Tunakupata vizuri sana ndugu adam Hussein ikiwa wao wanamweekea vikwazo kuhusu mafuta kuingia ya urusi kuingia nchi zao na bado wako na shida lazima nae aangalia udhaifu wao uko wapi na kama amegundua hana njia nyingine nilazima afanye hivyo mungu akubariki sanna
ndiyo maana waafrica waliosoma URUSI, UCHINA, INDIA wako na maarifa mengi tofauiti na wale wala madawa ya kulevya... vingereza vingi maarifa wanafundishwa ukoloni mambolewa akili ya kuona nchi mama uliko zaliwa haina maana ... Hayo ni maono yangu najua wakoloni weusi 😀😀😀mtaanza mitusi
HAO MAGHARIBI WANA NISHATI GANI...? WANGEKUW WANA PIGA KELELE KAMA MBWA KOKO...... URUSSI NA SAUDI KITU KIMOJA WAKISEMA TUPANDISHE BEI AU TUSHUSHE BEI.....
Wewe kweli umelala ujerumani maisha magumu walikuwa wanategemea mafuta ya urusi na sasa wananunuwa kupitia uturuki na uturuki ananunuwa kutoka urusi pia hangari ananunuwa akiwauzia ulaya. Hali ni mbaya mpaka kansela wa ujerumani raiya wanamtaka ajiuzulu
Kama sio muhimu kwa nini Marekani wasirudi kwao uko ndio kwanza wamekalia siriya kimabavu ili waibe vzr acha ujuaji kwenye ukweli sio leo kuachana na mafuta wacha kiwarambe
Yaani ao wamagharib kama Mungu wenu uo ni ukoloni mambo leo na ukosefu wa kujitambua hivi nyie ao wamagharib ndio wanao wapa Afya na uhai acheni kujiona 🦍🦍🐒kama walivo wafananisha kila binaadam ana haki ya kuishi kwa Amani na kufuata taratibu alio weka Mwenyezi Mungu na sio watu walio waasi ifike wakati mjitambue nani nyie na zipi haki zenu wanao jifanya wao bora hadi wadhulumu mali za wengine ndio waendelee uo ujinga kila mmoja ni muhitaji kwa mwengine lzm Heshima ipatikane

Mtakubali maghalibi putin wanyooshee mashoga hao
asante❤
😂😂😂😂😂😂 urusi baba lao
Big up kwa mtangazaji unatuletea habali kwa usahihi kabisa be blessed
kweli kabisa
Wapambane na Hali yao
KAMA NYIE MAGHARIBI KWELI NENDENI KWENGINE MKACHUKUW MAFUTA MBWA NYNYI.....MTAOMBA POO WENYEW.....
Sis tunachukua uarabuni
HAO MAGHARIBI WANA NISHATI GANI...? WANGEKUW WANA PIGA KELELE KAMA MBWA KOKO...... URUSSI NA SAUDI KITU KIMOJA WAKISEMA TUPANDISHE BEI AU TUSHUSHE BEI.....
Wacha inyeshe tuone panapovuja,
Mambo ya mafuta y asil ;siyo issue nyet kw magharib! Wana nishat mbadala,nyingi na dunia inatakiw iachan n mafuta y petrol,diesel!
Wewe kweli umelala ujerumani maisha magumu walikuwa wanategemea mafuta ya urusi na sasa wananunuwa kupitia uturuki na uturuki ananunuwa kutoka urusi pia hangari ananunuwa akiwauzia ulaya. Hali ni mbaya mpaka kansela wa ujerumani raiya wanamtaka ajiuzulu
😅😅😅😂
Ww kidg umeanza kuamkaa
Kama sio muhimu kwa nini Marekani wasirudi kwao uko ndio kwanza wamekalia siriya kimabavu ili waibe vzr acha ujuaji kwenye ukweli sio leo kuachana na mafuta wacha kiwarambe
Mmarekani mweusi weeee
Unajidanganya ww
Urusi haina ubavu huo wa kuwapandishiya bei EU ataa siku nzima igande basi hawezi kufanya ivyo sawa
Yaani ao wamagharib kama Mungu wenu uo ni ukoloni mambo leo na ukosefu wa kujitambua hivi nyie ao wamagharib ndio wanao wapa Afya na uhai acheni kujiona 🦍🦍🐒kama walivo wafananisha kila binaadam ana haki ya kuishi kwa Amani na kufuata taratibu alio weka Mwenyezi Mungu na sio watu walio waasi ifike wakati mjitambue nani nyie na zipi haki zenu wanao jifanya wao bora hadi wadhulumu mali za wengine ndio waendelee uo ujinga kila mmoja ni muhitaji kwa mwengine lzm Heshima ipatikane
Wee matako
@@cath-ef7wd hahaha 🤣
Sio matako mmi sawa
Mashoga zako 😅😅😅😅
Putin akishatangaza juwa imetoka hiyo siye sleeping Biden
Putin afe