LEMA AMJIBU MTOTO WA RAIS KWA KAULI YAKE KWAMBA ANAUMIZWA MAMA YAKE KUTUKANWA MTANDANO AMUONYA SPIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2024

Комментарии • 112

  • @revocatusvedastus8893
    @revocatusvedastus8893 2 месяца назад +13

    lema uishi maisha marefu nimekulewa kabisa,umeongea point Basi tu

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 Месяц назад +4

    Mungu atawajibu kwa mapigo acha wajione washaimaliza dunia,,mwenzao leo yuko wap alijifanya mbabe wa nchi

  • @HolloJuma
    @HolloJuma Месяц назад +3

    Mungu akusimamie🎉🎉🙏🤝

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 2 месяца назад +15

    Hiyo mtoto wa Samia akili zao wote ni sawa. Angekuwa na akili angekuwa anampa ushauri mama yake aepuke hiyo aibu aliyoifunika nayo nchi yetu nzuri ya Tanganyika. Ungemshauri mama yako atuachie nchi yetu arudi zake kwao zenji. Huna hata aibu eti kuona mama yako anatukanwa!! Hata aibu huna, unaona kutukanwa ni jambo zito kuliko watu kupotea na kupoteza maisha yao! Ng’ombe wewe.

    • @stephenmsanzu9850
      @stephenmsanzu9850 2 месяца назад +1

      Wewe Wacha ujinga heshima ni kitu Cha bure pls

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff Месяц назад

      9

    • @annajohn175
      @annajohn175 Месяц назад

      Mpaka utekwe wewe au mwanao ndio utaelewa​@@stephenmsanzu9850

    • @Thisisgrace979
      @Thisisgrace979 Месяц назад +2

      ​@@stephenmsanzu9850heshima mbele ya roho za watu?, ngoja yakukute ndio utajua hujui.

    • @Stephanisimwinga
      @Stephanisimwinga Месяц назад +1

      Kama wewe ni chadema acha kuitukana ccm kwasasababu haujui iliko Kutoa kumbuka mwanzo ili itwa TANU acha ujinga Kuna vitu vingapi na maendeleo kiasigani Leo hii inaitaji chadema ikae kwenye madaraka watafanya nn hao ni wahuni tu

  • @ClaraMzeru
    @ClaraMzeru Месяц назад

    Ubarikiwe sana brother lema mungu akupe maisha marefu yakuliongelea taifa.

  • @FestoLalata
    @FestoLalata 2 месяца назад +9

    Mungu akubariki
    Tunajua kila kinacho endelea ktk nchi yetu

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd 2 месяца назад +15

    Tanzania Kuna mataila wengi sana mtu anaumizwa Kuna watu wanashangilia

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 2 месяца назад +2

      Ni wapuuzi wasiojielewa , walitaka mpaka iwe Kwa watoto wao ndio waone uchungu

    • @Rajabu.dobeye-qw7fq
      @Rajabu.dobeye-qw7fq Месяц назад +1

      Hao watakuwa wana ccm mabhulura wajinga hao.

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc Месяц назад +1

      Ni kweli hii imefunikwa na rais na serikali yake police ccm na bunge lake ni waalifuu wanajipa mishara kwa Kodi zetu

  • @HappyBlini-zd8ej
    @HappyBlini-zd8ej Месяц назад +3

    Jamani tulimpata rahisi mwanamke tukashangilia kumbe tumejitumbukisa. Baharini Tanzania imekufa nchi. Ya utekaji mauwaji na huonefu jamani muogopeni Mungu hapa duniani tunapita hutakaa milele mama????

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 2 месяца назад +7

    Nikweli kabisaaaaaa hata waganga niwamchongo siyo waganga niwana ccm 2 jamani watanzania tuingie Kente maombi tulie kwasauti mungu atusikie atatenda muujiza selikali ya ccm wanauwa twafwa mweeeeeeeeeeeeee

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 2 месяца назад

      Maombi Tena???????

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 2 месяца назад

      Maombi ndio tumaini letu la kwanza nala mwisho

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 2 месяца назад +5

    Ni kweli hawateki watu ila wanafanya nini kusuia hilo jambo kutwa kuendelea na uchunguz wao uko wapi mpaka sasa.

  • @NancyMatuli-fb5jp
    @NancyMatuli-fb5jp 2 месяца назад +9

    Hakuna police Tanzania ila kunamajambazi tu

  • @AKULASIKYANDO
    @AKULASIKYANDO 2 месяца назад +5

    Sikutegemea maneno yale yatoke kwa msomi kama spika kuhusu utekaji watu.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 месяца назад +2

      Sijui Kuna chura kiziwi mwingine???

    • @NeemaMushi-wj1zn
      @NeemaMushi-wj1zn 2 месяца назад +4

      😢mmmmh angepotea mtot wake usikie wa maski n Sasa mmmm tumuachie mungu

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Месяц назад +1

    Kuna siku atapotea mtoto wa kiongozi mkubwa hapo ndio akili itawasogea

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 2 месяца назад +3

    Mzee nakubali

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 2 месяца назад +5

    Kutukanwa kunauma wanauwawa na kutekwa mbona husema mtoto wa rais

  • @NancyMatuli-fb5jp
    @NancyMatuli-fb5jp 2 месяца назад +6

    Na kama ccm itaendelea kuongoza Tanzania itapata laana

  • @hamadimgaza9351
    @hamadimgaza9351 2 месяца назад +8

    Kwaiyo polisi wanaongoza kwa vitendo vya utekaji sio sawa kabisa😢

  • @SalmaSalumu-x1s
    @SalmaSalumu-x1s Месяц назад

    Safi mwenyezmungu akulinde

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 Месяц назад

    Dah Lema Mungu akuweke kwaajili yetu

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 2 месяца назад +4

    IFIKE WAKATI TUWE WATU SAHIHI KWENYE NAFASI ZETU, INAUMIZA SANA PALE MTU AUMIZAPO WENGINE ILI YEYE AWE SALAMA,
    SIASA YA TANZANIA NI YA HOVYO KABISA
    SIASA INAYOZIMA PRESHA NJE INAJIEKA WAZI KUWA HAIKO TAYARI KUKUA.
    HUU NI UPUUZI MTUPU NA YAFAA HAO WALIO SALAMA WAJITAFARI SANA

  • @stephanopeter8217
    @stephanopeter8217 Месяц назад

    Lema tunakuelewa mkuu wewe nijembe la uwakika.❤❤❤

  • @MwesigeMwesige
    @MwesigeMwesige 2 месяца назад +3

    Hatuko salama

  • @Landisy
    @Landisy 2 месяца назад

    Mheshimiwa uko vzr nakukubali sana

  • @FestoLalata
    @FestoLalata 2 месяца назад

    Pole sana mhe.

  • @AmosNyamaisa
    @AmosNyamaisa Месяц назад

    Lema nakuelewa sana bro

  • @AnthonyChaula-d8l
    @AnthonyChaula-d8l 2 месяца назад +2

    Hawa ndio aina ya wabunge tulitakiwa kuwa nao bungeni

  • @ThobiasMasabire
    @ThobiasMasabire 2 месяца назад +2

    Tanzania hatuna bunge, tunakikundi tu Cha ccm bas wanataka kutwambia kua watu wauwane kisa mapenzi ndivo Shelia zinasema, hivo nisaidieni Wana Sheria kama sio tulia nae ashitakiwe bas

  • @emanuellaisungui6954
    @emanuellaisungui6954 2 месяца назад

    Mungu akubariki unasema ukweli

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 месяца назад +1

    Mungu aingilie kati nchiii hii niyahovyo sana watu hawajui tu kunamimtu inaamini nchi hii niyao ndowamiliki

  • @tbreakerboysir5031
    @tbreakerboysir5031 2 месяца назад

    👏🏾

  • @franknyalyoto1422
    @franknyalyoto1422 2 месяца назад

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako 2 месяца назад +2

    😭😭😭😭

  • @BabaBabalili
    @BabaBabalili 2 месяца назад +2

    Duuu hii inchi aise

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 месяца назад +1

    Kwa uovu uliopo kwa serikali hii kama viongozi wangeacha unafki na kuwa vibaraka wa serikali katika mabaya na uoga wa kutokemea uovu haki uinua taifa bali dhambi ni aibu kwa watu wote ghadhabu ya Mungu unakuja Tanzania

  • @AnthonyChaula-d8l
    @AnthonyChaula-d8l 2 месяца назад +1

    Lema unaakili sana

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl Месяц назад

    Kweli kabisa damu ya watu italipa: "the blood of your brother is crying for you from the ground"

  • @NancyMatuli-fb5jp
    @NancyMatuli-fb5jp 2 месяца назад +4

    Nchi imefika pabaya sana sana nahisi huyu Mama hukupata uchungu wa kuzaa KAMA sisi wengine ambavyo huwa tunasikia

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 2 месяца назад +1

    Wanasiasa wa Tanzania karibu wote ni matatizo matupu.

  • @NickmbeckNkinda-z3g
    @NickmbeckNkinda-z3g 2 месяца назад

    Nabii mkuuu ubarikiwe sana miaka mingi sana

  • @msarama5406
    @msarama5406 Месяц назад

    Mmh bakwata hawawezi kusema zaidi ya kuwaambia watu wasome na kudumisha amani

  • @Rajabu.dobeye-qw7fq
    @Rajabu.dobeye-qw7fq Месяц назад

    Mm naomba comment yangu muisome vizur,mm naomba uchaguzi wa serikali za mitaa tusishiliki ili tutume messeg ili ujumbe uwafikie,sasa ivi tuamke,watu wanatekwa ovyo kisa maagizo ya wakubwa wao ndo wanatoa uhai wa binadamu wenzao sio sawa.

  • @Martin-w2l9p
    @Martin-w2l9p 2 месяца назад +1

    Amani maana yeke ni nini kwa Tanzania na watanzania kwa serikali.

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL Месяц назад

    Eti mama mama kwni kanizaa

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl Месяц назад

    Hatuna Wasanii bali Machawa.
    .kazi kuruka ruka tu na kuimba nyimbo za uchawa chawa tu

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 2 месяца назад +1

    Kwanza huyo mtot wa rais kafikaje humo bungeni kama kateuliwa anatakiwa awe na hoja za kutetea watu,haki na utawala bora na syo kuumia tu mama yake akitukanwa.Atambue kwamba mama yake kama anamfurahisha yeye hawez kufirahisha kila mtu. Mimi siungi mkono wanaotukana rais wala kiongozi yoyote ila naunga mkono wanaokosoa watawala wanaofanya madudu...Sema nchi hii hata ukikosoa kuna wanaoona umetukana.

  • @NasraN-hr5uh
    @NasraN-hr5uh Месяц назад

    Na huyo bint yake na yeye tutamtukana coz amejileta mwenyewe

  • @SeciliaKasian
    @SeciliaKasian 2 месяца назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @dafrozarichard2398
    @dafrozarichard2398 Месяц назад

    Cha msingi kufunga na kuomba kwa dhat cku tatu

  • @jamesmboneko2952
    @jamesmboneko2952 2 месяца назад

    UISHI Miaka Mingi Lema. Tunakuombea🙏🙏🙏

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 2 месяца назад +1

    Huyo mtoto wasamia anasemaje au kwasababu yeye azungukwa na majeshi na usalama anaamani. Ndoomaana anatukejeli?ache kabia hapo wanakula kodi zetu na bado wanateka huluma

  • @McT-m1m
    @McT-m1m Месяц назад

    Hawa polisi ndo wanaua raia waliwahi kumuua mtu mmoja kite6o

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 2 месяца назад

    Anaambia ukweli yy anajua hayo matokea sjuwi Kwann walimpa urais huyu mama mchawi

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p Месяц назад

    Mie naomba hii nchi ipate rais kama magufuli nasiyo mwanamke

  • @FredMramba-hx3gl
    @FredMramba-hx3gl 2 месяца назад +1

    Hizo maiti zilizochimbwa huko Kwa mganga wenzangu mmeziona zikipakiwa kwenye mfuko ya kuzikia?

  • @rukundorwiza5223
    @rukundorwiza5223 Месяц назад

    Chadema na ccm wote vibaraka viya merekani

  • @elibarikkiakyoo
    @elibarikkiakyoo Месяц назад

    Karma ina speed ya
    # 6G

  • @MadodoMartini
    @MadodoMartini Месяц назад

    Hatuwaamini police tena

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 Месяц назад

    Kuna watu wanachukulia kuwa vyama vingine siyo wananchi wa Tanzania ndugu wananchi ebu tuondoe dhana potofu hali ni mbaya sana tena sana tumelishwa na kukalilishwe kuwa habari ya chama kimoja. Tusubiri karma itajibu tu

  • @malundaamani.gmai.
    @malundaamani.gmai. 2 месяца назад

    Abali za sasa ukifungua tv au Radio unasikia Abali za michezotu

  • @jumahalifamkindi2175
    @jumahalifamkindi2175 Месяц назад

    😂 wakina dotto magari ujinga kabisaa

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Месяц назад

    Mkuki kwa nguruwe

  • @mamaleo5047
    @mamaleo5047 Месяц назад

    Kama matusi

  • @zureashomari2408
    @zureashomari2408 Месяц назад

    Bongo unafki mwingi sana.... njaa mpk akilini machozi jasho na damu za watu wema haviendi Bure.... VIVA TANZANIA...

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 2 месяца назад +1

    Huyu kibaraka wa kila mtu , samia , kikwete , wazungu na wachina . 😂😂😂😂

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 Месяц назад

    bunge na nyie hukumu ya Mungu i juu yenu kama ninyi mnajiita wawakilishi wa wananchi halafu hamtaki kujadili ma tatizo yao

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl Месяц назад

    Polisi na Wanaojiita Usalama wa Taifa ni wahuni na wezi mno. Walimteka mtoto wa Dada yangu na ili kumtoa pale kituo cha Usa River ilinibidi nitoe milioni 3 na laki 5. Na hiyo wanaita chakula chao. Majizi makubwa na wahuni tu wako katika Polisi na Usalama wa Taifa.

  • @NickmbeckNkinda-z3g
    @NickmbeckNkinda-z3g 2 месяца назад

    Baba unaongea madini matupu ubalikiwe sana uishi maisha marefu

  • @daimonsanga6707
    @daimonsanga6707 Месяц назад

    Aki katoto ka raisi si kakae kimya tu Kwan kenyewe kanaingiria Mambo ya serikali wakati hausiki izo ni sifa tu :maraisi wengine wamepita mbona atujawai kuwaona kuingiria Mambo ya uongozi wa wazazi wao kwa wananchi wao

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 2 месяца назад

    Hiiii ni balabala ya kwenda 2025 sio laic kufika kilaisi 2025

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 Месяц назад

    Kuna msanii wa kike nilimchamba kuhusu ishu ya kizimkazi na kutopaza sauti kwa haya matukio. Ni mama lakini hajitambui.

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 2 месяца назад

    Kwani nyinyi ni wakenya njoo tuwafundishe kuvuta teargas

  • @emanuellaisungui6954
    @emanuellaisungui6954 2 месяца назад

    One day watakuelewa mkuu

  • @Landisy
    @Landisy 2 месяца назад

    Uuuuuu! Nchi yangu jamani

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 2 месяца назад +1

    Kaka yangu Lema nimekusikiliza nikahitimishia na machozi mengi mengi mengi mno. Nawaza nilipopoteza mjukuu wangu kwa masaa tu vile nilivuokuwa , vipi wenye miezi mwaka na miaka ?? Vipi saikolojia yao, yale maumivu ya ndani , kila siku wanaweweseka. Lema sijui kama watu tunaelewa kile kinaendelea , hii nchi imekuwa ya hatari sana wenye dhamana wamekuwa kama Miungu watu hawajui hata kama kuna kifo. Kaka Lema Mungu akupe umri mrefu , pamoja na wote mnaolia kwa ajili ya tz .

  • @emmanuelqaday6949
    @emmanuelqaday6949 2 месяца назад

    Ninachomshauri LEMA atafute kazi nyingine

    • @HulumaKisakali
      @HulumaKisakali 2 месяца назад

      Tumewachoka vibaraka wa ccm damu mnanuka tumewachoka rohozeni chafu

    • @Thisisgrace979
      @Thisisgrace979 Месяц назад +1

      Ngoja yakukute ndio umshauri.

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 2 месяца назад +1

    Wewe kama unaona amani yenu haina maana njoo kwetu kenya utajua mhimu wa amani pls

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 2 месяца назад

    Sasa kusema mpaka matusi

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl Месяц назад

    Majaji na Mahakimu wa Tanzania uchawa tu ...hakuna Weledi

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 2 месяца назад

    SACCOOS TUNASUBIRI SERA SIO MAIGIZO 😢😢

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 2 месяца назад

    Mbona watu unaongea nao atuwaoni

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 2 месяца назад +1

      We mwenyewe unae angalia hakuoni tulia tuu😅

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 2 месяца назад

    Lema Mama Samia mstaarabu hawajibu wala hawatishi mukimbie Nchi yenu nyie wadanganyeni baadhi ya watanzania wenzeni mkichoka mtatulia tu Mama Samia 2030 nyie bakie kucheza na Media tu Nchi inasonga mbele

    • @OmanIbri-hj8ss
      @OmanIbri-hj8ss 2 месяца назад +4

      Msukule wewe sio bure

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 2 месяца назад

      @@OmanIbri-hj8ss haaa haaaaa

    • @NeemaMushi-wj1zn
      @NeemaMushi-wj1zn 2 месяца назад

      Mtumwa wew

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 2 месяца назад

      @@NeemaMushi-wj1zn kweli mtumwa wa Allah maana ametusisitiza tuwatii na Viongozi wetu sasa wewe usiejuww kuchamba angalia unavyoteseka na kumchukia Rais Samia mpk mnakosa amani

    • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
      @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 месяца назад +2

      Ivi nyie waTANZANIA muna matatizo Gani yani hamuoni TAIFA linatumbukia shimoni bandali hatuna wamaasai ndio hao ilikuja wamachinga wote watoke barabarani bado hamuoni tuuu ila mumelogwa vibaya sana

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 2 месяца назад

    Stop nonsense pls kama unaona amani haina maana ,njoo kwetu,254 ndo utajua umuhimu wa amani

    • @NtamamiloGibson
      @NtamamiloGibson 2 месяца назад +1

      Afadhali ujue hakuna Amani tutachukua tahadhali ndugu elewa hivyo. Leo mioyo yetu haina Amani kabisa hofu ni kubwa.

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 2 месяца назад

      Sio Wana siasa Wala raia wa kawaida Hali mbaya hofu imetanda na vilio 😢😢​@@NtamamiloGibson

    • @SimonAmon-dr8xw
      @SimonAmon-dr8xw 2 месяца назад

      Nyokoooo

    • @alexkatabi2951
      @alexkatabi2951 Месяц назад

      Hujui usemalo Bora ukar kimiya Kenya siyo Tanzania,amani siyo maneno ni vitendo,Wacha watanzania waamue wenyewe,Nini wanataka na gharama zake watazineba wenyewe ilimradi future ya watoto wao iwe nzuri