NENO LA SIKU | Marko 1 | Maombi Ya Kufungua Mbingu | Isaac Javan

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Leo tunaanza kusoma kitabu cha Marko, na tunaenda kufanya maombi ya kufungua mbingu katika ulimwengu wa roho. Lengo la maombi ya siku ya leo ni kuondoa vikwazo na vizuizi vinavyozuia maombi na majibu ya maombi yetu.
    Inawezekana ukafanya maombi na Mungu akakujibu, lakini majibu yako yakazuiliwa katika ulimwengu wa roho. Lakini pia inawezekana ukafanya maombi kwa imani, lakini maombi yako yakazuiliwa yasifike kwa Mungu.
    Na siku ya leo tunaenda kuvunja huo upinzani, ili tuweze kuwa na ushindi katika maombi yetu. Kwa hiyo tutakapokuwa tunaomba, omba kwa imani, lakini pia tumia mamlaka uliyopewa na uhakikishe unapata ushindi.
    Nami nakuombea ili YESU akufungue na akuondolee vizuizi vinavyosimama kinyume na maisha yako katika ulimwengu wa roho. Nakuombea kuanzia siku ya leo uanze kuona wepesi kwenye maombi yako na YESU akupe haja za moyo wako. Mungu akubariki sana na kukutunza daima. Amen
    Isaac Javan | +255 745 76 545 72

Комментарии • 54

  • @Trizsal
    @Trizsal 10 месяцев назад

    Nashuru sana kwa neno na maombi mungu akubatiki sana

  • @DamarisErick
    @DamarisErick 10 месяцев назад +1

    Amen sana ,God bless you servant of God, may God take you far and meet your dreams for being so blessing in my life Amen.

  • @philipomwoyo4765
    @philipomwoyo4765 10 месяцев назад +3

    Mungu akuzidishie kibali cha kutulisha Neno plus maombi🙏🙏.Katika jina la Yesu nafungua mbingu ya majibu ya uponyaji na amani kwenye miguu yangu Amen.

  • @joycemkumbwa9550
    @joycemkumbwa9550 4 месяца назад

    Ameen Mungu zangu zimefunguliwa kwa Jina la Yesu nimepokea majibu yamaombi yangu

  • @NasriHasan-tv7vy
    @NasriHasan-tv7vy 9 месяцев назад

    Amen naamini kwakupitia neno la siku marko 1 mungu amenifungua kila mbingu yangu ilio fungwa kwa jina la yesu ubarikiwe sana mtumishi kwa maombi yako

  • @ChantalSebutiri
    @ChantalSebutiri 9 месяцев назад

    Ubarikiwe na bwana akujaze nguvu 🎉🎉🎉🎉

  • @ZawadiNadia
    @ZawadiNadia 10 месяцев назад

    Amena amena amazing ❤❤❤❤❤

  • @jeannentaho8002
    @jeannentaho8002 4 месяца назад

    Amène Amène ubarikiwe sana nawe piya mutumishi wa bwana mungu .ariye keti katika kiti ça enzi

  • @BRACEDESPamela
    @BRACEDESPamela 10 месяцев назад

    Amen Amen Asante mutumishi wa mungu ubarikiwe Sana mutumishi

  • @NatashaCharles-gv3qb
    @NatashaCharles-gv3qb 5 месяцев назад

    Amen mbingu zifunguke kwa jina la Yesu

  • @CarolyneNerima
    @CarolyneNerima 10 месяцев назад

    Amen barikiwa sana mtumishi 🙏🙏

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 10 месяцев назад

    Amen And Amen baba Mungu azidi sana kukuinua kwa ajili yake ili watu wote Tumjue Mungu na tumtafute nikweli
    Ulimwengu wetu wa Roho hufungwa na Adui asante kwakutufundisha
    Mungu akutunze nakukubariki na kuku Tunza Barikiwa sana

  • @carolynendossi1594
    @carolynendossi1594 10 месяцев назад

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu aliye Hai

  • @EmelineEben
    @EmelineEben 10 месяцев назад

    Amen. Ahsante YESU

  • @wivinendege
    @wivinendege 10 месяцев назад +1

    YESU Kristo wewe Ni Bwana Nakupenda kutoka ndani ya vilindi ya moyo Wangu na Amini upo nasi Wa sikiya maombi Yetu . Amina Ubarikiwe milele Babangu Wewe ni Bwana YESU ❤ Bonne fête de Pâques 🐣

  • @mkailivin4050
    @mkailivin4050 10 месяцев назад

    Amen barikiwa sana baba

  • @GetrudeKimage
    @GetrudeKimage 4 месяца назад

    Aminaa mungu akubaliki baba

  • @PamelaGodfrey-q9b
    @PamelaGodfrey-q9b 10 месяцев назад

    Amina

  • @EsperanceNsabimana
    @EsperanceNsabimana 10 месяцев назад

    Amen, Amen, Mungu akubariki

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 9 месяцев назад

    Bwana Yesu Asifiwe nikweli kabisambingu zinafungwa maana tunaomba sana kumbe adui anatufungia tusipokee majibu ya maombi yetu Yesu tusaidie sana
    Mtumishi endelea kutupa Madini ambayo hatujawahi kuyapata
    Mungu akutunze sana sana

  • @ezequiaadamomuanzanzo4966
    @ezequiaadamomuanzanzo4966 10 месяцев назад

    Amém amém amém ,
    Amém amém..

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 9 месяцев назад

    ❤❤❤ameni jimebarikiwa

  • @ZawadiNadia
    @ZawadiNadia 10 месяцев назад

    Mungu akubariki sana ❤

  • @marlineelipid5952
    @marlineelipid5952 10 месяцев назад

    Amen barikiwa

  • @francoisealimasi3999
    @francoisealimasi3999 10 месяцев назад

    Amen mchungaji, nashukuru.

  • @AliceKumbisya
    @AliceKumbisya 8 месяцев назад

    Amen 🙏🙏🙏

  • @TheAngelofGod-b1q
    @TheAngelofGod-b1q 5 месяцев назад

    Amen Alleluia

  • @MarykarisaKarisa
    @MarykarisaKarisa 2 месяца назад

    Amen

  • @GetrudeKimage
    @GetrudeKimage 4 месяца назад

    Aminaaaa baba

  • @GetrudeKimage
    @GetrudeKimage 4 месяца назад

    Asante baba mungu akubaliki

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 Месяц назад

    🎉🎉

  • @victoriaaman6628
    @victoriaaman6628 10 месяцев назад

    Amen Mtumishi

  • @bonamichael7696
    @bonamichael7696 10 месяцев назад

    Amen mt

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 3 месяца назад

    Amins

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 10 месяцев назад

    Amen Amen

  • @ElminahMkambura
    @ElminahMkambura 10 месяцев назад

    Erimina😢❤

  • @RuthGeoffrey
    @RuthGeoffrey 10 месяцев назад

    Ameen Mtumishi.

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 10 месяцев назад

    Ameen

  • @WinfridaMsemwa
    @WinfridaMsemwa 10 месяцев назад

    Ameeen

  • @FloraFifi-c2u
    @FloraFifi-c2u 10 месяцев назад

    Amen Amen Amen Asante Yesu. Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @NeemaaliceK2546
    @NeemaaliceK2546 10 месяцев назад

    Asante Mungu Kwa kuniondolea na kutoa Kila kizuizu kilichokuwa kinakwamisha majibu ya maombi yangu, ubarikiwe mtumishi wa Mungu, Tena samahani mtumishi hiki kitabu Cha pili ilikuwa ni kumbukumbu la torati 28:23 , Shalom

  • @ZawadiNadia
    @ZawadiNadia 10 месяцев назад

    🙏🙏

  • @NemaKazungu-p6s
    @NemaKazungu-p6s 10 месяцев назад

    Amen

  • @serinaserina9639
    @serinaserina9639 10 месяцев назад

    Ameen Ameen baba

  • @ElminahMkambura
    @ElminahMkambura 10 месяцев назад

    10:16 10:18

  • @Eunice254-o7x
    @Eunice254-o7x 10 месяцев назад

    Poster tulitee maombi ya mchana

  • @RachelRamadhn-k1w
    @RachelRamadhn-k1w 3 месяца назад

    Amen amen

  • @clarasima5447
    @clarasima5447 10 месяцев назад

    Amen Mtumishi

  • @lennyfrank
    @lennyfrank 9 месяцев назад

    Ameen Ameen

  • @IreneMtoto-un5lg
    @IreneMtoto-un5lg 10 месяцев назад

    Amen

  • @Africanah100
    @Africanah100 10 месяцев назад

    Amen

  • @praiseangela6422
    @praiseangela6422 10 месяцев назад

    Amen

  • @DinahDina-sf8qr
    @DinahDina-sf8qr 10 месяцев назад

    Amen