HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 38

  • @MussaMakunga-f2s
    @MussaMakunga-f2s 15 дней назад

    Chapa kazi mama waduwaze kwa maono yako makubwa ya kiuongozi ww ndio tumain letu wa tz na nikikuona taswira ya mama yangu mzazi inanijia, mungu akutunze.

  • @AmosNgambeki
    @AmosNgambeki 2 месяца назад +3

    Asante saaba mheshimiwa Rais
    Umewakumbusha mapitio yao
    Wasijifanye wamesahau.

  • @marikatv6340
    @marikatv6340 2 месяца назад +4

    Mungu akupe maisha maref mh. Rais ❤

  • @kulwahaloon6384
    @kulwahaloon6384 2 месяца назад

    Asante sana mama tupo pamoja❤

  • @PcgtMsalato
    @PcgtMsalato 2 месяца назад +3

    Tanzania bila Ushoga na Usagaji inawezekana

    • @hassanmaalim9193
      @hassanmaalim9193 2 месяца назад

      Na bila fujo inawezekana hakuna kama mama tuko Pamoja na wewe

  • @antonymasatu5795
    @antonymasatu5795 2 месяца назад

    Nimepita tu

  • @barakakyando447
    @barakakyando447 2 месяца назад +1

    Hongera sana mama maisha yetu yapo mkononi mwako mungu akupe maisha marefu sote ni watanzania tunakutegemea mama usalama wa maisha yetu wote wanotaka kuhalibu amani hawakubaliki hata siku moja mungu ibariki tanzania na raisi wetu mpendwa

  • @GabrielWangese-g3t
    @GabrielWangese-g3t 2 месяца назад

    Hongera sana mama etu Samia kwa utendaji kazi wako

  • @SmilingBubbleTea-vm3nz
    @SmilingBubbleTea-vm3nz 2 месяца назад +1

    Maisha marefu kwako Mheshimiwa Rais ❤❤❤

  • @hoseamgema9107
    @hoseamgema9107 2 месяца назад

    Nakuelewa sana raisi wangu.. . Piga kazi achana na kelele za wasaka tonge. . Hali mbaya wanatikisa kiberiti ili uwaongezee luzuku. .

    • @dianaleo6067
      @dianaleo6067 2 месяца назад

      @@hoseamgema9107 hahaha huyu mama hapiti hata nyie mnalijua hata pita kwa haki. Mtaenda maporini. Kwanza tumesha mchoka rais hawaonei wananchi wake huruma rais gani huyu?

  • @alijuma997
    @alijuma997 2 месяца назад +3

    Wale jamaa mama ulikuwa usiwasamehe walikuwa wabaki utumwani mana wajinga sana, na cc watanzania wengine wanaakili za kushikiwa tuweni makini wakina mbowe na wenzake hawana nia nzuri na inchi yetu, libya iko wapi wanajuta sasa

  • @saidhamoud5314
    @saidhamoud5314 2 месяца назад

    Ameongea Commander In Chief.

  • @DailamuyukivogaSaid
    @DailamuyukivogaSaid 2 месяца назад

    Mashaallah mama mungu akupe maisha marefu ya Amani na furaha mama watanzania tunakupenda Sana

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 2 месяца назад

    Kwa hiyo kama hawsjaibuliwa wangeongea nn yani ww maliza tu uondoke

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 2 месяца назад

    Mbona hiyo Integensia haiwakamat watekaji na wauwaji???? Inatambua vikao vya ngulelo tuu wanaokamata watu had kwenye mabasi Inteligensia Aaaaaaa haijui

  • @AbuuSalman-n2u
    @AbuuSalman-n2u 2 месяца назад +1

    Samia oyee

  • @zakiaomar5217
    @zakiaomar5217 2 месяца назад

    Kazi iendelee

  • @t.v.a.i.s.s6842
    @t.v.a.i.s.s6842 2 месяца назад

    Mama futeni vyama vya siasa kibaki kimoja, jila mtu ajiandikishe kuchaguliwa kutokana na experiences zake.. Mfumo wa Vyama vingi, walituletea wa zungu ili watugawanye tusi ungane kwa kufanya maendeleo ya nnch zetu

  • @barikingowo1052
    @barikingowo1052 2 месяца назад

    Rais jaribu kuwa na mawazo mapana zaid kwenye hii nyi katika mipango na utekelezaji wa katiba yetu inachosha kuona toka tumepata uhuru bado tuongozwa kama watoto wajinga hii nchi tumeshajijata sheria itafisiriwe kwa haki la sivyo Mungu atatoa adhabu tena kwa taifa acheni kudharau nakupuuza mawazo ya watanzania

  • @brycemoshi2122
    @brycemoshi2122 2 месяца назад +1

    Samia oyeeeee

  • @ElishaLaizer-z4x
    @ElishaLaizer-z4x 2 месяца назад

    Shkamoo mama

  • @cleophasomuga222
    @cleophasomuga222 2 месяца назад +1

    Mama Preacher of the Word.May The Lord God Keep Her A Live.For All wa Mama to Emulate,And Fathers to Embrace.

  • @AdamEvarist-u8n
    @AdamEvarist-u8n 2 месяца назад

    Oyeeeee

  • @gmovies9337
    @gmovies9337 2 месяца назад

    😢

  • @cleophasomuga222
    @cleophasomuga222 2 месяца назад +1

    Amen

  • @AyubuIssa-np3vc
    @AyubuIssa-np3vc 2 месяца назад

    😢😢😢 😅😅😅 ❤💔❤🙏🤲🖐🙄

  • @MaikoNkinga
    @MaikoNkinga 2 месяца назад

    Mama chapabkazi uwaache wabweke tu

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 2 месяца назад

    The most bourgeois worst president speech ever in Tanzania history. Mark my words.😂😂😂

    • @rashadymuhamad6293
      @rashadymuhamad6293 2 месяца назад

      Kiasi useme hivyo! Hilo ndilo zao la mapana ya Uhuru wa Demokrasia, Kuna nyakati fulani za Utawala, haungethubutu hayo. By the way Mama chapa kazi. Kazi iendelee. Maana Milunzi mingi, hupoteza mbwa Usasini.

    • @dianaleo6067
      @dianaleo6067 2 месяца назад

      @@rashadymuhamad6293 kwani wewe unashida gani hasa? Pumbav nyie ndio watekaji wasenge nyie na hamuondoki na mtu tena mafala nyie na hatumpi kura huyo mama labda muende maporini

  • @K9-academy
    @K9-academy 2 месяца назад

    😅

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 2 месяца назад

    Kuongozwa na mwanamke mtiani

    • @t.v.a.i.s.s6842
      @t.v.a.i.s.s6842 2 месяца назад

      Wewe ni mjinga haina hakili

    • @rashadymuhamad6293
      @rashadymuhamad6293 2 месяца назад

      Kwani Mzee wako wa kike hakukuongoza mpaka ukafikia umri huo, mpaka ukapata uthubutu wa kuongea hayo.

  • @kundaeliringo1707
    @kundaeliringo1707 2 месяца назад

    😂