BABA ALIMLAWITI MDOGO WANGU WA KIUME KISHA AKANILAWITI NA MIMI MUDA HUO HUO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036

Комментарии • 31

  • @Janemuthoni289
    @Janemuthoni289 Месяц назад +3

    Baba kama yuko uhai ashikwe,kuhusu mimba wanawake wengi wametoa ila hawasemi, na kuenda uwarabuni sio kutuliza akili ndio akili italipuka juu sio mchezo mtu wa stress na.dippresion kuenda uwarabuni, stress za waarabu hata ukuwa mzima utakufa,huyu atafutiwe councilor apewe counciling apangishiwe chumba apewe mtaji akae na watoto wake akiwa sawa asafiri

  • @SalmaBinyaga
    @SalmaBinyaga Месяц назад +1

    Huyo baba ake hatuwezi kuhukumu lkn hiyo ni laana watoto wako wa kuwazaaa jmn subhallah Allah atunusuru na anususuru vizaz vyetu dunia imekua mbaya sanaaa

  • @RoseeyRoseey
    @RoseeyRoseey Месяц назад +1

    Usilie mdogo Yesu anakupenda.

  • @nannakhamis5350
    @nannakhamis5350 Месяц назад +2

    Ki kubwa uhai ila uyo baba afingwe😢 dada njoo uwarabuni tupambane😢

  • @WardaSadiki-le6gu
    @WardaSadiki-le6gu Месяц назад +1

    Pole dada inauma mungu akusimamie kili mwanadamu mkosefu

  • @mariamnur1036
    @mariamnur1036 Месяц назад +1

    Pole Sana dada

  • @shamzone388
    @shamzone388 Месяц назад

    Pole ndugu yangu maisha ni safari ndefu mazuri na mabaya utakutana nayo maana upo msituni hujui utakutana simba au chui au kondoo
    Usiogope piga moyo konde usilie utafanikiwa kuwa na nia safi mungu yupo na wewe

  • @merinajuma6948
    @merinajuma6948 Месяц назад

    mmmmmh aiseee mtihni kiukwel mungu wangu kunamapito kwenye hii dunia hpa kiukwel nimeumia snaa😭😭😭😭

  • @mrsab303
    @mrsab303 Месяц назад +1

    InshaAllah everything go well for you InshaAllah 😭😭😭😭

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 Месяц назад +1

    Aende akaeke vijiti atakaa miaka mitano bila ya kubeba mimba na atakua na maisha mazuri tu

  • @Manyanya8551
    @Manyanya8551 Месяц назад

    Duh! 😢😢😢😢 imeniuma sana

  • @VeredianaNicholas
    @VeredianaNicholas Месяц назад

    Pole dada Mungu akusaidie

  • @mariamgadaffe7986
    @mariamgadaffe7986 Месяц назад

    Arabuni hatalipuka lipulipu,asijaribu hafadhali tumchangie afungue biashara, hata yakuuza mkaa😢

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Месяц назад +2

    Inatakiwa hill xee lichomwe moto hadharani.

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 25 дней назад

    Huko falme za Uarabu mbona tunasikia ndio watesaji wakubwa wa wafanyakazi weusi.

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho Месяц назад +1

    Huyu asiende nchi za kiarabu kwasababu huku ni kuchanuwa akili na kuhangaika si kutilia akili au mwili..

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Месяц назад +1

      Sidhani kwa lugha hiyo umefahamika ulicho kiandika,napata taabu kufahamu

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho Месяц назад

      @@aairraahseif5648 basi mpenzi kajifunze kiswahili

  • @Manyanya8551
    @Manyanya8551 Месяц назад +1

    Maoni yangu kama huyo binti ni muislam kamkutanishe na uongozi wa dini watajua namna ya kumsaidia na kama ni mkristo mpeleke vilevile kwenye uongozi wa dini yake naamini atapata msaada umri wake mdogo sana.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Месяц назад

      Msikiti upi na kanisa lipi?wapi tufahamishe ili tuweze kuwaelekeza na wengine wakasaidike

  • @ndayishimiyejoyce3736
    @ndayishimiyejoyce3736 Месяц назад +1

    Kwa sababu uyu dada amepitia mengi wenye uwezo wamusaidie lakini sio kwenda uwarabuni anaweza kwenda huko akabahatika boss mubaya ataumia zaidi

    • @sifatiiman
      @sifatiiman Месяц назад +1

      Na Kwa Nini uwaze boss mubaya tu😂 Kwa Nini usiwaze kwamba aweza pata bos mzuri na maisha yake yakabadilika kuanzia hapo?

    • @khadijachacha3156
      @khadijachacha3156 Месяц назад

      Kupata boss mzuri huku ni bahati nasibu wengi wanalalamika wanateswa sasa akipata boss m baya anaweza akajinyonga

    • @shamzone388
      @shamzone388 Месяц назад

      @@khadijachacha3156 hiyo ni fikra zako akija huku aweza kupata boss mzuri mbona tupo tunaendelea kufanya kazi usimkatishe tamaa mwenzio

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Месяц назад

      Huwa ni bahati mbaya Sio kubahatika Boss mbaya, nakwanini uwazi mabaya kuliko mazuri?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Месяц назад

      ​@@khadijachacha3156mmhh 🤔🤔najaribu kutafakari hiyo kujinyonga

  • @onesmochaula413
    @onesmochaula413 Месяц назад

    😅😊😊😅😊😊😊

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Месяц назад

    Aende uzunguni labda akili itatulia