President Samia Suluhu of Tanzania is the best, most dignified, and most distinguished female president in Africa's history. She is a woman of dignity. She does not talk much, she acts. She does not pay lobbyists or seek PR stunts; she is just cool and does her work.
Tulifurahi sana kukuona Mama wa Taifa letu,Ulifanya jambo la busara sana kufika ktk sherehe hii muhimu kwa wenzetu hapa kenya...Hongera Jumuiya ya africa Mashariki..Kongole pia kwa Rais William Samoei Ruto kuchaguliwa ili uongoze Taifa hili...Mungu akubariki sana na abariki Inchi ya Kenya na watu wake....🙏🙏🙏
We thanks you madam president as you also thanks how we kenyans did a peacefull election this time we thanks you too for taking part of this significant ceromony while your busy with ur other duties may you be blessed you and family as your faratanity we love u mama suluhu
Ata kama Samia Sulu ni kiongozi muislamu wa Tanzania inghawaje haiwajalishi wanainchi wa tanzania kwajili ubora ni haonghonzi Tanzania kiuhalifu bali anaitumikia taifa lake kwa uaminifu ameen
Hongera Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa hotuba ya aina yake na ya pekee. Umetutendea haki as Tanzania na kuinuwa heshima ya Nchi yetu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kimataifa. Ubarikiwe sana.
Allah akuongoze muongozo sahihi mama yetu mama Samia kwa hakika tunakupenda sana mama yetu kwa kuiwakilisha tanzania yetu pamoja na estafrica nzima Tena kwa lugha ya kiswahili mana hiyo ndio lugha yetu ya taifa la Africa
Congratulations madaam president we as Muslims community we are happy with you madaam suluhu🙏🙏🙏 sisi wakenya tunakupenda wewe na watanzania kwa jumla may Almighty Allah bless you madaam president
In our constitution qualification are clear if want to become a president so any Kenyan can vie and win the election as per constitution.so it's people who vote not religion.infact religion is a minor aspect nobody cares
Wakenya bwana mshaanza ku judge dini kisa Samia kavaa hivo, sisi Tz hatuwahi hata kufikiria vazi la rais na kulinganisha na dini yake, na hatuna mijadara ya dini ipi itawale, sisi tunasema mtz yoyote mwenye kuchaguliwa atawale sio kupokezana ati dini hii muda huu, then muda ule dini hii noooo
The first lady president of Tanzania samia suluhu congratulations for your wonderful speech, I hope our president and his VP, they can learn from you to control themselves with words of bitterness attitude towards former president kenyaatta.
Apige VITA Rushwa nchini. Aondoe Tozo. Wananchi hawana fedha. Hawana chakula . Maji ya kununua. Na tozo juu. Fedha za TRA ZINAIBIWA .NA SERIKALI YAKE HAJAWA MKALI KWA WEZI WA NCHI
Bibiye azungumza Kiunguja, Kiswahili mufti pale..lugha tunu na ya fahari... Kiswahili lugha yetu milele. Tuondoeni Kiingereza,Kifaransa,Kireno na lugha zote za kikoloni.. Kiswahili kitukuke!!
Ahsante Raisi wetu mama yetu kipenz SAMIA HASANI SULUHU, kwahakika umejawa nahekima, na sisi watanzani kwa dhati tunafurahia uongozi wako, Mungu akutunze mama yetu akupe afya jema ili uendelee kulimikia taifa letu, Kama ilivyo sasa watanzania umeturejeshe tunabasam na tunaifurahia Tanzania yetu, MUNGU AKUBARIK SANA, NASI TUTAENDELEA KUKUPENDA NA KUKUUNGA MKONO WAKATI WOTE
Tanzania ni nchi nzuri sana ...lakini unyanyasaji unaofanyika kwa border ya kenya na tanzania Sirare umezidi...maafisa wanatesa watu na kuwaitisha hongo wakati wasafiri sako na papers zote zinazowaruhusu kusafiri
@@moorlandsafaris9484 whatever happened...will happen elsewhere not in this Banana republic/if voting itself would bring change,it could av been illegal
It’s time for African countries to change their official languages to that of their countries’ or regional languages. It’s only Africa that has foreign languages as official languages, very shameful.
Thank you our excellency Uhuru for the transition to our excellency President William ruto. God is Good for Kenyans, Asante Mungu. Asante your excellency mum of Tanzania.
Huyu mama alitakiwa atafsiriwe risala ya Riggy G iwe kwa kiswahili, aisome. Watanzania tunataka uhuru wa kuchagua kama walionayo wakenya. Msihadaiwe na kiswahili. Tanzania haijalishi unampigia kura nani, lazima ni CCM ndo inashinda maana wanatumia dola waliyonayo kuendelea kushikiria dola.
Giving a speech as a head of state, it's for the whole nation or continent and u have to use official language that every one can understand or u were just speaking for Tanzania or u don't know English
Ndugu hebu kuwa na adabu kidogo, kama angekuwa ndiyo mama yako halafu akatokea mtu anamzungumzia vibaya kama hivyo unavyozungumza wewe je ungejisikiaje? Tatizo ni nini au ndo chuki binafsi, mbona na wao huwa wanakuja kwetu pindi maraisi wetu wanapoapishwa, au na wao tunapowaalika wasije? Jina lako halilingani kabisa na hicho unachosema, hebu badilika dsda usijiingize ktk vita usiyoijua!!
Kweli kifo kilipokonya Tanzania Rais wa Kweli Magufuli. Sasa ni vizuri kama Tindu Lissu angefikiriwa na watanzania kuwa Rais.hapa ni mpsishi wa pilau tu tunayemuona.
I love the fact she speaks Swahili. Proud of her language. I have never heard the Chinese President speak English.
Correct very proud president.
All African Presidents should speak their native languages.
Uzalendo...ndio jibu Tosha,KENIA we embrace English kama utumwa flani hivi
@@semkiwamganga4405 haikuwa y matusi pls
@@semkiwamganga4405 Kiswahili kwanza East Africa kisha Afrika nzima. Pamoja tutaweza.
Hata wewe ungeandika kwa Swahili au bado hujaweza... nafurahi na wewe .... Shukran 😘
Nothing like listening to a Zanzibari speak Swahili. I could listen to them for hours.
😂😂😂🤣🤣🤣😜😜🤮🤮🤧🤧🤭🤭😷🙈🙈
Me to i like zanzibar swahili.i went there just to see them and listen them
Asante rais wangu mama samiah . tunakupenda wanao watanzania asante kwa kutuwakilisha vyema . asanteni wakenya kwa kumkaribiaha mama yetu
Aondoe Tozo wizi tu wa fedha za wananchi.
All leaders spoke the colonial language of English while she proudly gave her speech in native Swahili... impressive...
La kushangaza ni kuwa maoni yenu ni katika lugha ya kigeni!
@@johnkairu2388 ni kweli..wazungu alienda lakini waliacha luga yao
President Samia Suluhu of Tanzania is the best, most dignified, and most distinguished female president in Africa's history. She is a woman of dignity. She does not talk much, she acts. She does not pay lobbyists or seek PR stunts; she is just cool and does her work.
Liberia's former president...Ellen Johnson Sirleaf says hi. Suluhu has achieved nothing
What work does she do? Stealing and playing tourist at our expense is not work. Watupe uhuru wakuchagua viongozi wetu.
That's the reason why God cleared her way to presidency.. May almighty bless her and continue serving the Pipo of Tanzania
Tulifurahi sana kukuona Mama wa Taifa letu,Ulifanya jambo la busara sana kufika ktk sherehe hii muhimu kwa wenzetu hapa kenya...Hongera Jumuiya ya africa Mashariki..Kongole pia kwa Rais William Samoei Ruto kuchaguliwa ili uongoze Taifa hili...Mungu akubariki sana na abariki Inchi ya Kenya na watu wake....🙏🙏🙏
My Madam president though am from uganda 🇺🇬
Asante Kenya kumukaribisha mama yetu Samia
At least tanzania is united❤️
East African politics is on another level....the democracy is so mature...
I love African people's accent. They sound so genuine.
Ubarikiwe sana Raisi. Mungu akubariki kwa kutoa hotuba iliyojaa hekima na busara za kuijenga Jumuiya ya Afrika mashariki. Nikutakie kila laheri mama.
I love that she acknowledged the first and second ladies. 😍
Well done madam president
We thanks you madam president as you also thanks how we kenyans did a peacefull election this time we thanks you too for taking part of this significant ceromony while your busy with ur other duties may you be blessed you and family as your faratanity we love u mama suluhu
Mama Suluhu Mungu akubariki.
Viva President Suluhu of Tanzania!.
Well spoken Comrade Maadam President Samia suluhu Hassan,Vijana wa CCM na Tanzania tupo nyuma yako
Wewe msenge upo nyuma yake wewe na mamako walamba asali nyinyi wa lumumba
Thank you mama suluhu.Kenya yakupenda Bure mommy.
Congratulations Mheshimiwa ❤️
Nampenda mama suluhu sana. Unyenyekevu wako na hekima. I just like listening to her speak. Pongezi
Ahsante my President Tanzania 🇹🇿 ❤️
Ata kama Samia Sulu ni kiongozi muislamu wa Tanzania inghawaje haiwajalishi wanainchi wa tanzania kwajili ubora ni haonghonzi Tanzania kiuhalifu bali anaitumikia taifa lake kwa uaminifu ameen
Hongera Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa hotuba ya aina yake na ya pekee. Umetutendea haki as Tanzania na kuinuwa heshima ya Nchi yetu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kimataifa. Ubarikiwe sana.
I love this madam 💕💕
Amiin ya Rabb 🙏🏻🙏🏻
Love you my president
Kenya did a peaceful Rigging my dear...
@@semkiwamganga4405 hat off ….. seems this time Kenyans put Kenya first, Baba can still try again next time.
@@chuggaboy9877 fact
Aksante sana muheshimuwa Raïs wa TANZANIA Ku heshimu lugha ya Africa
Mungu aku rinde .
Huu mama yetu nampenda sanaa
🇰🇪 we love you
Asanti Mama Raisi, umevaa vizuri na umependeza . Mungu akuzidishie heri na busara
Allah akuongoze muongozo sahihi mama yetu mama Samia kwa hakika tunakupenda sana mama yetu kwa kuiwakilisha tanzania yetu pamoja na estafrica nzima Tena kwa lugha ya kiswahili mana hiyo ndio lugha yetu ya taifa la Africa
God help us. We thank you God ,Amen
Blessed woman
May God bless you Mama Tanzania
Rushwa itakomeshwa lini Tanzania
@@kawiche4911 Amen I don't really understand kiswahili please but more blessings to Mama Africa by God's love in the name of Jesus Christ Amen
Madam suluhu apewe maji, koo shida.. thzs for the speech
Congratulations madaam president we as Muslims community we are happy with you madaam suluhu🙏🙏🙏 sisi wakenya tunakupenda wewe na watanzania kwa jumla may Almighty Allah bless you madaam president
The sixth president of Kenya should be a Muslim president. Ethiopia has Muslim pm, TZ every second term has Muslim president. What happened to Kenya?
@@Yamakuzi007 Kenya is a secular country with a Christian majority. What do you expect?
You are appatheid man, to be a president is not a muslim or Christian. It is a plsn of God. Who is elected, we accept it.
In our constitution qualification are clear if want to become a president so any Kenyan can vie and win the election as per constitution.so it's people who vote not religion.infact religion is a minor aspect nobody cares
Wakenya bwana mshaanza ku judge dini kisa Samia kavaa hivo, sisi Tz hatuwahi hata kufikiria vazi la rais na kulinganisha na dini yake, na hatuna mijadara ya dini ipi itawale, sisi tunasema mtz yoyote mwenye kuchaguliwa atawale sio kupokezana ati dini hii muda huu, then muda ule dini hii noooo
Zawadi mliowapa wana EA ni amani na utulivu ktk uchaguzi mkuu hadi kumpata Rais mpya HE Wiliam S. Ruto.
The first lady president of Tanzania samia suluhu congratulations for your wonderful speech, I hope our president and his VP, they can learn from you to control themselves with words of bitterness attitude towards former president kenyaatta.
We love you mummy💞
I just love this president of TZ..ni mama wa kipekee..mungu na amuhifadthi..
Amen
Can anyone put english subtitle please
Sauti yenye mamlaka rais wetu mama Samia.
Apige VITA Rushwa nchini.
Aondoe Tozo. Wananchi hawana fedha. Hawana chakula . Maji ya kununua.
Na tozo juu. Fedha za TRA ZINAIBIWA .NA SERIKALI YAKE HAJAWA MKALI KWA WEZI WA NCHI
Bibiye azungumza Kiunguja, Kiswahili mufti pale..lugha tunu na ya fahari... Kiswahili lugha yetu milele.
Tuondoeni Kiingereza,Kifaransa,Kireno na lugha zote za kikoloni..
Kiswahili kitukuke!!
Thanks for you speech, which was short and very relevant to the occasion. Many Congrats."Sky is The Limit"
Uko Sawa, Asante
Very good madam suluu
Nice speach Mama
mama pongezi zako umeongea maneno yalioja busara tupu
Mama yetu huyoooooooo... may peace of God protect her
Ahsante Raisi wetu mama yetu kipenz SAMIA HASANI SULUHU, kwahakika umejawa nahekima, na sisi watanzani kwa dhati tunafurahia uongozi wako, Mungu akutunze mama yetu akupe afya jema ili uendelee kulimikia taifa letu, Kama ilivyo sasa watanzania umeturejeshe tunabasam na tunaifurahia Tanzania yetu, MUNGU AKUBARIK SANA, NASI TUTAENDELEA KUKUPENDA NA KUKUUNGA MKONO WAKATI WOTE
Hongera Mama President Samia Suluhu Hassan
Ameen
👏👏👏👏👏👏👏
An east africans are brothers and sisters so becareful not to divide them like an Israel,Palestine,India and Pakistan
Maashaa Allah
Tanzania ni nchi nzuri sana ...lakini unyanyasaji unaofanyika kwa border ya kenya na tanzania Sirare umezidi...maafisa wanatesa watu na kuwaitisha hongo wakati wasafiri sako na papers zote zinazowaruhusu kusafiri
Mama nakupongeza hata maneno yako inatupa sisi watanzania kua sisi tuko nawe hongera raisi mungu akulinde urudi nyumbani amina
She murdered magufuli she's so evil
Mungu baliki kenya ;_am boaz makori kutoka Kijauri Nyansiongo
Congratulation madame..
Until end of earth Kenya will av lady president,tena mswahili...in Kenya impossible/TZ hoyee
Wait for me... I will remind you of this text!
@@nchimwene576 me too
Its like you don’t know what Happened!
@@moorlandsafaris9484 whatever happened...will happen elsewhere not in this Banana republic/if voting itself would bring change,it could av been illegal
Who asked you🙄🙄🙄
Good 👍
The east Africa aunty Mama Suluhu
Kasarani leo Ezikile
المرأة الحديدية سامية حسن
Hongera luto
Hongera Mama kwa kuongea kiswahili tunajivunia vyetu
So nice speaking
tres bien
Safi umeongea kiswahili
It’s time for African countries to change their official languages to that of their countries’ or regional languages. It’s only Africa that has foreign languages as official languages, very shameful.
Karibu ila uwache kuhamisha watu wako kama watumwa! Juu ya wakolon uwape aridhi yako
Vitu nampendea mama Samia,Stara, Amedhirisha kwamba unaweza pendeza bila kukaa uchi.Mbili anaheshima.lkn kuongoza Tanzania hafai.
ccm kitanda kumbe kumbe upanga wako mamasamia ndiyo unamwanga wakusafisha💚🤾💩👥😁✋👍tunajua unajitaidi sana kuyareta maendereo rakini umepungiwa nakiasi furani🤍chapesa marinyingi mgeni ukaribishwa nakisha upewa chakura chauku rikini kwamgeni mwenye nafuu atafaamu mfukowako naakiwa namoyo wamungu atokupa pesa ira atakupa cheki✋👍⬜ukadroo mwenyewe⚪😭💚😄♥️🌹
Good
God, thank you, Amen
Thank you our excellency Uhuru for the transition to our excellency President William ruto. God is Good for Kenyans, Asante Mungu. Asante your excellency mum of Tanzania.
I hope there is translation lol
Huyu mama alitakiwa atafsiriwe risala ya Riggy G iwe kwa kiswahili, aisome. Watanzania tunataka uhuru wa kuchagua kama walionayo wakenya. Msihadaiwe na kiswahili. Tanzania haijalishi unampigia kura nani, lazima ni CCM ndo inashinda maana wanatumia dola waliyonayo kuendelea kushikiria dola.
Magufuli was a hero, now that he went to heaven Tanzania is not in a health environment the country has already lost it's shine and Luster. Ooh Africa
Mbubuazi?
Kwanini hamna utulivu watu wanatembea x2bila mpangilio protor vipi?
🙏🙏👏👏👏🙌👍
AT 4.30 MIN IN YOUR VIDEO DOES THAT IMPLY THAT THE STADIUM WAS THAT EMPTY. AT LEAST BE SERIOUS WITH YOUR REPORTING
Ya thaka roho kuiombhea baraka kwa inchi jirani kama ya Samia Sulu lakini wakenya hawana roho ka ya Samia Sulu tuko pamoja?
R.i.p John pombe Maghufuli
Giving a speech as a head of state, it's for the whole nation or continent and u have to use official language that every one can understand or u were just speaking for Tanzania or u don't know English
Swahili is spoken in Congo,Uganda,Tanzania and KENYA..I fail to see your point ...since the Kenyan people were the target audience
Wait did I dear ga choose?
Gacha gua
Madam president teach chakwere to lead malawians good bcz that guy his bad chakwera ukuona azako kunyadila chilankhulo Chao kungokonda vizungu vaziii
Ishu haikua amani ishu ilikua ni kutanda haki
Huyu mwanamke anapenda safari huyu kila mahali tulionyeshe na sisi kama walivyo fanya Kenya kaenda kulinda gas yetu aliye ipeleka huko pumbavu
Ndugu hebu kuwa na adabu kidogo, kama angekuwa ndiyo mama yako halafu akatokea mtu anamzungumzia vibaya kama hivyo unavyozungumza wewe je ungejisikiaje? Tatizo ni nini au ndo chuki binafsi, mbona na wao huwa wanakuja kwetu pindi maraisi wetu wanapoapishwa, au na wao tunapowaalika wasije? Jina lako halilingani kabisa na hicho unachosema, hebu badilika dsda usijiingize ktk vita usiyoijua!!
Kiswahili kilichonyooka sio kile cha samaki kumuita mboga
Nangolijackson
Role of women
Also strength of a woman
I don't know Swahili but I love the speech
oui l´ Kenya est un pays tres demacratie
A very strange language. I can't understand
Mheshimwa suluhisha mambo ya NGORONGORO
Kwel nduguu mzalendo sio sifa isiyo mwelekeo tuongen ukwel
Sasa umeongea Kiswahili nilikuwa nashangaa anaongea kingereza sasa ume amka
People Where is baba?
He's on vacation in US
Bythe way baba
Haka ka mama haka kanantiaga hasiraaa
Kweli kifo kilipokonya Tanzania Rais wa Kweli Magufuli. Sasa ni vizuri kama Tindu Lissu angefikiriwa na watanzania kuwa Rais.hapa ni mpsishi wa pilau tu tunayemuona.
Hatujakupa kazi kutusemea
Upewe 2 kwa bill yang
Heeee