UJUMBE WA RAIS SAMIA KWA WANANCHI KUFUATIA KUPOROMOKA KWA GOROFA KARIAKOO LEO 17 NOVEMBER 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 2

  • @sapconlinetv
    @sapconlinetv 27 дней назад +3

    Pole sana Rais wetu pamoja na Watanzania wote katika kipindi hiki kigumu kwa Taifa letu. Mwenyezi Mungu awapokee kwake Ndugu zetu waliotangulia, Mungu awajalie uponyaji ndugu zetu wanaoendelea na matibabu. Pongezi kwenu ndugu zetu mlioonyesha utu kwa kuwaokoa ndugu zetu. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.

  • @Stafamuigizaji
    @Stafamuigizaji 27 дней назад

    Amen