OMG ft Barakah The Prince - UONGO NA UMBEA (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 351

  • @godfreyzacharia
    @godfreyzacharia 9 месяцев назад +8

    Lunya ulikuwa na madini ila hukupata tym 2024

  • @Rarpha
    @Rarpha 9 месяцев назад +34

    Tunao tazama 2024 gonga like hapa

    • @NellyMbugi
      @NellyMbugi 8 месяцев назад +1

      Kuja apa 2024

  • @givenkangaroo7545
    @givenkangaroo7545 7 лет назад +39

    wabongo tunaishi kimazoea. hii ngoma kali sana. deserves millions of views. ila tushazoea za kina flan.

    • @mrbrian1703
      @mrbrian1703 2 года назад +1

      Nafkiri ni issue ya Airtime! Mi nimeirudia sana

    • @godfreyzacharia
      @godfreyzacharia 9 месяцев назад +1

      Kweli bro

    • @thabitdaudi9815
      @thabitdaudi9815 4 месяца назад

      Target market ya watu wanaowez ku vibe na hii ngoma ni ndogo sana bongo hii ngoma inataka uwe umeend shule kdogo kuielewa sasa wabongo wengi ndy hvyo tena

  • @philipdapash9951
    @philipdapash9951 3 года назад +7

    Lunya mkali wao wapi likes zake

  • @petermeliara577
    @petermeliara577 6 месяцев назад +4

    Nimerudi kuangalia tena 2024

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 года назад +11

    Baraka the prince you kill it man🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌

  • @msafiblog
    @msafiblog Год назад +3

    OMG ipo that's ma dream team chuo cha k rap bongo tusha hitimu 2023

  • @kibukilakashindi3189
    @kibukilakashindi3189 5 лет назад +16

    inakuwaje watu tukose kuisikiliza ngoma hii in 2020 kama tupo gonga like tuzidi kujuana 💪💪

  • @Onlynewupdates01
    @Onlynewupdates01 2 месяца назад +2

    Uongo na umbea 🔥✊🏼🫶🏼🫶🏼🫶🏼

  • @RodgerstarkShija
    @RodgerstarkShija 7 лет назад +53

    Kwanza, ngoma kali sana, Kila mtu ameua kwenye verse yake!! Pili, The fact that mmetumia location hiyo kwa ubunifu huo, sio mbaya. Mimi nasema ni nzuri. Very simple lakini haiboi. Asante!!

    • @itsecky
      @itsecky 7 лет назад +1

      kweli ndugu video ni kari sana

  • @SELAH_ROBERT
    @SELAH_ROBERT 6 месяцев назад +3

    Frome kenya been listening and watching this song for the 7 years
    Noma sana

  • @emmanuelmaige8106
    @emmanuelmaige8106 7 лет назад +28

    na mtoto mkali ,kala cheppe brouse chini vans,,,(yea utawasikia)

  • @superdupaproducer4294
    @superdupaproducer4294 7 лет назад +19

    Eh bwana dah, mimi niwapongeze tu mazee. Kazi ipo poa sana, bring some more good music and videos.
    Tupo pamoja

  • @khadijaaleyna8916
    @khadijaaleyna8916 2 года назад +1

    Kuomba Mungu pia huwezi!!!! Get serious man

  • @iytreddhjjhhgffxhubccmnvvx43
    @iytreddhjjhhgffxhubccmnvvx43 7 лет назад +19

    baraka kwenye chorus ni fire this is a hit song big up OMG

  • @lazarolazaro5535
    @lazarolazaro5535 7 лет назад +37

    kuomba Mungu pia Huwezi ...

  • @sophiamwita434
    @sophiamwita434 3 месяца назад +1

    Ngoma kali sana hii naikubal❤

  • @ZZIKOLIA
    @ZZIKOLIA 2 месяца назад +1

    GOOD VIBE

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 4 года назад +1

    Nawapata sanaa kipande cha South Africa cape Town wayneberg 2020 hii Ngoma uwa naielewa xanaaaaaa

  • @mudymussa6736
    @mudymussa6736 7 лет назад +9

    Baraka ame show ile hip hop colour...
    Ame polish hiii ngoma mbayaaa sana..

  • @christianangelo4832
    @christianangelo4832 3 года назад +1

    Nipo Hapa 2021... Naona CON Boi ni conscious saaaana. TILL i die ~Anthem

  • @SINDANOALY
    @SINDANOALY 2 месяца назад

    Roshinge family pamoja sana kwario husika kutengeneza kitu hiki

  • @harunayussuf6866
    @harunayussuf6866 3 года назад +4

    Con boi mkali sana huyu jamaaa💪💪💪👑👑.

  • @brownie_dee8655
    @brownie_dee8655 Год назад

    Nmerudi 😋😋😋banger

  • @danielmaleko4938
    @danielmaleko4938 5 лет назад +3

    Kaz ngumu piah kwa omg na chorus killer baraka gonga like kama umeikubali

  • @benedictorlucas2875
    @benedictorlucas2875 7 лет назад +2

    wataoiponda hii ngoma ni waongo na wambeaa wambeaa.. #mmetishaa

  • @lewiskombole2917
    @lewiskombole2917 2 года назад +4

    One of the most crucial chorus ever. Killer chorus prince

  • @mubatachi8357
    @mubatachi8357 Год назад +1

    2023 bado ngoma yamoto

  • @bensonfrank9578
    @bensonfrank9578 7 лет назад +5

    Young Lunya!! ni noma sana yaan!!!

  • @erickjustinkente5780
    @erickjustinkente5780 7 лет назад +7

    Eee banaeee safi sana OMG. Bonge moja la track. Yaani mmeflow kama mambele. Ni shiiiiiiidaaa huyo Baraka ni noma. Salute Omg

  • @boyrobby5612
    @boyrobby5612 Месяц назад

    ukiekeawa biti ukashindwa kuchana utazomewa sana woooooo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ibrahshowtz
    @ibrahshowtz 7 лет назад +1

    Real shit.. Nimependa sana verse anasema wanatoka kuburn CD nyumban hakuna CD player. Thats some real hustle.

  • @reaganpatrick3323
    @reaganpatrick3323 3 года назад +6

    Hit song big support from 🇿🇲 Zambia 🇿🇲

  • @petrojacob1133
    @petrojacob1133 7 лет назад +5

    duuuh aisee hii ngoma Kali kinouma #@ beat Kama ya mbelee yani pongezi kwa producer wenu na nyinyi pia coz mmefanya mzikii mnene 👏👏👏

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 7 лет назад +2

    OMG mnatisha kinoma af baraka umekaza #uongo na umbea umbea"

  • @goodyalphonse268
    @goodyalphonse268 7 лет назад +1

    Baraka Alikuwa hajajua Vizuri Vipaji Alivyonavyo. Sasa ameanza Kuelewa. Japo Collabo , Ni Fireeeee!!!! #TokomezaZero #UongoNaUmbea #Fire!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @jaymash3321
    @jaymash3321 7 лет назад +4

    Number 1 in my daily playlist... ila hii video sio poa kiiivyo

  • @DaveHumphrey2514
    @DaveHumphrey2514 7 лет назад +2

    DADEKI ZAKO BARAKA DE PRINCE... That chorus is so much on point i cant even!!

  • @eliudywillz9471
    @eliudywillz9471 7 лет назад

    gooooog kaka bonge la ngoma anae hate ngoma hiii kiitikiooo kina muhusuuuu...hatuchek nae coz ya umbea wakee

  • @Reptilekenya
    @Reptilekenya 7 лет назад +3

    baraka najua ulianza kama rapper thats why unapenda na kutambua hip hop

  • @maleek11flacko
    @maleek11flacko 2 года назад +5

    2022 still missing THIS group baddest crew in Africa 🔥🥉🇰🇪🖤🖤

  • @ibrahimtwahirkilagwa653
    @ibrahimtwahirkilagwa653 5 лет назад +11

    We need another Banger like this , Bars on bars . Beast Mode

  • @rodgerskimanza2071
    @rodgerskimanza2071 7 лет назад +1

    mumeng'ang'ana sana ikue yta majuu madze na muko kenya hapa Mombasa ,ngoma kali clip,ndio iko shida mumerusha mikono saana bana
    ]

  • @andrewsaganda2004
    @andrewsaganda2004 7 лет назад +1

    Dope hiphop muzik #NewNoise #NewAfrica... Creative rap and flow...#youngLunya #kumuomba Mungu nao pia weh huezi..

  • @freshgang2559
    @freshgang2559 7 лет назад +3

    Bongo Trap Way Up....aminia Ma Niggaz....one day Yess

  • @kevinmushitv3761
    @kevinmushitv3761 7 лет назад +1

    kumbe maniga tupo wengi yaani ktk ngoma za tzd hii ndo ngoma ya Kwanza kusikia ufundi wa ngoma asanteni omg kwa kunifanya nisikilize hiphop hap tz this is my song nigga

  • @ibrahimmzito390
    @ibrahimmzito390 7 лет назад

    kufanya kama. mm uwezi kuimba nyimbo uwezi ukiambiwa kufanya kazi. unachagua kazi ngumu pia. uwe chakushangaza. zaid ata kumuomba mungu. pia uwezu.... yani iyo mistari naikubali sana. sana bit ya. nyimbo. ndio. usiseme.

  • @Michealfarah-n1w
    @Michealfarah-n1w 11 месяцев назад +1

    YL forever

  • @adamtarimo7717
    @adamtarimo7717 7 лет назад +8

    WILL BE IN MY HEAD FOR THE REST OF MY LIFE

  • @M-double
    @M-double 7 лет назад +4

    #greetings from Finland..this is a real vibe I really love it sana Kabisa 🤘✌👌

  • @jaygabriel8006
    @jaygabriel8006 2 года назад

    Sauti ya baraka the prince na lunya wamenipa vibe 🥾✌🏻

  • @byalebwabrobrown7309
    @byalebwabrobrown7309 7 лет назад

    Young lunya unachonishangaza hata kuomba mungu......

  • @deewyzeeofficial3512
    @deewyzeeofficial3512 3 года назад +2

    Lunyaaaaaaa kauwaaaaaaa💪💪💪💪

  • @officialdanwilafrika
    @officialdanwilafrika 4 года назад

    From Kenya bado nawasikiza...hiii traki motoo kweli

  • @LovingOutLoud
    @LovingOutLoud 7 лет назад +2

    254 in the building... 255 making EA craze

  • @christianluvanga2673
    @christianluvanga2673 7 лет назад +1

    way back.. guys nawakubali kinomaaaaaaa mazeee

  • @kwibemlala6864
    @kwibemlala6864 7 лет назад +15

    baraka da p penda style ya kuhimba kwako a lot

  • @abbasboniphace5444
    @abbasboniphace5444 7 лет назад +8

    inhaaaa bongo Kama mberrrrreeeeh😂😂😂😂😂😂

  • @missyessy5979
    @missyessy5979 7 лет назад +7

    Am a new fan. never knew you guys, but now I love this track like nothing before!!! mbele sana....wonderful work guys. 👏👏👏👏 uongo na umbea 😎😎😎

  • @itsecky
    @itsecky 7 лет назад

    hampo siliac guyz chupa ni kali saaaaaaaaaaaana na kuna kitu pale mwanzo kafanya khalfan nadhan hamjakiona zile za kuonyesha kila tukio linaloimbwa kwenye nyimbo zishapitwa na wakat big up kwake khalfan kafanya bonge la chupa bhana

  • @Bbwaoy
    @Bbwaoy 7 лет назад

    Haha na mwanangu chuo ulikua huonekani kabisa mzee... keep moving

  • @datakubwa1592
    @datakubwa1592 4 месяца назад

    Chorus ya baracka ni shidaaa❤

  • @maneshipaycash4729
    @maneshipaycash4729 7 лет назад

    Ipige vision nyingine kideo hata vikiwa vitatu tuta angaliiiiii.

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 3 года назад

    Dah OMG come back pls 🥺🥺🥺

  • @barakachawe6241
    @barakachawe6241 7 лет назад +7

    Hiyo chorus noma sana aisee

  • @Toyaliver
    @Toyaliver 3 года назад

    2022 who's on

  • @creedymikelivestream7794
    @creedymikelivestream7794 4 года назад +4

    Lunyaaaa🔥🔥🔥🔥

  • @MashLeezo
    @MashLeezo 7 лет назад +1

    VIDEO MBAYA ILA INAANGALIKA LAKINI NYIMBO NZURI SANA, MMEBUGIII

  • @imscometro1168
    @imscometro1168 2 года назад +1

    THIS SONG TU I KNEW CON BOI WAS A DIFFERENT GRAVY🔥🔥🔥🔥🔥🅿️

  • @GOODLUCK-bw4dl
    @GOODLUCK-bw4dl 7 месяцев назад +2

    But hawa jamaaa walitisha

  • @Kimba1999
    @Kimba1999 7 лет назад

    Ameharibu kinyama sana barakah ila songs ipo fresh 🙏🙏

  • @abdallahhamisi45
    @abdallahhamisi45 5 лет назад +1

    Hawa majamaa wapige hit song nyengine kama hii

  • @Ngatigwax24
    @Ngatigwax24 2 года назад

    June 2022

  • @goshashimangana6190
    @goshashimangana6190 7 лет назад

    aisee hao mademu kwenye video hamuendani nao..kwani mlikosa watoto wadogo masistaduu flan wakali? wameuza tu sura na chura zao..halaf imekosa watu weng dats why iko doro. OMG MMEBUGI SANA

  • @tinootinee5898
    @tinootinee5898 7 лет назад

    audio kali zaidi ya video.. video kali zaidi ilihitajika hapo wazeee

  • @ShadhilOthman_255
    @ShadhilOthman_255 7 лет назад +3

    Salmin Swaggz! I See You

  • @felixlilumbi6089
    @felixlilumbi6089 7 лет назад +2

    This is Dope, We need a collabo with 254 Camp Mulla

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 7 лет назад +10

    Yani iko #Doro.iko love Baraka keep the fire burning.

  • @levitusamlike7206
    @levitusamlike7206 Год назад

    Kila verse wanayo rap is crazy

  • @scumboy3899
    @scumboy3899 3 года назад +2

    2021 still ma favorite 🔥🔥🔥🏃🏃🏃

  • @stunnaedward
    @stunnaedward 7 лет назад

    I wish mngetoa hii ngoma wakat mna budget ya kutosha. The video is not bad but its below the level I see u guys. If u had pesa mkainvest kwenye video it cud be hotter than that.
    PS: video nzuri ila ni chini ya rank niliyowaweka mimi. U guys mmenifanya nifikirie kurudi kuwa fan wa rap ya bongo after a long time being listening to abroad music only. Omg, Nahreel mnatengeneza muzik wa fleva na quality nayopenda mimi. Big up 👍🏼

  • @ShukranMambwe
    @ShukranMambwe 9 месяцев назад

    Lunya you kill this

  • @issackjoseph6436
    @issackjoseph6436 2 года назад

    Producer alituliaga saana kwenye ii ngoma

  • @SelemaniRamazani.
    @SelemaniRamazani. 7 лет назад +2

    Courage les potes , bon travail les gars , c'est tres chaud . BON !!!

  • @ostazclassic3370
    @ostazclassic3370 7 лет назад

    omg yani hii ngoma kali sana jitaidi tuongee nipo marekani ila hii ngoma acha tu yani ni shida

  • @Roy-r2v
    @Roy-r2v 7 лет назад

    Dahhhhhhhhhh kali saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana...tisha sana

  • @mlipukaonline9361
    @mlipukaonline9361 7 лет назад +4

    Hii ngoma sio ya nchi hiii

  • @colvinesawe3517
    @colvinesawe3517 7 лет назад +1

    💯💯🤑Ngoma in kali ...yeah utaiskia#young Lunya

  • @issackjoseph6436
    @issackjoseph6436 2 года назад

    Sababu ni moja tu,uongo na umbea,

  • @petercley6230
    @petercley6230 4 года назад +3

    The second verse is awesome 👏👏👏

  • @napendamuzikiilovemusic5840
    @napendamuzikiilovemusic5840 4 года назад +1

    Gonga likes kwa chorus ya Baraka da Prince 🤴

  • @ahmedmwenye9564
    @ahmedmwenye9564 5 лет назад +1

    2020...aminia young Lunya.

  • @jayelias1654
    @jayelias1654 7 лет назад

    Pia kuomba mungu huwezi

  • @watupipo
    @watupipo 7 лет назад

    OMG Mziki mkubwa @Khalingraph Jones you Hip Hop East Africans keep pushing this game to the top. All the best.

  • @dracotheholyone7844
    @dracotheholyone7844 5 лет назад +6

    Still the best 🔥🔥🔥

  • @elizabethkirahi6582
    @elizabethkirahi6582 7 лет назад +1

    Uwongo na umbea umbea 😆😆👌🏽👌🏽

  • @issackjoseph6436
    @issackjoseph6436 2 года назад

    Iii ngoma kwang kama mlo,lazima upite sikioni niga

  • @ks-qv9xd
    @ks-qv9xd 7 лет назад

    Tz kabisa mnawakilisha kishenzi

  • @gisilalikomba3980
    @gisilalikomba3980 7 лет назад +10

    Mr director sikiliza maoni na ushauri huu ukipuuzia 👋 maana audio imeimeza video,ongeza maujuz mizan isizidiwe upande wako,wenye hekima hupokea ushauri na kuufanyia kaz ila ukisema mm najua utaelekea usikokujua maana wanasema alokupandisha ndio atakaekushusha WE RESPECT FANS ADVICES AND OPINIONS

  • @habibutowo7527
    @habibutowo7527 7 лет назад

    NIMECHELEWAAA KWA NN ETIII .DAAA UMBEAAA ASANTEEE BARAKA