MVUA KUBWA YASABABISHA BARABARA YA ARUSHA MOSHI YAFUNGWA MASAA 8

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 апр 2024
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
    Hai.Wasafiri waliokuwa wakisafiri kutoka nje ya wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kwenda maeneo mbalimbali nchini wamekwama kwa zaidi ya saa 8 katika eneo la kwa Msomali, wilayani hapa baada ya kukatika kwa mawasiliano ya barabara yaliyosababishwa na mto Sanya kujaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Mkoani hapa na kupeleka daraja kuziba kwa magogo na kuleta adha kwa wasafiri hao.
    Kutokana na hali hiyo imesababisha magari yote yanayoingia na kutoka Mkoani hapa katika barabara kuu ya Moshi-Arusha kushindwa kuendelea na safari kutokana kukatika kwa mawasiliano hayo ya barabara

Комментарии • 20

  • @SophiRamadhani
    @SophiRamadhani Месяц назад +4

    Turudi tu kwa mwenyezi Mungu. Dhambi zimezidi matokeo yake ndo hayo

  • @NathanMwaluxanya
    @NathanMwaluxanya Месяц назад

    Poleni

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 Месяц назад +1

    Hongereni kwa kujituma usiku ili maafa yasitokee.

  • @erasmusmateru4374
    @erasmusmateru4374 Месяц назад

    Safi,tunawapenda pro actors🪴

  • @3leggedbird222
    @3leggedbird222 Месяц назад +3

    Ma engineer hawazingatii mikondo ya maji wakati wa ujenzi wa barabara

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt Месяц назад

    Mbona hamsemi pia mafuriko ya Moshi yamesababishwa na Nyerere hydro power

  • @VanShayokviewshoursago
    @VanShayokviewshoursago Месяц назад

    Polen asee

  • @user-mo4gu3uc8m
    @user-mo4gu3uc8m Месяц назад

    Tumuombe MUNGU wa Tanzania wenzangu,IBADA IBADA JAMANI.

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k Месяц назад

    Na huko vipi,bwana la nyerere au.

  • @allyiddi5866
    @allyiddi5866 Месяц назад

    Kilichojengwa hapo ni nini mlishindwa kukadiria kiwango halisi cha wingi wa maji?

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Месяц назад

    Haya sasa hapo Rufiji!?

  • @user-ex9sd8wm4l
    @user-ex9sd8wm4l Месяц назад

    Dah!! Hii mnvua ninoma

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Месяц назад

    Tujifunze kupanda miti mingi, hii ndiyo athari kubwa, mvua zinaponyesha maji hayawezi kuingia ardhini kwa sababu hakuna miti inakuwa ni "pan" hivyo badala ya kupenyeza kwenye ardhi yanakuwa hayana namna bali kuendlea na ndio mwanzo wa mafuriko sehemu ambazo hazina historia ya mafuriko kama hayo.

  • @geraldmrina6042
    @geraldmrina6042 Месяц назад +1

    Tanroads wanafanya kazi za kubabaisha. Daraja hili hukarabatiwa kama usanii maana kila mwaka husababisha sintofaha. mu.

    • @3leggedbird222
      @3leggedbird222 Месяц назад

      Yani uko sawa kama huku arusha kila siku majanga lakini ukiangalia ni ubovu wa miundombinu yaani mkondo wa maji badala ujengewe daraja kubwa eti wanaweka vi kalavati ku divert maji mvua ikinyesha inabeba mpaka barabara

    • @ThomasMcha-jk5yt
      @ThomasMcha-jk5yt Месяц назад

      Hilo ni Daraja la Mto Sanya na Syo Mto Biririi!!
      KUNA MADARAJA MAWILI ENEO HILO ( kwa wasomali).... ni miaka zaidi ya 43 hilo daraja halijawahi kujaa Maji!!!

    • @3leggedbird222
      @3leggedbird222 Месяц назад

      @@ThomasMcha-jk5yt biriri tena unanikumbusha nyumbani naibili

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah Месяц назад

    Kwa msomali kila msimu wa mvua ni majanga wahusika wamelala