MUUZA VITUMBUA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 676

  • @elizabethkahiga1975
    @elizabethkahiga1975 3 года назад +93

    Hili ni somo lizuri sana,heri wamtumainio bwana...joti u are talented big u from 🇰🇪

  • @starridge3615
    @starridge3615 3 года назад +31

    Nipeni like from Kenya

  • @mojaone_
    @mojaone_ 3 года назад +512

    Leo sikubali naomba Team Joti wote mnipe hayo ma like Yenu 😀😁😁

  • @jumakibula4851
    @jumakibula4851 3 года назад +16

    Joti wewe ni Khatari sana , Best comedian forever baada ya Mzee Majuto wewe ndo mrithi wake

    • @claudypower1597
      @claudypower1597 3 года назад +1

      Fire ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html

  • @AyushAli-gv1yl
    @AyushAli-gv1yl 3 года назад +44

    Joti amecheza km kichekesho lkn hili nifunzo kubwa kwetu sis sababu haya mambo yapo katika uhalisia wa maisha tunapaswa tujifunze na kuweka matumaini makubwa kw mungu haya mambo yanatokea sehemu nyingi sana za kutafta rizk Allah atustir na maovu ya waja wake

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 3 года назад +8

    Yani nimecheka sana joti we kweli legend 😀😀😀. Ni fundisho kwa kina mama wauza biashara Kama izo. Mwamini mungu kwa kila Jambo.

  • @hemedshughuli7145
    @hemedshughuli7145 3 года назад +7

    Kila ijumaa hua nasubiria notification ya joti TV mbona msinipee likes kama diehard fan

  • @hapinesphilimon8127
    @hapinesphilimon8127 3 года назад +1

    Mungu ndo kila kitu ili ni funzo unaweza loga sana lakn mungu akishambaliki mungu kambaliki

  • @jackrineogcomedy
    @jackrineogcomedy 3 года назад +38

    🤣🤣🤣🤣 kweli Mungu ni kila kitu asantee kwa funzo joti🙏

    • @claudypower1597
      @claudypower1597 3 года назад +2

      Fire ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html

    • @winifridarichard1080
      @winifridarichard1080 3 года назад

      Tazama hii pia: ruclips.net/video/tL6w0XWxl4o/видео.html

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by 3 месяца назад +1

    Wadada wanaoigiza na kiboga wana moyo jamani me ningekua nacheka balaa😂😂😂😂😂

  • @mnpumbulyanasoni7357
    @mnpumbulyanasoni7357 3 года назад +1

    Kiboga mungu akubariki tukiona video yako tunasahau hasira

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 3 года назад +8

    Nimeviunga Kwa mafuta ya alizeti😂😂😂

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 3 года назад +3

    Wa tatu kwakweli 😀😀😋😋😋

  • @neemaabeid6861
    @neemaabeid6861 3 года назад +2

    Wamtumainio bwana nikama mlima sayuni hawatatikisika milele daima anakumbuka pambio hilo Sunday school miaka ya 1996

  • @husseinhaji8459
    @husseinhaji8459 3 года назад +6

    😁😁Joti Anapewa salamu Tuu Jamaniii 😁😁😁😁

  • @babab1227
    @babab1227 3 года назад +17

    Siku yangu imeisha hvyo Sina stress kabca 😂😂🤝

  • @standalphone2445
    @standalphone2445 3 года назад +4

    Vitumbua kwa kuumbua, biashara ngumu sana,, wapika vitumbua huwa sina imani nao 😂😂😂

  • @bobwhite9252
    @bobwhite9252 3 года назад +4

    Ila joti anajua jaman...daaah...huyu jamaa hachuji maanina...hii peleka dstv hii kaka...

  • @ernestsinje8693
    @ernestsinje8693 3 года назад +2

    We joti mjinga kweli yaani.....hahahahhahhahhahahahhah.......

  • @beesmarttv3792
    @beesmarttv3792 3 года назад +1

    Mh😆😆 kuroga kote huko duh kiboga nikusalimiwa tu😃😃😃

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 3 года назад +4

    Kama nyinyi mnafanya usiku Mimi nafanya mchana kweupeeeee 😂😂
    Tusipangiane

  • @christinapeter7131
    @christinapeter7131 6 месяцев назад

    Kweli kiboga naye kazaliwa na wazazi wake hongera sana. Walokaa 😮😮

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 3 года назад +6

    Naona yeye anaishia kupata salamu tu na siyo hela😂😂😂😂🤣🤣🤣

  • @chebetkipchoge8162
    @chebetkipchoge8162 3 года назад +1

    Jotii nakubali keep on shining unakipaji ulichobarikiwa nacho

  • @joycesengo3976
    @joycesengo3976 3 года назад +1

    Vitumbua haviliwi salam tu kiboga umechunda😆😆😆

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 3 года назад +1

    Jamaniii ndugu zangu mwezunu mecheka mpka mevunja iphone yangu jamaniiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @yusufmohamed8428
    @yusufmohamed8428 3 года назад +2

    aii zuu unafanya nni huku tumekumiss kwa mr bigi bigi

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 года назад +9

    🤣🤣🤣Kiboga kamloga lakini biashala ngumu 🙌

  • @dianacharlie5283
    @dianacharlie5283 3 года назад +30

    You never disappoints much love from ,+254😘😘😘

    • @claudypower1597
      @claudypower1597 3 года назад +1

      Fire ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html

  • @zebedeemirambi3113
    @zebedeemirambi3113 3 года назад +5

    Somo kubwa hili kwa wale wanao roga juu wa fanyikiwe, Mungu njo mukubwa, stay trust God wherever you are🙌💕❤❤💕💕🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @fadyanassor6934
    @fadyanassor6934 3 года назад +7

    best content always...😍

  • @everylinesitima2729
    @everylinesitima2729 3 года назад +1

    Hakika hii movie inafundisha kweli kweli mungu ndio mwenye riziki

  • @evanchimbi7121
    @evanchimbi7121 3 года назад +5

    Nakupenda Kaka joti 🥰🥰🥰

  • @lemmywanjeh4366
    @lemmywanjeh4366 3 года назад +5

    Nishaiii.......One Love from +254

  • @ahmadsaid4878
    @ahmadsaid4878 3 года назад +3

    😂😂😂😂😂biashara ngum sana ila sio kucheka tu hio ndo hali harisi ya mtaani ukitaka kujua hayo yakwel nenda kariakoo,mbagala,gongo lq mboto,ilala,kigambon na makumbusho 😂 utajua ujui

  • @binttsulu647
    @binttsulu647 3 года назад

    Kazi safi bro kiboga🤗🤗😃

  • @emilykadogo8931
    @emilykadogo8931 3 года назад +13

    Jamani kiboga we mwisho 😂😂😂from Egypt

  • @fadhilimussa5067
    @fadhilimussa5067 3 года назад

    Ahaaaaahahaha nmechekaa mpakaa bc alipo buruzaa delaa

  • @alimuchiri5477
    @alimuchiri5477 3 года назад +8

    Content ya Leo..safi sanaaa ..

  • @PabloEscobar-wt1fq
    @PabloEscobar-wt1fq 3 года назад +31

    Joti ur really crazy🤣🤣🤣🤣🤣

  • @leilafsadickfsadick5471
    @leilafsadickfsadick5471 3 года назад +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mganga mwenyewe ana mdai 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 года назад +1

    Nimekumbukaa likoni ferry ndo huwa mwazo mwisho vitumbua samaki kilamtu wavutia kwake

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 3 года назад +6

    😂😂😂😂😂😂 vitumbua vitumbua kama vitumbua😂

  • @ammymungi2816
    @ammymungi2816 3 года назад +4

    Kuomba chenji tu ndo keshakuwa mchawi 😂

  • @pakashume725
    @pakashume725 6 месяцев назад

    You are best comedian kiboga😅😅

  • @nelsonzakayo496
    @nelsonzakayo496 3 года назад +1

    Kama nyie mnayajua ya hivi mi nayakua ya hivi.🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @veronicasanga2126
    @veronicasanga2126 3 года назад +1

    Jinsi gani waganga wanavyopotosha . kwann ucmtumainie Mungu tu

  • @subiraboi9397
    @subiraboi9397 3 года назад +3

    😂😂😂Nazi nzurii kuziharibu kiboga nawe

  • @veronicakalondji2375
    @veronicakalondji2375 3 года назад +15

    Much love joti 😂😆

    • @claudypower1597
      @claudypower1597 3 года назад +1

      Fire ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html

  • @munnahsaid7329
    @munnahsaid7329 3 года назад +1

    Kiboga jmni....wvunja nazi hadharani🤪🤣🤣🤣🤣

  • @vascoisry35
    @vascoisry35 3 года назад +17

    Much love bro

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 3 года назад +1

      8:42 ruclips.net/video/ObkUUy3PWpw/видео.html

  • @irenegilbert6738
    @irenegilbert6738 3 года назад +3

    Joti nakupenda Sana ❤️

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 Месяц назад

    Joti mzee magoma umemtoa wapi hhhhhh😂😂

  • @nassoroigalawa5329
    @nassoroigalawa5329 3 года назад

    Dah! Kiboga umeniacha hoi leoo

  • @theresiamsangawale8255
    @theresiamsangawale8255 3 года назад

    Hv huyu Kaka anantafuta nn mm🤣🤣🤣🤣ndo ukome kurogaaa🤣🤣

  • @mchemargaret3500
    @mchemargaret3500 3 года назад +1

    Mi nipo vitumbua pia vpoo😂😂😂😂

  • @saleemmussah
    @saleemmussah 3 года назад

    Hahah uyo sio mgangaa ww mganga mungu peke akeee😁😄

  • @russianboy3141
    @russianboy3141 3 года назад +10

    Ur genius broh

  • @maryamkhamsji
    @maryamkhamsji Год назад

    Wangampi tumecheka kwa sauti😂😂😂

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 3 года назад

    Mafunzo makuu kwa wanaoamini ushirikina. Tumwamini Mungu riziki yatoka kwake.

  • @yonayoh3736
    @yonayoh3736 3 года назад +7

    Kiboga umelala yooo 🤣🤣🤣🤣

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 года назад +2

    Ila jot ukiigza hivi mwanamke ndo nakupendaga

  • @aysherkitoi6547
    @aysherkitoi6547 3 года назад +4

    Na kuvunja nazi kote kumbe kafanya bahati kwa wenzie binadamu muamini mwenyezi mungu uchawi hauna faida

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 3 года назад

    😂😂😂 waganga wa kienyeji MUNGU anawaona na kuvunja kote nazi lakini hola

  • @husseinbenitho7379
    @husseinbenitho7379 3 года назад +2

    Uyo dada mbona kama wa kwa mr big au nimemfananisha

  • @francesmpangwa8801
    @francesmpangwa8801 3 года назад

    Kuna bro naona kajirudia marambili kabadirisha shati

  • @eastcuisines124
    @eastcuisines124 3 года назад +1

    😄😄😄jamani nimecheka hadi nimepaliwa joti 🙌🏾

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 3 года назад +1

    Msanii wa BigBig huku sasa ndo sehemu sahihi siyo kule ulikokuwa kila siku maigizo ya aina moja tuu, Kuzagamuana.

    • @tugabiz4286
      @tugabiz4286 3 года назад

      Maudhui ya ngono tu kila siku 🤣🤣🤣

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 3 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂kiboga jmn daah 🤔🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dottoalex514
    @dottoalex514 3 года назад +35

    Best comedian of all time

  • @priscasingore9485
    @priscasingore9485 3 года назад

    Joti unaweza. Funzo zuri

  • @neemadangote4061
    @neemadangote4061 3 года назад

    Zuu chilk vip kaama kwa mr big big

  • @nabiimuimbaji
    @nabiimuimbaji 3 года назад +2

    Iyo dawa inaanza kaz masaa24 ilikua bado 🤣🤣🤣🤣

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 года назад +1

    Broh Jot unajua

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 года назад +1

    Na nnavyopenda vitumbua kibogo mimi hata usingeniroga... Navinunua vyote... 😁

  • @ChristinaMushi-t1w
    @ChristinaMushi-t1w 7 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 tumuogope Mungu jmn 🙌

  • @veronicasulle1849
    @veronicasulle1849 3 года назад +1

    Hahhahaha joti hatari hauna mpinzani hakika

  • @abzuckyree9346
    @abzuckyree9346 3 года назад +2

    Mchawi hatoki mbaaaaali😁😁😁😁😁

  • @maulidnjokamtaly5184
    @maulidnjokamtaly5184 3 года назад +6

    Kazi nzuriii

  • @dennissambu5237
    @dennissambu5237 3 года назад +2

    🤣🤣🤣 much love from +254 eti sina pesa nimevaa dera

  • @davianofficial6972
    @davianofficial6972 2 года назад

    Hahahahahhahahah dah nimecheka kwa sautiiii na ni usiku

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 года назад

    Amenishda tabia joti😃😃😃😃😃😃

  • @malamafyisamkanda5362
    @malamafyisamkanda5362 3 года назад +1

    Ahahaha joti bhana Bg Up san broo 😂😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yani kaxi nadawa nazi umepasua peupe watejaa kwajirani

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 3 года назад +1

    Uchawi ni kitu mbaya tu jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rosemichael4844
    @rosemichael4844 2 года назад

    😃😃😃 jaman joti utatufikisha mbinguni tumechoka

  • @wilsonjaphet5547
    @wilsonjaphet5547 3 года назад +1

    🤣🤣🤣 bonge la funzo na Burudani

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 3 года назад +1

    Haya mambo ya kawaida Sana huku kwetu kigogo sambusa 👌😃

  • @emanueltheboss6598
    @emanueltheboss6598 3 года назад

    Ila kiboga amenishinda tabia kama sio yeye kabisa😂😂😂😂😂😂

  • @mohammedmbaya5194
    @mohammedmbaya5194 3 года назад

    Hahahaha joti we kiboko mungu akuweke miaka 100

  • @kararaera8161
    @kararaera8161 Год назад

    Jamani kiboga unanitesa sanaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 года назад

    Kiboga huna mganga yule mzee njaa tu

  • @mwanahawa6362
    @mwanahawa6362 3 года назад +2

    Hahahahah noma n nusu

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 3 года назад

    hii video kila nikiangalia nacheka nani anangalia ili kufungia mwaka lkn kiboga lol🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @davidmsigwa6438
    @davidmsigwa6438 3 года назад +1

    Vitumbua vipo jmn😂🤣😂🤣😂🤣😂

  • @macelochogolo4707
    @macelochogolo4707 3 года назад

    🤝🏻😄 asante joti

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 4 месяца назад

    😂😂😂😂 hadharan mchana hahaaaaha

  • @khadijaamour7654
    @khadijaamour7654 3 года назад +1

    Kiboga huna jipya mbn 😂😂😂😂

  • @zulfahamissi4725
    @zulfahamissi4725 3 года назад

    Pole da kiboga is 😁😁😁😁

  • @rashiymrang6134
    @rashiymrang6134 3 года назад

    Namkubali sana mwanangu jot yan daah🤣🤣🤣🤣🤣