you probably dont give a shit but if you are stoned like me during the covid times then you can watch all the latest movies and series on InstaFlixxer. Been streaming with my brother for the last days :)
Watanzania wenzangu Kweli ni Watu Wazuri Sana,Wanang'aa Sana kwenye Mataifa makubwa....Asante Sana Mungu Mkuu kwa Uumbaji huu....Pia padre unayajua mambo ya kidini.... Nigeria in Tanzania....Prophetic word of God in Tanzania....Huyo mtoto atakayezaliwa ni Zawadi ya Tanzania....
@@kalumbugideon4159 Angalia video za Bisola Johnson aliyekuwa mfanyikazi kwa hiyo kanisa miaka 14 na anasema hii yote ni uongo na mashetani na kwanza tb joshua alikuwa muislam kwa jina Fatai. Waganga kutoka Benin na Ghana wamemsaidia kumpea nguvu za ushirikina,kuona mambo na kutabiri. Lakini tabia ni zile zile. Angalia tena yt mganga anaitwa Nana Kwaku Bos kutoka Ghana akieleza hata vile amepea nabii Bushiri na wengine powers.
Bora umenisaidia kuwauliza, maana mm Sioni haja ya watu tunaamini katika Kristo kutengana na kusemana vibaya neno moja you ni kwama tu wamoja ktk Kristo tupendane
Jmani leo ndo nimejua mapya kumbe mpendecoste anaweza kufunga ndoa na mroma na kila mtu akabaki na thehebu lake nimekuelewa paroko ilikuwa inanipa shida hapo ubarikiwe kwa kunifungua
Paroko nimekuelewa kwa maelezo yako.Huko vizuri. Achilia mbali andiko la kutofungiwa nira na wasioamini ilivyo sawasawa kufafanuliwa kijuu juu lkn maarifa unayo ya kutosha kuielezea jamii kinachoaminiwa na Katoriki.
Ndio maana kuna mafundisho. Suala la kuamini ni baina ya wanandoa. So kwenye mafundisho ndiko kuna kukiri nk ikiwemo kuruhusu Mwenzako kupractice imani yake
Uko nyuma sana aiseeee miaka na miaka watu wanaoa muislamu na mkatoriki, muislam na mlutheri we endelea na ushamba wako wa kukarishwa mambo bila kujiongeza
Itakiaje mama anakwenda kanisa lingine na watoto na baba wanakwenda kanisa lingine duh mtihani huu, watoto wanaweza mlilia mama waende nae pentecost baba atawaruhusu waende na mama yao
Hivi unategemea TB Joshua kuhudhuria ndoa ya Mtoto wake aliyeolewa na Mataifa? Kibibilia kwanza hairuhusiwi. Kwa hiyo lazima kuna namna alikataa ushauri wa wazazi wake ....so unaweza kuelewa kitu hapo
Shida ni apo kwenye mama ,mbona yeye kaenda , na uyo TB joshua amedanganya dunia kwamba hakwendwa kwaajl ya majukum? Nadhan angeweka wazi Kama hakupendezwa na huo muunganiko wa bint yake na mkatholik
@@esthermbise4982 Sio Kila kitu cha kusema nj'e ...ikishindikana vikao vya ndani basi unaachia Kila mtu aendelee na mambo yake Maadam msichana ni mtu mzima ana maamuzi binafsi
@@marymabula9077 hakuna ndoa baini ya muislam na mkristo na ikitokea mume wa kiislam kuowa mke wa kikirsto ni awe musliam kwanza ndipo amuoe ela mke wa kiislam kuolewa na mkristo hairusiwi kabisa
Achana nao hao mama, Tujiconect wenyewe tuu humu ndani kwetu Bongo yatosha. Mimi hapa nahitaji jiko Vigezo: (1) Awe mcha Mungu (dini yeyote) (2) Awe serious (2) Awe Natural (staki mamikorogo, manywele bandia, n.k) (4) Asiwe MSOMI (elimu ya juu iwe Diploma, ya chini ni Kidato cha 4 ) (5) Awe anajua kupika (sina muda wa kumfundisha mtu mapishi) (6) Haijalishi uwe umeshaolewa ila usiwe na watoto zaidi ya Mmoja. (7) Umri kuanzia 14 yrs usizidi 30 yrs (8) Awe Raia wa Nchi yeyote ispokuwa Australia. Kama uko tayri njoo DM ama kama kuna mtu wamjua plz mpe connection
Wanigeria hapo wanapotiwezea mzee Dada kapiga ndoa 3 kwa mpigo , hiyo ya kwanza inaitwa ...Utaniambia, hiyo ya pili inaitwa Ukinizingua tunazinguana ya Tatu.... Inaitwa Tukigombana Mambo yetu yaende Kama kawaida siku ukinifumania wewe piga kimya.
@@claraedwardmalingumu3565 apa unaongea na mkatoliki pure aliyezaliwa kwenye ukatoliki tena kuko na masista na mapadre kwenye familia ivo sijakurupuka kukujib ndugu
Siyo jambo jipya ndugu. Hata Waziri mkuu mhe Majaliwa ana ndoa ya mseto, yeye ni muislamu na Mkewe ni mkatoliki. Hali kadhalika hayati Benjamin Mkapa alikuwa na ndoa ya mseto Mkewe Ni mlutheri naye alikuwa mkatoliki.
Haleluuyah Tanzania imebarikiwa! Nimejisikia amani sana!! Uzao wa TB Joshua umeingia Tanzania rasmi! Mungu aendelee kuitunza Tanzania
Nn
you probably dont give a shit but if you are stoned like me during the covid times then you can watch all the latest movies and series on InstaFlixxer. Been streaming with my brother for the last days :)
@Bowie Malachi Definitely, I have been watching on instaflixxer for since december myself =)
Watanzania wenzangu Kweli ni Watu Wazuri Sana,Wanang'aa Sana kwenye Mataifa makubwa....Asante Sana Mungu Mkuu kwa Uumbaji huu....Pia padre unayajua mambo ya kidini.... Nigeria in Tanzania....Prophetic word of God in Tanzania....Huyo mtoto atakayezaliwa ni Zawadi ya Tanzania....
Yaaah kweli Mungu ni mwema saana
Nyinyi hamjui tb joshua.
@@justinamusyoka4986 Tusaidie unavyomjua hili tujifunze Jambo Kwako
@@kalumbugideon4159 Angalia video za Bisola Johnson aliyekuwa mfanyikazi kwa hiyo kanisa miaka 14 na anasema hii yote ni uongo na mashetani na kwanza tb joshua alikuwa muislam kwa jina Fatai.
Waganga kutoka Benin na Ghana wamemsaidia kumpea nguvu za ushirikina,kuona mambo na kutabiri.
Lakini tabia ni zile zile.
Angalia tena yt mganga anaitwa Nana Kwaku Bos kutoka Ghana akieleza hata vile amepea nabii Bushiri na wengine powers.
@@justinamusyoka4986 acha uongo wewe usiongee vitu usivyovijua
Woooooow nimeipenda Sana hiiiiyooo Mungu wetu ni mmoja.......pentekoste mmeiona Imani kubwa ya tb Joshua?????
Bora umenisaidia kuwauliza, maana mm Sioni haja ya watu tunaamini katika Kristo kutengana na kusemana vibaya neno moja you ni kwama tu wamoja ktk Kristo tupendane
@@merymrawa9091 kabisa,imeandikwa walio upande wetu ni wa kwetu.hakuna wa kefa au wa Apolo...wote NI wa Kristoooooo
Asante sana baba Paroko kwa kwa kuheshimu mafuta ya Nabii,maana ni kweli anahudumia watu Lagos Nigeria. Ukimheshimu Nabii utapata thawabu ya Nabii.
Amina
Wow congratulations to them God bless them wamependeza sana
Congratulationd to the newlyweds and may God Bless them abundantly in all ways
BARIKIWA SANA, KATOLIKI SAFIIII
Waaah!... West meets the East..power of Love!
Tanzania we got a beautiful gift Sarah from man of God TB Joshua may his soul rest in peace amen
Congratulations to the newly wed couples in Tz
Good match..congrats
May God’s Will be done in this marriage. God bless the couple
Mhh, Mungu awasaidie wawili hao kufikia kimo cha utimilifu wa Kristo katika kumjua yeye
Hongeren sana wanandoa...mkawe na upendo uliotukuka...🙏
Congratulations ❤ very beautiful
Mungu abapatiye maisha marefu
Mungu awaongoze katika ndoa yenu iwe yakudum
Mushi pijo umeweka historian kwenye ukoo wetu hongera bro
Mashallah mungu awalinde daima na milele inshallah 🙏❤💖💕I love you Tanzania 🇹🇿❤😘
Yes this shows how Prophet TB JOSHUA IS REAL A PROPHET OF GOD.
How ?
Hongera Baba paroko kwa majibu mazuri juu ya Imani Katoliki
Serah karibu Tanzania❤
MUNGU BABA AWABARIKI, KATIKA JINA LA YESU KRISTO. AMEN
congratulations to the new couple..God bless your union.thank you sarai for that yes to TZ.
Point San father
Good!
May God bless them!
Nice
Karibu Tanzania Sarah
God bless you more in marriage.
Pongezi nyingi sana kwa kusimama katika imani Mungu awabariki mdumu katika upendo wa kweli
Mungu awabaliki maisha Mema ya Ndoa msimamizi huyo Dada Kapendeza Sana Bibi harusi Pia ni mzuri
Glory be to God almighty Amen
It is well in my soul, to God be glory
Katoriki iko vzr
Safi sana fr festo maelezo yako pouwa
Duh kijana wangu Festo njuka wangu huyu Kasita
Bibi harusi tayari ni mjamzito
Ndoa ilishafungwa tangu mwaka jana
Kwani sara ana maji ndani tayari
Sera anabaki kwenye Dhehebu lake sio dini dini ni moja ukristo ila madhehebu ndiyo tofauti
Kweli na uisilam ni dini ambayo kufa Yesu msalabani na kuwa ni mwana wa Mungu pia kuwa na Mungu baba mwana na roho mtakatifu!!
Hongera sana,,,angemkataeje hb Kama huyo jamaniiiii
Hapo chacha😅
hii ni conmection ya kimbingu kwa watu walioko rohoni kweli kweli wanaelewa
Jmani leo ndo nimejua mapya kumbe mpendecoste anaweza kufunga ndoa na mroma na kila mtu akabaki na thehebu lake nimekuelewa paroko ilikuwa inanipa shida hapo ubarikiwe kwa kunifungua
Yaan hapo nimeshindwa kumueelewa kiongozi du!!
Safi kabisa
is she already pregnant?, wow thank JESUS CHRIST
In the spiritual ream something wrong with Sarah...atajua baadaye
Safi sana
Shikamo WATANZANIA SASA TUKAMUOE MTOTO WA BILGETS TUONGEZE NDUGU KIMATAIFA
🤣🤣🤣🤣🤗
😂🤣🤣🤣🤣🤣😍😍😍😘😘😘
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Paroko nimekuelewa kwa maelezo yako.Huko vizuri.
Achilia mbali andiko la kutofungiwa nira na wasioamini ilivyo sawasawa kufafanuliwa kijuu juu lkn maarifa unayo ya kutosha kuielezea jamii kinachoaminiwa na Katoriki.
JUU YA WASIO AMINI ISIVYO SAWA SAWA KAELEZA VZR, HAJAELEZA JUU JUU.
OK Saudi brayani
WHEN THE DEVIL IS IN THE DETAILS!... OH MY... SAD
Padr anajibu kiufahamu kabisa
Cogratulation
Sema huyu alikuwa ni Paroko siyo huyu alkuwepo ni Paroko. Vingenevyo tunashukuru kwa taarifa
Safiii sana
Na waislam pia je!!sio wapinga christo
Ndio maana kuna mafundisho. Suala la kuamini ni baina ya wanandoa. So kwenye mafundisho ndiko kuna kukiri nk ikiwemo kuruhusu Mwenzako kupractice imani yake
Nami nilifunga ndoa mseto mume alikuwa muislam.
@@levinabyamungu8453 siku hizi kawa mkiristo?
Kwani nikinanani mbona kimetembea sana nijuzeni
Binti wa nabbing Tb Joshua...kaolewa na mchaga Tanzania 🇹🇿
Kawaida tuuu.
Mnao pongeza hili Jambo sijui Kama mko sahihi..na ndiomaana tb..hajahuzulia...... kiimanini kunashida hapo
Kuna shida ndio
Kweli kabisa
MUNGU Awalinde wote nafamilia yenu
Mmm jamani watoto wakikirsto hawasikii wazazi kweli
Kabisa
Subhana allah ama kweli dini ya haki ni ni uislaam
Kuna muislamu kaoa Mkatoliki na anaendelea na maisha
@@fredylucas2484 Uko sahihi Kabsa halafu angalia jina la huyo dada hyo Joseph inatafuta nn wakat yye Warda😂😂
Uko nyuma sana aiseeee miaka na miaka watu wanaoa muislamu na mkatoriki, muislam na mlutheri we endelea na ushamba wako wa kukarishwa mambo bila kujiongeza
Aje
Haki gani tena jamni😃😃😃
safii sanaaa
Fr. Anaeleza vizuri sanaaa
Roman empire na nyie mnamjua mpinga Kristo?OOOOOOps the world is too stuborn
Hatutaki upuuzi huu
Hiyo baya kwa Sarah
Itakiaje mama anakwenda kanisa lingine na watoto na baba wanakwenda kanisa lingine duh mtihani huu, watoto wanaweza mlilia mama waende nae pentecost baba atawaruhusu waende na mama yao
Wataenda tu mpaka wafikishe miaka 18 wachague moja
Hivi unategemea TB Joshua kuhudhuria ndoa ya Mtoto wake aliyeolewa na Mataifa? Kibibilia kwanza hairuhusiwi. Kwa hiyo lazima kuna namna alikataa ushauri wa wazazi wake ....so unaweza kuelewa kitu hapo
Kweli kabisa
Shida ni apo kwenye mama ,mbona yeye kaenda , na uyo TB joshua amedanganya dunia kwamba hakwendwa kwaajl ya majukum? Nadhan angeweka wazi Kama hakupendezwa na huo muunganiko wa bint yake na mkatholik
@@esthermbise4982 Sio Kila kitu cha kusema nj'e ...ikishindikana vikao vya ndani basi unaachia Kila mtu aendelee na mambo yake
Maadam msichana ni mtu mzima ana maamuzi binafsi
Sisi waislaam haturuhusiwi kuolewa na waso waislaam
Mbona wengiii tu tunawajua wameolewa ndoa za kanisan na ni wakatoliki.
Siyo kweli mambo yamebadilika. Kuna Mpakistani kaoa mkatoliki Marekani na yeye anaendelea na uislamu
Mmmh mbona wengi tu wameolewa hao waislam acha hizo chezea mapenzi ww
Sema wewe , usiwasemee maelfu ambao wapo kwenye ndoa hizo na wanaendelea na maisha na wanapendana sana na Mungu anawabariki vilevile
@@marymabula9077 hakuna ndoa baini ya muislam na mkristo na ikitokea mume wa kiislam kuowa mke wa kikirsto ni awe musliam kwanza ndipo amuoe ela mke wa kiislam kuolewa na mkristo hairusiwi kabisa
Mchaga kapamban
Hivi moshi ni wachaga kweli, navojua wachaga wengi huitwa mushi sio moshi au wamekosea
Hivi moshi ni wachaga kweli, navojua wachaga wengi huitwa mushi sio moshi au wamekosea
@@iraqgirl2143 hawajakosea moshi ni ukoo wa kichaga
@@iraqgirl2143 kuna moshi ;Mushi,mosha
Wow
Big up sana bwana Moshi 👏👏👏👏
I thanks God I got support Bwana Moshi na mimi nimeona Tanzania kwa Mlay am Nigerian
nilaana sana
Ebu tupeni connection jamani,Kama Kuna mtoto wa kiume huko kwaTB Joshua,lkn nipo na diploma ya ualimu
😂😂😂ka Google utawaona kibao alafu wafate dm kwa insta zao
😀 mbona umejiami na elimu yako Kean vppppp
😂😂😂
Nabii TB Joshua ana watoto 3 tu na wote ni wa kike..!!
Achana nao hao mama,
Tujiconect wenyewe tuu humu ndani kwetu Bongo yatosha.
Mimi hapa nahitaji jiko
Vigezo:
(1) Awe mcha Mungu (dini yeyote)
(2) Awe serious
(2) Awe Natural (staki mamikorogo, manywele bandia, n.k)
(4) Asiwe MSOMI (elimu ya juu iwe Diploma, ya chini ni Kidato cha 4 )
(5) Awe anajua kupika (sina muda wa kumfundisha mtu mapishi)
(6) Haijalishi uwe umeshaolewa ila usiwe na watoto zaidi ya Mmoja.
(7) Umri kuanzia 14 yrs usizidi 30 yrs
(8) Awe Raia wa Nchi yeyote ispokuwa Australia.
Kama uko tayri njoo DM ama kama kuna mtu wamjua plz mpe connection
Ju
Huuu ni muunganiko mkubwa sana,Maana mtot wa Nabii mkubwa TB Joshua kuolewa Tanzania ni ishara kubwa ya umoja Kati ya Tanzani na Nigeria
Wanigeria hapo wanapotiwezea mzee Dada kapiga ndoa 3 kwa mpigo , hiyo ya kwanza inaitwa ...Utaniambia, hiyo ya pili inaitwa Ukinizingua tunazinguana ya Tatu.... Inaitwa Tukigombana Mambo yetu yaende Kama kawaida siku ukinifumania wewe piga kimya.
Kwakweli ni raha sana jamani
Alafu bride na bride groom wako resemble kabisa
Ujue mwanamke Ana nguvu ya ushawishi ,usije kuta kijana akahamia kwa binti sara
Kijana mbona ni mtumishi wa scoan muda mrefu sana zaid ya miaka kumi
@@brigithadidas5128 scoan ni nini?
@@damariszuckschwert9489 ni Synagogue Church Of All Nations ..Jina la Kabisa la Tb Joshua
@@damariszuckschwert9489 I mean Kanisa la Tb Joshua
@@dianafrederick8769 Haa? Kijana anakuwaga huko?
Maisha mema kwenu
Hakuna kitu ndoa ya mseto, huyu Padre anadanganya na ku dilute maandiko.
Kama ujaelewa omba ueleweshwe,
IPO uliza kwa wanaosali romanikatoliki, wewe ndo haujui
@@claraedwardmalingumu3565 apa unaongea na mkatoliki pure aliyezaliwa kwenye ukatoliki tena kuko na masista na mapadre kwenye familia ivo sijakurupuka kukujib ndugu
@@kawawamamaya8543 mie mwenyewe mkatoliki
@@claraedwardmalingumu3565 sasa mkatoliki gani unaandika vitu kama ivo, woii muulize paroko wako then urud ukoment ndugu yang clara
Katoliki maana yake
Watu wote ni wakatoliki.madhehebu wamekengeuka.kwa hiyo wanapokuja katoliki wanapokelrwa
Wewe ndio umekengeuka
Kumbe ndo maana Baba wa binti hakuja! We bint umehaibisha huyo hajaamini! Bhana
Mwandish naomba namba ya huyo Padre festo ,,0774208825
Watuyote wana Mwamini mu ngu
Hiyo ndoa ya kanisani eti kifo ndo kiwatenganishe pop wa Vatican alisha tengua, maaana watu walikuwa wanateseka tuu .
useles
Hii haitenguliwii na mwanadamu.
Pop yupi huyo,
@@epifaniamilinga2848 mweleze embu aelewe
Labda pope wako ndio alitengua
Hata wangefungia wap furah ndo kitu cha msing
usilolijua ni usiku wa giza... hakunaga ndoa ya mseto. ni porojo na usanii
Wewe wasema
Wewe wajua??
Ndio maana baba yake hakuja amemuabisha Sana baba yake hakuna wokovu hapo kwa Sara.
Uelewa wako bado mdogo sana mzeèe
@@petronzengelele7137 boraa useme wew maan anjion yuko sahihi
Usifungiwe nira na asiye amini "
Huna ujualo. Msikilize Padri vizuri
@@andrewcharugamba7498 wote si wana imani katika jina la Yesu kristo? Au shida ni IPI hasa?
mh ndoa ya mseto 🤣🤣🤣🤣🤣
Yes ipo kabisaaaa
@@shamimushittindi1418 ni hatati . kwa hiyo km muislamu ataolewa kiislamu ikisha akaozeshwe kanisani? hivyo haipo ktk uislamu.
Siyo jambo jipya ndugu. Hata Waziri mkuu mhe Majaliwa ana ndoa ya mseto, yeye ni muislamu na Mkewe ni mkatoliki. Hali kadhalika hayati Benjamin Mkapa alikuwa na ndoa ya mseto Mkewe Ni mlutheri naye alikuwa mkatoliki.
@@kiri5807 sema wewe ndio huna ,ila waislamu kibao wako na ndoa hizo eg Mh Majaliwa
@@emmadora7848 nafahamu na Ummu mwalimu . mtihani .