Kenya ichi yangu mzuri sana Mungu awabariki naomba like na comment apaaa ilitubalikiwe kwa pamoja na hihi huduma Ubalikwe sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Heee heeee heee hahahaha hahaha haha hatriii aiseee kwelii unajua thamani ya MTU IPO ndanii na SIO nje aisee daaa bonge la nyimbo dada Angu Rehema matemboo Sasa tunakufatilia Barikiwa sana dada Barikiwa sana dada sana Tena sana mwambie bonyy kua George anakusalimia nitamfata muda si mrefuu hahaha
Oooh Hallelujah Hallelujah Amen, kwa kweli kazi ya Mungu kwa kweli aina makosa kwa kweli Oooh Hallelujah, nice song l say,👍🙏👏👏👏🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺
Bwana Yesu asifiwe. Nimewaletea wimbo wa baraka ndugu zangu. Karibuni kutazama, kusikiliza, na kujifunza kutokana na wimbo unavyosema. Asante
Ameni wimbo huu ni wabaraka sana barikiwa momy❤
Good my friend ❤❤❤❤❤
Amazing song nimebarikiwa tena naenda kutowa song like this for my original laugauge luo
Ameee
Powerful Spirit filled song with a deep message! Thank you so much Rehema.
Barikiwa sana Mtumishi Mwenyezi MUNGU azidi kukubariki na kukuinua ili ufike Viwango vya juu zaidi na zaidi hongera sana wimbo mzuri
Dah,kazi nzuri na Mungu awatie nguvu ya kuguza mioyo za watu🙏🙏🙏
Kazi safi sana mungu azidi kuwainua maana tunabarikiwa sana kupitia hizi nyimbo zenu❤❤
Hongera. Hongera. Sauti. Tamu. Glory be to. God. Powerful. Message 🎉
Wow wimbo mzuri san mungu awabalik san watumishi
❤❤❤❤❤❤
God bless you man of God and this blessed lady ..more grace 🔥🔥
From Kenya mambo ni sawa kabisa 🔥🔥🔥
Hallelujah nimebarikiwa julia operation 9 village Uganda 🇺🇬 kenya 🇰🇪
Kenya ichi yangu mzuri sana Mungu awabariki naomba like na comment apaaa ilitubalikiwe kwa pamoja na hihi huduma Ubalikwe sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Barikiwa kiwa sana mtumishi ujumbe mzur sana umenibariki sanaa ❤🎉
Hongera sana Mtumishi wa Mungu
Kazi mzuri 👏👏 dada🎉🎉
Ameeen wimbo huu umenibariki sana mbarikiwe waimbaji ❤
Ukweli kabisa
❤❤🎉🎉 nabarikiwa nikiwa all the way Bungoma county
Wimbo huu mpya unafunzo sana
😊mwaitege mungu akubaliki
Kazi safii kabisa dadaa Mungu akuinue katika kiwango chengine
Peleka injili mbele papa
Namuona fadhili panja , keep going 🔥
Kweli kabisa usimdharau mtu
Congratulations 🎉🎉🎉
Aisee umeuwaa wimbo muzuri Sana ❤❤🎉
Ndio ndio ndio Kweli kabisa hallelujah and Amen ❤❤❤❤❤
Kazi zuri sana ❤️
Amen mtumishi barikiwa sana na ujumbe mzuri
Mungu akubariki kwa kuendelea kutukumbusha maana sisi tu wanadamu
Asante kwa kutukumbusha usimdhalau mtu yoyote hujui kesho yake barikiwa sana
Kazi nzuri dada Mungu akutumie Zaidi Na Zaidi kueneza ijili
Heee heeee heee hahahaha hahaha haha hatriii aiseee kwelii unajua thamani ya MTU IPO ndanii na SIO nje aisee daaa bonge la nyimbo dada Angu Rehema matemboo Sasa tunakufatilia Barikiwa sana dada Barikiwa sana dada sana Tena sana mwambie bonyy kua George anakusalimia nitamfata muda si mrefuu hahaha
Ongera Kwa ujumbe mzuri sana Mungu akurinde uzidi kukua kiroho
Hongera sana dada vipi umerudi morogoro naomba unipigie ukirudi uganda
Good song ❤❤❤❤❤
𝐀𝐦𝐢𝐧𝐚
Good song
Uyo unae mudharau Amina kubwa mtumishu
Nakupata vzr nikiwa uganda
Huu wimbo umenibariki sana..
Hongera sana Madam
Asante sana mtumishi
Amen 🎉🎉🎉🎉
Good❤
Hongera nyingi Sana kwa Kazi nzuri kabisa mungu huviinua vinyonge na vilivyodharauli na kuviketisha mahali palipoinuka balikiwa
Amen mtumishi wa Mungu
Hongera mtumishi,kazi nzuri
Asante sana mtumishi
Ameeeen
Anointing song and good meseji
Muzuuri kabbisa
Asante
Amen
Nikwel dhaman yetu Mungu anaijua barikiwa sana 🎉
Amen
Amen 😢😢😢amen😊
Ujumbe mkubwa sana neema Zaidi mtumishi wa Mungu
Amen mtumishi wa Mungu
Kz Nzuli Sanaa Hongera 🥰🔥
Asante sana
Wow powerful message
Amen
MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA DADA
Amen kaka
Amina
Hahahaha jamani nimebadlika hahaha hahhahahahahha
Ubarikiwe sana kwa kazi dada
Nice song
Amen
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤