Hayuko smart huyu mwanasheria wa ccm. Hana busara, , hana hekima ni mbumbumbu sana. He is not a strong advocate. Hafai kuwa mwanasheria . Sijui kaupataje huu uanasheria.Acha kuongea pumba.Amani ni watsnzania ndo wanaleta amani. Ccm kwa sasa ndo wachafuzi wa amani wakuu nchini. Watekaji, hawana haki, uonhozi na mfimo mbovu, hsoni taifa anaona chama tu. Na hili ni tagizo kubwa. Fikra finyu sana. Mkate mtamu hataki kuuachia. Na nguvu kubwa inatumika na ccm. Mae deleo ni madogo sana. Raslimali zetu zimepewa na kumililiwa na wazungu, wachina , waarabu, wafaransa na matsifa yote ya nje. Tungefunfishwa tumiliki na kuuendesha uchumi wetu ni hapo tutapata maendeleo ya kweli na ya kudumu. Samia anagawa kila raslimali zetu kuu za uchumi na zinashikiliwa na mataifa ya nje zote. Taifa halitasonga mbele na kujipatia maendelro ya kudumu na makubwa kwa namna hii.
Ccm ni ileile. Haitabafilika. Kuna kitu hawa wanaccm ni wajinga, wabishi, hawafusti dheria, wanaamua watakacho. Ni mafictata kupindukia hawatski kuondoka madarakani.waziri ccm, waziri mkwe wa nwenyekiti wa ccm naye ni mgombea uraisi. Moja kwa moja inamtoa kwenye uhalsli wa kudimamia uchaguzi.manyama ni mmoja wa wahujumu wa uchaguxi huu.
Kwa ujumla mjadsla ni mzuri, wenye elimu na wengi tumenufaika. Kwa ujumla ccm na mfumo nfio tatixo kuu la watu kutokujiandikisha wengi, kukatwa, kudpendelewa. CCM imenipendelea sana.CCM hsitoi elimu kwa wananchi. Inapambapamba tu bila kutska kuelimisha wananchi. Wananchi wetu wengi bado wanahitani elimu sana. CCM inalazimisha tu
Watu wa CCM huwa wanachagu vitu vya kujicompare navyo na Marekani. Wataangalia pale ambapo USA kuna Tatizo waseme hata USA wana shida. Lakini huwwzi kusikia wakijicompare kwenye maendeleo, utawala bora na democracy.
Yaani ukiwa ccm, hadi uwakili ulionao, unakuwa usiyo na thamani,elimu yote inaonekana kama vile hukufaulu,ila ulifoji vyeti wote hapo wanapingana naye,lakini linang'ang'ania tuuu😂
Odemba, uko vizuri ktk kuhoji Hawa wadau wako Wanasheria. Ukweli tumeuona, huyu mwanasheria wa CCM ni boga kweli. Anazungumza mambo ambayo wana wa nchi tumeshayajua. Huyu wa CCM anaonyesha utetezi wa Chama chake sio uhalisia wa hali ilivyo.
DAS ni Kada wa chama tawala na ni mmoja kati wanaounda TAMISEMI hivi anaweza kufanya kitu gani chenye kugawa haki kwa wengine wasiompa kula yake, watanzania ili mambo yaende na haki itende naona Jeshi letu lichukue nchi kwa mda na kuongoza mchakato wa maboresho ya kasoro hizi Kisha twende KWENYE uchaguzi hapo mambo yatakuwa vizuri, vinginevyo tunatwanga maji KWENYE kinu
Kumbe kweli ukishaingia kwenye siasa hata kama ni mwanasheria inabidi uwe muongo pasipo kumwogopa Mungu. wangeweka wazi tuzione hizo fomu za wana ccm kama kweli zimekidhi vigezo.
Najua sisi Watanzania ni watu wenye uwezo mkubwa sana kiakili nchi ya vyama vingi tume ya uchaguzi iundwe na viongozi/wajumbe kutoka vyama vyote vilivyosajiliwa hiyo tume haiwezi kumbeba mgombea wa upande mmoja kama ilivyo sasa.
Unafikiri hilo jitu la ccm litaongea nn zaidi ya uchawa hau walio enguliwa kwakukosea kujaza huku wa ccm wamekosea zesem lakini wamepitishwa sijui mlilialika kwann mana hatoongea ukweli zaidi ya kusifia
Amani ya Tanzania inadumishwa na wananchi kwa kuogopa mateso mauti kutoka kwa wenye mamlaka ambao ni chama tawala, mliopewa malaka/madaraka acheni dhihaka Mungu hadhihakiwi kumbukeni si kwamba mnaendelea kuongoza eti kwa kutenda haki hapana.
Utasikia kwamba nchi yetu ina taratibu zake hatuwezi kuiga taratibu za MAREKANI. Kwanini tunaenda kuomba misaada marekani lakini hatuwezi kuiga utaratibu wa uchaguzi wa marekani. KUOMBA TU ndiyo RUKSA, Ngoja TRUMP aje awafukuze.
Ukiwa CCM unatakiwa kuziba uso!. Wanatunga sheria mbovu halafu wanasema kila kitu kiko kwa mujibu wa sheria!. Mfano.sheria inasema mara matokeo ya raisi yakishatangazwa huwezi kuyapinga mahakamani, kwa hiyo mtu anaweza kutangazwa japo hajashinda na huwezi kwenda popote kupinga!. Sheria nyingine inasema huwezi kwenda kupinga maamuzi yoyote yanayofanya na tume ya uchaguzi. Na sheria ya uchaguzi wa serikali za mitaa inasema wasimamizi wa uchaguzi hawatawajibishwa kwa maamuzi yoyote watakayofanya!.
Kwa nini tabia za kuengua watu limejitokeza hivi karibuni? Mbona miaka mingi iliyopita CHADEMA WALIKUWA WANAJUA KUJAZA FOMU? MBONA CHADEMA WALICHUKUA MAJIJI YOTE???
uyu mtoto udemba kwanza Bado mtoto mdogo sana nchi imefanya uchaguzi tumefanya miaka yote nyuma akutoka ao wa watoto wanatulibia nchi wakili kama uyo mpumbavu
Mwana sheria inabidi asimamie haki . Awe CCM au upinzani afuate sheria na katiba ya nchi hii. Lakini huyu wa ccm kaweka uchama mbele. Taaluma nyuma. Huyu hafsi kuwa wanasherua ni chawa, chawa, chawa. Mwanaume msomi kama huyu hajasoma. Ukimsikiliza hata snavyozungumza hana sifa. Anazungumza kwa dpeed ksma hana elimu kabisa. Ndo maana ni mwanasheria wa ccm. Wameokoteza hawa wanasheria mizigo. Wanajijua elimu ndogo ila wanahitaji wabebwe. Bila kubebwa usimwajili huyu hataweza kitu.
Odemba, Manyama Hana hoja za maana. Ni mpumbavu huyu. Nashangaa eti ni mwanasheria. Hata hivyo nimesukia akipewa kaushuhuda wa Sheria za Africa Kusini wakati wa ubaguzi. Mfano kule Africa Kusini ya makaburu, kulikuwa na Sheria isemayo, "African and dogs are not allowed here" hiyo ni Sheria, je niyahaki?
Eti mtu kaenguliwa kwa kusema anagombea nafasi ya UENYEKITI eti aseme anagombea nafasi ya MWENYEKITI utadhani mwenyekiti bado ana madaraka mgombea anataka amtoe. UJINGA kabisa kiswahili kimewapita kombo wanabariki ujinga.
Hii mada imechelewa mnooo ... Ila pia wachangiaji wengi wanao alikuwa huwa ni wenye mitazamo inayo fanana na yenye malengo mmoja kwa upande fulani. Mwandaaji jitahidi Sana uwe unabalance watoa mada mwisho kipindi chako kitakosa uungwaji mkono na wengi kwa dhana ya nawe no nisehemu ya wanao tumika na upande mmoja
@FrenkMushi-i7f mara kadhaa maongezi yao huwa Yana sema upande .. Iko hivi ikiwa mijadara inahusisha pande mbili tuone jitihada za mtoa mada kubalance Kisha kuicha audience ifanye maamuzi kwa majibu w hoja za pande mbili Ila unaalika wachangiaji kumi wote Wana malengo mamoja Sasa hapo unajenga nini au unafikisha ujumbe upi? Zaidi ya kutoa picha na wewe muandaaji Una dhamira moja na wachangiaji
Asante sana chief odemba taifa letu linakaribia kukombolewa siku ya haki inakaribia
Kada wa CCM baada tu yakujitambulusha sikutegemea unyoofu wa wakisheria mana hao wote wanaakili Moja kama jongoo
Daah kweli nchi yetu ina kazi kubwa sana kufika kwenye haki za kisheria maana mpaka wasomi wakubwa wanasema uongo kwa ajiri ya kuipenda ccm
Huyo hawezi kuona umbavu uluofanywa na serikali inayoongozwa na chama chake CCM huwo ndio uzuzu alionao.
Hongereni sana WASOMI WETU WAPENDA HAKI MUNGU AWE NANYI.
Asante wakili Jebra umejibu kiusahihi kabisa
Kwa hiyo wapinzani ndo wanakosea kujaza na sio wa wagombea wa CCM pumbavu
Asante Odemba
huyu mwanasheria aliyetoka CCM ni bendera fuata upepo
Hayuko smart huyu mwanasheria wa ccm. Hana busara, , hana hekima ni mbumbumbu sana. He is not a strong advocate. Hafai kuwa mwanasheria . Sijui kaupataje huu uanasheria.Acha kuongea pumba.Amani ni watsnzania ndo wanaleta amani. Ccm kwa sasa ndo wachafuzi wa amani wakuu nchini. Watekaji, hawana haki, uonhozi na mfimo mbovu, hsoni taifa anaona chama tu. Na hili ni tagizo kubwa. Fikra finyu sana. Mkate mtamu hataki kuuachia. Na nguvu kubwa inatumika na ccm. Mae deleo ni madogo sana. Raslimali zetu zimepewa na kumililiwa na wazungu, wachina , waarabu, wafaransa na matsifa yote ya nje. Tungefunfishwa tumiliki na kuuendesha uchumi wetu ni hapo tutapata maendeleo ya kweli na ya kudumu. Samia anagawa kila raslimali zetu kuu za uchumi na zinashikiliwa na mataifa ya nje zote. Taifa halitasonga mbele na kujipatia maendelro ya kudumu na makubwa kwa namna hii.
Ccm ni ileile. Haitabafilika. Kuna kitu hawa wanaccm ni wajinga, wabishi, hawafusti dheria, wanaamua watakacho. Ni mafictata kupindukia hawatski kuondoka madarakani.waziri ccm, waziri mkwe wa nwenyekiti wa ccm naye ni mgombea uraisi. Moja kwa moja inamtoa kwenye uhalsli wa kudimamia uchaguzi.manyama ni mmoja wa wahujumu wa uchaguxi huu.
Kwa ujumla mjadsla ni mzuri, wenye elimu na wengi tumenufaika. Kwa ujumla ccm na mfumo nfio tatixo kuu la watu kutokujiandikisha wengi, kukatwa, kudpendelewa. CCM imenipendelea sana.CCM hsitoi elimu kwa wananchi. Inapambapamba tu bila kutska kuelimisha wananchi. Wananchi wetu wengi bado wanahitani elimu sana. CCM inalazimisha tu
Watu wa CCM huwa wanachagu vitu vya kujicompare navyo na Marekani. Wataangalia pale ambapo USA kuna Tatizo waseme hata USA wana shida. Lakini huwwzi kusikia wakijicompare kwenye maendeleo, utawala bora na democracy.
Wapo wanasheria wanataka kuharibu heshima ya taaluma hii sijui tutatokanje hapa
Yaani ukiwa ccm, hadi uwakili ulionao, unakuwa usiyo na thamani,elimu yote inaonekana kama vile hukufaulu,ila ulifoji vyeti wote hapo wanapingana naye,lakini linang'ang'ania tuuu😂
ASANTE SANA ODEMBA KUMHOJI HUYO WAKILI WA CCM INGAWAJE HAKUJIBU KIUSAHIHI MASWALI YAKO
Maswali mazuri sana Odemba. Huyo mwanasheria sijui ni haki gani anasimamia lakini povu linamtoka kuwa Tamisemi kusimamia uchaguzi ni sawa tuu fyuuuu
CCM imejificha nyuma ya amani, Ila nyie watu mmekosa hoja na mvuto sana
Wote washuhudiao uongo watatoa hesabu Mbele ya Mungu.
Odemba unatisha sana mijadala yako nmizur sana big up sana ila huyo kada waccm hakufaa hatakuwepo hapo anaongea pumba tu hawana sera niwaharibifu sana
Odemba, uko vizuri ktk kuhoji Hawa wadau wako Wanasheria. Ukweli tumeuona, huyu mwanasheria wa CCM ni boga kweli. Anazungumza mambo ambayo wana wa nchi tumeshayajua. Huyu wa CCM anaonyesha utetezi wa Chama chake sio uhalisia wa hali ilivyo.
Wakili jitu zima la Bonge la chawa! eti Diwani!🤣🤣🤣🤣🤣
mungu anawaoma CCM Kwa kuwa biased na kanuni mbovu
nikuku bali sana odemba weweni muandishi mzurisana katika maswali makali namagumu mungu akubariki
mwanasheria wa ccm(huyo diwani) jaribu kuongea proffesionaly unadhalilisha kada ya sheria.
ODEMBA MUNGU AKULINDE SANA. WALAU FANI YAKO UMEITENDEA HAKI TAIFA LETU
DAS ni Kada wa chama tawala na ni mmoja kati wanaounda TAMISEMI hivi anaweza kufanya kitu gani chenye kugawa haki kwa wengine wasiompa kula yake, watanzania ili mambo yaende na haki itende naona Jeshi letu lichukue nchi kwa mda na kuongoza mchakato wa maboresho ya kasoro hizi Kisha twende KWENYE uchaguzi hapo mambo yatakuwa vizuri, vinginevyo tunatwanga maji KWENYE kinu
Kumbe kweli ukishaingia kwenye siasa hata kama ni mwanasheria inabidi uwe muongo pasipo kumwogopa Mungu. wangeweka wazi tuzione hizo fomu za wana ccm kama kweli zimekidhi vigezo.
Nimeelewa kwamba mtu asiyekuwa na chama ASIPIGE KURA maana anapewa viongozi ambao hawapendi.
Kwani hakuna anayejua kwamba hata ukipeleka swala kama hili mahakamani kama ni kwaajili ya kuitetea CCM una uhakika wa haki itatolewa🎉😢 sawa
Napata shida kwa wasomi kitaauma( professional) kukosolewa na watu wa kawaida hawana hiyo taaluma ni shida.
MALYA 👏🏻👏🏻👏🏻👌
Najua sisi Watanzania ni watu wenye uwezo mkubwa sana kiakili nchi ya vyama vingi tume ya uchaguzi iundwe na viongozi/wajumbe kutoka vyama vyote vilivyosajiliwa hiyo tume haiwezi kumbeba mgombea wa upande mmoja kama ilivyo sasa.
Wanasheria wakienda mahakamani wanaambiwa TAMISEMI inaruhusiwa kuendesha mchakato wa uchaguzi sasa watafanyaje? Watawapiga MAJAJI?
Sijawahi kusikia Mgombea urais wa Marekani anasema nitawalete maji, umeme na barabara.
Unafikiri hilo jitu la ccm litaongea nn zaidi ya uchawa hau walio enguliwa kwakukosea kujaza huku wa ccm wamekosea zesem lakini wamepitishwa sijui mlilialika kwann mana hatoongea ukweli zaidi ya kusifia
WATU WANAONGEA WANAONGEA LAKINI YALE MAJOKA YANAYOTAKA FAMILIA ZAO ZITUTAWALE MILELE YAKO KIMYAAAA, SAIZI YATAKUWA KWA WAGANGA WAO WA KIENYEJI HUKO😢😢
Madeleka 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Ndugu zangu huyo mtu ni mwanasheria wa chama hicho na ana maslahi anayopata mnafikiri ataongea Nini kinyume na bosi wake, rais na TAMISeMI ni haohao.
Sifa hazijasema akiandika kwa kifupi asigombee, au ETI UNGA LTD au UNGA LIMITED ndo nini sasa kama siyo ujinga na woga wa kushindanda.
Amani ya Tanzania inadumishwa na wananchi kwa kuogopa mateso mauti kutoka kwa wenye mamlaka ambao ni chama tawala, mliopewa malaka/madaraka acheni dhihaka Mungu hadhihakiwi kumbukeni si kwamba mnaendelea kuongoza eti kwa kutenda haki hapana.
HUU UCHAGUZI ITABIDI MCHAKATO MZIMA URUDIWE MWAKA KESHO. WATANGANYIKA TUKIKUBALI BASI NASI HAZITUTOSHI
Utasikia kwamba nchi yetu ina taratibu zake hatuwezi kuiga taratibu za MAREKANI. Kwanini tunaenda kuomba misaada marekani lakini hatuwezi kuiga utaratibu wa uchaguzi wa marekani. KUOMBA TU ndiyo RUKSA, Ngoja TRUMP aje awafukuze.
Odemba uache kualika wehu hii mijadara watu tunatumia her kuweka bando mtu km huyo dalasa la saba feria kbxaa shenzii kbx
Cada waccm huyo ndowashezi tu hawez kujibu kwaufasaa kwasababu niwalewale wachumia tumbo kwanza mpaka ananipa kichefuchefu kumsikiliza
Ukiwa CCM unatakiwa kuziba uso!. Wanatunga sheria mbovu halafu wanasema kila kitu kiko kwa mujibu wa sheria!. Mfano.sheria inasema mara matokeo ya raisi yakishatangazwa huwezi kuyapinga mahakamani, kwa hiyo mtu anaweza kutangazwa japo hajashinda na huwezi kwenda popote kupinga!. Sheria nyingine inasema huwezi kwenda kupinga maamuzi yoyote yanayofanya na tume ya uchaguzi. Na sheria ya uchaguzi wa serikali za mitaa inasema wasimamizi wa uchaguzi hawatawajibishwa kwa maamuzi yoyote watakayofanya!.
Safi kabisa
Sheria enyewe ujui
Odemba mbona huhamzaba diwan huyo Kofi
😅😅
Hilo li kada la CCM ni fisi tu...liongo lishetani.
Chief Odemba nibalaaa Yani unauwezo mzur wa kuendesha midahalo Yani huu ni mdahalo Bora kati ya midahalo niliyowahi kushuhudia
Huyu ni wakili au fara furani2
huyu Kada WA CCM anajitoa ufahamu;mahakama ni za ccm
Manyama uwe wazi kwanini polisi walipiga watu wavyama vingine
Kwa nini tabia za kuengua watu limejitokeza hivi karibuni? Mbona miaka mingi iliyopita CHADEMA WALIKUWA WANAJUA KUJAZA FOMU? MBONA CHADEMA WALICHUKUA MAJIJI YOTE???
Huyu diwani hajajibu swali mbona.....
uyu mtoto udemba kwanza Bado mtoto mdogo sana nchi imefanya uchaguzi tumefanya miaka yote nyuma akutoka ao wa watoto wanatulibia nchi wakili kama uyo mpumbavu
Mwana sheria inabidi asimamie haki . Awe CCM au upinzani afuate sheria na katiba ya nchi hii. Lakini huyu wa ccm kaweka uchama mbele. Taaluma nyuma. Huyu hafsi kuwa wanasherua ni chawa, chawa, chawa. Mwanaume msomi kama huyu hajasoma. Ukimsikiliza hata snavyozungumza hana sifa. Anazungumza kwa dpeed ksma hana elimu kabisa. Ndo maana ni mwanasheria wa ccm. Wameokoteza hawa wanasheria mizigo. Wanajijua elimu ndogo ila wanahitaji wabebwe. Bila kubebwa usimwajili huyu hataweza kitu.
Huyo mwanasheria ambaye yuko bado ccm yuko biased
Kada anatetea ugali wake nasio jinsi gani nchi yetu itasonga mbele
✌️👍👊.
ukitaka kuwa mwanasheria mzuri lazima uwe immoral na subjective of the highest degree
Ccm.imekwisha.sasa.mapolisi.ndio.wanatutesa.mabomu.virungu.kesi.za.kutunga.utekaji
michezo michafu WA CCM mungu lione hili
Odemba, Manyama Hana hoja za maana. Ni mpumbavu huyu. Nashangaa eti ni mwanasheria. Hata hivyo nimesukia akipewa kaushuhuda wa Sheria za Africa Kusini wakati wa ubaguzi. Mfano kule Africa Kusini ya makaburu, kulikuwa na Sheria isemayo, "African and dogs are not allowed here" hiyo ni Sheria, je niyahaki?
kama unamjua mtu fomu ni ya nini bwana wakili
Huku kwetu matokeo yanatolewa kwa mitutu mtake msitake wanasema ineixha hiyo
Ukiwa ccm akili huhamia kwenye makalio
Huyo jamaa wa mwanzoni anachafua mjadala!
Eti mtu kaenguliwa kwa kusema anagombea nafasi ya UENYEKITI eti aseme anagombea nafasi ya MWENYEKITI utadhani mwenyekiti bado ana madaraka mgombea anataka amtoe. UJINGA kabisa kiswahili kimewapita kombo wanabariki ujinga.
1:52:52 1:52:54 1:52:55 1:52:56
Huyo mtu wa ccm ni takataka
Hii taka ya kijani
Yaani ukiwa ccm akili sipo matakon
Kada WA CCM lazima awe biased and very embarrassing ; Ur so annoying;wakili out of points
huyo sio manyama ninyama ya mmbwa
Hii mada imechelewa mnooo ...
Ila pia wachangiaji wengi wanao alikuwa huwa ni wenye mitazamo inayo fanana na yenye malengo mmoja kwa upande fulani.
Mwandaaji jitahidi Sana uwe unabalance watoa mada mwisho kipindi chako kitakosa uungwaji mkono na wengi kwa dhana ya nawe no nisehemu ya wanao tumika na upande mmoja
Wewe unataka watu wasiongee ukwelo
@FrenkMushi-i7f mara kadhaa maongezi yao huwa Yana sema upande ..
Iko hivi ikiwa mijadara inahusisha pande mbili tuone jitihada za mtoa mada kubalance Kisha kuicha audience ifanye maamuzi kwa majibu w hoja za pande mbili
Ila unaalika wachangiaji kumi wote Wana malengo mamoja Sasa hapo unajenga nini au unafikisha ujumbe upi?
Zaidi ya kutoa picha na wewe muandaaji Una dhamira moja na wachangiaji
Sikiliza hoja acha kuwa mjinga ivi kwann mtu ukiisha kuwa ccm ni lazima uwe mjinga
@boniphacewambura1427 nimesikia ndiyo maana nimetoa hoja zangu
@boniphacewambura1427 hoja za mlengo mmoja hatuwezi kufika NDUGU