barikimgalla-u9i 20 дней назад +1

    Ameni BABA.

  • @ApostleGr
    @ApostleGr 20 дней назад +1

    Amina Baba

  • @EliaKwandaja
    @EliaKwandaja 20 дней назад +1

    Amina

  • @amoss.tz1
    @amoss.tz1 20 дней назад +1

    Amen

  • @JENIPHAIBRAHIM
    @JENIPHAIBRAHIM 19 дней назад

    Kanisa lipo wap mch

  • @RobertSilington
    @RobertSilington 20 дней назад +2

    Samahani wapendwa katika kristo naomba kuuliza kuhusu krismas ipoje maana huku kwetu migongano ni mingi wengine wanasema ni upagani wengine yesu alizaliwa ? Mwenye majibu kamili jamani?

    • @ombenisomi2210
      @ombenisomi2210 20 дней назад +2

      Christmas sio upagani mwana wa Mungu, maana husherehekei siku kwa maana ya tarehe ila mkristo husherehekea na kuadhimisha kuzaliwa kwa Kristo Yesu ambaye ndiye msingi na jiwe kuu la imani yetu.
      Adhimisha kwa amani sana, hakuna upagani. Ni kweli hakuna tarehe na mwezi halisi wa kuzaliwa Yesu ila hatuadhimishi tarehe ya Yesu ila tunaadhimisha kuzaliwa kwake na tungeweza kuadhimisha siku yoyote ya mwaka na isiwe shida maana si agizo la kibiblia kusherehekea na biblia haijakataza kusherehekea.

    • @RobertSilington
      @RobertSilington 19 дней назад

      @@ombenisomi2210 nashukuru sana mjumbe wa kristo

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 20 дней назад +1

    Mimi napenda kujuwa kanisa lililokufa ni TAG au maana kibiblia kanisa inajumuisha madhehebu yote na hivyo ili uamsho wa kimatengenezo ni lazima kuwe na toba ya kweli pasipo maneno mengine.

    • @dadamuebrania1539
      @dadamuebrania1539 20 дней назад

      Kanisa ni mwili wa Kristo mzee ndilo analoliombolezea,😢 ila inaonyesha TAG siyo sehemu ya mwili wa Kristo maana wamesema wao hawajafa, 😂

    • @revojomo
      @revojomo 20 дней назад +1

      Ni makanisa yote yamekufa yakiongozwa na lakwako unalosali , yote yapo ICU

    • @Amosbenard6321
      @Amosbenard6321 20 дней назад

      Kufa kwa Kanisa ni kuanzia Upentekoste na dini zote sio TAG peke yake mbona maswali mengi ? Wewe ni dhehebu gani?

  • @johnsebastian-bx6qn
    @johnsebastian-bx6qn 20 дней назад +1

    Amina baba

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 20 дней назад +1

    Amina

  • @officialeliudcharles3817
    @officialeliudcharles3817 20 дней назад +1

    Amen

  • @SimonMakata-y7x
    @SimonMakata-y7x 20 дней назад +1

    Amina.