UWEKEZAJI MKUBWA RELI YA KATI, MAZAO YA KILIMO KUPELEKWA MASOKO YA KIMATAIFA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 сен 2024

Комментарии • 8

  • @ghottaman2570
    @ghottaman2570 6 часов назад

    Aya ndyo Mambo sasa sijui tulichelewa wap chakula sasa dar kishuke bei mchele supa kilo iwe buku au buku jero freesh

  • @GeoffreyBiyengo
    @GeoffreyBiyengo 4 часа назад

    Binafs mm kama mkulima mhamasishaji wa mazao ya kimkakati kanda ya ziwa ninaona faraja kubwa kutokana na jitihada za serikari kuhakikisha mkulima ananufaika kwa kadiri ya alivyo wekeza .......angalizo ndugu wakulima msiwekeze kama amja fata yafatayo 1. Shamba 2. Kusafisha 3. Pima afya ya udongo na pata Miche Bora au mbegu bora 4. Panda kwa wakati 5. Palilia kwa wakati 6. Lishia kwa wakati .....hakikisha kabla ya kuwekeza unakua na tahalifa sahihi kutoka kwa mtu sahihi kuhusu zao unalo enda kuwekeza .....mm nahamasisha mazao aya 1. Palachichi haina ya Hass 2. Cocoa 3.vanilla 4. Kahawa 5.migomba 6. Makademia nutis......

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 7 часов назад

    Mpango mzuri sana huu kumuinua mkulima kwa kumpatia soko la uhakika

  • @t1910j
    @t1910j 6 часов назад

    I love this! Good job Tanzania

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 8 часов назад +1

    Henu tubadilike mashamba ya ndizi bado tunalima kienyeji harafu tunakuwa na mipango bila kujua uzalishaji upoje ???

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 7 часов назад

      Pole. Sisi wakulima tunawaelewa sana.

    • @GeoffreyBiyengo
      @GeoffreyBiyengo 4 часа назад

      Boss uko sahii

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 8 часов назад

    KAZI IENDELEE 🇹🇿