MAZISHI YA MAISHA ALIYEFARIKI KWA UGONJWA WA INI KWAO TUKIO A TO Z TAZAMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 522

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  4 года назад +8

    JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP KWAAJILI YA TEAM MAXIMUM TV NA PIA KUTULETEA HABARI ZA MATUKIO KILA PANDE NASI TUTAREPORT HAPA
    LINK. chat.whatsapp.com/JkSQagAXclaAAv1INM4qpV
    GUSA HAPO KUJIUNGA SASA
    PIA TELEGRM GROUP LINK HII HAPA JIUNGE SASA. t.me/joinchat/SuUqvRhRgJ9CXdkT1A3YzA

    • @habibasaidi984
      @habibasaidi984 4 года назад

      Mung atakulipa dalaju lajuukwa moyo uliyo kuwanao niwachache sana wenye moyokama wako mung akupe maisha malefudaina kukowa nimoyo siutajili unaweza ukawa tajili nausiwe nautu mung akulinde

    • @saciousahmedy7316
      @saciousahmedy7316 4 года назад

      Daah inalillah wainaillah lajun

  • @omarsharifa5606
    @omarsharifa5606 4 года назад +50

    Kaka zahir Allah atakulipa ujira wakoo ,,,mungu akujalie umri na afya njema insha'Allah 🤲🤲🤲 alhamdulillah Allah atujalie mwisho mwema 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @nasrasaid9844
    @nasrasaid9844 3 года назад +1

    Kaka zaher allah atawalipa nyie kwa kazi mzito munayoifanya wengine sie atuna uwezo wakusaidia wenzetu ila tunatamani sana allah awajaalie moyo km huo

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 года назад +10

    Vzr sana ZAHIR na Maximum tv kwa ujumla, nimefurahi sana kuona mmekwenda msibani huko, mungu awape moyo huo huo wa ushirikiano

  • @momobakari1225
    @momobakari1225 4 года назад

    Innalillahi wainnailaihi rajeun, ALLAH akulaze pema peponi MAISHA, imeniuma sana hadi nimelia, ALLAH ajaalie kaburi lako liwe na nuru, ajaalie malaika wema wawe pembezoni mwako, AMIIN YA RABBAL ALAMIN🙏🙏

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 4 года назад +19

    Zaih niwachacha saan wenye moyo Kama wako Hatuna budi kukuombea Dua njema mungu akupe kila njema

  • @reginakisanga9308
    @reginakisanga9308 4 года назад +33

    Mwenyezi mungu amrehem ndugu yetu na wapendwa wetu wote waliotangulia mbele za haki

    • @leylasaimour9488
      @leylasaimour9488 4 года назад +3

      Mungu mpe kauli thabit kajua kuniliz 😭😭😭 ila kazi ya mungu Aina makosa amuondolee mchanga wa macho🙏🙏.

    • @ZahraZahra-cx9xw
      @ZahraZahra-cx9xw 4 года назад +1

      Amiin

    • @aishadaba7045
      @aishadaba7045 4 года назад +1

      Allahumma Aaaamin Ya Mujib

    • @halishmwarua2957
      @halishmwarua2957 4 года назад

      Tuliogea sana tarehe 2 Kumbe ndio mwisho wke

    • @kaeniyahya7536
      @kaeniyahya7536 4 года назад

      Amin

  • @fatmaaly3056
    @fatmaaly3056 4 года назад +12

    Dunia tunaiyacha na vilivyomo tuache zinaa,ushirikina,fitna na mengi mabaya allah atuweke na taufik inalilah waina ilah rajion husnul hatma y'allah

  • @zaitunmaarufu3371
    @zaitunmaarufu3371 4 года назад +3

    Innallillah wainna illah rajin'guun. Yani nimeumia sn. Maana zahr nakufatiliya sn. ALLAH akufanyie wepesi katika kazi yako. Unafanya kazi kubwa. Zahri naihusiya nafsi yangu pamoja na kuisiya nafsi yako tufanye ibada tumche ALLHA. Kwani dunia hii tunapita.

  • @neemamtangi368
    @neemamtangi368 4 года назад +7

    Asante kk. Kwakutuza. Maisha mungu ampe Lauri dhabiti lnshaa Allah

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 4 года назад +8

    kaka unamoyo wew mungu atakulipa Insha Allah usichoke kutenda mema ujira wako utaukuta kwa Allah..Zahir anahema kwa ajili ya mwendo pole kaka.

  • @munnawwary757
    @munnawwary757 4 года назад +5

    Allahumma ghafrllah warhmah waskan filjanah

  • @جنيتكينيا
    @جنيتكينيا 4 года назад

    Shukran sana kkzahir kwa kazi nzuri.sina chakusema tena juu yakkyetu Maisha chamsingi nikumuombea kila baada yaswala Allah amsamehe kilaalo fanya na muepushe na moto na adabu yakaburi Amiin amiin amiin

  • @sikuzanibusanya6423
    @sikuzanibusanya6423 4 года назад

    Poleni sana anafatilia mungu Awatie nguvu na ww rafiki wa marehe mungu Akutie nguvu Nimelia sn nimemukumbuka rafiki yangu nae nilimuunguza sinza Akanifika mikononi mwangu nilikuwa cjui ndug zake rkn mungu Akafanya njia pasipokuwa na njia nikasafirisha msiba hadi iringa Rl.p maisha R.l.p Victoria hakika nitakukumbuka daima

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 года назад +2

    Innalillahi wainnailaihii rajiun poleni sana ndugu jamaa na marafiki wote Ameen

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 года назад +3

    kk mwandishi honger sn kwa kazi uliyo ifanya mungu akuzidishie moyo huo huo pia azid kukulinda kk

  • @hopechriss8739
    @hopechriss8739 4 года назад +1

    Nakupenda sana wew mtangazaji MUNGU akubariki kwa kaz zako

  • @angelluanda4221
    @angelluanda4221 4 года назад +3

    Kiukweli nimelia sana allah akupe kauli thabiti

  • @halishmwarua2957
    @halishmwarua2957 4 года назад +2

    Mwenyezimungu amrehemu in sha Allah inauma bt hatuna budi tulimpenda sana mungu halimpenda zaidi halikuwa mpole na mcheshi nimeishiwa nguvu leo kabisa 😭😭😭😭😭 mbele yke nyuma yetu

  • @khadijaomar2723
    @khadijaomar2723 4 года назад +3

    Inna lillahi wainna ilayhi raajiun poleni kwa msiba Allah awape subra wenzetu wa tz

  • @rehemaaithumani3076
    @rehemaaithumani3076 4 года назад +3

    Mwenyeezi mungu amlaze mahali pema peponi na ampunguzie Adhabu ya kaburini sote njia moja ulale kwa Amani

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 года назад

    Poleni sana wazazi,ndg na rafiki aliyekuwa anamuuguza pamoja na jamaa wote Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho. Na pia pole kaka Zahir kwa kazi kubwa uliyoifanya ya kupambania uhai wa maisha ,wewe ndiye umefanya tumujue Maisha Mungu akubariki sana uendelee kuwa na moyo huo wa kujitoa kwa ajili ya wengine .R.I.P Maisha mbele yako nyuma yetu.

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  4 года назад +1

      Amen..amen.. Amen.. ubarikiwe sana nawe pia kwa kuwa pamoja nami

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 4 года назад +3

    Mwenyezi Mungu awajalie kwa upendo wenu

  • @rashidahassani7432
    @rashidahassani7432 4 года назад +7

    Pole sanaaa wafiwa jmn rohoo imeniumaa sana

    • @jamilajamila4572
      @jamilajamila4572 4 года назад +1

      Zahir allah akuzidishie upendo kakaangu pia wafiwa poleni sana mbele yake nyuma yetu wote tutarejea

  • @aminashafi3066
    @aminashafi3066 4 года назад +14

    Wallah huyo ndie rafiki wa maisha maana amesimama nae mpaka dakika za mwisho

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 4 года назад +4

      Yule.mkaka alikuwa anaumwa lkn maskini alikuwa anavumilia maradhi.allah amsameh makosayake

  • @pillyomary6127
    @pillyomary6127 4 года назад +2

    Innallilah wainnallah rajuun Allah ampe kauli thabiti inshallah zahir kila la khery katika kazi zako inshallah

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 4 года назад

    Asante sana kaka Zahir kwa kutuwakilisha msibani Asante na nyie wote mliosafiri kwenda msibani Mungu atawalipa🙏🙏🙏Poleni familia Mungu awatie nguvu

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 4 года назад

    poleni sana wafiwa ,,Ee baba mwenyezi mpumzishe kijana wako mahala pema peponi ,Amen .

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 4 года назад +1

    Nimelia sana sana,,pole rafiki ya maisha endelea na moyo huo huo hata wengine ,maisha mungu kampenda zaidi inauma sana wallah nimeshinda nikilia jamani.

    • @pendomunis4673
      @pendomunis4673 4 года назад

      Jamn maisha mungu akufungulie milango ya pepon

  • @halimaswaheli1495
    @halimaswaheli1495 4 года назад +11

    Polen Familia polen nanyinyi waandishi mungu Ata walipa 😭😭😭😭😭

  • @ashamedia9821
    @ashamedia9821 4 года назад +9

    Nimelia sana nilitamani apone dah ugonjwa ulimuondoa kaka yangu pia mungu awalaze mahala pema peponi

  • @guwileguwileyasini758
    @guwileguwileyasini758 4 года назад

    Innalillah waina lillah rajunni poni nas wafiwa wote na uyo kk arokuwa anamuuguza maisha allah alipe jana filidaus in shaallah kuwana moyo uwowo tumekupa pongezi san allah kakupa imani kubwa sn indeleya kuwa na imani in shaallah

  • @erickmother3973
    @erickmother3973 4 года назад +1

    Poleni sana Mungu awape nguvu

  • @zainaramadhan7769
    @zainaramadhan7769 4 года назад

    INAUMA SANA tenaa sana mungu atawalipa kwa wote mliojotolea kwa kijana mwenzetu poleni na safar ndefu marafik na mtangazaji

  • @rosemongi5273
    @rosemongi5273 4 года назад

    Mpumzika kwa amani maisha mwenyez mungu akupe pepo ya daraja poleni Sana wana familia, Ni kaz ya mungu Haina makosa

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 4 года назад +2

    Innalillah waina alayhim ragiun nimeumia allah ailaze roho ya marem pema peponi amin,nimeumia sana hakika ahad za mwenyez mungu ni bora kuliko ya mwanadamu,zahir na huyo kijana mwingine allah awape moyo wa iman awape kheri duniani na kesho akhera😭😭

  • @zainabmkomwa2064
    @zainabmkomwa2064 4 года назад

    Innalillah wainailayhi rajiun poleni sana jaman sote njia yetu ni moja na kwake Allah tutarejea Allah awazidishie subra n uvumivu familia

  • @brighteenrobby7074
    @brighteenrobby7074 4 года назад +1

    Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele

  • @edsboresha2571
    @edsboresha2571 4 года назад

    Haya maisha haya, wanaozikwa kwa ufahari na wanaozikwa bila mbwembwe wote njia yetu ni moja, Hongera Martin wewe ndio rafiki wa kweli

  • @frankyunia1809
    @frankyunia1809 4 года назад

    Poleni sana mungu awape faraja

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 4 года назад

    Mtangazaji mungu akupe nguvu uzima kwayale unayo fanya mungu atakupa swawabu zako

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 года назад

    Allah akuhifadhi pema Ammin nasi atupe mwisho mwema mbele yako nyuma yetu mdogo wangu kazi ya mungu haina makosa Allah awape subra familia yote kwaujumla

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 4 года назад

    Kaka ambaye ni rafiki wa marehemu...umekuwa rafiki mwema sana kwake.. Mungu akubariki pale ulipotoa kwa msaidia Mungu atakulipa kwa wema wako..🙏🏿🙏🏿😢😢😢😢😢🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿ama kwa hakika hii ndo maana halisi ya urafiki wa shida na raha

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 года назад +26

    poleni wanafamilia na uongoz wa maximum tv njia yetu sote tofaut mda tu

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  4 года назад +3

      Asante sana

    • @hadijahmwajombe9588
      @hadijahmwajombe9588 4 года назад +2

      @@maximumtvonline poleni sana jamani maximum tv online tv poleni sana

    • @dottnatt7110
      @dottnatt7110 4 года назад +1

      Innalillah wa inna illah rajuuqun😭😭

    • @ashahaji6786
      @ashahaji6786 4 года назад +3

      Inna lillah wainna ilayhi raajiuun. Kwa kweli inauma sana lkn ni qadar ya Allah

    • @salehalbasam41
      @salehalbasam41 4 года назад +2

      Kabisa njia ya sote

  • @sikuzanibusanya6423
    @sikuzanibusanya6423 4 года назад +3

    Kaka zahir mungu Abariki kazi unayoifanya malipo utayakuta mbinguni lnshallha

  • @aminasuleiman6402
    @aminasuleiman6402 4 года назад +2

    Najikuta nalia jamaniii inauma sana mbele yako kaka Allah akujalie ktk kabuli lako liwe miongon mwa viwanja vya peponi!

  • @alajmialajm8794
    @alajmialajm8794 4 года назад +1

    Hata mm nmelia jaman. Mungu awape faraja

  • @aminasaid7657
    @aminasaid7657 4 года назад

    Poleni Wana Familia Allah akujalie pepo akupe kitabu chako kwa mkono wa kulia

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 4 года назад +3

    Mwambie mzee baba maisha amtolee sadaka marehemu maisha

  • @AnnKk-sj8ij
    @AnnKk-sj8ij 4 года назад

    Imeniuma kweli, lala salama pumsika kwa amani manisha , pole kwa family ,relatives and friends take heart .From saudia Arabia

    • @lookman8452
      @lookman8452 4 года назад

      Pumnzika kwa amani kaka mbele yako nyuma yetu mwenyezi mungu akupunguzie adhabu ya kabli

  • @omarjuma2988
    @omarjuma2988 4 года назад

    Inaumasan kikubwa dua tu mungu ampe kauridhabit andako mbele yake yumayetu amen kak zahri mungu akupe afy njema hatun chakukiripa ira mungu tu ndio mlipajiwako endelea kuna roho mzuri ivyoivyo asant

  • @jasminegabriel4247
    @jasminegabriel4247 4 года назад +4

    Mungu alaze roho ya marehemu pema peponi amina

  • @maidevrasumbura1880
    @maidevrasumbura1880 4 года назад +1

    shukrani sana Allah wape kheri nyingi

  • @mariamselemani5208
    @mariamselemani5208 4 года назад

    Zahiri mwenyezi mungu azidi kukuweka ili siku moja uje kuwa mfano wa kuigwa ubarikiwe sana . Mwemyezi mungu ailaze mahali pema peponi

  • @zaharaallymwndelezotunatak818
    @zaharaallymwndelezotunatak818 4 года назад +4

    Poleni sana wafiwa allah ampe makaz mema inshaallah

  • @zitoniebrahem3174
    @zitoniebrahem3174 4 года назад

    mungu ampunzishe pema peponi innshallh

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Год назад

    Innalilah wainnalilah rajiuun! Poleni wafiwa !

  • @zaitunilucas7133
    @zaitunilucas7133 4 года назад +1

    We noma mshkaji wangu unafata mbaka maiti M/Mungu akulinde baba uwe na moyo uwo uwo

  • @hadijamwanana2471
    @hadijamwanana2471 4 года назад +1

    Pole Sana kaka nawafiwa wote

  • @esterester5612
    @esterester5612 4 года назад +8

    Masikin rafik ake anaumia sana 😢😢

  • @azizajimmy4739
    @azizajimmy4739 4 года назад +4

    Inalilah wainnalilah rajuun 😭😭inauma inauma Mwenyezi mungu ampunguzie Adhabu ya kaburi ampe kauli thabiti 😭
    Ameen insha'Allah yarab 😭 HUJAFA UJAUMBIKA
    😭😭

    • @abuunassoro6992
      @abuunassoro6992 4 года назад

      Tupowe sote jamani hakika nasi tupo nyuma yake Allah amrahamu,

  • @shameemrashid5219
    @shameemrashid5219 4 года назад

    Inalilah wainailah rajiun ,, Allah ampokee mja wake naapunguzie Adhab ya kabr,, pole sana zahir Allah akutie nguv na family wote

  • @christayohanayohanangepe1625
    @christayohanayohanangepe1625 4 года назад

    Mungu.akuongezee.moyo wa imani kaka Zahir uishi miaka mingi uweze kuwasaidia.wenye matatizo.mbalimbali inshaallah.
    Apumzike kwa amani amina

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 4 года назад

    Innalillah wainnaillah rajiun
    Allah akupunguzie adhabu ya qaburi ndugu yetu na polen wana familia wote Allah awatie nguvu ltk kipind hiki na kaka Zahir Allah akuongoze kwa kila ufanyalo na akuongezee umri na akulinde na hasad za ulimwengu amina yarab kaka ww na dada flora mnafanya kaz nur mno mno

  • @asiaidd8996
    @asiaidd8996 4 года назад +1

    Mwenyezi mungu amuweke pepon amin

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 4 года назад

    Mungu amrehemu.jamani wana maisha magumu saana.hebu mkienda tena arubaini tufahamisheni tuwasaidie chochote.yaaani nyumba wanaoishi Subhana Llhaa.

  • @zarunaamwanajimba1950
    @zarunaamwanajimba1950 4 года назад

    Daaa! inauma sana.

  • @buthaymaahmad557
    @buthaymaahmad557 4 года назад

    Tuzitafute thawabu popote pale, Allah amjalie kauli thabit, kaka zahir Allah akutangulie akuongoze akuepushe na maradhi inshaallah

  • @lunt0747
    @lunt0747 4 года назад

    Maximum Tv mola akupe umri mrefu poleni sana Allah ampe kauli tabithi na apokee kitabu chake kwa mkono wa kulia amulikiye kaburi lake nuru mbele yake nyuma yetu sote tutaregea ila siku wakti na mahali polen sana

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 4 года назад

    Zahir God bless u alot. Haki from Kenya...nimefuatilia kuanzia mwanzo. RIP

  • @maryndomba7028
    @maryndomba7028 4 года назад

    Zahir Mwenyez Mungu abariki kazi ya mikono yako,,na polen sana

  • @josephineasiza7888
    @josephineasiza7888 4 года назад +1

    Pole Sana brother

  • @scolasticamasanja4378
    @scolasticamasanja4378 4 года назад +1

    Mungu akutunze kaka zahiri

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 4 года назад

    Pole sana familia kweli inauma

  • @christayohanayohanangepe1625
    @christayohanayohanangepe1625 4 года назад

    Poleni.sana familia kwa msiba.huo mzito

  • @aishasaid7426
    @aishasaid7426 4 года назад +1

    Inalilah wa inailaih rajiun poleni Sana kwa msiba

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 года назад

    Kumzaa mtoto na aje kukusaidia ni mipango ya MUNGU .Poleni sana familia
    MUNGU awape subra🤲🤲🤲🇰🇪

  • @joiceqtr4215
    @joiceqtr4215 4 года назад

    Poleni sana ss sote tutarejea kwake Mungu awape nguvu wakati huu mgumu

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 4 года назад

    Mungu akubarikini maxmam tv kwaupendowenu

  • @daviesiwakwi686
    @daviesiwakwi686 4 года назад

    Poleni sana wana family na asante sana maximum TV kwa kutu fahamisha nasama asante mungu amulaze peponi maisha

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 4 года назад +4

    Pole rafik yke allh atakupa rafiki mwengine wakweli kabisa kikubwa muombee mungu amsameh

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 4 года назад +1

    Lala mahala pema, Mungu baba msamehe dhambi zake.

  • @raiye5621
    @raiye5621 4 года назад +7

    Allah amsahem makosa yke amtilie nour kabur lkni wallah maut hayamaut agh😭😭😭😭😭 anajuwa ninani alie kwenda kbrin ila hana kauli tna maskin 😭😭😭😭😭😭

  • @namirial4509
    @namirial4509 4 года назад

    Zahri munguakuweke ndogo wanguuu shukranii sanaa polesanaaa

  • @estherwafula6932
    @estherwafula6932 4 года назад

    Poleni sana mungu awatie nguvu kwa wakati huu wa machozi

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 4 года назад

    Mungu akupe kauli thabiti maisha

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 года назад +16

    inalililah waina ilah rajion Allahuma ghufrillahu waramnahu wasaknhu fee jannah

  • @amriyalibent8441
    @amriyalibent8441 4 года назад

    Innalilah waina illah rajoon Allah ampe kauli dhabit ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia amuwekee muangaza ktk kaburi lake ameen

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 4 года назад +2

    Innah lillah wainnah illah rajiuna, ndio maana alikuwa anasema akirud kijijin atakwenda kufa kwakukosa matibabu.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 4 года назад +1

    Pole sana wafiwa

  • @zulphamwishehe9508
    @zulphamwishehe9508 4 года назад

    Mwenyez mungu aibariki Kaz ya mikono yako 🙏

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 года назад +2

    Umauti ni mawaidha tosha kwetu ss wanaadam tumche mungu wallah😭polen. Sana family

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 года назад

      Tena mawaidha yalioko dhahir kwa wanaoamini Na kumkumbuka Allah lazma machozi yatakutoka, iiinah lillah, eeh Allah Tujaalie tuwe miongon mwa wema hapa duniani Na kesho Akhera tukaiyone firdaus yako😭😭🙏

  • @zitterkatery1094
    @zitterkatery1094 4 года назад

    Nimelia sana adi na wanangu wamelia wakiuliza mama nani kafaaa wamelia kama vile wanamjua maisha ,daaaaa nenda salama maisha naamini ipo siku tutakutana

  • @alawabalwahaibi5323
    @alawabalwahaibi5323 4 года назад +1

    Pole sana family

  • @marrionwatima797
    @marrionwatima797 4 года назад +2

    Waaa i luck words to say, the pain I feel n I don't know even know him so painful but we thank God for his life, Martin u are one of a kind u will never luck anything in life, Mr zahir u are an angel on earth whenever u go n whatever u touch will be successful. Rest in peace dear bro ❤.

  • @zaituniyasini8629
    @zaituniyasini8629 3 года назад

    Poleni Sana ndugu jamaa na marafiki

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 4 года назад +1

    Yani huyu kijana aliemuuguza nyumbani mungu atakulipa baba umefanya kazi sana daa ni wachache Sana wenye upendo huo

  • @josephnzioka4168
    @josephnzioka4168 4 года назад

    Mm natoa pole kwa familiar molar awape nguvu tena maximum tv nyinyi mimengusa Sana mnafuatilia kitu Hadi mwisho mungu awakumbuke Tanzania ninafuraha juu yenu kutoka mueshimiwa raisi Hadi kisazi chote Kya tz mm Kama mkenya ninafuraha juu yenu mungu wainue Tanzania

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 4 года назад

    Mungu hamulaze mahali pema Ameen

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 4 года назад

    Kweke mwenyezi mungu tulitoka na kwake mwenyezi mungu tutarejea