Hakika maneno haya ya askari wa nchi kula kiapo Cha kulinda raia na baadae kuwageuka ni kitendo Cha kuudhi na matokeo yake nchi hii wakubali wasikubali haitaleta maendeleo Kwa watu wote bali maendeleo yatakuwa Kwa wachache (watawala).
Siku zoye.chama cha chadema munashidwa.kuonhea.ndyo maana hamufanjkiwi.wambien watu hivi mkitupa kura tutanya hivi au vile.acheni kukusema chama.kingine hkzo siyo sela.mwaka.huu badilikeni❤
Mungu akulinde mwenyekit mbowe
Mimi sina Chama ila nitakiunga mkono Chama cha chadema kinacho onewa a polisi
Mungu pia akuongoze asikupungukie
Mbea hakunaga uchawa wakikukubali ni kiroho safi hawanaga unafki
Kamanda mbowee mungu. Akilinde Sana
Adi marehemu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sijui lakin kama ni kweli ni dalili la anguko kubwa
Police police yaani tungesahau ccm kitambo sana
Miccm imeshakata pumzi.Hata aibu hayana kabisa
Wamwambie msigwa wao aitishe mkutano peke ake waona kama atapata watu😂
Mbowe nachadema mungu atusimamie mwakani tunapita kweupee
Wameishiwa sela wakion mmejaz watu waonaona wivu
Hakika maneno haya ya askari wa nchi kula kiapo Cha kulinda raia na baadae kuwageuka ni kitendo Cha kuudhi na matokeo yake nchi hii wakubali wasikubali haitaleta maendeleo Kwa watu wote bali maendeleo yatakuwa Kwa wachache (watawala).
Chadema oyaaaaaaaasaaaaaanaaaaaaa
Iyo inaeleweka chadema ni chama mahalufuuuuu
Tupo pamoja tutashinda siku so nyingi mungu atafanya njia tutaona mlango
Kwanza wanakiongezea umahalufu
Mbona hawa polisi hamuwashitaki?
Well said sir
Chadema chadema 4rever
Ccm munayo KAZI mwaka huu
Ccm Awana jipya zaidi ya kutumia nguvu ya polis
Mi polisi mishenzi sana
CCM iko migongoni mwa police
Kwani we umehamasishwa na nani kujiandikisha ulitaka ushinikizwe na mbowe yaan mtu akiwa fisiem akili hakuna
Kama kweli CCM unapendwa na wa nanchi mbona na wakamata wapizani wakeni kipigwe tuone nani anapenda na wananchi
Unafiki mtupu hapo
Siku zoye.chama cha chadema munashidwa.kuonhea.ndyo maana hamufanjkiwi.wambien watu hivi mkitupa kura tutanya hivi au vile.acheni kukusema chama.kingine hkzo siyo sela.mwaka.huu badilikeni❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
Mbowe must go
To your mother
Acha ujinga wewe
Ubaya ubwela
Eleza wananchi una mikakadi gani ya kuwafanyia
Kwani we Hadi Leo hujui, nenda darasani
Hata waliopo madarakan tu hawaeleweki watafanya nin. Elewa kwanza maana upinzan
Komaa 2 mboe
S3ma mtatufanyia nn
Kwani wew umefanya nin au hao walipo wamefanya nin
Huyu alikuwa wapi kuhamasisha kujiandikisha. Kujiandikisha mulisusa sasa munahamasisha nini?
Hiyo ni kazi ya viongozi wa kila kanda. Ukasome katiba ya Chadema ndiyo utaelewa
Alikuwa kwenye mkundu wako
Huyu mzee mwenzangu keshajichokea! Atulie dawa imuingie tr 27! Mnachokoza sheria ili muonekane mnaonewa! Hovyoooo!!
Mzee hovyoooo! Kweli unajitambua ya kwamba umejichokea, kiakili na kimwili!
@SylvesterKameo Umefurahi mwenyewe! Mnachekesha mlivyo na jazba! Mtakufa midomo wazi!! Na utawala mtausoma kwenye magezeti! Hahahaaa!
Wewe nae mende mchanga kabisa. Uzao wako lazima ulaaniwe hujui dhuluma na haki
@@dorothmsuya1686unajisifuuu au unawashwa matakoni. Huna akili
@yosephatMasanyiwa-oh1rl matakoni kwa mama yako! Au yeye hana!???
Chadema kujisifu sana hamna lolote
Mwislam labda chotara na mswahili Hamisi nenda oman tuacchie Tanganyika yetu.
Hivi wewe chadema inakuhusu nn, mngekuwa mnanyamaza tu nyie ni watesi was nchi hii
We huna tofauti na mwendawazimu