Natamani watoto wote wa kizazi hiki waje wamsikie sugu kwenye huu wimbo! Huyu mtu aheshimiwe Sana! Huu wimbo umejaa hasira juu ya maisha! Punch zinajieleza! Zimetoka kwa hisia na kwa hasira kweli kweli! Beat imeshiba na vocal ikajaa kweli kweli! new generation rappers Kuna la kujifunza hapa! Huu wimbo Ni Somo kubwa Sana kwenu!
Natamani watoto wote wa kizazi hiki waje wamsikie sugu kwenye huu wimbo! Huyu mtu aheshimiwe Sana! Huu wimbo umejaa hasira juu ya maisha! Punch zinajieleza! Zimetoka kwa hisia na kwa hasira kweli kweli! Beat imeshiba na vocal ikajaa kweli kweli! new generation rappers Kuna la kujifunza hapa! Huu wimbo Ni Somo kubwa Sana kwenu!
Niko makini, madem wanapotea wakidhania niko na hela, na hata kama nina hela mimi sio fala#Nikomakini.
Hi beat imeshiba hatari! Mziki ulikuwa zamani aisee!
Hii mistari ni Kali sana
Bado tupo making mpaka Leo. Sugu alitupa elimu
Yeee much respect uncle jongwe...Niko makini na fani.
Mj na sugu legends
Babaaaaaaaaaaa enzi hizo sugu anatufanya tuwe masugu(wagumu, wanaharakati) hadi sasa harakati zinaendelea2000's to 2018
Keep on uploading quality audio oldschool hits kama hii..salute
niamini kwa kila kitu mi sina noma niamini ata kwa demu wako
choko bado wanaponda sugu bado napanda Niko makini na fani
2018 naisikiliza hii ngoma nani yupo pamoja nami kuisikiliza ngoma hii 2018
weka hali halisi ya sugu
When the music was music
Oya tuwekee ngoma ya k basil bahati haiji mala mbili
much respect kwenu BONGO FLEVA MIX niliitafuta sana hii ngoma,,,,, wekeni na video yake kama itawezekana
sidhani kama ina video hii ... namuuliza Sugu hapa!
Hatare
Salute kwa Mbunge Sugu
Duh! hii track ina nikumbusha mbali sana
sugu noma sema zingine bado sizioni kama hali halisi
Sasa ni mbunge. This is life
2020 %Niko Makini na fani**
Wapi wimbo wa "Hapo Zamani" featuring King Kiki?
dah!
solo thang ....sukari na pilipili. please upload that...
tuletee....tafsiri ya mwanaume kamili by ELUKA
Please, muziki na maisha the whole album :)
Kabisa
Wekeni gangwe mobb simulizi la ufasaha
Tupia Muziki na Maisha ya Sugu tafadhali
Tupo na mbunge Mr ii
🤚🤚
Kali sana.2018
MIKONO HEWANI-SAIGON FET KALAMASHAKA
Whn the music was music
May 2019
L
May 2019