Hapo zamani vijana walikuwa wanavuta tu bangi walikuwa hawaijui cocaine!! Huu mstari unagusa Sana! Cocaine imetuharibia vijana wengi mnooo ambao wangeweza kuwa nguvu kazi ya taifa!
Zamani marekani na uk walikuwa wanaeenda wazee tu, machizi wote Greece! Mambo ya meli sio!! Huu wimbo unanirudishia kumbukumbu tamu Sana! Maisha yamebadilika mno!
Hii ngoma nimeitafuta sana Leo nimeinyaka😃😃😃wahenga hakika tulifaidi...kizazi cha yope piteni hivi😯😨😷
2024 and This still a Hit 🔥
2024 who still listen to it🔥🔥🔥
2020 july.vijana wa zamani tupoooo.hizi Ngoma nilikuwa na collection,daah tumemisi haya mambo.
Yes hapo zamani, makanyagio Mpanda mwaka 2000 sio mchezo. Mambo mengi yamebadilika. Ni kama ndoto now Texas,USA
Sugu na J waliimba Kwa Maono mengi na Walijitabilia kuwa Wabunge ktk nyimbo Zao
Nimeutafuta huu wimbo kwa miaka mingi bila kuupata, Asante kwa kuniletea humu youtube!
Mwanangu kama mimi tu
Da bonge la ngoma
Nakupenda nyimbo zako Zina nafsi ya kuishi zaidi ya vizazi afu mkweri kwenye vess kama view vijana warivuta bangi sio kokeni
I remembered when I used to repeat this man's song on my cassette in Mombasa, almost 20 yrs are over
MY SONG . EVER SINCE I WAS A KID . MR 2 , PROF J AND JUMA NATURE ARE MY FIRST INSPIRATIONAL ARTIST!.
Hapo zamani vijana walikuwa wanavuta tu bangi walikuwa hawaijui cocaine!! Huu mstari unagusa Sana! Cocaine imetuharibia vijana wengi mnooo ambao wangeweza kuwa nguvu kazi ya taifa!
Ukimsikiliza Jongwe lazima Akili yako itajichaji🤗🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ingekuwa ni bongo Flava za sasa wangesema hii beat imefanaa na Ngoma ya mnyalu aliyomshirikisha q chief unaitwa sintobadilika.
Zamani marekani na uk walikuwa wanaeenda wazee tu, machizi wote Greece! Mambo ya meli sio!! Huu wimbo unanirudishia kumbukumbu tamu Sana! Maisha yamebadilika mno!
RIP King Kiki
hakika nakumbuka sana zamani ngoma hii basi tu SUGU thank you my nigga
way back ,
Hapo zamani
Bonge ya ngoma hii enzi zile
Inatukumbusha mbali sana
Ngomaaa nimeitafutaaa sanaaa
Sugu hatare sana niga big up kwa tuwekea ngoma tuweke na nyingine
Rest in peace Mr King kiki
Huu wimbo nimeusaka kama pesa
#Sugu Mr Nakukubal sana mbunge
Bonge ya ngoma
Dah!hatimaye nimeipata hii ngoma...nimeitafuta sana...Suguuuuuu
Hapo zamani ww wa sasa
Kitu! Hapo Zamani
Explosion of memories...
Lyrical sense
🔥
Hapo zamaniiii
Hapo zamani big up sana sugu
Nigga please.....You are genius.
Hapo zamani