MASHEIKH WATOA MSIMAMO KUHUSU FUNGA YA ARAFA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 181

  • @iddramadhani2715
    @iddramadhani2715 5 лет назад +2

    Mashekh zangu mko vizuri na pia mko sawa Allah awalipe kila la kher.

    • @Kenyayetu24
      @Kenyayetu24 5 лет назад

      ruclips.net/video/rGIzAeF48aw/видео.html

  • @saeedal-awen2190
    @saeedal-awen2190 5 лет назад

    maneno yako wazi kazi kwenu bakwata ima mfate haki au batili. masheikh mashaAllah wameongea vzr

  • @salimally6877
    @salimally6877 6 лет назад +3

    Shekhe kishki mungu akulipe kwakila lenye heri ishaallah

  • @NzaraMreto
    @NzaraMreto 7 месяцев назад

    Very true sheikh Nurdin kishk, sina shaka na hilo

  • @minaziparasu4980
    @minaziparasu4980 6 лет назад +2

    Dah kwakweli tusiokua naelimu munatuyumbisha Sana. Ila tutashika ilekauliyake Mtume SAW pindi muonapo mitazamo isiopatikana jibu basi shikeni Shina lamtende. Nadhani mudawake umefika

  • @kananiitv4643
    @kananiitv4643 3 года назад

    Huyo kishki na wenzake wamuogope mungu, arafa sio moja, arafa zipo3, arafa kitendo, mahali na kisimamo, wanavyotuambia arafa1 hatuwaelewi

  • @seifriyembe6746
    @seifriyembe6746 2 года назад +1

    Mbumbumbu hawajui jiografia.

  • @ABUUALLY-t1b
    @ABUUALLY-t1b Год назад +1

    Masheikh waongoo ndio hawaaa

  • @sajjadally9248
    @sajjadally9248 3 года назад

    Mnachakachua kipande cha sheikh Al arif 😀😀😀😀baada ya kuumbuliwa.Huyo Kilemile anakula matapishi yake

  • @MohammedAli-mf3ln
    @MohammedAli-mf3ln 6 лет назад +7

    Mwaapoteza umma

    • @alikirobo141
      @alikirobo141 5 лет назад +1

      Sure

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 9 месяцев назад

      Sasa hyo Hadith inayosema arafa ni moja lete hyo dalili ya kufuata Makkah mmefeli mashekh hamna lolote

  • @husseinally5550
    @husseinally5550 3 года назад +1

    Maneno matupu

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 2 года назад

    Muwe makini tu na video hii inakaribu miaka minne au Zaidi tokea niione Mimi sahivi 2022na nakumbuka ilieditiwa kwa kutaka watu ufuatwe msimamo wao

  • @salimually5716
    @salimually5716 3 года назад

    عليكم بالعتيق

  • @mimukenya889
    @mimukenya889 6 лет назад +3

    Ma Shaa Allah

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 6 лет назад +1

    MashAllah

  • @afric01
    @afric01 2 года назад

    Aslm alkm ww.... Mambo haya yaskitisha sanaaaaa. Allah atuongoze. Sijui tusemeje. Tafadhalini zungumzenu muelewane. Shukran sana. Allah atulinde na atutaqabalie dua zetu tunapo muomba. Yahuzunisha. Insha Allah kheir 🙏

  • @husseinyahaya2639
    @husseinyahaya2639 5 лет назад

    Mambo haya ni mapana sana ndugu zangu acheni hawaa semeni haqq wattaqullaah alaa aq waalikum

  • @hasreeyasini
    @hasreeyasini Год назад

    Apa vip na kule vip sheikh Walid sijakuelewa

  • @ibrahimcharlesswaleh
    @ibrahimcharlesswaleh 5 лет назад +4

    Arafa ni moja, wewe kama unakaza kichwa endelea. Na dunia nzima watu husimama Arafa ndani ya masaa24.

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 2 года назад

    Masufi mwashangaza sana mwanamuita ibnu baaza na ibnu uthaymeem kuwa mawahabi,
    Lkn hapo hapo Eti mnatumia fatawa zao,!!!

  • @sanuramakame5122
    @sanuramakame5122 5 лет назад +2

    Uislam ni kiboko ya sayansi sasa ukisema kua duinia nzima tufuate mwandamo wa mwezi mmoja nisawa sawa kusema uislamu na sayansi ni vitu viwili tofauti na hali ya kua sio kweli.

  • @asiakheir6406
    @asiakheir6406 6 лет назад

    Shukran tutafuata maka in shaa Allah

    • @Kenyayetu24
      @Kenyayetu24 5 лет назад +1

      Fuata sunnah ambayo ni kufuata muandamo wa uliko sheikh

  • @ahmadazubeir5112
    @ahmadazubeir5112 5 лет назад +1

    Sheikh Kishki taratiibu basiii

  • @ziadaalute6836
    @ziadaalute6836 5 лет назад

    Arafa ni moja hata kama si kusoma,M/Mungu angetaka Arafa ziwe nyingi asingelazimisha makabila yote yakutane kule,angeacha kila mtu akae kwao naafanyie hukohuko.

  • @feswalsalim7909
    @feswalsalim7909 3 года назад

    Aslm Shekh wa shekh kuluamu waatum bihery minal admin

  • @kassimally1803
    @kassimally1803 5 лет назад +2

    Sahihi kabisa hakuna dalili nyingine zaidi ya hizo shukraan jazaq llahu khairaa

    • @maawymuhammad6779
      @maawymuhammad6779 Год назад +1

      Mtume aliulizwa kuhusu siku ya arafa akajibu kwamba arafa ni tarehe tisa hakuna hata riwaya moja isemayo kwamba arafa ni siku ya kismamo hakuna
      Nakuuliza swali je kama wewe umeona mwezi mbele ya suudiya alafu kwako ikafika kumi na kwao ikawa ni tisa je utafunga tarehe kumi haya funga kama wewe ni mkweli upate madhambi.Hili ni swali bin baz aliulizwa shekhe wenu wa kiwahabi akasema kwamba ni haramu kufunga kwa hiyo haya ni maelezo tosha yanayoonyesha kwamba arafa ni tarehe tisa
      Mtume aliposema kwamba alhajju arafa hiyo hadithi yawahusu mahujjaj si wale ambao wanaofunga.Hao wazungumzaji wajidai mashekhe na hakuna wajualo.

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 3 года назад

    Waisilamu tuacheni ushabiki tuangalieni Mambo kielimu nadalili zake

  • @feswalsalim7909
    @feswalsalim7909 3 года назад

    Aaslmalykm shekh unanikumbukaa nilikuaaa jirani yako hapo shule wakumbukaa dar kwa mzee mwarabu aliekua Ameo mswahi

  • @abdullirahimuramadhani4675
    @abdullirahimuramadhani4675 6 лет назад +1

    waambie mashehe ubwabwa akina suraga

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 5 лет назад +5

    hii video ni ya kutengenezwa na masheikh wote walitoa misimamo tofauti isipokuwa imekatwa

  • @salumrashidabdullashmely2558
    @salumrashidabdullashmely2558 5 лет назад +4

    Acheni uongo, elezeni haqi

  • @ahmadazubeir5112
    @ahmadazubeir5112 5 лет назад +1

    Alhajju Arafa!! Unaijua hadithi Sheikh mafhuum yake

  • @ahmardlwambo6299
    @ahmardlwambo6299 5 лет назад

    Shukran Sana

  • @saidnyonzo850
    @saidnyonzo850 5 лет назад +5

    KWA HIYO WANAZUONI WA SASA WANAWASHINDA WA ZAMANI NA MTUME

  • @abdulmajidothman8956
    @abdulmajidothman8956 3 года назад

    Zamani na saivi tafauti tuekeni wazi mashekhe wetu zamani hakukuwa na internet ambayo watu wata pata habari moja kwa moja kwamba leo au kesho ndo kisimamo cha Arafa

  • @halfansaid9313
    @halfansaid9313 2 года назад

    maneno mazuri
    mmeyapata kitabu gani

  • @omaryenock8203
    @omaryenock8203 6 лет назад +4

    Shekh kish Allah akulipe kila LA kheri

  • @ahmadazubeir5112
    @ahmadazubeir5112 5 лет назад

    Arafa sio moja Mzee

  • @malikshaban5113
    @malikshaban5113 5 лет назад +1

    A.alykm tunaomba mwenye clip mzima aitume ili tuweze kufahamu zaidi sio hii ya vipande pande

    • @binrashid8671
      @binrashid8671 5 лет назад

      Dah umeniweza kwel na huyo sisimizi..

  • @halakamsiba
    @halakamsiba 6 лет назад +2

    Ya Allah tuongoze kwa njia ya haki.

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 лет назад +1

    Jamani shekh Waleed wamekata maneno yake mwanzo namwisho angalieni vizuri clip inavoruka

  • @nawawisaalim7173
    @nawawisaalim7173 5 лет назад +2

    Uongo huo clip zote tunazo zote hizo zimetengenezwa kila aliye tengeneza hili aandae cha kujibu mbele ya Allah

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 5 лет назад

      Hao mashekhe wapo na huo ndio msimamo wao kwa mujibu wa mafundisho ya Mitume

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 5 лет назад

      Hao mashekhe wapo na huo ndio msimamo wao kwa mujibu wa mafundisho ya Mitume saw

    • @AbdulAbdul-pr9qe
      @AbdulAbdul-pr9qe 5 лет назад

      mohd khatib tatizo video imeeditiwa hiyo

    • @uledihassan6065
      @uledihassan6065 4 года назад

      Imeeditiwa wapi kijana acha ujinga

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 6 лет назад +4

    Kwa iyo tusitizame mwezi ktk nchi zetu

    • @hindisaidi5097
      @hindisaidi5097 6 лет назад

      Sidhani kama utapewa jibu. Labda sie huku si sehemu ya dunia. Mungu aliiumba dunia tofauti na haitotokea kua sawa

    • @saidmuhama9846
      @saidmuhama9846 6 лет назад

      Katika Ibada ya Hijja hesabu ya mwezi haitazamwi nchi tofauti na Saudia Arabia, hivyo ili kupata fadhila za funga lazma uendane na mahujaji wakiwa katika kisimamo.

    • @rayaalaisari4592
      @rayaalaisari4592 5 лет назад +1

      Lazima kila nchi itazame muandamo WA mwezi kwao mkitaka ukweli Saudi Leo Wana miaka 38 wao hawatazami mwezi wao wanafata kwa kuhesabu tu..... Namkumbuke Kuna nchi zingine sisi Asubuhi wao usiku Sasa mkisema watu ndunia nzima ifunge siku ya Arafa itakuwaje jamani

    • @alikirobo141
      @alikirobo141 5 лет назад +1

      Hawatakujibu hao. Bidaa

    • @rahmahkhalfan1178
      @rahmahkhalfan1178 4 года назад

      @@saidmuhama9846 lete dalili.usilete propaganda za kiwahabi

  • @fatumajuma1341
    @fatumajuma1341 5 лет назад

    Swadakta

  • @nganzirashidi1463
    @nganzirashidi1463 6 лет назад +4

    Tatizo Elimu ndogo sana

    • @MohammedAli-mf3ln
      @MohammedAli-mf3ln 6 лет назад +2

      Ng'anzi Rashidi tende zasumbua watu. Hawataki Kurosawa dalili ya Hadith Swali tarehe 9 na hajj ipi ilikuwa mwanzo

    • @Kenyayetu24
      @Kenyayetu24 5 лет назад

      Kweli kabisa rashidi,na ilimu ndogo sumu

  • @Salim-hp2ri
    @Salim-hp2ri 5 лет назад +1

    Kwa kweli ma shekh mnatuyumbisha sasa ss tutafata makkah siku watu wako arafah miaka yote huwa tunafunga siku watu wamesimama arafah

  • @saidnyonzo850
    @saidnyonzo850 5 лет назад +6

    Hiyo ni mitazamo yenu na kitu kibaya zaidi kwan mnapotosha na wengine

  • @ramadhankigwede4895
    @ramadhankigwede4895 5 лет назад +1

    Kinachosikitisha zaidi majadiliano yote ya mwandamo kwa mwezi huja ndani ya Ramadhan na Mfunguo tatu baada ya hapo wale wote wanaufuata mwandamo wa saudia wanausahau na kufuata mwandamo was Tanzania hebu twambeyeni hapa kati pana mini hata pana sahaulika

  • @suleimanmustafa6042
    @suleimanmustafa6042 4 года назад

    Kasomeni tena riyadhwa au madina mawahabi bado mkonyuma.

  • @kawelasaidi502
    @kawelasaidi502 5 лет назад

    komaeni na masheikh wetu waliyoko mshauri huu mjadala hamuwezi tusubiri mrejesho siku ya kiama hapa hakuna majibu nani yuko sahihi kila upande una hoja zenye mashiko

  • @mapishinasherry7671
    @mapishinasherry7671 5 лет назад

    Shukraan

  • @AbasiSharifali
    @AbasiSharifali 7 месяцев назад

    Ww waulza kisimamo au swaumu hzo nztu tafaut

  • @MohammedAli-mf3ln
    @MohammedAli-mf3ln 6 лет назад +3

    Toa dalili between Tarehe 9 na hajj kwa hadith au quraan

  • @yusufu.bakari1150
    @yusufu.bakari1150 5 лет назад +4

    Mashekh wengine wanasema vitabu vya fiqhih havisemi ivo mnavosema bali vinasema arafa nisiku ya tisa
    Napia geographia hazifanani itakuwaje wote tufate mahujaji?
    Au mwafata utandawazi sababu miaka ya nyuma haikua ivo

    • @Kenyayetu24
      @Kenyayetu24 5 лет назад

      ruclips.net/video/rGIzAeF48aw/видео.html

  • @allyndambwe4354
    @allyndambwe4354 5 лет назад +1

    nyinyi mmepata wapi

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 3 года назад

    Kwasasa mawasiliano yapo je Zama zilizopita walitumia hukmu gani kufwata arafa moja swali?

  • @assadhassan6919
    @assadhassan6919 5 лет назад +8

    Tatizo mnaongea bila dalili, hebu tufafanulieni Quran na hadith zinasema nini kuhusu arafa, na mwezi tisa

  • @AbasiSharifali
    @AbasiSharifali 7 месяцев назад

    Ww wacha unafik Yule sheikh mwengne alpokuja alpoulizwa alisema kila mmoja na mwez wake

  • @centralzonetvtanzania7313
    @centralzonetvtanzania7313 6 лет назад +6

    Naona wote wanatumia vichwa vyao tu quran, sunna na salafy wamewekwa pembeni

  • @allyndambwe4354
    @allyndambwe4354 5 лет назад +1

    sasa ni siku ya kisimamo cha arafa au siku ya arafa?

  • @khamisimaallimtv8539
    @khamisimaallimtv8539 3 года назад

    Kwa ubishi huu bora usifunge kabisa mana funga yenyewe sunna

  • @zafarmohamed9413
    @zafarmohamed9413 Год назад

    huyu kaunganisha clips

  • @ajuayeofficial
    @ajuayeofficial 5 лет назад +3

    *EIMU ZENU NDOKA SANA*

  • @user412
    @user412 6 лет назад +2

    Hakika

  • @alikirobo141
    @alikirobo141 5 лет назад +4

    TV yenyewe kumbe ni kishk tv online? Mnazusha mna edit.

  • @hassanal-husseiny9144
    @hassanal-husseiny9144 5 лет назад +4

    Wale walioko New Zealand ambao ni Masaa tisiya mbele watafuata Arafah vipi? Na wale walioko America wataipata Arafah vipi.

    • @yasinsaid6354
      @yasinsaid6354 5 лет назад

      HASSAN AL-HUSSEINY hoja yako igeuze na upande wa pili ili uone kama unaongea point

    • @hamdanzagar9133
      @hamdanzagar9133 5 лет назад

      Tunakubaliana kwa mujibu wa naswi Kiama ni siku ya ijumaa vipi New Zealand itakua jumapili na America jumamosi tunaomba majibu?

  • @MohammedAli-mf3ln
    @MohammedAli-mf3ln 6 лет назад

    Aura Tul hud 118

  • @alikirobo141
    @alikirobo141 5 лет назад +3

    Mi simo kwenye misimamo yenu hio

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 5 лет назад +1

    Najiuliza tu, hivi kulivyokuwa teknolojia haijakuwa kama leo watu ibada hii waliitekeleza vipi? Hivi watu walioko nje ya Hija wanaungana na walioko Hija au walioko Hija na wasiokuwepo huko wote wanatekeleza kisa cha Nabii Ibrahim? Hakuna kitu kuunga mkono ibada, ibada ni lazima ushiriki kuifanya. Kinanachofanyika kwa walioko Hija na wasiokuwepo huko ni kisa cha Nabii Ibrahim isipokuwa waliopo Hija wamelazimishwa au faradhi kwao kuchinja bila kufunga na wasiokuwepo huko ni sunna kwao kwao kuchinja na kufunga. Hivyo muandamo wa mwezi wa eneo ulilopo ndio ufuate. Hivi itakuwaje ikitokea Ibada ya Hija haikufanyika?

  • @hudimsello3645
    @hudimsello3645 5 лет назад

    hili halina haja ya kubisha anae pinga hili huyo ndio ana itwa munaafiku hakuna khilafu kuhusu hili.

  • @wardaadam5694
    @wardaadam5694 2 года назад

    Je ikiwa me nipo nchi ambayo muda watu wanasimama arafa nchi nilokuepo me ni usiku je nitafungaje wakati wa siku

  • @UNO-xt7we
    @UNO-xt7we 4 года назад

    Hii funga ilikuwepo tokea HAJJ haijaanza sasa Arafa ilikuwa ilikuwa watu wasimama kabla ya hajj haijaja?

  • @shaabanijoseph4562
    @shaabanijoseph4562 3 года назад

    Dalili iliyobaki nimoja tu mtukufa ukajionee mwenyewe kaburini

  • @nurudinisalmu4912
    @nurudinisalmu4912 6 лет назад +1

    walid tulikuona msomi ulieandaliwa na shekh mohamed ayoub kumbe huna chochote mim mwanafunz wako lkn hapa aaaaaaaaawap uongo tupu unapitwa hata na watoto wa kenya akina mubaaraka

    • @Kenyayetu24
      @Kenyayetu24 5 лет назад

      Amekaa kimaslahi,Mola amuongoze arudi ktk haki

    • @Kenyayetu24
      @Kenyayetu24 5 лет назад

      Ductur mbarak ni bahri,Allaah atuhifadhie

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 4 года назад

    Mwaka huu Kuna ugonjwa wa Corona jee Saudia ikizuia ibada ya hija tutafuata Arafa ipi?? Eee jamani nyi waislam kwani khasa muna ajenda gani yasiri zidi ya uislam??

  • @UNO-xt7we
    @UNO-xt7we 4 года назад

    Shekhe Mziwanda kachemsha kwani alotowa hicho kitabu sio mtu alosomea sheria au vp. Uzinifu umejaa kwenye jamii mashekh kimya pombe ushoga wizi jihad SALAA kama mnataka mada za kuzungumzia semeni basi tena mizozano

  • @khamiss3930
    @khamiss3930 3 года назад +1

    Ibn Baaz na Ibn Uthaymeen weshatoa msimamo yao inayofanana katika Fatawa zao.
    Sasa mbona twarejeshwa nyuma?

  • @junaytadarwesh4708
    @junaytadarwesh4708 5 лет назад +3

    Kwani lazima mwezi tufuate muandamo wa Saudia??? Kisimamo cha Mahujaj kwenye viwanja vya Arafa ni cha Mahujaj, sisi wa nchi nyengine funga yetu ni tarehe 9 mfungo 3. Kitu kipo wazi kabisa. Haiwezekani tufuate muandamo wa Saudia. Kwani imeandikwa wapi lazima siku Mahujaj wakisimama Arafa na dunia nzima iwe tarehe 9 ya mfungo 3???

    • @sajumahege4903
      @sajumahege4903 5 лет назад

      Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Swawm ya 'Arafah nataraji (kwa Allaah) kufuta madhambi ya mwaka uliopita na wa baada yake.” [Muslim]
      hivyo hakuna pia ulipoambiwa ufunge mwezi 9 bali hadith iyo hapo ya mtume Swalla Allahu allaiyhi wasalam

    • @rahmahkhalfan1178
      @rahmahkhalfan1178 4 года назад

      @@sajumahege4903 kwahiyo wewe hadithi unayojua ni moja tu

    • @sajumahege4903
      @sajumahege4903 4 года назад

      @@rahmahkhalfan1178 leta ya kwako ambayo inayosema tofauti na hiyo

    • @khalidjr365
      @khalidjr365 2 года назад

      ok

  • @nakofahassan2521
    @nakofahassan2521 6 лет назад +1

    Nani amedoload hi vidii

  • @AbasiSharifali
    @AbasiSharifali 7 месяцев назад

    Sasa wale ambao kwao niusku je hawatapata arafa

  • @bofusuraiya
    @bofusuraiya 5 лет назад

    Kwani Hii arafa ni mini? Na mtume aliposema "funga ya Siku ya arafa hupelekea kusamehewa mdhambi ya mwaka uliopita na ujao" anamaanisha siku IPI hiyo?

  • @mbossowcb1915
    @mbossowcb1915 4 года назад

    We kishki unajua kwanini kila ukiongea kitu unakosolewa???

  • @ahmadothman9899
    @ahmadothman9899 6 лет назад +4

    Kila nchi na muandamo wake

    • @mustafanyagawa2606
      @mustafanyagawa2606 6 лет назад

      Ahmad Othman mwezi ni mmoja nitafute nikupe darasa

    • @rayaalaisari4592
      @rayaalaisari4592 5 лет назад

      Kila sehemu Kuna muandamo wake Kuna nchi zingine sisi usiku wao Asubuhi Sasa mkisema watu wote Dunia Zima wafunge wapi itawezekana....

    • @Kenyayetu24
      @Kenyayetu24 5 лет назад

      Kwli ahmed

    • @Kenyayetu24
      @Kenyayetu24 5 лет назад

      @@mustafanyagawa2606 ila miandamo tafauti

  • @showfive4413
    @showfive4413 5 лет назад +1

    MBONA WOTE WANATOA MANENO KICHWANI??

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 6 лет назад +5

    Zama zilokuwa hakuna tv jee walikosa fadhila za arafa

    • @MohammedAli-mf3ln
      @MohammedAli-mf3ln 6 лет назад

      Swadaqta

    • @athumanimgeni3360
      @athumanimgeni3360 6 лет назад +1

      Mi sijasikia mada ya tv hapo ila ukweli juu ya sunna ya arafa.

    • @rayaalaisari4592
      @rayaalaisari4592 5 лет назад +2

      Kila mtu Afunge kutokana na muandamo WA mwezi kwako Kuna nchi zingine sisi usiku wao Asubuhi Sasa mkisema watu wote Dunia Zima wafunge siku hiyo wapi itawezekana

    • @Kenyayetu24
      @Kenyayetu24 5 лет назад

      Athumani ukwli upi?wakutumia akili pasina dalili?

    • @ramadhansoud2028
      @ramadhansoud2028 5 лет назад

      ndugu rangi hukumu yakosa usiro rijua kama kosa huanrikiw mdhambi kwaio tumesha wezeshwa na Allah kuwepo kwa TV inatubid tuwafate mfano adhana enzi za mtume arikua akiadhin birar kwasababu arikua nasaut yakufikishaa mbar adhana rakn uwezo huo zama hz hatuna Allah katupa akir ya kutengeneza vnasa saut iri adhana ienderee kuwafikia weng usije ukasema sikuisikia.

  • @abdulabuu7428
    @abdulabuu7428 2 года назад

    Walid nae msimamo wake Ni upi hahahaha mbona mtihan hi ilitoka lin

  • @Kenyayetu24
    @Kenyayetu24 5 лет назад +2

    Sheikh kishki na waleed muogopeni Allaah wacheni kuwadanganya watu

    • @abdulkareemseif667
      @abdulkareemseif667 5 лет назад

      habib swaleh wewe ni mjinga

    • @Kenyayetu24
      @Kenyayetu24 5 лет назад

      @@abdulkareemseif667 ruclips.net/video/rGIzAeF48aw/видео.html

    • @Kenyayetu24
      @Kenyayetu24 5 лет назад

      @@abdulkareemseif667 kwa lipi?ndugu yng nitoe ujinga

    • @suleimanmohamed43
      @suleimanmohamed43 5 лет назад

      masheikh rudini kwenye vitabu nyinyi mlazimisha kiakili tuuu wanaposimama mahujaj na as tufunge na huyu sh wa mwisho dalili ya kilugha sio hija katika sheria na wala akili peke yake sio matejeo ya kishria hebu turudin katika vitabu vya sheria

    • @suleimanmohamed43
      @suleimanmohamed43 5 лет назад

      na في الكتب بالدقةالشيخ العريفي يحتاج الرجوع والمطالعة

  • @asiahaji5081
    @asiahaji5081 4 года назад

    Tatizo kutokua na msimamo

  • @nganzirashidi1463
    @nganzirashidi1463 6 лет назад +3

    Wacheni upuuzii huo Mna eddite masheikh. Toeni dalili sio kutumia Akili zenu
    elimu ndogo mkasome tena

  • @AbasiSharifali
    @AbasiSharifali 7 месяцев назад

    Nan alikwambia kenya na tanzania na uganda hakuna arafa mbona ww wafunga skuhio na ukiwa tanzania nahakuna arafa nyny mwasema kiakili na wala hamuna dalili wachena kupoteza watu tafautishen kisimamo nafunga kisimamo ndio hakuna ikhtilafu nawala si swaumu

  • @ahmadazubeir5112
    @ahmadazubeir5112 5 лет назад

    Sasa ni Arafah ipi

  • @abdulkareemseif667
    @abdulkareemseif667 4 года назад

    Yani nyinyi masheigh laiti mungelisimama na sunna km mulivoshikilia hilo tungelifika mbali

  • @yusufu.bakari1150
    @yusufu.bakari1150 5 лет назад +1

    Mbona mnakhitiafiana maana kila sheikh ańasema hoja yake nakila mtu anakazia hoja yake

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 3 года назад

    ETI WANAZUONI WA SASA..KHAAA!! SHEIKH WALID!! KWAIYO WANAZUONI WA ZAMANI,ATAABIINA,SALAFI SWAALIH,MASWAHABA NA MTUME PIA HAO VIPI? WAMESHINDWA NA WANAVYUONI WA SASA KWA ELIMU?

  • @Kenyayetu24
    @Kenyayetu24 5 лет назад

    ruclips.net/video/dIOwnUGgoTM/видео.html,sheikh idd aweka mambo sawa

  • @hamisishirikisho4865
    @hamisishirikisho4865 5 лет назад

    Arafat ni siku ni kisimamo au ni sehemu

  • @kakuhassan4734
    @kakuhassan4734 5 лет назад +1

    Sasa ndugu zangu mfano leo maka tarehe 8 tanzania itakua tarehee ngap?
    Geography gani mnayokua na wasiwasi nayo.

  • @user412
    @user412 5 лет назад +1

    Hiyo imeeditiwa kwa kukwata katwa baadhi ya mihadharaa

  • @mzeemohamed8065
    @mzeemohamed8065 5 лет назад +1

    hujui Kama wewe unaamka wenzako wanalala hili liko vipi

    • @ramamtetu2327
      @ramamtetu2327 5 лет назад

      Saudia Wanaamka Tanzania wanalala
      Hahahahaha
      Lakini Kenya wanaamka na Tanzania wanaamka.
      Hii ni Ligi Kubwa Kati ya Uwahabi na (Waabudia) Waja Wema Wa Allah A.K.A waomba Allah Kupitia Wasiila Mpaka Kwenye Makaburi.
      Ila Haki ipo Wazi kabisaaa
      Haki ni Kwamba Hakuna Khilaafu Kati ya Saudia na Tanzania kwa Mas'ala ya Muandamo kwa Lolote lile Tarehe Moja Saa Moja.
      Ila Kujua haki Inatakiwa Kuwafikishwa na Allah.
      By Rama Mtetu nisiyefungamana na Upande wowote ule Lakini Ni Islaam.

  • @khalfanibrahim4961
    @khalfanibrahim4961 5 лет назад

    Semeni na hadithi ya mtume aliyosema kwamba gharafa ipo maka tu