Mwanafunzi amwaga machozi akiongea na Rais Samia kwenye simu | Mwijaku aduwaa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 13

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 3 года назад +3

    Mwenyezi mungu akupe maisha marefu mama mzazi ....Rais wetu mtukufu...Mwenyezi mungu atufanyie wepesi yaraab....

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 3 года назад

    Wowwwww😍😍😍apewe appointment jamani Emmanuel😃😃😃

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 3 года назад

    Dah nimelia kwa furaha sana😘🤩😍

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 3 года назад +1

    Mashaallah 🥰🥰🥰

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 3 года назад

    Yawezekana anamengi huyu, mama yetu kipenzi tunaamini utamsikiliza pindi muda utakapo patikana ❤️🇹🇿, Happy birthday , Rais wetu.

  • @fadhilajuma372
    @fadhilajuma372 3 года назад

    Safiii

  • @bahatirobert1009
    @bahatirobert1009 Год назад

    Nimetoka na machozi

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 3 года назад

    Allah akulipe RAIS WETU!
    So sad😭😭😭

  • @collethamgaya343
    @collethamgaya343 3 года назад

    Nami naomba no ya mheshimiwa Raid ninashida nisikie live sauti yake

  • @deniserick6115
    @deniserick6115 3 года назад +1

    Mwijaku ameshatoboa

  • @faridaaloyce7672
    @faridaaloyce7672 3 года назад

    Mama na moyo wako...nimetokwa choziii

  • @kwanzamwisho2708
    @kwanzamwisho2708 3 года назад

    Huyu nae kimwijaku anapenda masifa, wanafunzi wamefurahia raisi - kimwijaku anasimama na kujifanya anampenda sana raisi na kuvuruga furaha yote.

  • @paulmwarabu6685
    @paulmwarabu6685 3 года назад +1

    Mwijaku?