MAAJABU YA KITUNGUU KWENYE NYWELE🙌

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 286

  • @HabibAli-m2g
    @HabibAli-m2g 5 месяцев назад +35

    Kitungu nakikubari sana kinasaidiy kwasimiy 100 asanta ❤❤🎉

    • @AnithaNahimana
      @AnithaNahimana 3 месяца назад +4

      Nambiye dada hata mim.naitiji myere. Iwe ndefu sasa una vitumiya kira siku ao mara ngapi kwasiku nambiye

    • @StellaRajab
      @StellaRajab 2 месяца назад +2

      mm zangu nifupi je nikitumia zinaweza kua

    • @EuniceMiano
      @EuniceMiano 2 месяца назад

      swali ni je. unafaa kuosha baada ya siku ngapy? na ukitengeneza hayo maji ya kitunguu unafaa kuyatumia hyo siku yaishe ama yanaweza kaa?

    • @BernardineNdayishimiye-j2i
      @BernardineNdayishimiye-j2i 21 день назад +1

      😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @logobonking1561
    @logobonking1561 Год назад +18

    Uko kuslay ukiwa umesukaaa kuna ulazima wa kuosha na kam kuna kuosha kwahy 2takuwa 2nakaz ya kusuka siku mbili nanafumua 2naplay 2naosha tena tunasuka am sijaelew mpnz

  • @namiyongajanet2342
    @namiyongajanet2342 Месяц назад +4

    Thanks so much dear

  • @MacdonaldMwadori
    @MacdonaldMwadori 17 дней назад +2

    Thank so much my dear

  • @JudyWakesho-og3fs
    @JudyWakesho-og3fs Год назад +13

    Aki mmi nmejaribu mpka nmegive up...cjui mmi ndo sielewi au ni vpi aki

    • @HabibAli-m2g
      @HabibAli-m2g 5 месяцев назад

      dada yangu kitu nikiboko yanywele zilizo shindikana namim pya natumiy sana tuuu

    • @NikrahAyubu
      @NikrahAyubu 8 дней назад

      Au tengeneza rosemary na uwatu caraf ziloweke na maji ya uvungu yalale kesho yaweke kweny chipa Kila siku weka asubhii na jioni paka mafuta ya naza au tafuta castor oil utakuja mishukr

  • @nakiwalabettie6355
    @nakiwalabettie6355 12 дней назад

    Does it work for little hair

  • @saumuhamadi3285
    @saumuhamadi3285 Год назад +4

    Thanks madam

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  Год назад

      Your welcome dear♥️

    • @PrinceSuma-n8p
      @PrinceSuma-n8p Год назад +1

      Ooooo sawa mamy kwahio naoshakwanza ndonapakaaa

    • @PrinceSuma-n8p
      @PrinceSuma-n8p Год назад

      Nitumie no yako ya kawaida basi dada tuwetunawasilianaa

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  Год назад

      Ndiyooo

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 9 дней назад

    Asante daa

  • @priscaetuk-ut6rv
    @priscaetuk-ut6rv 3 месяца назад +5

    What are the ingredients?

  • @Valentine-j1n
    @Valentine-j1n 3 месяца назад +2

    Thank ciz let me try l will be back❤

  • @FrancoiseNahimana-u8v
    @FrancoiseNahimana-u8v 5 месяцев назад +4

    Vp unaweza weka mafuta yanayitwa nice

  • @MarM-z7l
    @MarM-z7l 4 месяца назад +3

    Big up sister

  • @AnnaWema-w5c
    @AnnaWema-w5c 2 месяца назад +2

    ❤❤❤. Nimependa

  • @ComfortIyapo-h3z
    @ComfortIyapo-h3z 3 месяца назад +4

    Lovely 🌹 father

  • @ZainabuShilima
    @ZainabuShilima 4 месяца назад +18

    Naweza kutumia mafuta mengne tofaut na hayo unayo tumia hapo kuchanganya?

    • @NikrahAyubu
      @NikrahAyubu 8 дней назад

      Weka lkn jitahid uyapate mafuta ya castor

  • @MarianivensNivenspeter-vl4cj
    @MarianivensNivenspeter-vl4cj Год назад +5

    Thank madam

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  Год назад +1

      Ur welcome❤️

    • @HeriethKalinga
      @HeriethKalinga 6 месяцев назад

      ​@@Sarah1.Kaz ya karafu ni nn??

  • @hellenbakhoya3578
    @hellenbakhoya3578 Год назад +4

    Hae Sarah naonba ujibu hili swali what if umeshukwa lines za braid,Ni lazima uoshe ama unaeza spray tu then uoshe the following day?

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  Год назад

      Unaweza spray cyo lazima kuosha siku hyohyo…..

    • @hellenbakhoya3578
      @hellenbakhoya3578 Год назад

      @@Sarah1. nywele hiezi TOA harufu mbaya dear?

    • @LucyWambua-xo8vt
      @LucyWambua-xo8vt 5 месяцев назад

      Lazima utumie io mafuta ama unaeza tumia yoyote tu

  • @SuzanneMAWAZO-p1c
    @SuzanneMAWAZO-p1c 2 месяца назад +2

    Amina intone Marita yanywele

  • @I-am-ashley6
    @I-am-ashley6 5 месяцев назад +4

    Nice dear l will try it nipitie guys

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  5 месяцев назад +1

      ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @johnndjango9975
    @johnndjango9975 2 месяца назад +2

    Okay ❤

  • @MaryMoragwa
    @MaryMoragwa 8 дней назад

    Kka
    Kazi ya kitungu

  • @Mkalisana
    @Mkalisana 7 месяцев назад +4

    oh my God thx my sister 😂❤❤❤❤❤❤❤

  • @MafloMwanja
    @MafloMwanja 3 месяца назад +1

    What is kalafu in English

  • @OprahBlessing
    @OprahBlessing Месяц назад

    And if you dont have the onions

  • @Emmanuel-d5l6e
    @Emmanuel-d5l6e 11 месяцев назад +7

    Na nywele ambazo ya nyuma inakatika

  • @rehemaabdallah-z9w
    @rehemaabdallah-z9w Месяц назад

    Vip km haun castro oil uwez wek mengn

  • @Leticia-r8c
    @Leticia-r8c 11 месяцев назад +5

    Ukishapaka hauziosh

  • @mariasarmento3327
    @mariasarmento3327 Месяц назад +1

    Por favor comece a traduzir em portugues para dar mais valor a ests receita porque muitos nso entendem essa lingua de congo terias + concorrentes

  • @PatriciaNdurya-w6q
    @PatriciaNdurya-w6q 6 дней назад

    Kama huna hayo mafuta hauezi changanya namafuta mengine tofauti?

  • @maftahadvocates
    @maftahadvocates 12 часов назад

    Bila karafuu haufanikiw jaman

  • @AnneAtieno-b6i
    @AnneAtieno-b6i 7 дней назад

    Je naeza chemsha kitunguu

  • @Teaching356
    @Teaching356 3 месяца назад +1

    Nikishapulizia naziosha baada ya muda gani?

  • @UwayezuCharite
    @UwayezuCharite 5 месяцев назад +2

    Salama murembo nivitugani unaezatumia kuondoa weupe wamyweri

  • @ChristinaDafay
    @ChristinaDafay 2 месяца назад

    🎉unaonaa matokeo baada ya mda gan sister

  • @RosemaryPatrick-w2x
    @RosemaryPatrick-w2x 16 дней назад

    Naomba namba yake pkz

  • @IreneMvungi-z1b
    @IreneMvungi-z1b 3 месяца назад

    Hellow dada nywele zikiwa na dawa zinafaa??

  • @FaithMawia-ps8uf
    @FaithMawia-ps8uf Год назад +3

    Has Sarah unaeda OSHA nywele bila kusuka Ni lazima usuke?? Af Kama hauna hayo mafuta unaeza eka tu maji ya kitunguu pekee ama?? Af nywele yangu ya mbele imekatika kabisa niabie nitafanya nn do ikue

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  Год назад +2

      Unaweza kuosha, bila kusuka❤️ hapana ukitumia maji tafuta mafuta unayoyapenda nywele ziwe lainiii…

    • @PrinceSuma-n8p
      @PrinceSuma-n8p Год назад

      Kwahio hadinisuke ndonipakeee

  • @HopeMathias-ci1ol
    @HopeMathias-ci1ol Год назад +4

    Dada sara je? Unaweza weka kitunguuu na yai naweza nikatumia

  • @kilangambogo4093
    @kilangambogo4093 3 месяца назад

    Mimi ndokwanza nimeanza Jana vp naweza kupaka mafuta yavitunguu hata nikiwa nasuka nywele zakawaida zamkono?

  • @France-v1x
    @France-v1x 2 месяца назад

    Dada mim binafsi naomba namb ya wasp maaan nywele zangu had nimekata tamaaa kila mafut nimejalibu

  • @NaomKerubo-z4b
    @NaomKerubo-z4b 2 месяца назад

    Naeza tumia olive oil kwa kumix

  • @Inna9607Humphrey
    @Inna9607Humphrey 11 дней назад

    Maji ni yabaridi au yauvugu uvugu

  • @logobonking1561
    @logobonking1561 Год назад +3

    Samahan naomb ili swali unijibu plz kama umesuka kam ivo au mnyooshoo ukafanya iyo treatment je unaosha ukiwa ivoivo umesuka au unaacha ivoiv nywele zikifumuka ndy nioshee maan umesema unaweza kufany mar 3 kwa wiki je kam umesuka mnyoosho au mabutu unaweza kufanya ivo na usioshe ukaziacha ivoivo mpk nywele zitakapofumuka ndy nioshe na shampuu

  • @LatifaRashid-b4c
    @LatifaRashid-b4c 5 месяцев назад

    Mm nywere zangu hazikuwi

  • @EmillyDama-hy8zs
    @EmillyDama-hy8zs 2 месяца назад

    Kwa Mfano sina hayo mafuta yacasoun na hiya karafuu lakini nina yanazi haziwezi kuandefu?

  • @BukuruKiza
    @BukuruKiza 4 месяца назад

    ujambo dad' nataka kuja mim diy mtnz karafuu ndo Nini nataka kutumia dawa hii ya nywle

  • @SalumKhamis-n6x
    @SalumKhamis-n6x Год назад +44

    Naweza kuweka mafuta yoyote kwenye yangu kam sina hayo mafuta

  • @MukamurukundoJosiene
    @MukamurukundoJosiene 28 дней назад

    Kama hawuna hiy mafuta utatumiya olive oil awuliza

  • @ConceiçãoFátimavungeVunge-n3w
    @ConceiçãoFátimavungeVunge-n3w 2 месяца назад

    Isso é quimbundo ou liga lá

  • @mongeramatondo1320
    @mongeramatondo1320 5 месяцев назад +3

    Kwa ambao hamn nywele hii inawafaa zaid, cc wengine tuna nywele za asili hatupaki kitu n zinakuwa tu😂

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  5 месяцев назад

      @@mongeramatondo1320 well said❤️

  • @stellaarcadios5377
    @stellaarcadios5377 Год назад +5

    vp kma huna mafuta ya Castro huwez eka mengine

  • @SalomeTsuma-ty6rm
    @SalomeTsuma-ty6rm 22 дня назад

    Sasa unaosha nyewele kwa mda gani

  • @AmaniNabintu
    @AmaniNabintu 2 месяца назад

    Bonjour kama labda mutu hapati hiyo mafuta wala iyo bunga niyanini samahani

  • @NancyAwuor-v4e
    @NancyAwuor-v4e 6 месяцев назад +1

    Thanks

  • @Litness-z7x
    @Litness-z7x 2 месяца назад +1

    Uoshii nywele??

  • @CatherineWaithaka-x3c
    @CatherineWaithaka-x3c 4 месяца назад

    Aiyezi nuka

  • @ShakiraOmar-p4u
    @ShakiraOmar-p4u Месяц назад

    Nimependa

  • @KhadijaMohd-f2f
    @KhadijaMohd-f2f 2 месяца назад

    Kimfañ ukiwek mafut yañaz je?

  • @StellaRajab
    @StellaRajab 2 месяца назад

    mm zangu nifupi je zinaweza kukua

  • @joycemashaka372
    @joycemashaka372 Месяц назад

    Unakikalisha mda gani ukisha paka ama unaweza pka unamaliza unaosha bada ya dakika ngapi

  • @nicoledudu4454
    @nicoledudu4454 Месяц назад

    Hayo mafuta anauzwa ngapi Tanzanie

  • @MagrethSigala
    @MagrethSigala 5 месяцев назад +1

    😢naxhkul fana Dada angu❤❤

  • @ElizabethMichael-u8b
    @ElizabethMichael-u8b 5 месяцев назад

    Mm nikiwa na mafuta. Nikakosa kalafuu

  • @shabarben
    @shabarben 5 месяцев назад

    Naomba unisaidie nywele zangu mm ni nyekundu sana na sijui nifanyaje

  • @PeterKinyanjui-z6y
    @PeterKinyanjui-z6y Месяц назад

    Mtu anaweza tumia mafuta yoyote ama

  • @angelinefrancis
    @angelinefrancis Год назад +2

    Me nywele zangu ni nyekundu na zmedumaa

  • @DativaAjuna
    @DativaAjuna 2 месяца назад +1

    Kwan mpaka uweke kalafuu na ayo mafta au

  • @PrinceSuma-n8p
    @PrinceSuma-n8p Год назад +2

    Je kama umeshevu ndounataka kusuka inakuwaje naweza kupakaaa au vipiii

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  Год назад

      Yes unaweza paka

  • @PillyMwaganje
    @PillyMwaganje 2 месяца назад

    Nawez kuktumia mafuta ya naz??

  • @dinabilemanga1703
    @dinabilemanga1703 Год назад +3

    Mim nywele yangu zina katika sana nahiyo mafuta nitayatowa wapi huk

  • @OnorinaKiza
    @OnorinaKiza 6 месяцев назад +1

    Naomba unijibu sister nimeweka dawa juzi je naweza kutumia?

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  6 месяцев назад +1

      subiri ziote..... then utapulizia hayo maj kwenye ngozi

    • @OnorinaKiza
      @OnorinaKiza 6 месяцев назад

      @@Sarah1. Hooh Nilikua nywelee azitakatika mana sitaki zikatike sister

  • @MerlandineSaintprevil
    @MerlandineSaintprevil 4 месяца назад

    Mw pa gen sa ou mete a

  • @fettyochu
    @fettyochu 17 дней назад

    hayo maji unaweza kuyatumia mara zote au mara moja 2

  • @logobonking1561
    @logobonking1561 Год назад +3

    Kwan lazm uoshe siku iyoiyoo baada ya kuslay na hayo maji au unaweza ukaacha siku ukifumua ndy unaosha ama

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  Год назад

      Unaweza ukaacha dear hayana madhara♥️

  • @AbigaelSivyaendera
    @AbigaelSivyaendera 3 месяца назад +1

    Swahili njo shidaaa marahiyo Mimi mukongomani sielewi mambo ingine kwa lugha yangu ya français

  • @MarcelineCéline-r3l
    @MarcelineCéline-r3l 10 дней назад

    Naweza tiyanini kama sikupanda karafu

  • @KulwaRichard-u5f
    @KulwaRichard-u5f 2 месяца назад

    Asante me imenisaidis

  • @LydiaHangi-z7m
    @LydiaHangi-z7m 6 месяцев назад +1

    Hello! napaswa kuipaka kwenye nyele marangapi kwa wiki?

    • @OnorinaKiza
      @OnorinaKiza 6 месяцев назад

      Amesema mara 2,3,4

  • @AnithaDominic
    @AnithaDominic 11 месяцев назад

    Zinaweza kukua kwa ck ngap

  • @VedisianaLasway
    @VedisianaLasway 2 месяца назад

    Naweza kutumia mafuta mengine zaidi ya hayo unayo tumia wew au haifai

  • @Paskalina-d3d
    @Paskalina-d3d 2 месяца назад

    Samahani me hapo kwenye kuosha sijaelewa naosha na sabuni ipi sasaa

    • @GerlofactionNadhiru
      @GerlofactionNadhiru 16 дней назад

      Ajakujibu dear Ila niliwahi kuuliza nikaambiwa ni shampuuu

  • @estherwanja3804
    @estherwanja3804 5 месяцев назад +1

    Kalafuu ni nini?

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  5 месяцев назад

      cloves

  • @ELIZABETH-uz6dv
    @ELIZABETH-uz6dv 6 месяцев назад +5

    Ikibaki unaweza kutumia tena siku nyingine au ni lazima iwe hapo kwa hapo .

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  6 месяцев назад

      harufu yake itakua kali,,, bora utengeneze chache

  • @gracekeneth-w1g
    @gracekeneth-w1g 10 месяцев назад

    mimi naomba namba zako niwe nakuja tunafanya ote ivo namm nywele yangu ikue

  • @batistadaud6
    @batistadaud6 4 месяца назад

    Hey unatumiya kwa mud ngan

  • @hemednkondi3681
    @hemednkondi3681 2 месяца назад

    Jamani me nywele zangu haziskii mafut

  • @CiciNana-t7b
    @CiciNana-t7b Месяц назад +1

    Natal kujua namimi

  • @FatumaPatauli
    @FatumaPatauli 2 месяца назад +1

    Kwaiy karafuu ni lazima sana

  • @mwendenaomi33
    @mwendenaomi33 5 месяцев назад +1

    Kama yangu

  • @StellaPeter-z3h
    @StellaPeter-z3h Месяц назад

    Vipi nywele ambayo Ina dawa tayari

  • @LinaRobert-p8g
    @LinaRobert-p8g 5 месяцев назад

    Naweza kuweka mafta yoyote kama cn hayo casto oil na nywele yenye dawa naweza fanya hivyo?

  • @ceciliashirima7063
    @ceciliashirima7063 Год назад +3

    Natakiwa nizioshe baada ya muda gani baada ya kuspey hayo maji?

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  Год назад

      Dk thelathin dear

  • @ShanizJumah
    @ShanizJumah 4 месяца назад

    Naeza tumia mafta yyte siz

  • @BernadetteJoseph-zj4rh
    @BernadetteJoseph-zj4rh 7 месяцев назад +4

    Km sina hayo mafuta au nikikosa hiyo karafuu nifanyeje d

  • @Jael-sn8iy
    @Jael-sn8iy Месяц назад

    Mbona hiyo mafuta haiko huku congo

  • @ElizabethMutunge
    @ElizabethMutunge 4 месяца назад

    Unaeza tumia mafuta yeyote ya nywele ama

  • @vailethnehemia5292
    @vailethnehemia5292 Год назад +2

    Je nikiweka zikakaaa Kwa huo muda naweza ziosha ama

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi 5 месяцев назад

    Mko sure kuhusu hii nijaribu?

  • @jellymagoha
    @jellymagoha 9 месяцев назад +1

    kama hauna hayo mafuta unaweza kutumi yoyote yale?

  • @maryobedi6807
    @maryobedi6807 5 месяцев назад

    Mimi nafanya hivyo lakini nywele yangu inakatika