EPISODE 1: HAYA NDIO MAISHA HALISI YA ABDI BANDA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 121

  • @shiru_choppa7654
    @shiru_choppa7654 2 года назад

    For sure tunapotalakiana ni vizuri tuwaze kuhusu watoto maana fahari wawili wapiganapo nyasi ndo huumia...pole sana Banda kwa masaibu ya utotoni🙏

  • @jamilamaashaalaaomari2862
    @jamilamaashaalaaomari2862 6 лет назад

    mungu akuzidishie kilalenye kheri ktk maisha yako, na maisha nimitihani raha yamitihani kufaulu, daa imenigusa ila ndo hivyo maisha hayafanani kwa watu wote, hatavitole vyote havifanani!

  • @aminaissah2693
    @aminaissah2693 6 лет назад +5

    Pole sana,ndomana mungu kakuwekea wepesi

  • @zulfatymkawa8093
    @zulfatymkawa8093 6 лет назад +5

    Pole Abdi na hongera kwa kupata mke mzur

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 3 года назад

    Masha'allah tabaraka Rahman.lkn pole..

  • @seifsaha
    @seifsaha 6 лет назад

    Pole snaa brou ndo maishaa

  • @winniemwasenga
    @winniemwasenga 6 лет назад +3

    very smart, God akubless

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 6 лет назад

    Allah atakufungulia njia zaidi kwa kuijali familia wakati ungali mdogo

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 6 лет назад +3

    God bless u Hayo ni maisha usihofu.

  • @ftmat2805
    @ftmat2805 6 лет назад +5

    Hongerakwakupata mke mwema abdi kilalakher inshallah!!

  • @zainabubob8919
    @zainabubob8919 6 лет назад +2

    kama ww msoma comment kama mm ngonga like ya nguvu apa

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 5 лет назад +1

    Waoo tanga ndoo home lov tanga

  • @fatmakhamis1018
    @fatmakhamis1018 6 лет назад +5

    hongera sana sikupi pole umejifunza maisha nskweli unaweza kua baba wa familia elf mbrouk

    • @naslicious6575
      @naslicious6575 5 лет назад

      Fatma Khamis nikweli anachongea hakuficha kitu

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 6 лет назад +2

    Hard works pays maan.....ndo maana leo hii umefikia hapa...keep the fire burning

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 6 лет назад +1

    Daaah uko vizuri kijana

  • @shamilamaryan4744
    @shamilamaryan4744 6 лет назад +2

    Hongera Sana maisha ni safari

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 лет назад +4

    Ayo ndio maisha ninaimani umejifiza kitu pia umekuwa imara uwezi subuka tuko wengi kkangu tulopitia ayo pole sna ndio ukubwa

  • @zahrakazungu5026
    @zahrakazungu5026 6 лет назад

    Pole kaka hayo pia mm yalinipata but Allhamdullillah saii Mungu mkubwa siamini kama nitafika apa nilipo

  • @shemsakiobya6146
    @shemsakiobya6146 6 лет назад

    Mungu akusaidie mkeo awe mwema umetoka mbali sana

  • @ayshabayun6649
    @ayshabayun6649 6 лет назад

    hongera zabibu the gay is handsome...basi banda uhandsome WK utumie kwa mkeo.....mpe raha asije ijutia ndoa.fine Allah awaongoze amiin

    • @joycejohn7754
      @joycejohn7754 6 лет назад

      Aysha Bayun sio gay ni guy bhana lugha ikikushnda potezea

    • @ayshabayun6649
      @ayshabayun6649 6 лет назад

      joyce john sawa my happiness is umeelewa nilichomaanisha....nahis unaona wivu kwa kuwa zabibu kaolewa na handsome cjui ulikuwa wamtaka ..ss hasira zako umeona utolee kwangu....jibu kwa kiingereza ...fala wewe

    • @yasinisalumu4593
      @yasinisalumu4593 6 лет назад

      Nakukubali ndugu yangu abdi uko poua nakuombea upambane mpaka ucheze timu moja wapo egland

  • @bimmhd9533
    @bimmhd9533 6 лет назад

    umepambana ukiwa mdogo hongera kaka banda

  • @kingkiba3728
    @kingkiba3728 6 лет назад +3

    Daaaaa pole San

  • @sumayahassan3225
    @sumayahassan3225 6 лет назад +4

    kaka uko na akili na subra Masha Allah

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 6 лет назад

    Allah akusimamie maisha yangu hasaa hayo..sikua nkienda lunch nala mabuyu mwituni

  • @tdddfdt6226
    @tdddfdt6226 6 лет назад +4

    Pole'sana'abdi'banda'

  • @mwasitihatibu9691
    @mwasitihatibu9691 6 лет назад

    kuna mambo unapitia ili uje kuabora ktk maisha ya baadae, so pole na hongera

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 6 лет назад

    shemelaaaaa wetuuu hongera sana

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 6 лет назад +5

    Maisha ni foleni kila siku tunasonga daah mwenyeezi mungu nwema kila mja wake. @abdi banda usikate tamaa believe to God for everything ☝ ☝ ☝
    .

  • @mashmash2826
    @mashmash2826 6 лет назад +1

    All of that it is party of life just say thanks to GOD for who you are today and where you are today.
    Like waswahili wanavyo sema kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa mapishi

    • @agathacosmas391
      @agathacosmas391 5 лет назад

      Daa umenigusa sitori yako kaka pole kwa uriyo pitia na Hongera kwa uripo sasa MUNGU Azidi kukubariki ktk maisha yako mpya

  • @سبحانالله-ح7د
    @سبحانالله-ح7د 6 лет назад

    POLE SANA BROO. NDIO MAISHA ULIOPANGIWA. ALHAMDULILLAH. HONGERA

  • @saadalacha5579
    @saadalacha5579 6 лет назад +4

    Yaan maisha uliyopitia ni kama yangu aisee

  • @naomienelly8398
    @naomienelly8398 6 лет назад

    wazazi sometimes wanatukosea sana but all in all we still love them

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 лет назад +6

    Woww adigo hoyeeee

  • @silvanuslugongo9409
    @silvanuslugongo9409 5 лет назад

    miss San abd band

  • @zainabsaid6905
    @zainabsaid6905 6 лет назад

    pole sana

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 6 лет назад

    Pole kaka wngu 😔😔🏃

  • @mariamsalum511
    @mariamsalum511 6 лет назад

    jaman an life gumu la langu wazaz wakitengana n shida sana

  • @umishcadeycadey3784
    @umishcadeycadey3784 6 лет назад

    Congrats abdi banda

  • @teeenamassagesentoman4579
    @teeenamassagesentoman4579 6 лет назад +2

    Safi sana

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 лет назад

    Mashallah, handsome

  • @sadiaabeid7552
    @sadiaabeid7552 6 лет назад +21

    Asei huyu mvulana. Nimempenda nimziri

    • @hajjatsarah9079
      @hajjatsarah9079 6 лет назад

      Sadia Abeid pole ni Mme wa MTU😊😊😊

    • @sadiaabeid7552
      @sadiaabeid7552 6 лет назад

      Hajjat Sarah najuwa

    • @salamahamadi4123
      @salamahamadi4123 6 лет назад

      Hajjat Sarah sheria wanne habipti

    • @sadiaabeid7552
      @sadiaabeid7552 6 лет назад

      Salama Hamadi waambie hawajui kwani maana naona niumwambie pole ana mwenyewe kwani mume akimuowa mwanamke huwa ni wake pekeake alizaliwa awe wakee

    • @salamahamadi4123
      @salamahamadi4123 6 лет назад

      Sadia Abeid nashagaaa hajawahi

  • @mbaracksaummbaracksaummbar8930
    @mbaracksaummbaracksaummbar8930 6 лет назад

    ooh pole sn

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 6 лет назад +3

    Wako tanga wadigo fatilia utaona kisha ni shina kubwa mno@sadia abeid # thanks

  • @neemamwampeta2747
    @neemamwampeta2747 6 лет назад +2

    Daaah

  • @ashnaomi2385
    @ashnaomi2385 6 лет назад

    Ucjali mshukuru MUNGU TU YAMEPITA

  • @angelvivian8124
    @angelvivian8124 6 лет назад +6

    yan venye unasema kama venye nimepitia mie

  • @ringamuhammed6189
    @ringamuhammed6189 6 лет назад

    Pole san jmn

  • @bettymasitsa4425
    @bettymasitsa4425 6 лет назад

    Pole sana

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 6 лет назад +1

    oooohhh🤔🤔🤔jamani..border napajua..sijui ni boder ile ya duga maforoni?

  • @latifamtanda6312
    @latifamtanda6312 6 лет назад

    Nice

  • @سبحانالله-ح7د
    @سبحانالله-ح7د 6 лет назад +4

    HANDSOME BOY

  • @Myright888
    @Myright888 6 лет назад

    Yaan nimeskia uchungu alipoongelea wazazi kutengana maumivu ya moyo wake yalionekana yaani jamani.
    Maisha haya.

  • @saadeased7160
    @saadeased7160 6 лет назад +3

    Aisee ww km mm Mimi sikusoma darasa latano lkn nimetoka la nne nikaenda la 6 ila nilikuwa vizuri kw upande shule

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 6 лет назад +2

    Pole kakayangu

  • @salamamohamed4356
    @salamamohamed4356 6 лет назад +1

    Maisha ni Safar ndefu hakika Mola amtupi mja wake

  • @asmahahussein8505
    @asmahahussein8505 6 лет назад +2

    Duh pole sn

  • @azaqzszs1972
    @azaqzszs1972 6 лет назад +1

    pol sana ABDI BANDA

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 6 лет назад +2

    Pole sana Abdi Banda

  • @taturamadhani6566
    @taturamadhani6566 6 лет назад +1

    Tpc daaah Langasani hiyo

  • @furahamialano85
    @furahamialano85 5 лет назад

    Uko poa

  • @benosilwani5208
    @benosilwani5208 2 года назад

    Kumbe unaakili sasa ujinga umeanza lini???
    Acha bangi.

  • @zulqacsaidi8088
    @zulqacsaidi8088 6 лет назад

    maisha nisafari ndefu

  • @MemsapSaum
    @MemsapSaum 6 лет назад +2

    Pig up broo na mabruuq alfu mabruuq

  • @faridasaid8724
    @faridasaid8724 6 лет назад

    pole sana kaka

  • @sadiaabeid7552
    @sadiaabeid7552 6 лет назад +9

    sasa huyo mkaka anasema mdigo ni mdigo kwani Tanzania kuna wadigo na mm wadigo wako kenya

    • @nsonmxi9298
      @nsonmxi9298 6 лет назад +4

      Sadia Abeid tanga ndio mji wawadigo katika tanzania

    • @sadiaabeid7552
      @sadiaabeid7552 6 лет назад

      Nso Nmxi itabidi nije huko nami nijulikane nimdogo😀😁😁😀

    • @herbskassim4948
      @herbskassim4948 6 лет назад +1

      Sadia Abeid wadigo pia tanga wpo swaiba sio kenya tuu

    • @sadiaabeid7552
      @sadiaabeid7552 6 лет назад

      Herbs Kassim naja huko nipate mmoja

    • @ramseyrmsy3366
      @ramseyrmsy3366 6 лет назад

      Wwe vpi ssi Wadigo kwetu Tanga,Kenya ni kama vile Wahindi waliokuja kutafuta maisha Tz au nao ni Watanzania?!

  • @shaniahrachma3114
    @shaniahrachma3114 6 лет назад

    Nkahandsome kila la khery kwa ndoa yko

  • @jeniferchristopher5111
    @jeniferchristopher5111 6 лет назад

    Oye namm mtoto wapiri nakwawatoto wa5 yes

  • @andreeboymusictv7001
    @andreeboymusictv7001 6 лет назад

    so mby muheshimiwa yote nimaisha tu

  • @jeremiajohaziel4927
    @jeremiajohaziel4927 6 лет назад +5

    Huyu jamaa anapenda sifa

  • @laymapeace4538
    @laymapeace4538 6 лет назад +3

    alafu una makengeza wewe

    • @salmadonne6327
      @salmadonne6327 6 лет назад

      Mwazan Gomaa hahahaha una macho makali

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 6 лет назад

      Mwazan Gomaa we huna akili kwl

    • @sweetmama6885
      @sweetmama6885 6 лет назад

      Kwani makengeza ni ugonjwa au ni dhambi? Mbona unatabia mbaya hivyo wewe kiumbe wa Mungu? Utajuaje macho yako yatabaki kama yalivyo? Ngoja siku upate ajali au ugonjwa macho ya pofuke. Ndiyo utaomba ata ungepata makengeza. Fala wewe. 😏

    • @naiellyliakimu9162
      @naiellyliakimu9162 6 лет назад

      yanakupa shida gan kama yapo

    • @yvonne4244
      @yvonne4244 6 лет назад

      Meagan Gomaa kumi hii makengeza ako wapi ama unamtaka,,,

  • @zenamohammed2623
    @zenamohammed2623 6 лет назад +2

    Changamka kuongea ww

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 6 лет назад +18

    Pole sana Abdi Banda

  • @hapynesmabula7348
    @hapynesmabula7348 6 лет назад +2

    Pole Sana

  • @dativapaschal1290
    @dativapaschal1290 6 лет назад

    pole sana kaka

  • @mariamwaziri5691
    @mariamwaziri5691 6 лет назад

    pole my kaka