SUGU BALAA AWAVAA VIKALI POLISI KWA KUTUMIKA NA CCM, "HAWANA MAARIFA, WANATEKA NA KUUWA WATU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 18

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 3 дня назад +1

    Chadema oyeeeee mwenyezi Mungu awafanye wepesi wa kurudi bungeni

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 3 дня назад +1

      @@CafeJohn-n9o Maandazi wahed miaka alokaa bungeni nn alicho kifanya kuku wee

  • @Mrsalt-z9m
    @Mrsalt-z9m 4 дня назад +1

    King is back

  • @amosiabdulallh7965
    @amosiabdulallh7965 3 дня назад

    Kama polisi wanaua watu nyinyi mtakua hamna polisi?

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 3 дня назад

    Jamani siwasikii mkiwapa wananchi mbinu zakulinda kura zao, waambieni kwenye kila kampeni zenu wakishapiga kura hamna kuondoka walinde kura zao

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 4 дня назад +1

    Hilo linaeleweka kuwa ccm waoga uchaguzi huluuu

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 3 дня назад

    Wakoloni wametuuwa kutulazimisha kutii utawala wao miaka 63 uliopita leo baada ya kupata uhuru watawala zetu wamegeuka kuwa wakoloni wanatuteka na kutuuwa je tuwaite wakoloni weuzi ?

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 4 дня назад

    chadema wanaakiri sana na ndio maana mikutano yao huwa inavurugwa

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 4 дня назад

      @@alumonkisinda4574 tatizo Medulla yako ilivyo kutuma hivyo mafatani wakubwa

  • @chuisayi754
    @chuisayi754 4 дня назад +3

    sugu rud jimbo utuokoe

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 4 дня назад

    Waongo wakubwa mafatani wakubwa nyie na heading yenu mbovu kabisa. Muogopeni mungu wenu bac

    • @melch3097
      @melch3097 4 дня назад

      Kweli umeumia, utakufa kwa pressure achana na chadema

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 4 дня назад

      @melch3097 aaaawapi sibabaishwi na mafatani wakubwa waongo wakubwa hawana hoja za kutufanyia kazi kufitinisha tu na uongo mtupu Maandazi wakubwa

    • @josephmantago2837
      @josephmantago2837 4 дня назад

      Kichaa hjui chochote mavi yko huujui ukweli ccm majambazi majizi 5:20

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 4 дня назад

      @josephmantago2837 kalaga bhaho Maandazi wahed mafatani wakubwa kazi fujo tu kwakweli hamna sera kazi kutukana tu 27 sio mbali

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc 3 дня назад

      Ccm hovyooo kabisa