Leo umefumb macho 😭😭😭 huimbi tena kila kitu unafanyiwa daaaah kweli maisha haya ya duniani sio kitu turudi kwa Mungu wetu tutubu mapema 😭😭😭 Mungu tupe mwisho mwema
+Mussa Agrey Temana namimi mzee kosa langu lipi hapo nitolee ujinga wako hapa, kila mtu anatambua hakuna aliyemsafi hivyo ndiomaana nikasema awasamehe kwa mabaya ili awabebe kwa mema waliyoyatenda
Kama bado unaicheki 2023 Ya Godzilla gonga like !!!forever nitakkbl Godzilla
RIP PANCHO LATINO this beat s dope..
RIP KINGZILLA .. vizuri huondoka mapema fr.. RIP Bros
Leo umefumb macho 😭😭😭 huimbi tena kila kitu unafanyiwa daaaah kweli maisha haya ya duniani sio kitu turudi kwa Mungu wetu tutubu mapema 😭😭😭 Mungu tupe mwisho mwema
GodZilla our brother
Wow
Ameen
Laminate.tumuombe.dua.
Nani baada ya kifo chake aloo Rudi kushow love like bc
Daaaah daaaah thaman ya mtuu inaonekana pale aktoweka
RIP BRO.
Tunaeangalia 2021 baada kifo chake gonga like💪
AtUwezi ziba pengo la mtu bada ya kifo chake
Its just 2023 but is on my list it i get high
"Maisha yenyewe ni mafupi i get high". RIP KingZillah
Alijitabilia aisee dah!!! R.I.P
R.i.p mwanang zizi still live with ur rhymes
Tuliorudia 2024 tujuane hapa.
Daaah...can't believe we ain't gon' hear u sing/rap no more, bro 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔...
R.I.P kingi zilla mung ailaze mahala pema peponi ameen
If it was released in 2023, then it was released 7 years ago. Rest in Peace King Zila
Rip producer wa ngoma pia RIP msanii mwenye wimbo
Daaah...at na producer ash zim jaman 😢😢😢😢?
R.I.P King. We still love you. 14/05/2022
Aisee kama utani vile PANCHO n ZILLAH tutawamiss sanaa Allah awasamehe kwa mabaya waliyoyafanya awahifadhi mahali pema
Ameen yarab
Aboutrica Da Sliva mabaya yapi angalia yako acha ujinga mungu ndo anajua yao pambana na yako
+Mussa Agrey Temana namimi mzee kosa langu lipi hapo nitolee ujinga wako hapa,
kila mtu anatambua hakuna aliyemsafi hivyo ndiomaana nikasema awasamehe kwa mabaya ili awabebe kwa mema waliyoyatenda
bonge la dude...miaka 100
Maisha kweli mafupi king zilla lala salama ulipo king tupo nyuma yako broo
Dah so sad 😭 maisha nimafupi kweli.... “I get high” kbs umeimbaga kweli zizi damn duh ... RIP bro
Jamaa alikuwa noma nyimbo zake bado zinaishi
Kweli 🎉🎉🎉🎉mwanangu
R.I.P mungu amuweje mahali pema peponi Amen
Hii nyimbo kwa maoni yangu aliimba kama wanati wake bado...yani siku ziko nyuma nyimbo iko mbele huwa haichuji...rest in pieces ma men 😓😓
King wa salasala was truly talented ila kifo ...mahali ulitoka. Tumejifunza vizuri havidumu ♥️♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏🙏
Leoooo nimemkumbukaaaa zillaaa ikabdiiiii nirudie n nyimbooo zoteee za zizi asehhhhh#r.i.p ziziii
Pumzika kwa Aman broda
"Labda maneno yangu wataelewa siku nikifa" ~ Zilla. R.I.P King.
You have set for yourself very high standards, make sure you dont ever go bellow the line. Congrats bruh.
Hami b , B hit hongera sana mzee cod zako ziko poa sana mzazi wazugaji tupa kuleeeeeee....
Kama bado unazielewa kariiii za zilla gonga like apo lite now
Pumzika kwa amani king
king.godzi.mungu.alikupenda.zaid
With this Quarantine that's the only thing we do.!!!
Bless up Zilla
Bless chafu mungu akupunguzia zambi
I get high I get high I get daaaah Godzilla hii ngoma utafkr ya jana pumzka kwa amani mkali
Hatuwezi pata tena ladha kama hii, producer Pancho Latino(R.I.P),Godzilla(R.I.P).
Pancho beats zinasound kama latest tu
I almost had a hard time remembering the title..R.I.P hammie👉🏿✊🏿
Daaah 😭😭 R.I.P BRO kweli maisha ni mafupi sana
Sanaaaaaaa
@@rahisalovely9622 😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Zilla the king
King zizi mnyamwezi sana level za kina jay zee
Jamaa alitabiri kwenda kbs,maisha yenyewe ni mafupi kweli.
Nimekusoma..ngoma kali&video kali
nakukubali sana chukua hii tuzo broo mwaaaaaaa
Daaaah inauma poren familia na watanzania wenzangu na nje ya tanzania
Jamaa anajua
Produza anajua
Mungu awalaze mahal pema nyote
Baada ya miaka kupotea mwamba leo nimeona nije kushow some respects. RIP MWAMBA
Yeeeeeeeehhhhh assassination zinaendeleaa ukomavuuuuuu wa mega stunt
Kwa hiki kichupa i get high.. umeuwa mbaaaaya
Nikweli maisha yenyewe mafupi;R I P zilla
yaaaaa man lets get hii king zillaa hatareeee blazaaaa ww mbayaaaaaaaa....nive truck nice video...iko pouwaa big up limnyama Godzilla......#iget high
Nitafurahi nikiona hii track inapigwa Trace na MTV, big up nigga keep up ur energy
Rip Pancho ratino and R.i.p Godzilla
Another comment for Goat ✌ rest easy broh
gigy alkua mzur san enz izo 💕💕💕
say waaaaaah
Classic song men big up poplar king zilla
sarasr in the house
xhikamoooooo kaka umetixh bil akaxomee waxkufananixh at xikumoja
Daaaaa pumzk salaama bro
Kweli maisha yamekuwa mafupi bro, r.i.p duniani tunapita.
Rest in peaceful kamanda yaani ww ndiye ulinifanya niipende Bongo flava😢😢😢
Mungu fundi duuh hata naogopa,producer na artist wamasepa, rip bro,one way for both of us,only time .
Who is here 2020 r.i.p zizi ninja wa salasala tupo nyuma yko show some love
Tisha sana mzee wa kubet #kwanzarecords
#venntskillz
Kazi kazi zizi.. Mbaka kieleweke bro kaz nzuri!!
Nimenote kitu! Godzilla umekuwa. Wasanii wa HipHop Bongo wafanye video kali kama hii, sio lazima uende South.
yeah malindugu we see boy... I get high life yenyewe short good music broooo
huyu Jama kakosa wanaomsimamia kwenye uwezo mkubwa
I never though if he would really "get high" in really life hadi umauti ukamfika!
Godzilla is the best in Tanzania, congratulation bro for a good job well done
Sinaga swagger kaka kwko wew na marehem cow bama.
Rlp guys mungu aliwapenda zaidi
Bingeing Kingzilla’s materials.
hahaha imekaa poa sana mzee
This guy was very good at singing.
ukisikia hits ndio hiii ...great work
R I p zilla tulikupenda sana ila mungu amekupenda zaidi
Kama ni kweli amefariki lengend munijulishe sijakubali
Zila tisha mbaya sana
Bado nakukumbuka mwamba
braza now umejitaidi kwenye hiki kichupaaaaaaaaaaa
Mzeeee xaiv hp0 tna wala huimbii tn uk0 mafunza wanakuxhambulia kiwiliwili chak0 dahhh yni dunia tuliikuta na tuutaiyach ivi iviiiii
Kuppppeee.. Pancho Latino was illy..RIP my bros
Zilla zilla we luv u we miss u bro amka uje kutetea hip hop
Ngoma. Kali
2023 bado tuna sikiliza
I get high, maisha yenyew ni mafupi so alikuwa anatabiria kifo chake brazzas and sisterz
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 #Zizi Video
Daah, you will be remembered mtu wang, R.I.P
2019 nalicheki goma usain bolt wa kwenye beer beer marathon
Long live kingzilla
Hukoseagi bro ...! I wish wote tungekuwa tunakuelewa kama mimi nnavokuelewa !
RIP king zilla Mungu akuepushe na adhabu ya kaburi
Pumzika kwa amani king zilla...
Rest in peace kingzilla 🫶
Ngoma kubwa sana hii ungepata promo za God father ingepaa
fresh ya collabo na kingkali
kweli
Umeondoka na maswagga yako Dan RIP KingZilla
Mungu awaepushie adhabu za kaburi wore mlo tuacha
Kweli maosha yenyew ni mafupi I get high
Maisha yenyewe ni mafupi kweli
RIP 🙏 Godzilla dua njema twakuombe upumzike vemaa😭😭😭😭
Daa duniaini tunapita binge LA mnyamwenga r I p zilla
da r.I.p zilla imebaki history 😭😭😭👉🎧👉🔥
On repeat. Dope ish!
Daaah mwamba
Deadly missing you ma bro zizi
Allah akupe kauli sabiti mbele zahaki nasi twaja kaka nakuna mulinzi wa dunia😭😭😭😢😢
Kimwili aupo nasi kiroho upo nasi 🙏