Rais Moi: Kiongozi shupavu na mwanadiplomasia aliyeenziwa na kuzua mitafaruku

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 сен 2024
  • Alitia fora kwenye mazungumzo ya amani nchini Sudan, Rais Mstaafu Daniel Toritich Arap Moi akisifika kama mpatanishi. Lakini katika kilele cha uongozi wake, rais mstaafu moi nusura azue mtafaruku wa kidiplomasia uliochochea vita baridi kati ya marekani na kenya baada ya kuwakamata wamishonari wakimarekani kwa madai kuwa walihusika na njama ya kupindua serikali yake. Haikuwa mara ya kwanza kwa rais mstaafu moi kukwaruzana na mataifa yaliyostawi kiuchumi lakini alisifika kwa kusimama kidete na kutotikisika na vikwazo vilivyowekewa kenya na mataifa hayo. Faiza maganga na anatathmini kuhusu kiongozi aliyeibua uoga, wivu na kuenziwa kwa mpigo .

Комментарии • 5