Kuhani,umenikumbusha sana, watu wa kamsamba Rukwa bonden nihatari sana, nimecheka mpka nimemkumbuka mengi sana,nimefatilia simulizi ya ushuhuda ya kunusulika ajari, Uku wa mama wa minadani na wanunuzi wa mipunga wakilewa matusi kama yote, Mungu alikupenda na malaika walikua pamoja na ww mpka leo upo unamtumikia mungu amen, Napenda sana mahubili Yako, karibu sumbawanga kutembelea na tunakukaribisha sana Amen
kusema mtu mwongo ni kumdharau wakati kweli ni mwongo, Yesu wa biblia ni wa wote hana ubaguzi anaotuaminisha huyo mtu wenu.Hivi alipakwa mafuta na nani kama si kujipaka? Hizo hadithi za uwongo awasimulie mazombi(wanaojiita walokole) aliowatengeneza ili kushibisha tumbo lake bila jasho.
Mungu ni mwema,ila ulikoseaga mchungaji kwanini lioswala la ajali usingemuambiaga dereva na wale maabiria kwamba umeoneshwa kuna ajali mbele ya safari.hapo ulitumiaga upagani
Yaani wewe sio mtu mzur bas, Lkn niwasaidie watanzania mchunguzeni huyu mtu,... Sio nabiii, siku huo upepo alio nao utapungua, ndio mtajiuliza ule uvumi wa gwajima hadi kua mbuge ulienda wapi. Hawa ni wahuni fulani hivi hata wanaotoa ushuhuda hua wanapangwa. Mwamposa muogopeni sana Huyu kuhani musa muogope sana Dominick kwa lulenge kule muogopeni sana, Mzee wa upako muogopeni sana, gwajima muogopeni sana,. Wapo wengi. Acheni ushabiki wa kijinga zichunguzeni hizo roho. Siku wakifikia level za uhitaji wao, mtajua mzee wa upako na upako wake yuko wapi.
@@AdamsonSikazwe ni utoto, kama nimpokea taarifa toka kwa MUNGU na kuwapelekea watu,mbona alipopata taarifa mbele itatokea ajali hakuwajulisha watu? Akashuka yeye wengine wakaumie!!! Wakati mwengine tumieni akili.
Tumtumaini bwana YESU wakati wote🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Mungu akubariki mtumishi wangu usiku na mchana
Kuhani,umenikumbusha sana, watu wa kamsamba Rukwa bonden nihatari sana, nimecheka mpka nimemkumbuka mengi sana,nimefatilia simulizi ya ushuhuda ya kunusulika ajari,
Uku wa mama wa minadani na wanunuzi wa mipunga wakilewa matusi kama yote,
Mungu alikupenda na malaika walikua pamoja na ww mpka leo upo unamtumikia mungu amen,
Napenda sana mahubili Yako, karibu sumbawanga kutembelea na tunakukaribisha sana Amen
My spiritual father una MUNGU aliye haiiiìi
Mungu akubariki mutumishi
Amen baba
Kweli mungu aku zidishiye maisha marefu pasteur
Amina baba
Amen mtumishi naitwa esitr naomba maombi ya uchumi kwenye family yangu
Mungu akutokee kwenye uchumiwako katika jina LA YESU ameni
Mungu tusaidie mchana na usiku
YESU akutunze baba
Mungu akulinde usiku na mchana baba lao
Amen 🙏🙏🙏
Mungu akulinde baba lao aminaaaaa baba
Mungu akulinde baba yetu damuya yesu ikufinike
YESU KRISTO wa NGOMENI ATUKUZWE saaana.anaweza
Amina
hadithi za walokole ni za Abunuasi , lazima uwe zombi ndo waweza kuzisadiki. Hela bwana!
Mung asant San kwa miujiza yako
Ameen
Baba pole sana kweli yesu amekutoa mbali
Bwana yesu azidi kukutia nguvu baba
Amen
Aminaa
Jina la Yesu litukuzwee Baba,Yesu alijua wapo watu wengi watakao kombolewa kupitia wewe.Damu ya Yesu ikufunike siku zote na popote utakapo kuwa.
Amani kubwa naiwe hivo
Aminaaaa ya radiiii 🙏🏽
Matendo ya YESU nimakubwa
kweli mungu alikuona kutoka mbali sana
Pole baba
Mungu ni mlinzi pekee
DAMU ya Yesu ikufunike
Mmmh duu sijui
Binadam bwan hatal san baba yesu kristo wangomen akufunike
Aamnamwingine zaid yake baba pole sana
😮🎉😮🎉
Aneeen
Damu ya yesu ikufunike baba yang 🙌🙌🙌🙌
Wewe. Uneye. Zaru wokovu. Au. Watumishi. Wa. Mungu. Tena. Wapakwa mafuta. Unahukumu. Yako inakungoja
kusema mtu mwongo ni kumdharau wakati kweli ni mwongo, Yesu wa biblia ni wa wote hana ubaguzi anaotuaminisha huyo mtu wenu.Hivi alipakwa mafuta na nani kama si kujipaka? Hizo hadithi za uwongo awasimulie mazombi(wanaojiita walokole) aliowatengeneza ili kushibisha tumbo lake bila jasho.
Pole😊@@marionoti5760
jaman Jana ibada ilipendeza Sana japo nilichelewa Leo nailudia Ili nitosheke
Amiiiiina
Kuhani musa unaiti kila mta kama konde boy
Yesu anasingiziwa mambo mengi Sana jamani
Na wewe singizia ukiweza la huwezi nyamZa
Jaman msiniumizie mtumishi wangu jamn😢
Mungu ni mwema,ila ulikoseaga mchungaji kwanini lioswala la ajali usingemuambiaga dereva na wale maabiria kwamba umeoneshwa kuna ajali mbele ya safari.hapo ulitumiaga upagani
Mungu hamtupi mjawake
MUNGU ni mwema juzi, jana, leo kesho na ata milele
Je hukuweza kuzuia na wengine mpaka ukaacha wafe
paukwa pakawa. Hana hata aibu.
Kama. Tunapangwa. Bx subiria. Na ww. Utapangwa. Uje uongoge. Ww. Jimjinga acha kupotosha watu. Tuache. Na baba yetu ametuvusha na vitu vingii
Yaani wewe sio mtu mzur bas,
Lkn niwasaidie watanzania mchunguzeni huyu mtu,... Sio nabiii, siku huo upepo alio nao utapungua, ndio mtajiuliza ule uvumi wa gwajima hadi kua mbuge ulienda wapi. Hawa ni wahuni fulani hivi hata wanaotoa ushuhuda hua wanapangwa.
Mwamposa muogopeni sana
Huyu kuhani musa muogope sana
Dominick kwa lulenge kule muogopeni sana,
Mzee wa upako muogopeni sana, gwajima muogopeni sana,. Wapo wengi. Acheni ushabiki wa kijinga zichunguzeni hizo roho.
Siku wakifikia level za uhitaji wao, mtajua mzee wa upako na upako wake yuko wapi.
Kichunguzwe kwanza wewe
Kichunguzwe kwanza wewe
Hivi kwanini hukutoa wengine ukatoka mwenyewe😢
huyo yesu wa mfukoni mwako.
Huyo nabii nisawa na uchi,anajificha peke yake
Walikuwa wamelewa na wasingemuelewa kama wewe ulivyo hapo
Ambacho sielewi ni kwambah. Ni nabii wa namna gani asiyeweza kuzuia majanga???
Unazan nabii anakurupuka tu kuzuia bila maelekezo ya MUNGU(YESU KRISTO)
Kazi ya nabii sio kuzuia majanga pekee,,, nabii ni mpokea taarifa toka kwa Mungu kuwapelekea watu,,, pia anapokea taarifa kwa watu kupeleka kwa Mungu.
@@AdamsonSikazwe ni utoto, kama nimpokea taarifa toka kwa MUNGU na kuwapelekea watu,mbona alipopata taarifa mbele itatokea ajali hakuwajulisha watu? Akashuka yeye wengine wakaumie!!! Wakati mwengine tumieni akili.
@@Churchofecclesia njaa zitatumaliza. Anasema Watu wangu wateketea kwa kukosa maarifa.
Hamna kitu hapo 😂😂😂😂
Amina
Amen
Amen
Amina
Amina
Amina
Amina
Amina