Lady Jaydee X Rama Dee - I Found Love (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 517

  • @eliasmlundwa3880
    @eliasmlundwa3880 Год назад +71

    Wimbo mzuri sana, kama umerudia zaidi leo weka LIKE

  • @abubakarmohamed-ym7qq
    @abubakarmohamed-ym7qq Месяц назад +1

    Huyu Dada Lady JD, Kanimaliza na kunipambaza roho sana tena sana. PONGEZI❤🎉LJD MOMBASA KENYA

  • @qiahgee7353
    @qiahgee7353 Год назад +1

    Duuuuuh....popoli popo! Atar Sana mstar niliyo upenda kwakwel n yot maan cjawai kukuona jdee unaimba ivi zaman Sana nakumbuk nyimb iv ulivaa tentemente atar ndo ulichez km umu

  • @nasiryshowtv4898
    @nasiryshowtv4898 Год назад +1

    Mstari ninaoupenda zaidi ni
    "YOUR IN MY HEART, NAKUPENDA ZAIDI, NURU YANGU PEKEE, YOU ARE ALL I WANT TODAY"
    naupenda kwasababu unaelezea jinsi unavyojisikia kwa mpenzi wako. Pia unaongeza thamani kwa mpenzi wako.
    Sababu ya kuhitaji kuhudhuria show ya #lovesentence ni kutaka kusikia na kuenjoy mziki mzuri kutoka kwa real talents and legends musicians @lady jaydee

  • @farajalongo4528
    @farajalongo4528 Год назад +3

    Siyo lazima yaimbwe matusi. Maana kamili ya mziki mzuri 🙌💪

  • @ndojes711
    @ndojes711 Год назад +8

    Nmekaaa pale nawaaangalia ambao wanasem mziki mzuri UMEKUFA......! Jide & Rama 🙌🙌♥️♥️. Naona saiv mmejipanga kutake GRAMMY 😂😂 ILOVE U GUYS

  • @davidchriss9618
    @davidchriss9618 Год назад +24

    Lady Jay Dee.. you deserve more views than this.. This song is pure music. It on my repeat on Spotify..
    Nahisi kama nyimbo nyingine zote hazina ladha zaidi ya hii.. 💖

  • @Mashenene_Robert
    @Mashenene_Robert Год назад +8

    🔥🔥🔥 dada mkuu kwenye ubora wake 🤩🤩🤩 mwanamziki wangu wa kike wa muda wote Tz

  • @alandeus2945
    @alandeus2945 Год назад +104

    Naomba Like kama umeangalia hili Goma Zaid ya mara Moja🔥🔥🔥🎶❤️

  • @bigdaddy_faustinjumong4427
    @bigdaddy_faustinjumong4427 Год назад +7

    Sistr frani aliekubali kuzeheka ila uzee humtaki anazidi kufana nawakina #Yammi wa Nandy
    #Komando_Lady_Jaydee🔥🎶💪

  • @izzomochama2992
    @izzomochama2992 Месяц назад +1

    Every morning lazima nisikize hii truck
    Napenda sana hyo song beat iko sawa lyrics ni fire ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
    Weka like tukienda kaboom😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @shabanimalinda6554
    @shabanimalinda6554 Год назад

    Namkubari sana Rama Dee hajawai kosea ni king of rnb Tanzania

  • @ayshaamour9950
    @ayshaamour9950 Год назад +9

    “Popote po ulipoo pembeni yako nami nipoo sikomii nirudishe utotooni”…
    Huu mstari nimeupenda sana hapo sababu unanikumbusha mimi navokua natamani kuwa na mpenzi wangu all the time kama mtoto!
    Zaidi wimbo ume 🔥kinoma unafaa sana kum dedicate mpenzi wako na kufanya siku yake iwe poa.

  • @theblackempireog460
    @theblackempireog460 Год назад +7

    Mamdogo napenda your melody Toka nakuaa mmeuaaaa🙌🙌🙌🔥

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 Год назад +3

    Ngoma ya 🔥 sana
    Video ya kali sana tena ya mambele sana
    Beat ya 🔥 Sana
    Style Mmecheza Vzr
    Jidee nakukubali kwa ngoma hii kali shabiki yako npo nakufatilia

  • @CharlesNdege-om5oe
    @CharlesNdege-om5oe Месяц назад +1

    Wow 👌 👏 😍 ❤ nyimbo kali sana

  • @abdulmruke2246
    @abdulmruke2246 Год назад +5

    Jide Tanzania ikuandalie sehemu yako ya kipekee nitawaeleza hadi watoto wangu na wajukuu nikibarikiwa kufika huko kuhusu wewe

  • @tush800
    @tush800 Год назад +1

    I found love hata kueleza siwezi this is magic 🎩 🎶🎶🎶🎶🎵....mdundo umependeza kweli

  • @lizahadongo1801
    @lizahadongo1801 Год назад +6

    Salute Kwa lady jaydee🇰🇪🇰🇪

  • @dennisphilip
    @dennisphilip Год назад +1

    siku atarudi i will comeback to see n wangapi walituombea

  • @haidarykufakunoga8869
    @haidarykufakunoga8869 10 месяцев назад +1

    Lady J de, yaani una KIPAJI mpaka kimepitiliza. NAKUPENDA SANA.🙏🙏🙏

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 Год назад +6

    Beautiful Song from Tanzanian...✍️🎤🎧🎵🇹🇿💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @marpaus4048
    @marpaus4048 Год назад +13

    Huu wimbo ni mzuri sana,melody na mashairi yake you killed it❤️👏Natamani nishinde trip ya Nairobi na Lady jaydee kwasababu 1. Natamani kukuona uso kwa uso nisikie sauti yako, nikushike mkono, unikumbatie, tuzungumze nipate kujifunza kutoka kwako maana sijawahi kupata nafasi ya kukuona uso kwa uso toka nimezaliwa, 2. Sijawahi kufika Nairobi kwahyo itakua dream come true, 3. Mimi ni shabiki ako wa muda wote nazielewa kazi zako, 4. Nakuadmire, Nakupenda sana❤️........ I found love, haya sio mapenzi, this is magic....🎵🎼🎧🎶#IFoundLove❤️

  • @ndulatv2373
    @ndulatv2373 Год назад +1

    I found love, I found love
    Haya sio mapenzi, this is magic
    Nastahili kwakuwa nitakuwa nimetimiza kiu ya moyo wangu Kwa wasanii wawili niliowapenda tangu zamani, lakini pia itanisaidia kuenjoy na kuongeza jambo ktk research yang

  • @magrethjulius7796
    @magrethjulius7796 Год назад +57

    Melody 💯
    Voice 💯
    Video quality 💯
    Lady jaydee and ramadee

    • @Mery-st4nu
      @Mery-st4nu Год назад

      Anajuwa hadi anakera Sema nn namkubari sana lady Jayde mungu akupe umri mrefu sana haunaga baya wala skendi mbovu mbovu love so much

    • @beatricemtasiwa5958
      @beatricemtasiwa5958 Год назад +1

      And the dance too....👌

  • @ndojes711
    @ndojes711 Год назад +14

    I'm speechless for THIS...... But FOR what i can say now is that I FOUND LOVE ♥️♥️♥️♥️

  • @officialrockrnb1681
    @officialrockrnb1681 Год назад +1

    Nyimbo iko vizuri sana

  • @alandeus2945
    @alandeus2945 Год назад +4

    Jaman Leo silali nakesha 🔥🔥🔥🔥🙌

  • @ndojes711
    @ndojes711 Год назад +4

    Napenda mistari yote ile huu zaidi "KWANZA UKIACHA LOVE SISI NI MARAFIKI" this means alot for lover's ♥️ mkiwa friend afu ni wapenzi inakuwa more than Better.
    Mstari wa pili naoupenda make kwanza nchekeee 😂😂 "POPO LIPO POPO KALALE NACHO KIDALIPO" Imenikumbusha nikiwa young aiseeee tulikuwa tukiiimba na kucheza na kufurah😂😂. That verse imenikumbusha hata watu ambao tushapoteana 🙌♥️
    Nastahili kwenda na Jide na Rama NAIROBI KENYA, Kwanza kabisa me ni shabiki yenu kindakindaki, pili East Africa my dream Country to Visit ni KENYA 😋. Nimekuwa na ndoto ya kukutana na JIDE na ya kwenda outside TANZANIA,. kufika KENYA nikiwa bado sijafika 25. Nikipata trip ya kwenda Kenya na nyie ntakuwa nimetimiza ndoto mbili kukutana na nyie na kwenda Kenya.

  • @mariozulu5743
    @mariozulu5743 Год назад +8

    HERE I CAN SAY WE HAVE MUSIC I REALLY LOVE THE Chemistry. Nakupenda Sana Dada mkuu🇰🇪🇰🇪

  • @tatugodfrey7378
    @tatugodfrey7378 Год назад +6

    This song is a hit...am a tanzanian from SA,much love to Lady jay see,🇹🇿🇿🇦

    • @mbarakaalingoyeji1054
      @mbarakaalingoyeji1054 Год назад +1

      Dada mkubwa umeuaaaa ,wewe noma,mtafute Dada mkubwa stars Thomas mtoe colable pamoja na Rama dee

  • @lizycakesernest3450
    @lizycakesernest3450 Год назад +1

    Your in my Heart nakupenda zaidi NURU yangu pekee nakupenda zaidi huu mstari c ni definition ya Huba langu so nikishinda hii trip mtaenda na baby wangu coz amekua mfariji wangu tangu nimpoteze Mama yangu mzazi alipewa sumu na watu wa karibu Sana ni ndugu kabisaa so naupenda huu wimbo like mmetuimbia Mimi na Mume wangu💕💕

  • @charlesboaz4489
    @charlesboaz4489 Год назад +19

    This is going to be the best song of the year 2023 🔥🔥🔥

  • @ricklove8358
    @ricklove8358 Год назад +11

    this is the definition of music. everything is on point.

  • @henryhamidu7132
    @henryhamidu7132 Год назад +12

    The message that it carries reflects the true meaning of being in LOVE, added sounds 🎸🎹 the voices encourages a lot to listen to this song , video 📸 quality I give it 💯 . . . And I love that creativity "Po Po poo lipopooo . . . " , This song can be played in Weddings, send offs, occasinal events like Valentine's. . . All in all it's such a beautiful 🌹 song can't stop hitting it on my 🔊 speaker
    #Jidee & #Ramadee let's go to Nairobi
    Exposure and business integration is what we all need ✌️ #Fun&Melody
    :
    Never whaaaat...!?
    #NEVERREGULAR

  • @masabotim
    @masabotim Год назад +4

    Finally!! Welcome back Queen Lady Jaydee. Your sweet melodic voice makes the world much better, we missed it sooo sooo much!!

  • @djjoeh_official
    @djjoeh_official Год назад +1

    Izoo Melody ni hatariii
    Voice ni hatariii
    Video ni hatariiiiii
    Hili kolabo# ni balaaa2023
    NA hapaaaa sasaaa
    ...............
    Kwanza ukiacha love
    Sisi ni marafiki
    Nisogezee huo mkono niushike
    Waziba njia tupishe
    Ya nyuma nishasahau kwa mikiki mikiki here
    We ndo umefanya nifike
    Leka kwaya ya chibite

  • @djjoeh_official
    @djjoeh_official Год назад +1

    #kila mstar napenda kweny hii ngoma## ni Kali sanaa #sijui itakuaje sasa tareh 10 February 2023
    #lovesentense_loading
    #i_found_love
    Kwanza ukiacha love
    Sisi ni marafiki
    Nisogezee huo mkono niushike
    Waziba njia tupishe
    Ya nyuma nishasahau kwa mikiki mikiki here
    We ndo umefanya nifike
    Leka kwaya ya chibite

  • @ladymarry
    @ladymarry Год назад +2

    🔥🔥jidejaydee unazidi kuwa msichana yaan,sauti yako,miondoko n.k. Mm kukupenda tuu❤️❤️

  • @rashidkejo8666
    @rashidkejo8666 Год назад +3

    Nothing to explain more than much love and respect to Jide.
    Nice song.

  • @boukainan1002
    @boukainan1002 Год назад +3

    there she's here we Goo Queen 👸 Of FleVa 😍❤️..Rama Dee Never disappointin

  • @laurentes1
    @laurentes1 Год назад +1

    Aiseee I deserve this chance Mimi Nina miaka 20 na kwa muda mrefu nimekua nikiwafatilia wewe na bro Nina Playlist ya nyimbo zako jide nazisikiliza sana. Nishawahi kutoa ety tuko wote tunaimba back to back kwa hiyo kwenda wote Nairobi naona kama ndoto yangu itakua imetimia na Imani yangu kubwa ni Kuja kuonana n'a wewe Maan umezaliwa tarehe sawa n'a marehemu mama yangu June 15
    Mstari wangu kabambe Humu kwenye song hili ni "Kwanza ukiacha love, Si ni marafiki
    Nisogezee huo mkono niushike
    Waziba njia tupishe
    Huko nyuma nshasahau kwa mikiki mikiki , We ndo umefanya nifike, Leka kwaya ya chiite"
    GOD BLESS YOU KOMANDO NA MAGICIAN RAMAR DEE

  • @cherrylioness1595
    @cherrylioness1595 Год назад

    Hold me tight Nakupenda zaidi we ni wangu pekee. We need vacations to motivate us 🙌 2023

  • @abubakarmwachuo1337
    @abubakarmwachuo1337 Год назад +2

    Wowww..always top jay deee🙌🏿🙌🏿🙌🏿😎

  • @KoreloBello
    @KoreloBello Год назад +3

    The authenticity Jay Dee has is beyond this world. From the Early 2000s zile enzi ya "wanaume kama ma binti" hadi waleo hajabadilika. She's one of the realest Tz female artists I know. 💯👌🥰💪🏼

  • @ilovuguyssandimu6508
    @ilovuguyssandimu6508 Год назад +1

    This woman is dope..heshima anazo bado no dirty videos n vocals ❤ my sis frm tz i appreciate u

  • @muddyally8463
    @muddyally8463 Год назад

    Wachawi R&B all the time...Rama Dee Lady J Dee nawaelewa sana nyie watu since day 1.🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @beninyojamestungaraza9190
    @beninyojamestungaraza9190 Год назад +4

    The real meaning of Good music Rama dee and Komando Jide your the best ever

  • @stevemzeiya2178
    @stevemzeiya2178 Год назад +5

    Kama umesikia kigogo "Leka kwa yaya chibite" like basi twende sawa mdodoma mwenza

  • @daudasajile813
    @daudasajile813 Год назад +8

    2 legendary I love this combination

  • @ndojes711
    @ndojes711 Год назад +1

    Nyiè nyie nyie ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @davidcurtis175
    @davidcurtis175 Год назад

    Mwaka huu kuna kazi kweli, wenye bongo flavor wamerudi kama wanaanza dada angu hapa numuona mbichiiiii

  • @djjoeh_official
    @djjoeh_official Год назад +1

    Kwenye hii nyimbo napenda mistariii yoteee ..ni ngoma Kali sana #ndoto yangu one day nije nishuhudie performance ya #ladjayde live .....#found love
    I found love
    I found love
    Haya sio mapenzii,this is magic
    I found love
    I found love
    Hata kueleza siwezi,this is magic
    Hizo I love you,I love you too
    Tushavuka mipaka
    Ka kunipenda unanipenda tu
    NA wala sina mashaka
    Breakfast in the morning
    Unanipa supu matata
    Twende wote jikoni
    Siagi bread nimepata

  • @kelvinokelo7992
    @kelvinokelo7992 Год назад

    Muziki umekutana na malejendari na vitamin muziki imetawala masikio💥💥💥

  • @gatimarwa7525
    @gatimarwa7525 Год назад

    Kwanza ukiacha Love si ni marafiki nisogezee huo mkono niushke waziba njia tupishe....This is the Best verse Kwa huu wimbo......I wish kwenda na Ladyjay dee Nairobi kuenjoy the Love I found.....#FoundLove# Goodmusic naVacation.....

  • @rjb31
    @rjb31 Год назад +12

    Actually
    #Rama_Dee
    Never disappoint
    #I_found_LOVE🔥🔥🔥🔥

  • @djjoeh_official
    @djjoeh_official Год назад +1

    Kiukweli Mimi sio mstariii ...ila naipenda mistariii yotee kweny hi nyimbo narudia..narudia ...yanu ni kurudiaaa tu...❤️❤️tarehe kumi napenda nkacheze hili ngoma live lakini na ngoma zote kaliii kutoka kwa #ladjaydee msimu huu wa #loveSentence
    #i_found_love
    I found love
    I found love
    Haya sio mapenzii,this is magic
    I found love
    I found love
    Hata kueleza siwezi,this is magic
    Hizo I love you,I love you too
    Tushavuka mipaka
    Ka kunipenda unanipenda tu
    NA wala sina mashaka
    Breakfast in the morning
    Unanipa supu matata
    Twende wote jikoni
    Siagi bread nimepata

  • @hanums12
    @hanums12 Год назад

    Asee napenda sana lady jaydee anavyoingia " if you love me I love you too" Twende Nairobi msiniache sijawahi fikaa😥😥

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 Год назад

    Bonge la wimbo aiseee miss U Sana dada Jdee unajua unajua tu......dada ya yahaya unaishi wapi!!!

  • @antonykomba6631
    @antonykomba6631 Год назад +21

    I've always kept close tabs on Rama Dee's music as well as Jide's since back in the days. And these two have been consistently dropping classic jams without delivering "PREPOSTEROUS SCANDALS" in order to boost their jams

  • @habbyhalawa5266
    @habbyhalawa5266 Год назад +7

    Am in love with ur voice Rama dee&big cc😘😍

  • @lenardmtweve858
    @lenardmtweve858 Год назад

    That's song it's so hot" popote ulipo mimi nipo pembeni yako" natakiwa niende na nyinyi coz napenda muziki mzuri na muziki mzuri upo na nyinyi please I need that trip since kama huwezi kuwa mkweli

  • @djjoeh_official
    @djjoeh_official Год назад +1

    Kila napoisikiliza hi ngoma lazima ni comment....mistariii yote imesimama kwakweliii .....itakuaje sasa maraa paap #ladyjayd kasema nami nimoo....#kandoto akatimizaaaa...#foundLove.....
    Kwanza ukiacha love
    Sisi ni marafiki
    Nisogezee huo mkono niushike
    Waziba njia tupishe
    Ya nyuma nishasahau kwa mikiki mikiki here
    We ndo umefanya nifike
    Leka kwaya ya chibite

  • @djjoeh_official
    @djjoeh_official Год назад +1

    NASTAIR KABISA KUKAA #VIP NIKITAZAMA SHOW TAMU KWA SABABU ,KWANZA #ladjaydee NGOMA ZAKO ZOTE NI KALI❤️❤️#my FAVOURATE musician all time
    I found love
    I found love
    Haya sio mapenzii,this is magic
    I found love
    I found love
    Hata kueleza siwezi,this is magic
    Hizo I love you,I love you too
    Tushavuka mipaka
    Ka kunipenda unanipenda tu
    NA wala sina mashaka
    Breakfast in the morning
    Unanipa supu matata
    Twende wote jikoni
    Siagi bread nimepaka....
    ..NASTAIRI KABISA KUKAA VIP NIKITAZAMA PERFOMANCE #SAUTI TAMU KUTOKA KWA #komando jide nyimbo bola #waimbaji boraaa👊👊❤️❤️👏🔥🔥🔥🔥

  • @djjoeh_official
    @djjoeh_official Год назад +1

    #huu wimbo jamanii ...kwakwelii napenda mistariii yote iliyomo Ndaniii....#lakini swala la kwenda Nairobi ama kuwa moja kati mashuhuda wa #loveSentenc pale mlimanCity ni ..kwa Mtanzania yeyote yule nadhani anapenda apate hiyo nafasiii..
    I found love
    I found love
    Haya sio mapenzii,this is magic
    I found love
    I found love
    Hata kueleza siwezi,this is magic
    Hizo I love you,I love you too
    Tushavuka mipaka
    Ka kunipenda unanipenda tu
    NA wala sina mashaka
    Breakfast in the morning
    Unanipa supu matata
    Twende wote jikoni
    Siagi bread nimepata

  • @alandeus2945
    @alandeus2945 Год назад +4

    Goma la mwaka 🙌👌

  • @rosejohn4914
    @rosejohn4914 Год назад +1

    Chuma Kwa chuma mafundi wamekutana Yani ni🔥🔥🔥🔥🔥🙌

  • @realremih
    @realremih Год назад +4

    Matozo na hii zote nazielewa
    your chemistry is nice

  • @djamborafikitours1349
    @djamborafikitours1349 Год назад

    I found love this is magic, wewe wangu pekee... Po pote ulipo kidali poo!

  • @beatriceswalehe7216
    @beatriceswalehe7216 Год назад +1

    Jina Beatrice nasitahiri kushindaa zawadi ya VIP ticket kwenye siku ya I found love kwa sababu Lady jay Dee kwangu Mimi ni role modal, icon toka nikiwa mdogo Ni kioo changu cha kua jasiri Kama mtoto wa kike kupitia yeye kua miongoni mwa wànawake waliofanya vizuriiii katika tasinia ya mziki alinifanya nijiamini katika kila nachofanya. Lakini kwa bahati mbaya sijawahi kumuona live natamani kumuona live nitafarijika Sana kumuona hata tu nimuombe picha ya pamoja MTU ambaye anaimpact positive na kubwa kwenye maisha yangu. The best female artist of all time and I think she attracts strong people who want to succeed in life as she did and still winning🙏 namfatilia toka machozi bend mpaka I found love. Nampenda Mungu ampe maisha marefu bado nna mengi ya kujifunza from her.

  • @ramadhanhassan3368
    @ramadhanhassan3368 Год назад +1

    Rama Dee.. daaah mwamba na sauti ake... come back men.. You guys are missed.. Talented

  • @rayvanychui2827
    @rayvanychui2827 Год назад

    Hamjawahii toaaa ngoma mbovuuu nyie combination yenu sio poaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @alandeus2945
    @alandeus2945 Год назад +2

    Hakika Hawa waandishi wamejua kuuvaa uhusika vilivyo🔥🔥🔥👌

  • @magabewambura9081
    @magabewambura9081 Год назад +1

    Kwa wasanii wa kike lady jaydee ndio meimbaji Bora Tanzania muda wote

  • @hassanguzo8026
    @hassanguzo8026 Год назад +1

    Wimbo ni mtamu sana i found love hatari toka asubui sauti iko juuu sana😋😋😋😋

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 Год назад

    Hizo sauti aiseee! Noma Sana! Watu wawili wanaojua mziki wanapokutana lazima bomu lilipuke

  • @mcbepali3120
    @mcbepali3120 Год назад

    Kwanza ukiacha love si ni marafikiii
    Huo mistari naupendaaaaaaa

  • @trendz_2548
    @trendz_2548 Год назад +5

    This is just so amazing. Legend but still doing good music like you just came yesterday. Tanzanians should support Jay Dee to the maximum maze this views aren't adding up to me

  • @acquilinechrispinus9159
    @acquilinechrispinus9159 Год назад +1

    "Breakfast in morning "...
    Unanipa supu matata......
    Twende wote jikoni
    Singing,bread nimepaka..
    Mstari wangu pendwa,
    Nafikiri safari ya Nairobi itanifaa kwa sababu mimi ni shabiki ninaewish kuona performance yako every year

  • @razackkasanga5288
    @razackkasanga5288 Год назад +8

    The Dee's, the two legends

  • @djjoeh_official
    @djjoeh_official Год назад +1

    #i_found_love ni wimbo bomba sana ambao kiukweli Mimi napenda verse zote kweny hii nyimbo...na kutrip na jaydee to Kenya ni ndoto zangu pia naamin akuna asiyetaman kuwa karibu n #ladyjayde.......
    ❤️❤️I found love
    I found love
    Haya sio mapenzii,this is magic
    I found love
    I found love
    Hata kueleza siwezi,this is magic
    Hizo I love you,I love you too
    Tushavuka mipaka
    Ka kunipenda unanipenda tu
    NA wala sina mashaka
    Breakfast in the morning
    Unanipa supu matata
    Twende wote jikoni
    Siagi bread nimepata

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 Год назад

    Jdee na rama dee combination yao ni motooo

  • @marthantoipo871
    @marthantoipo871 Год назад

    I love the verse hizo I love you, I love you too tumeahavuka mipaka, kama kunipenda unanipenda tu na wala sina mashaka... Hii inaonyesha the level of maturity watu wamefika, hakuna that pressing need of assurance, Love is there, it's magic is felt. Lady Jaydee nimekuwa a very loyal fan tangu Machozi, please nipelekeni Nairobi, My daughter goes to Uni huko na itakuwa chance ya kumuona na finally yeye kukumeet, amenisikia all her life nikiimba nyimbo zako

  • @dekha7669
    @dekha7669 Год назад +3

    Love from Kenya 🇰🇪

  • @WestChoma01
    @WestChoma01 Год назад +4

    This is kind of music I have been missing

  • @pascalcostantine4478
    @pascalcostantine4478 Год назад

    I found lovex2,
    Haya sio mapenzi,
    This is magic. (First line By Rama Dee) is fire becoz It defines how to love someone who is special 4 you.

  • @ezekielseluke6121
    @ezekielseluke6121 Год назад +3

    From Daban Always legends never fail big up for good music🔥🔥

  • @Wanaoband
    @Wanaoband Месяц назад

    Pongezi kwako LedyJD ngoma inafundisha inaburudisha na inajenga kama unakubaliana nami wapi like.

  • @elizajuma5616
    @elizajuma5616 Год назад

    Bonge LA goma.... Asante Rama Dee na Jide wetu

  • @kelvinamos9661
    @kelvinamos9661 Год назад +1

    youtube advert help me ,kuwa hapa kenya 254 love it

  • @robbyawesometv7030
    @robbyawesometv7030 Год назад

    Bigup ladyjaydee much love from kenya 254

  • @ndojes711
    @ndojes711 Год назад

    Safar ya Kenya, Zanzibar,. ZIMEISHIA WAP??? Nakupenda ivoivo na kauongo kako ♥️♥️😂😂🙌

  • @gbetter4713
    @gbetter4713 Год назад

    Dada anaejua na anaimba kuliko wadada wote bongo Jideee comando

  • @djjoeh_official
    @djjoeh_official Год назад +1

    I found love
    I found love
    Haya sio mapenzii,this is magic
    I found love
    I found love
    Hata kueleza siwezi,this is magic
    Hizo I love you,I love you too
    Tushavuka mipaka
    Ka kunipenda unanipenda tu
    NA wala sina mashaka
    Breakfast in the morning
    Unanipa supu matata
    Twende wote jikoni
    Siagi bread nimepaka....
    ..NASTAIRI KABISA KUKAA VIP NIKITAZAMA PERFOMANCE #SAUTI TAMU KUTOKA KWA #komando jide nyimbo bola #waimbaji boraaa👊👊❤️❤️👏🔥🔥🔥🔥

  • @justinphilimon8722
    @justinphilimon8722 Год назад +6

    I've indeed found love. Once a legend is always one.

    • @georgeritty1769
      @georgeritty1769 Год назад

      Yeah man you guy bringing the good old days when world was so big 💗

  • @rojahmoeconscious9407
    @rojahmoeconscious9407 Год назад +7

    This man is real music definition

  • @msaadaupo_ke
    @msaadaupo_ke Год назад

    Nani kagundua Lady hazeeki.. She's beautiful!

  • @djwilliams_
    @djwilliams_ 7 месяцев назад +1

    Chemistry ya hawa watu wawili ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hamiskayoka712
    @hamiskayoka712 Год назад

    Piga kazi dada,kukakaa kimya unatukosea mashabiki wako cz tunajua ubora wako kwenye music👍👍👍

  • @merrykitosi690
    @merrykitosi690 Год назад

    Waooh very nice...Love you so Much Lady Jaydee....I appreciate you