RIPOTI YA CAG YAONESHA MRADI BWAWA LA NYERERE UMECHELEWA, RAIS SAMIA AELEZA SABABU...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии •

  • @ooafrica3626
    @ooafrica3626 2 года назад +30

    Kukatika kwa umeme ni wewe umeamua makusudi
    Utamwekaje JAMBAZI KWENYE sector nyet km hyo
    Iv kweli uliona hakna mtu mwngne tofauti na makamba???

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 2 года назад +10

    NO SERIOUSNESS, NO DECISIVENESS. NO ONE SEES THE CONNECTION BETWEEN NYERERE DAM, SGR, AND INDUSTRIALIZATION AND GROWTH OF THE ECONOMY. WHO CARES?

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 2 года назад

      At least we don't have a dictator who gives his positive version of everything.... And kills critics with impunity

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 2 года назад +19

    Umeme hakuna huyo waziri wa NISHATI NA WAZIRI WA FEDHA BURE KABISA SIO KWA UPOLE HUO NCHI HAIWEZI KWENDA NCHI HII INAHITAJI KIONGOZI MWENYE MAAMUZI MAGUMU SIO KULEANA LEANA KAMA HUKU

  • @gloryemmanuel9511
    @gloryemmanuel9511 2 года назад +7

    Labda 2024 huko. "Labda!!!!!!!!!!!!!"
    Balaa

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 года назад +3

    Naona Watanzania mna rais mzigo yaani hata kuongea kwake hakuna mshiko , sijui kama anajua anachokifanya hana mikakati ya maana

    • @bantuisolele2543
      @bantuisolele2543 2 года назад

      Amini bro yaan hakuna power ndani yake kusema ukweli hata Mimi ningekuwa msaidizi wake ningeenjoy maana huoni demand yoyote kutoka kwa kiongozi wako 😀😀

  • @janiaoma7093
    @janiaoma7093 2 года назад +10

    NDUGUZAGU WATANZANIA KUHUSU BWAWA LA NYERERE MSAHAU KABISA HAKUNA BWAWA WALA UMEME TAYARI AHADI YANEE SASA AHADI YA TATU JARUWANI MAKAMBA KASEMA ILIO BAKI KUSUBIRI KIRIN YAMILAGO SASA MAMA SAMIYA AHADIYEGINE ASEMA MPAKA 2024 SASA KUNA NINI KUNAKITU HAPA HAKITAKIWI KUSEMWA KUNASIRI

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 года назад

      Na hilo bwawa la umeme lisipofanya kazi mungu atatoa jibu watanzania wanamsikiliza tu kama anasuasua aachie wanaume wachukue madaraka huenda wakati wetu bado

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 2 года назад +7

    Kama hakuna uhakika wa lini linakamilika reti labda 2024 huko, anayrsema hivyo ni kiongozi wa nchi. Hakuna bwawa hapo umeme utakuwa shida tu nchi hii na hilo la viwanda kustawi ni ndoto? Na hiyo mwendo kasi SGR acheni maana mtakuja kutuua,umeme hakuna. Angekuwapo Magufuli hiki kinachendelea sasa kisingekwapo na tungeshapiga hatua. Wazungu wako Ikulu Kila Siku,wanachekelea,akina tony blaire.

  • @sadikathumani1003
    @sadikathumani1003 2 года назад +13

    unaambiwa labdaa 2024 mhhh! sasa ndio naelew kwa nn wazungu walikuw wanatupigia kelele bwawa lisijengwe hawataki nch iwe na umeme wakutosha watashindwa kufanya biashara zao na huyo mama anajua ni kwann anafanya hivo, lkn aminini nawambia sisi kama wananch hutuna cha kuwafanya lkn mungu atawahukum kwa hicho wanachokifanya kila moja wao atalipwa inauma sana!

    • @paulojalango898
      @paulojalango898 2 года назад +1

      Hata bei ya umeme 360000 ilirudi kwasababu ya hawa wauza solar kweli uzalendo unahitaji mtu ambaye hakusoma kabisa

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 года назад +2

    Bwawa hili linaingoa ccm mama hatukubali

  • @florameza1028
    @florameza1028 2 года назад +10

    Bwawa la nyerere hatukuelewi hata usemeje hauko serious punguzeni matumizi yasiyo ya lazima acheni safari , umeme anakata makamba upo kimyaaaa vitu vimepanda uko kimyaaa huna uchungu na wa Tz kabisaaa wa Tz tumekuchoka ndani ya mwaka hufai

  • @mathiasmichael1778
    @mathiasmichael1778 2 года назад +3

    Kama naona mkakati wa kugombea 2025..... Duh haya Mambo haya duh!! Tutafika Ila tutakuwa tumechoka sana

  • @winstonmwalukasa4997
    @winstonmwalukasa4997 2 года назад +5

    Mmmm tutafika kweli watz yametufika,mkuu wa nchi kama sijamuelewa vile kufuatia taarifa ya CAG

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 года назад +3

    Sasa Tatizo Wasimamizi Ndio Sababu Mbona Wakati Lilianza Supeed Ilikua Kasi Sana Iweje Sasa Linakwenda Kwa Kusuasua

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 года назад

      Huyo mama anapigwa awadhi kawaweka mwenyewe walaji sasa jasho litamtoka na wanamfanyia kusudi aonekane mwanamke hafai angezunguka kusikiliza kero za wananchi kama hayati magufuli ukweli kwa Tanzania bado muda wa kutawala mwanamke

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 2 года назад +5

    JPM angekuwepo isingefika 2024 uko waliokuwepo wote wapigaji tu

  • @edson2450
    @edson2450 2 года назад +8

    Ikifika kwa january unamjibia wewe, mtoto pendwa. Unamuongeza na fedha ili zikatafunwe vizuri. Toa huyo waziri anakuharibia kwa makusudii

  • @ndogoroedson9438
    @ndogoroedson9438 2 года назад +1

    Hiiiiiii ishirini ishirini na nne! Jamani kwel! Tuombe Mungu atusaidie!

  • @magahzinyo7033
    @magahzinyo7033 2 года назад +2

    Mama maneno mengi utekelezaji auonekani...

  • @victormtani7170
    @victormtani7170 2 года назад +3

    Wewe Samia suluhu huwezi kuongoza nchi hiii ninamuomba Mungu akuue hufai kabisa. Umesababisha wewe kumuweka Jambazi January Makamba na Waziri Mpumbavu Mwigulu hao lazima wakuchafue wewe....ulimtoa kalemani sasa hauna aibu eti tuchelewe ila tumalize una akili wewe Bibi Tozo?

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 2 года назад +3

    Ila kuwe na uangalifu hapa, Hii itakuwa moja ya agenda za 2025.

  • @sammyibrahim6654
    @sammyibrahim6654 2 года назад +4

    Mungu wangu mbona umetuumiza kutuondolea magufuli wetu,hapa hakuna raisi , na ni juzi tu nilikuwa nasema labda litaisha 2040 kumbe maneno yangu yanatimia ,mungu wangu tusaidie

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 2 года назад

      Huyu sio dictator mnafiki

  • @kelvinmmassy348
    @kelvinmmassy348 2 года назад +2

    Rais samia huo mradi usipoukamilisha mwaka 2025.ujiandae kuuachia urais

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 года назад +3

    Chifu hangah bwawa la limewashinda hiyo ndiyo itakuwa fimbo yako 2025 atutakuacha mmekula ten pasent kwenye ges tirioni 3 zimezama kalamage alikuwa anajaza maji mwezi wa 11 mwaka jana mkamtoa mukamuweka mwizi january makamba ili muuwe mradi tukutane 2025 itakuwa agenda kuu

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 года назад +1

    kutoka 2021 hadi 2024 huko mmmh...

  • @jamessanga7120
    @jamessanga7120 2 года назад +2

    Mama usikubali bwawa likamilike 2024! hapana mbali sana tumechelewa mno na tutachelewa mno ata treni za umeme ni ndoto kama kuna genge la watu wanakusumbua hawatekelezi majukumu fukuza sisi ndio wapiga kura hilo bwawa likikamilika kabla litakupa heshima kubwa mno mama fukuza wazembe wote.

  • @josephatnyamageu1046
    @josephatnyamageu1046 2 года назад +2

    Naliona giza katika nchi yetu hataree sana

  • @zainamohammed7109
    @zainamohammed7109 2 года назад +1

    😭😭😭😭😭😭 Kwa nini hizo pesa msimalize bwawa

  • @kadirdhulfiqaar7820
    @kadirdhulfiqaar7820 2 года назад +4

    LABDA 2024 😅😅😅😅😅 eee bora niendelee kuwa diaspora milele

  • @mgasaemanuel53
    @mgasaemanuel53 2 года назад +5

    Hilo bwawa ndo bas Tena Tukutane 2025

  • @mariamrrusa3514
    @mariamrrusa3514 2 года назад +4

    Labda 2024 huko ama kweli ccm ni balaa

  • @chrithicksambo1034
    @chrithicksambo1034 2 года назад +5

    Ukiendelea kumsikiliza huyu mwanamke unaweza kukufuru aisee ...Mungu ibariki TANZANIA 🙏

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 года назад +4

    Nchi imekushinda vitu bei juu mnasingizia vita mradi wa bwawa la mwalimu nyerere limewashinda mmeitia hasara nchi tirioni 3 zitawatokea puani 2025 atutasahau hata ufanye nini

    • @victormtani7170
      @victormtani7170 2 года назад

      Mohammed Mdangwe umesema kweli kabisa huyo Mama hafai na nchi imemshinda ameweka wezi mafisadi Mashetani wenzake hata kibaka Membe kamrudisha. Bwawa la Nyerere lilikuwa sahihi kwa Komandoo kalemani ilikuwa asilimia 85 leo kamtoa kaleman kaweka shetani wake January Makamba bwwawa limesimama umeme kukatwa halafu ana mtetea eti nyooo kwenda huko kamwe hatuwezi kusahau 2025 tutakavyo kunyoosha ujue umeiua CCM utakuja na lipi wewe mpaka damu mdomoni? Mvaa soksi kichwani hadi usoni unamuogopa Mwenyezi Mungu yupi wewe Bibi Tozo mleta laana mvua zilikukataa umetuletea tozo na hali ya upandaji vitu ni wew. Magufuli ndio maana alikuwa hataki usenge km huo unaofanywa na hao akina Nape Ridhiwani January Makamba na Mwigulu na mashetani wengine uliwaweka acha wakuchome uje wakuweke ugombee uone kanda ya Ziwa tutakavyo kunyoosha tunakuja na chama chetu fala ninyi CCM. Siwapendi kabisa ninawaombea laana. Wauaji wakubwa ninyi

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 года назад

      Mohamed mdangwe ccm oyee vitu bei juu kabla hata ya vita vya ukraine mwendazake magufuli kaenda na vyake mpaka mvua tabu

  • @leonardvyuma4584
    @leonardvyuma4584 2 года назад +1

    Shida unawalea sana ao watuwako pesa zipo unajifanya unawarudishi wakina mbowe nawengine ulikuwa haina aja yabwawa kuisha 2024 kama mmeshindwa kuendeleza miradi alio iyacha mwenzenu basi kwani nia yenu tumesha ijua

  • @joframmbinga5587
    @joframmbinga5587 2 года назад +4

    Mama with all due respect malizia bwawa la nyerere itakuwa umewakomboa watanzania lakini pia utakuza uchumi wa nchi najua kuna wanalolipinga usikwamishwe na wanalolipinga ni kwasababu wanataka kutunyonya watanzania. Leo tunanunua umeme sh. 300 hadi sh.400 kwa unit moja kwa huu umeme wa maji haitazidi sh. 50 kwa unit. Bidhaa viwandani zitazalishwa kwa gharama ndogo hivyo hata Bei za bidhaa itakuwa nafuu. Tafadhali mama allocate enough financial resources uikomboe inchi yako kijamii na kiuchumi. Wengi wanalipinga bwawa kwa maslihi binafsi na kushindwa kuwa na huruma na watanzania. Ukiamua mama unaweza. Muombe Allah na atakusimamia kikamilifu. Angalia watanzania angalia Taifa lako. Isitoshe almost Tzs. 3 trillion imeshatumika kwenye mradi huu kweli hii pesa ya watanzania walipa kodi masikini ipotee hivihivi. Mwenyezi Mungu akusimamie Mama.

    • @jamesponeca8912
      @jamesponeca8912 2 года назад

      Yaani sijui nani anamdanganya,ILIKUWA LIJAZWE MAJI MWAKA JANA MWEZI WA 11,BAADAE WAKAMTOA HUYO WAZIRI WAKAWEKA MPINZANI WA BWAWA HILO,MAKAMBA,BILA AIBU AKA DANGANYA MWAKA HUU MWEZI WA 3,nao umepita,LEO HII UNATUAMBIA MWAKA 2025,Rais wetu Tumia akili yako kwa masrahi ya Watanzania,sio watu Binafsi,KAMA KWELI UNATAKA UWE RAIS 2025,MALIZA BWAWA MAPEMA,najua unaweza kuuacha mradi huo,ili ukikaribia uchaguzi ndio utudanganye kumalizia UTAFANYA UCHAGUZI UWE MGUMU SANA WATU HAWATAKUELEWA.

    • @joframmbinga5587
      @joframmbinga5587 2 года назад

      @@jamesponeca8912 ni kweli Kaka. Huu mradi unahujumiwa makusudi kabisa lakini Mwenyezi Mungu yupo na anaona na pia anajua kinachoendelea na kinachofanyika. Ni hatari sana na Inauma sana huu mradi kuhujumiwa sijui nani sisi watanzania ametoroja. Tumuombe Mwenyezi Mungu amsimamie Raisi wetu amalizie Bwawa la Nyerere.

  • @Veni584
    @Veni584 2 года назад +1

    Mh! Hadi 24 tena?

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 2 года назад +5

    Magufuli alisema akitoka miradi hiyo itaisha kweelii 🤔🤔🤷????,yametimia tayari

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 2 года назад +3

    Hao wanafuata tabia ya msemo wa tembo kutembea polepole na kusema No hurry in Africa, hawajali gharama ziada sababu wao wanatembea na mashangingi wewe masikini unabaki masikini,hujali matumbo yao, Magufuli aliwaweza, tunamkumbuka sana, sikuhizi hakuna anaejali wajibu wake, leo ukiripoti umeme kukatika watakuja baada ya siku 2, ikiwa nguzo wiki 3

  • @shelbykackoy5309
    @shelbykackoy5309 2 года назад +1

    Tumeingia Cha kike waaaa # bi mkola must go

  • @chrithicksambo1034
    @chrithicksambo1034 2 года назад +9

    Huyu mother ni pepo au mtu 😂😂mm simwelew kabisa!!!

  • @philiplenardsylvester6063
    @philiplenardsylvester6063 2 года назад +1

    Mimi napita tu jamani 😭😭😭😭😭😭😭

  • @janiaoma7093
    @janiaoma7093 2 года назад +6

    BWAWA LA UMEME MNALITAKA FAYENI UWAMUZI WATANZANIA 2025 TUMECHOKA

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 года назад +1

    Wananchi tuandamane rais mwinyi aje achukuwe nchi huu mzigo urudi Zanzibar

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 года назад +1

    Cag muache aseme ukweli utabaki palepale mama kuhusu bwawa mpaka likamilike Tanzania bila kuwa mkali huwezi kuiendesha nchi hayati magufuli atakumbukwa kila siku hata wamtukane vipi huko kaburini na wasukuma mama hawamtaki kwa ajili ya ndugu yao kwani grip zinatoa majibu uzuri walivyokuwa dodoma grip zilianza upya

  • @leonardvyuma4584
    @leonardvyuma4584 2 года назад +1

    Unakuwa kiongozi mkubwa tena wanchi arafu unapelekwa 2 tu kama ling'ombe sasa kulikuwa nahaja gani kubadirisha waziri wanishati ujue unakera watu ila aujui tu na so wabunge wako viraza wakikupigia makofi bichwa ilooo

  • @matakamataka9438
    @matakamataka9438 2 года назад +3

    Toba 24 wakati jpm alitaka mwakahuu litumike

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 года назад +2

    Mama katika bwawa la mwalimu nyerere atukuelewi leo ndiyo nimekuelewa wewe ndiyo utaki bwawa liishe unatuambia labda 2024 tirion 3 zimepotea na wewe ndiyo mwisho wako mmeshagawana pesa ya ges na january makamba wanchi atutakubali

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 года назад +2

    Magu angekuwepo miradi isingechelewa kuisha lkn sasa hayupo kila kitu kimerudi kwa walaji

  • @jescagodwin2732
    @jescagodwin2732 2 года назад +3

    2024 ilitakiwa sio wakati wa kuendelea na miradi tena ilikuwa ni uwe wakati miradi inazidi nchini.

  • @musason1680
    @musason1680 2 года назад +4

    Majibu mepesi mepesi tnasonga mbele

  • @rudovicknjonge2319
    @rudovicknjonge2319 2 года назад +3

    Tumepigwa hapo 2024 tena

  • @obagoabhiathan3565
    @obagoabhiathan3565 2 года назад +4

    Hakuna mtu hapo hii nchi inaogozwa bila baraka za mwenyezi mungu

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 2 года назад +2

    Anasubiri aombee kura bwawa la magufuli, kwakweli 2025 mbali sana

  • @emmanueleliya6225
    @emmanueleliya6225 2 года назад +2

    Sasa kuhusu bwawa tuwaulize nani?zaidi yenu.
    Au mnataka kutuuliza nyie nasi tuwajibu?

  • @revocatussebastian2427
    @revocatussebastian2427 2 года назад +2

    Mama kuwa serious na kazi matajiri unawaogopa stendi ya mabasi yamagufuli imekuwa checkpoint matajiri nawamiliki wamabasi wameanzisha vituo vyao huko nje wengine mbagara,chanika,buzz,gongo lamboto n'k....Biashara ya mtu binafsi inakosesha mapato serikali na haohao ndo wanaombea miradi huo na wa reli isiishe ili waendelee kupiga pesa namabasi yao#....Rip magufuli

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 2 года назад +1

      RPM MAG

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 года назад +1

      Stendi ndiyo ime ondoka hiyo mama siyo mfuatiliaji revocatus kama hayati kila kitu cha awamu ya nne kimerudi upya kama alivyowajaza heri utawala angechukua waziri mkuu majaliwa mama ukweli hawezi

  • @gelishonhwago4455
    @gelishonhwago4455 2 года назад +5

    Hiyo labda 2024, tutafika mpaka 2030 acheni upuuzi 😠😠😏😏😏😏😏😏

  • @zenj1986
    @zenj1986 2 года назад +3

    Utawala wa Magufuli hakukuwa na kukatika umeme.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 года назад

      Chizi wewe Kwani ss tupo wapi si Tanzania hii kawafunge kamba washamba huko..!

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 2 года назад +1

      @@hassanmfaume4522 tuko Tanzania ya LABDA

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 года назад +1

    Mama wapinzani sasa hivi watajaa bungeni usipokuwa makini watanzania wamechoka usipojirekebisha kwa haya na huyo timu msoga anakutafuna kwa mbinu za kukuangusha wewe itikia tu na kufurahia mama anaupiga mwingi kabla ya 2025 kuna kitu kitatokea na watanzania hawataamini

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 2 года назад +2

    Kwakweli hatumwelewi, yaani eti.labda 2024?

  • @jamessanga7120
    @jamessanga7120 2 года назад +1

    Cheza na vitu vyote ila siyo bwawa la umeme hatutoelewana kwa kweli

  • @shijahlaurent3100
    @shijahlaurent3100 2 года назад

    Waswahili wanasema ndege wa rangi moja huruka pamoja, yaani namanisha raisi samia , januari na nape wote majambazi majambazi makubwa..

  • @josephsule9423
    @josephsule9423 2 года назад

    Mungu awabariki viongozi wetu

  • @amanimrindoko7387
    @amanimrindoko7387 2 года назад +4

    Mazoea mabaya sana, labda hawajajua kuwa zama zimebadilika.
    Ila tu wafanye maamuzi yenye manufaa mapana kwa nchi. Wakifanya maamuzi wabovu au kuleta hasara wawajibike.

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 2 года назад +1

    Mkataba wa sriglas George ilikuwa wakabidhi 2022...Magu Wacha aitwe Magu

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 2 года назад

      We nawe siuandike BWAWA LA UMEME tu tutakuelewa ona sasa ulivyotuvuluga mwee 🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 2 года назад +1

    Tanzania hatuna Rais kwasasa.

  • @iddmbiha1240
    @iddmbiha1240 2 года назад

    Barabara ya mwenge umelipua

  • @deusdeditmwesiga1688
    @deusdeditmwesiga1688 2 года назад

    Najua mnataka kutumia miradi ya mheshimiwa Magufuri kuombea kura 2025. Niwape pole sana sisi tunaelewa kila kitu kutoka kumalizika June 2022 mpaka 2024..... Pole zenu Sanaa.... Tutakupima Kwa Kasi yako ya maendeleo na uwezo wako wa kufikiri katika kuitengeneza Tanzania mpya

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 года назад +1

    Kila kitu labda 2024 huko. Yan mirad mnachelewesha makusud ili 2024 mpate pa kujinadi . Af 2025 mkishapita kama kawaida miradi yote ITASIMAMA

  • @sammyibrahim6654
    @sammyibrahim6654 2 года назад +2

    Na huyu mama hata hana aibu kisimama na kusema hivo labda,kweli tumeridi nyuma kinyama ,wafisadi wanamuongoza huyo mama badala yy awaongoze ,

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 года назад

      Sammy ibrahim soma vitabu vya biblia na misahafu mimi ni mwanamke bado muda wetu wa kutawala hasa kwa Tanzania bado sana

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 2 года назад

    Ili Tz kusonga mbele kiuchumi watu wafuatao lazima waangaliwe na kushughulikiwa ili wasiwe na madaraka ya maamuzi ktk miradi ya nchi:
    Samia Suluhu Hasan- vivu na fisadi. Anayumba tu hajui afanye nini. Amekuwa bonge la mzigo kwa watanzania.
    Makamba- mwizi fisadi na mbinafsi .
    Tundu Lisu- Mchumia tumbo muongo namsaliti.
    Nauye - fisadi na mwizi hana haja ya kuendeleza nchi
    Zito Kabwe- msaliti wa nchi na muongo na mbinafsi
    Membe- mwizi mbinafsi na muongo.
    Mbowe- muongo na ni mwizi mchumia tumbo.
    Lema- mwizi na mbinafsi na muongo.
    Kinana- mmoja wa mafisadi wakubwa nchini. Muongo na ni mwizi
    Tz itaendeleaje na mizigo kama hiyo? Wako wengine ambao sikuwataja lakini wapo.

  • @janethpallangyo2633
    @janethpallangyo2633 2 года назад +2

    2024 Kweli????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????

  • @pastorgodwinchengula7848
    @pastorgodwinchengula7848 2 года назад

    Mradi Uliotakiwa Uishi mwaka huu Rais anasema unaweza Kuishi 2024
    Is She Serious aisee?

  • @kamkenebenga1450
    @kamkenebenga1450 2 года назад

    Katika hili wataisoma namba

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 2 года назад

    Mh raisi kuhusu mradi wa bwawa la.umeme umedanganywa kweli kuliacha na mihela yote iliyo tumika ifie hapo .mh uchaguzi ujao tutawambia nini watanzania walio na matumaini ya kupata umeme kwa bei nafuu leo unasema labda utaisha 2024 .Tafadhali tuambie sababu nini kimekwamisha bwawa kuisha 2022 kama ilivyo kusudiwa

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 2 года назад

    Hii serikar mtoto WA mujomba mwingi sana ndio mana mambo hayaendi😏,mzee makamba alidai asali kachongewa mzinga kabisa😂, kazi kweli kweli,

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 2 года назад

    Mradi huu utafeli Kwa 100% na watausimamisha badae. Nape alionyesha Bungeni walichokusudia kufanya. Mradi utakufa kabisa

  • @mbebesisilayo2511
    @mbebesisilayo2511 2 года назад

    Jamani katiba ya haki kwa wote kuidai inaonesha katiba iliyopo ilikuwa ni ya muda na ndio maana kunakuwa na udanganyifu mwingi kwenye miradi ya maendeleo ya inchi kusonga mbele kila siku ni tunaanza.

  • @edwardmashimba7591
    @edwardmashimba7591 2 года назад +1

    MBONA MAMA UNATUMIA NENO LABDA KWA NINI USIWE NA UHAKIKA KWA MRADI MKUBWA NAMNA HII?

  • @evancefreddy3775
    @evancefreddy3775 2 года назад

    2024 ili 2025 upewe kura tena mhh smart kikwete ways we ndo wale wale

  • @boazkimaka259
    @boazkimaka259 2 года назад +1

    Sasa raisi mwenyewe hajawahi hata kukanyaga huko kwenye bwawa lenyewe analetewa tu ripoti hapo tushapigwa na kitu kizito nape kampeni Ile ya bwawa Lina haribu mazingira alitumwa a aliempa uwaziri hakuna lolote rip magufulification

  • @shabanibumbo5774
    @shabanibumbo5774 2 года назад

    wew bi tozo mbona hujitambui wew ndio rais wa inchi unapangiwa matokeo na viongoz ulio wateuwa eti mlad utachelew had 2024 sababu ambazo hazina hata msingi kua na maamuz makal kama rais kwel mungu kasema ukwel mwanamke hafai kua kiongoz

  • @aloiceassenga7582
    @aloiceassenga7582 2 года назад +1

    Mama yupo vizuri

  • @annakisiga889
    @annakisiga889 2 года назад

    Tunawaomba akina bashiru waanzishe chama ili kuiangusha CCM bila HIV huyu mama atatupeleka jehanam TU na siyo nchi ya ahadi aliyotuahid baba yetu jpm

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 2 года назад

    Mafisadi wameshika hatamu. Mengi yatachelewa tu na si ajabu miradi haitakamilika. Wewe mama unajifanya kuwapigia mafisadi wenzako kelele na huku nawe uko ktk kundi hilo hilo. Usitudanganye!!!! Mafisadi kusimamia miradi?! Yangu macho.

  • @shabanibumbo5774
    @shabanibumbo5774 2 года назад

    tatizo huna maamuz unafumba fumba nini sema sababu zinazo chelewesha bwawa la nyerere wakat ilitakiwa 2021 liwe limekwisha wew unasema labda litaisha 2024 tena huna uhakika usilazimishe nakushaul 2025 usigombee ili ustaf kwa heshima kuliko utakavyo kosa heshima kama mzee wa msoga

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 2 года назад +3

    Ukaguzi ad uku kwa walimu maana Hana mda na kazi zao wanalalamika tu mishaala kuongezwa lkn kazini wao ni kuchezea simu tu

    • @ashaomari7972
      @ashaomari7972 2 года назад +1

      😂😂😂😂😂🙌

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 2 года назад +1

      Nchi imeharibika uajibikaji umerudi Chini Sana 😭RIP Magufuli 🙏🙏🙏

    • @bahatisaimon6019
      @bahatisaimon6019 2 года назад +1

      @@rosetreffert4179
      Yaan shule za serikali hakuna ufundishaji wa maana lkn ukiwaskia walimu ni malalamiko tu ya kuongezwa mishaala tena kama izi shule za nje ya miji ndio shida tupu niilimrad mtoto ameenda shule lkn michango ya Kiaina inaitishwa tu kawaida

  • @rahmarahma920
    @rahmarahma920 2 года назад

    Unajifanya unaongea kwa upole ulilolifanya lazimalikurudie Mungu yupo unazubutu kusimamakusema Magufuli alikua mkaliliwewe hunaaibu

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 года назад

    poleni Tanganyika

  • @annakisiga889
    @annakisiga889 2 года назад

    Tangu makamba awe wazir umeme nikukatika TU bila utaratibu we nikusema mkasimamie wewe unafanya nn hapo Toka bhna wakae wanaume ulishaga SEMA kiatu Cha jpm kinapwaya unalazimisha tu

  • @annakisiga889
    @annakisiga889 2 года назад

    Kaz ya mama nikupika na kufua Sasa hapo mama hakuna unachokifanya ila itakugalim sana

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 2 года назад +1

    Maneno mengi vitendo zilo

  • @RaymondswaiC137
    @RaymondswaiC137 2 года назад

    Mbona hatujasikia lolote kuhusu hatua muhimu sana ya kujenga Bwawa? Yaani kujaza maji bwawa. Au tuchukulie basi kuwa Bwawa litajaa kwa nusu msimu mmoja wa mvua?

  • @jumaalex3942
    @jumaalex3942 2 года назад

    Jamani mama umepandisha kilakitu namiradiimekwama

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 2 года назад +1

    Labda 2024 huko labda hatari

  • @musason1680
    @musason1680 2 года назад +1

    Huko 2024

  • @marianamontoedi1318
    @marianamontoedi1318 2 года назад

    Teketeke sana

  • @emmanueleliya6225
    @emmanueleliya6225 2 года назад

    Kichwa kama haijaamua kufanya kazi hakika mwili kazi itakua ni kulala tu

  • @tagdymagdy7301
    @tagdymagdy7301 2 года назад

    Wacheleweshaji Si Nyie

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 2 года назад +1

    Mama jiuzuru tuuu"!

  • @pyzzocatto1829
    @pyzzocatto1829 2 года назад

    Tuzingatie iyo kauli laaabda,labda labda labda 2024 narudia tena labda

  • @dullyjabri8393
    @dullyjabri8393 2 года назад +1

    Labda 2024 linaweza kukamilika. Then 2025 tumpigie kura Tena lazima anko Magu afufuke

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 года назад

    Mbona alipokuwepo kalemani hakukuwepo kukatikatika hilo ni dili la majenereta mama upigaji umezidi kila kona