FANYA HAYA ILI UMREJESHE MWANAUME ULIYEMPOTEZA (HUBBUL HALAL)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 ноя 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

Комментарии • 22

  • @rauhiayusuf2361
    @rauhiayusuf2361 6 месяцев назад +2

    Mashaallah ukhuty rawhiyya Allah akujaalie. Nawe upate mume mwemaa

  • @zulphankyaa266
    @zulphankyaa266 Месяц назад

    Jaman wengine tunataman lakini mazingira tunayoishi ni changamoto

  • @RajabuNgumbao
    @RajabuNgumbao 6 месяцев назад +2

    maashaalah mawaidha mazur nmeyapenda walai👍

  • @halimahassan8582
    @halimahassan8582 6 месяцев назад +1

    Ma sha Allah ❤❤❤ keep going. Hubbul halal tunawapata sanaaa. Ma sha Allah uqti umependeza ❤❤

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 6 месяцев назад +1

    Watu wanaachana kutokana na njaa watu hawashibi na tamaa nyingi na buguza hayo na hakuna ufundi kitandani watu wote wapo kama magogo au mfu

  • @fatumakalombo392
    @fatumakalombo392 20 дней назад

    Naweza kuyafanya hayo ila kuimba chooni vibaya

  • @SalamaAdam-jn7rn
    @SalamaAdam-jn7rn 5 дней назад

    Mhhhhh

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r 6 месяцев назад

    Mashallah kipindi kizuri Sanaa , mashallah now tunakiangalia bila ya kusisimka mwili ,tunaangalia Raha wa murua , Allah akulipe mwanamke wewe unayetufundisha na kutukumbusha ya msingi tena yenye ushahidi wa Aya na hadithi , hongera sh Rashid Allah akuzidishie umahiri

  • @user-oq6hb9hh2b
    @user-oq6hb9hh2b Месяц назад

    Hanaume hatakiwi kulelewa Kama mtoto mmm

  • @halimamohammed3580
    @halimamohammed3580 6 месяцев назад

    Hapo Kwenye kuimba ndy changamoto

  • @zainabuali9915
    @zainabuali9915 6 месяцев назад

    Maa shaa Allah

  • @user-gp5lc7wc8t
    @user-gp5lc7wc8t 6 месяцев назад

    Shukrani ukt

  • @user-jy5kj8dd9y
    @user-jy5kj8dd9y 6 месяцев назад

    Mashaallh swadakta

  • @user-oq6hb9hh2b
    @user-oq6hb9hh2b Месяц назад

    Anae haribu ndoa ni mwanaume siyo mwanamke mulijue Hilo

  • @zalfazalfa7810
    @zalfazalfa7810 6 месяцев назад +3

    Kama mme wangu ni mnene nitamubebaje?

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 4 месяца назад

    😂😂🎉

  • @khadijaa815
    @khadijaa815 6 месяцев назад +1

    Hajapata mume mwengine huyu dada tumtafutie

    • @zaidasalumualute6437
      @zaidasalumualute6437 4 месяца назад

      Huyu kilichomshinda pale (1) Uzazi (2) Riziki ndogo,alitaka akafanye kazi sheli au biashara lakin Üst,alikataa,nahali ni ngumu ya waalimu wamadrasa,: huyu angepata mtu mwenyeriziki kubwaa angeweza,mtuhatakama ni anafanyakazi zakujitolea zaMungu,basi hata akalime basii.