Mch Moses Magembe - UAMSHO KABLA YA KUZALIWA MASIHI | KONGAMANO LA KRISMASI 2024 SIKU YA 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 25

  • @FaithMwango-k9g
    @FaithMwango-k9g 20 дней назад

    Amen Nabarikiwa kutoka Kenya

  • @kconnect27
    @kconnect27 20 дней назад

    Watu wa Mungu rekebisheni mfumo wa sauti, kuna changamoto sana namna ya usikivu. Mbarikiwe!

  • @REVGODFREYMUSTAFA
    @REVGODFREYMUSTAFA 20 дней назад +1

    Nafuatilia,, Nabarikiwa,, kutoka drc congo,, Bwana AWABARIKI

  • @GozbertMjuni
    @GozbertMjuni 20 дней назад

    Baba mungu akujalie ekima

  • @nickmpanzi
    @nickmpanzi 20 дней назад

    Kwamafundisho yaha hatamiminaona kanisa limekufa, linahitaji uamsho.

  • @nkhomagodfrey4789
    @nkhomagodfrey4789 20 дней назад

    Amen

  • @zephaniahnkombe1607
    @zephaniahnkombe1607 20 дней назад

    Mungu yuko upande wako tunabarikiwa na mafundisho

  • @UriaMgeyekwa
    @UriaMgeyekwa 20 дней назад

    Mungu yupo pamoja nawe baba tupo nyuma yako

  • @eliasmayila1236
    @eliasmayila1236 20 дней назад

    Haleluya

  • @HarryMbale-t5y
    @HarryMbale-t5y 20 дней назад

    Baba mchungaj Magembe MUNGU aliehai akuongeze maarifa

  • @staphordsanga2436
    @staphordsanga2436 20 дней назад

    Mungu akutie nguvu baba , kazi ya Mungu isonge mbele

  • @RosemerryMshana-e9s
    @RosemerryMshana-e9s 20 дней назад

    Namuona Yesu kwenye huduma,yako baba yangu Yesu azidi kuikuza huduma yako Mchungaji paka mataifa washangae.

  • @LainessKalolo
    @LainessKalolo 20 дней назад

    Mungu azid kukutumia Kwa viwango vyake. We love you dady ❤

  • @UriaMgeyekwa
    @UriaMgeyekwa 20 дней назад

    Amina baba 4

  • @imaniedward-dm5uw
    @imaniedward-dm5uw 20 дней назад +1

    Mafundisho mazuri

  • @alphonsinemauwa
    @alphonsinemauwa 20 дней назад

    Mungu Akutiye nguvu baba yetu

  • @DanielPesambil
    @DanielPesambil 20 дней назад

    MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI,, HAKIKA HAWA NDIO MAFUNDISHO YANAYOTAKIWA KIPINDI HIKI CHA UTANDAWAZI

  • @alphonsinemauwa
    @alphonsinemauwa 20 дней назад

    Mungu Akubariki

  • @nkhomagodfrey4789
    @nkhomagodfrey4789 20 дней назад

    Nimeidaka hii, kanisa haliwezi kutubu pasipo viongozi kutubu Kuna namna viongozi wetu wanatuchezea kamchezo

  • @erastonyakwaka8290
    @erastonyakwaka8290 20 дней назад

    Pliz Mike tengenezeni fundi wa mtambo.plz.

  • @AlexJulius-d3x
    @AlexJulius-d3x 19 дней назад

    Nitumie namba ya simu baba magembe

  • @joshuangazi
    @joshuangazi 20 дней назад

    Aimen

  • @WinfridaCosmas-g8b
    @WinfridaCosmas-g8b 17 дней назад

    Kanisa lipo kinyerezi kama unaelekea majumba kituo kina itwa. Miembeni,

  • @JENIPHAIBRAHIM
    @JENIPHAIBRAHIM 20 дней назад

    Kanisa lipi wap