Mungu ni mkuu sana kwa kila gumu na tumwelekee. Msaada wa maombi na maombezi ndio njia pekee kwa sasa maana dunia imebadiloka sana.Mungu atusaidie.Amina
Huu utawala wa mama Samia hadi polisi wanaingia makanisani kuabudu siyo kukamata watu duh nimeupenda utawala huu Mungu aendelee kutubariki na kumlinda raisi wetu
Yesu ni mwema Kwa muunganiko huu kati ya serikali na kanisa basi vitendo vyote haramu vitatokomezwa kabisa na tunamuomba sana Yesu atusaidie umoja huu uendelee kudumu Amen
Mungu atusaidie jamani na hawa vishandu wamekithiri juzi nimepigwa panga la kichwa na wakaondoka na simu yangu nje ya geti nyumbani. Hii tabia imekithiri
Amen lkn tuwaonye pia waache bihashara za mafuta ya upako na maji Yao ya upako Mungu hadhihakiwi mnatufunfisha kupambana na uhalifu wao wanatufundisha uvivu wa kumuomba Mungu wanataka tutembee na vichupa vya mafuta na Maji acheni acheni acheni.Mungu anachukizwa
wanaoharibu watoto ni hawahawa wa makanisa. wanakesha makanisani, wanashinda Makanisani Babake MZAZI alishamtupa anauita mchungaji baba. Baba anahitaji huduma hapati why mama ameenda kumhudumia baba mchungaji anasahau familia yake. Wachungaji wanakula kondoo. huo sio unyanyasaji?? Kanisa njema ni familia na sio madhabahu ya mchungaji. Familia ikiwa imeyumba kanisa Haina maana tena
Police wanapenda hela mpaka wameanza kuwa wazembe😊😊😊kiporisi kinaongea kama kigambo😁😁kimekula mrungula mpk kinatoka nje ya taaruma ya kuzungumza kama kiasikari porisi😜😜Mnashinda kanisani Mnashindwa mpk kuwaangalia watoto zenu..... Alafu eti police kashindwa kulinda raia na mali zake anakwenda kuomba msaada kanisani Sasa hizo sarary wanakulaga za Nini😁😁😁Tanzania oyeeee😆😆
Binadamu anasheria zinazomuongoza ili aishi kistaarabu iweje sheriazanchi zipo serikali ipo naviongozi wapo tena kutoka nyumbakumikumi hadi rothe highest stage of leadership wahusika washugulikiwe kikwelikweli makosahayawezi kujirudiarudia ki hivyo.
Tafuta pesa! Buni mradi, tangu zamani dini ni mradi, kuanzia mwanzo wa kuingia dini afrika ziliingia kibiashara, sasa biashara hii mlizoea kuona ni ya waarabu na wazungu kupitia ukoloni wakifanya tunaoishi nao povu linatutoka sababu ya kiini cha wivu mioyoni yetu, weka dini pembeni tafuta pesa.
BWANA wa majeshi alitakase na kulitukuza JPT.... Kwahili ambalo jeshi la Polisi limefanya,Sisi Majemedari wa KRISTO tutalilinda Jeshi letu la Polisi kiukamilifu. Mungu aibariki Tanzania,Mungu libariki JPT ktk Jina la YESU KRISTO BWANA
Tatizo ni Mwanaume wa leo ameamua kukaa kimya kwa sababu ya haki za wanawake na watoto..Mwanaume ukitekeleza majukumu ya kunyoosha tabia kama baba..unapelekwa Police na mkeo au mwanao..xaxa watu wanajilea wenyewe matokeo yake ndo hayo..libu ni kurudi kwenye marezi ya mila na tamaduni zetu lkn sio hizo mbwembwe za Police na Makanisa
Serikali chukueni atua katika iliswala lakulawiti badilisheni sherilia yahayo matukio atakaeusika nakulawiti AANISIWE kwasababu izishida zinawapata wananchi wahaliyachini sijawai kusikia kalawitiwa mtoto warais wa mtoto wawazari Wala mtoto wambunge serikali angalieni hili nibola inchi kubaki nawanaume wachache kuliko kuwa nawanaume wengi wakulati nakualibu ndoto zawengine😂😂😂😂😂😂
Acheni mbwe mbwe nyie. Mnaenda kwa hao machawa wenu wa serikali wakati kuna watu wanakemea ushoga serious huku na mnawasumbua na kuwafungulia kesi. Acheni kutuchukua akili nyie mnojiita serikali.
Na hakuna asiyependa sifa, wewe fanya vizuri alafu usisiwe ndio utajua ulichokifanya hakina thamani, Hakuna binadamu asiyependa sifa ila ni marehemu tu.
Hao Makuhan, Wachungaji na WA mfano wake Wanaongoza Kwa Unyanyasaji Utapel/Wizi Kwa Waumini wao, na mbona hamuwaonyi?! Hapo ni kupiga Promo' tu Kwa huyo Kuhani!
Kuna huyu anaejiita pastor chumvi ni vema polisi wakamshika kumuhoji kwanini anahamasisha mashoga kuendelea na ushoga katika Moja ya mafundisho YAKE ???
ASANTE KWA KUTEMBELEA HABARI ZETU DIGITAL, JITAHIDI KUSAMBAZA VIDEO HII KWA WENGINE PIA 🙏
It's good praise the Lord
AMEN AMEN jeshi la Tanzania kweli munamuheshim MUNGU wa mbinguni MUNGU asimamishe imara tanzania
Mungu ni mkuu sana kwa kila gumu na tumwelekee. Msaada wa maombi na maombezi ndio njia pekee kwa sasa maana dunia imebadiloka sana.Mungu atusaidie.Amina
Huyu Kamanda wa dawati la jinsia bonge la askari, nimempenda sana sana sana!
Mbinu ni nzuri ujumbe utawafikia wengi. Changamoto iliyopo pindi watuhumiwa wanapokamatwa kufikishwa mahakamani kinachotokea huko inasikitisha sana kesi ina ushahidi wa kutosha lkn itafanyiwa mizengwe inatupiliwa mbali. Kwa kweli hicho kitendo kinaturejesha nyuma sana.
Wimbo umetulia hongera mwalimu aliyewafundisha
Pia hongera wanafunzi mmeimba vizuri sana
Nimependa sana mungu awabariki sana
Amen amen amen 🙌🙌
na hii ni hatua kubwa sana sana na itafanya kazi vizuri kbsa
Mungu nimkuu❤❤❤
Askari polisi hii mbinu ni nzr,itasaidia sana hongereni sana
Tanzania nawapeda mko vzur sn mungu awabarik sn tz ❤
Huu utawala wa mama Samia hadi polisi wanaingia makanisani kuabudu siyo kukamata watu duh nimeupenda utawala huu Mungu aendelee kutubariki na kumlinda raisi wetu
Kazi ipo... Ndio kwaaanza kunakucha😊😊mpk jua lizame tumeshapata majibu😁😁
Amen
hawajaingia kuabudu tokea lini Ally akaabudu kanisani
Amka toa mitotongo wewe
Jeshi la Tanzania mungu atawalinda mnajua kumfurahisha mungu
Amina👏👏👏🙏🙏🙏
Safi sana maafande wetu, elimu hiyo ikatolewa ktk nyumba zote za ibada kwn ninyi hakuna mipaka ktk kulinda/kuelimisha raia. Tanzania oyeee..
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya KWENDA mbinguni hebu mwamini YESU Kuwa BWANA na MWOKOZI utaokoka na utaenda mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Nawapenda sana tanzania nzuri mungu aibariki serekari ya tanzania
Yesu ni mwema Kwa muunganiko huu kati ya serikali na kanisa basi vitendo vyote haramu vitatokomezwa kabisa na tunamuomba sana Yesu atusaidie umoja huu uendelee kudumu Amen
Mungu atusaidie jamani na hawa vishandu wamekithiri juzi nimepigwa panga la kichwa na wakaondoka na simu yangu nje ya geti nyumbani. Hii tabia imekithiri
Amen lkn tuwaonye pia waache bihashara za mafuta ya upako na maji Yao ya upako Mungu hadhihakiwi mnatufunfisha kupambana na uhalifu wao wanatufundisha uvivu wa kumuomba Mungu wanataka tutembee na vichupa vya mafuta na Maji acheni acheni acheni.Mungu anachukizwa
Wewe tu na akili zako mbovu. Aliyekuambia mafuta ni ya wavivu nani
Wewe umerogwa na unamizimu, kama uvivu NI mizimu yako inakupa, sisi tunajipaka mafuta na maombi yanawashwa na kuzimu inataharuki
Yaani hapo ukienda kama hujui kuomba ni lazima tu uje weweee achatu
Umeasiriwa nawachungaji wakidini wewe ,somaneno mafuta yanavunja nira au vifungo, acha wokovu wa mapokeo ya kidini simama naroho wamungu akuongoze
Makanisa yalio mengi nyinyi ndio mnamliki hao watu kwa %kubwa
Tinashukuli polisi wetu Mungu awalinde tunaomba msiache kutuunga mkono kupinga ushoga
Huu Niuhusiono Mzuri Kati ya Kanisa Na Serikali. Kwakweli Uyo Mtumishi Wangome Ni Wakupongezwa Kanisa Nikielelezo
Wapunguze muda wa kushinda kanisani ili waangalie watoto wao
Hakuna mahusiano mazuri baina ya Selikali na Watu au Shirika Binafsi yasiyohusisha Fedha.... Nguvu ya Fedha imeonekana hapa🤒
wanaoharibu watoto ni hawahawa wa makanisa. wanakesha makanisani, wanashinda Makanisani Babake MZAZI alishamtupa anauita mchungaji baba. Baba anahitaji huduma hapati why mama ameenda kumhudumia baba mchungaji anasahau familia yake. Wachungaji wanakula kondoo. huo sio unyanyasaji?? Kanisa njema ni familia na sio madhabahu ya mchungaji.
Familia ikiwa imeyumba kanisa Haina maana tena
Ni kweli kabisa ndugu yangu uhusiano huu ni kielelezo cha kuukomesha maovu kabisa na Mungu atusaidie
Tunashukuru sana Jeshi la polisi kwa uamuzi huu itasaidia sana Nchi Yetu
Naomben location ya mahali ilipo hiyo huduma wapendwa
Eeee Mwenyez tusaidie ktk huu mtego
@@fatumaibrahim8973 kimara temboni.
❤❤
Amina sana Kwa kuhani mussa
Mungu ni mwema neema ya Mungu iwafunike polisi
Yani hakuna lolotehapa kamatawahalifu wapewe adhabu. Kama mnamikatabaya hovyo mrekebishe. Mimi nikimjua mtuwaainahiyo hee! Napiga lisasi au nachija.
Hii ni nzur sana
Ninafikiri suala la kubaka, kulawiti, NI wajibu wa vyombo vya dola. Sheria ziwekwe na zisimamiwe utekelezaji wake.
Police wanapenda hela mpaka wameanza kuwa wazembe😊😊😊kiporisi kinaongea kama kigambo😁😁kimekula mrungula mpk kinatoka nje ya taaruma ya kuzungumza kama kiasikari porisi😜😜Mnashinda kanisani Mnashindwa mpk kuwaangalia watoto zenu..... Alafu eti police kashindwa kulinda raia na mali zake anakwenda kuomba msaada kanisani Sasa hizo sarary wanakulaga za Nini😁😁😁Tanzania oyeeee😆😆
Haaaaa Tanzania inamaigizo mhhhh kweli ,naomba niwe kimya
Amen Amen yatosha baba
Huyo ndio kuhani, anayetabasam? This is a breakthrough watu kuja kushirikiana na viongozi wa dini, ujue kuna tatizo.
Ameen
Binadamu anasheria zinazomuongoza ili aishi kistaarabu iweje sheriazanchi zipo serikali ipo naviongozi wapo tena kutoka nyumbakumikumi hadi rothe highest stage of leadership wahusika washugulikiwe kikwelikweli makosahayawezi kujirudiarudia ki hivyo.
Jamani Mungu atusaidie kuzitambua hizi nyakati ukiona hivi ujue tumefika kubaya
Tumechelewa sana kuyasema haya hata yamekomaa.Mungu aingilie kati
Mmmmmh Ni kweli tutubu dhambI na kuacha na kumufuata YESU KWA nguvu zetu zote na tuombe Sana
Yes tuzitambue nyakati Mungu ni Mwema
Pinga USHOGA na ulawiti kwa nchi
Ukiasali ma polisi huna amani hata unajua mda wowote kinanuka hapo kaaa sitaki
safi kabisa
Huo nao ni utapeli,makanisa ya sadaka,makanisa miradi,nayo Ni chanzo Cha matatizo ya kijamii.
Tafuta pesa! Buni mradi, tangu zamani dini ni mradi, kuanzia mwanzo wa kuingia dini afrika ziliingia kibiashara, sasa biashara hii mlizoea kuona ni ya waarabu na wazungu kupitia ukoloni wakifanya tunaoishi nao povu linatutoka sababu ya kiini cha wivu mioyoni yetu, weka dini pembeni tafuta pesa.
Na baa Je! Mbona unaona mradi ni dini tu
Afu hiyo Bendera ya Taifa hapo imefuta nini?! Kwani WaTz wote ni Wa Imaan/Dini na Madhehebu hayo?!
BWANA wa majeshi alitakase na kulitukuza JPT.... Kwahili ambalo jeshi la Polisi limefanya,Sisi Majemedari wa KRISTO tutalilinda Jeshi letu la Polisi kiukamilifu.
Mungu aibariki Tanzania,Mungu libariki JPT ktk Jina la YESU KRISTO BWANA
HALLELUJAH GLORY TO GOD 🙏
Ameeeen
In GOD we trust
Wapendwa nawatakia uck mwem ktka jina la yesu wote tuxeme Ameeen
maovu mnayalea wenyewe mkiamua mbn mnaweza kuyazima sema hamjaamua
Nawashauri serikali Adhabu ya kubaka kulawiti kifunguo kiwe miaka 15 na Kazi ngumu.hakuna mjadala
Mbona wewe unawapunguzia miaka. Ilikuwa miaka 30.mimi nadhani wafugwe maisha. Maana wanaharibu sana watoto wetu.
Bila kutibu mzizi wa tatizo tutateseka sana. Kwenda makanisani sio jibu
Police na nyie mnamuhitaji Mungu kwenye maisha yenu maana Kwa rushwa mmezidi sana
Kay kimya wee ,hiyo siyo rushwa ni shukrani
Tatizo ni Mwanaume wa leo ameamua kukaa kimya kwa sababu ya haki za wanawake na watoto..Mwanaume ukitekeleza majukumu ya kunyoosha tabia kama baba..unapelekwa Police na mkeo au mwanao..xaxa watu wanajilea wenyewe matokeo yake ndo hayo..libu ni kurudi kwenye marezi ya mila na tamaduni zetu lkn sio hizo mbwembwe za Police na Makanisa
Nakweli vzuri kabisaa
Mpo vizuri Kwa ubunifu huo.
Serikali chukueni atua katika iliswala lakulawiti badilisheni sherilia yahayo matukio atakaeusika nakulawiti AANISIWE kwasababu izishida zinawapata wananchi wahaliyachini sijawai kusikia kalawitiwa mtoto warais wa mtoto wawazari Wala mtoto wambunge serikali angalieni hili nibola inchi kubaki nawanaume wachache kuliko kuwa nawanaume wengi wakulati nakualibu ndoto zawengine😂😂😂😂😂😂
Unazungumzia za wadi au
Kuhani nampenda ana sauti ya mamlaka
Jeshi la polisi ndipo lilipofikia hapo . Kazi kwelikweli
Hatari
Mmmmh mungu awabariki"acn
Pia wahingie na misikitini ni jambo jema kwa watu wote
POLICE KUANZIA LEO WASILIPWE MISHAHARA YAO😁😁MAANA HAWAONI WATU WABAYA KATIKA MALINDO YAO😊😊MISHAHARA YOTE IENDE KWA MUSA😆😆
Acheni mbwe mbwe nyie. Mnaenda kwa hao machawa wenu wa serikali wakati kuna watu wanakemea ushoga serious huku na mnawasumbua na kuwafungulia kesi. Acheni kutuchukua akili nyie mnojiita serikali.
Teh
Hali mbaya mchini lazm tuingie ATA mskitini aisee ushogaaa umezid ulawit umezid
KUHUSU VITAMBULISHO VYA URAIA VIDEO HII HAPA (TAZAMA) ruclips.net/video/95DNpSbkI6o/видео.html
wanaume sasa ndio wanafanyiwa unyanyasi wa kijinsia
Wangeingia msikitini mashehewote wangekamatwa mpakawale waliowahi kuhadhiri myezi iliyopita nawao wange kamatwa aibu mnasema inchi hainadini sihuu udini ukowazi
Mbona watu kwenye hilo kanisa wanatoa ushuhuda wameua watu hamuwakamati
Anza wewe. Mtende Haki msibambikie kesi watu wasio na Hatia
Siyo kushangilia na kupig makofi tu, bali ni kutafakari na kuyatia akilini na moyoni yaliyoelezwa.
Kuhani anatafuta sifatu huyo
Na hakuna asiyependa sifa, wewe fanya vizuri alafu usisiwe ndio utajua ulichokifanya hakina thamani, Hakuna binadamu asiyependa sifa ila ni marehemu tu.
Kwani unateseka 🙄 Fanya yako nawewe tafuta zako akili ni nywele Kila mtu anazake ushindwe na ulegee kwa jina la Yesu.
Hao Makuhan, Wachungaji na WA mfano wake Wanaongoza Kwa Unyanyasaji Utapel/Wizi Kwa Waumini wao, na mbona hamuwaonyi?! Hapo ni kupiga Promo' tu Kwa huyo Kuhani!
Kuhani wa hovyo tu huyu anapoteza watu.
Dawati hili la kijinsia utapeli tu labda kama hivi MUNGU atusaidie tu
Kuna huyu anaejiita pastor chumvi ni vema polisi wakamshika kumuhoji kwanini anahamasisha mashoga kuendelea na ushoga katika Moja ya mafundisho YAKE ???
Ee, yukowapi huyo tumfuatiliye
Polisi kweli mnaidhihilishia ulimwengu mko siriazi, Polisi wote muige hilo, nimebarikiwa sana kitendo hiki, Mungu awabarki sana,tuko pamoja
Libalikiwe jina la bwana
Wana usalama Mungú awabariki kwa kuliona hilo na kukumbuka kuwa umoja ni nguvu,
Amen
Lakini pollisi watusaidiee kuwafundisha wsaiwe wajinga wa Imani haha kuamriwaa kuacha kula kama KENYA
Mafuta yanavunja nira, someni neno acheni mapokeo mwongozwe naroho mtakatifu
Mwanamke anasimama Mbele ya wanaume anahubiri?? Innalillahi wainnaillaihi Rajiun.Eti Kuhani??
Mtazamo wako finyu
Uspojua TARATIBU za Makanisa nyamaza kwetu hata wachungaji n wanawake
@@kentkihongole8235 ndo maana ata Yesu,akuwa na mwanafunzi mwanamke… ipo siku mtaujuwa ukweli
@@kassimrajabu56 alikuwa ni yesu wakat hyohyobhakuna mahala kakataza
@@kentkihongole8235 jidanganye
jambo zuri sana
Amen