WAZIRI BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI - KUHAKIKISHA BARABARA ya DAR - LINDI INAPITIKA NDANI ya SAA 72..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 май 2024
  • WAZIRI BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI - KUHAKIKISHA BARABARA ya DAR - LINDI INAPITIKA NDANI ya SAA 72..
    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na wasafirishaji kuwa ameweka kambi Mkoa wa Lindi kuhakikisha anasimamia timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na makandarasi, kuhakikisha wanakamilisha kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi - Dar es Salaam ndani ya saa 72.
    Waziri Bashungwa ameeleza hayo, leo tarehe 6 Mei 2024 Nangurukuru wilayani Kilwa wakati akikagua na kusimamia zoezi la urejeshaji wa mawasiliano ya barabara yaliyokatika kwa kuharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha zikiambatana na kimbunga Hidaya.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 15

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  25 дней назад

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 26 дней назад +1

    Ongera sana waziri wa ujenzi kwa kuchapa kazi''hakika wizara hii unaitendea haki.❤❤❤👍👍🙏🙏 By Mtwara.

  • @michaelmoro4801
    @michaelmoro4801 26 дней назад +1

    Polen sana ndugu zetu wa Lindi Mungu awafaniye wepesi

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 26 дней назад

    Asante diwani umeongea Kitaalam sana .wengine wote wanalaume Mvua

  • @user-qi7px6nb8r
    @user-qi7px6nb8r 26 дней назад +1

    Waziri wa ujenzi ni jembe sana.Hongera sana.Mama una majembe mazuri sana.

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 25 дней назад

    Hongera diwani umeongeya vyema sana milango ya maji iengezwe ili maji yatembee haraka yasiweze kukaliana mda mrefu na kutafta sehem ya kupita kwa kuleta madhara .

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 26 дней назад +1

    Containers siyo ngumu zikishakatwa, una-compromize rigidity yake, yatahitaki kuwa re-enforced kuwa welded, kwa nini msiwaombe wakandarasi wa SGR wakawapa pre-fab calavats.?

  • @musicschool_tz7014
    @musicschool_tz7014 25 дней назад

    Kiukweli hiyo barabara eneo kubwa la barabara limezungukwa na maji. Mkizuia hapo kunauwezekano wa kipenyo kinachohitajika kuwa kidogo na maji kuchimba barabara sehemu nyingine. Me nashauri mkondo kama huo uongezewe urefu kwenda chini ili maji yapate slop kuja kupitia mahali pamoja ambapo kutakuwa na daraja kubwa litakaloruhusu maji mengi kupita. So barabara na huko yanapokwenda baharini yaongezewe speed kwa kuongeza slopes. Maoni yangu ni hayo. Maana nilipita kwakweli niliona hili kuja kutokea na linaweza kuja kusumbua sana.

  • @esromkanubo815
    @esromkanubo815 25 дней назад

    Hapo 3 Kwa tz niuongo

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 25 дней назад

    Waziri lije Jeshi hapo ili paishe haraka'ili watu waweze kupita

  • @khanatrahmad127
    @khanatrahmad127 26 дней назад

    Jamani nimewahi kusafiri imetokea lini hiii

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 25 дней назад

    Dawa ya hapo ni kuweka mabox karavati mengi,kama vile mto Ruvu ya Bagamoyo

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 25 дней назад

    Hapo karavati zingeanzia hapo mlipo simama haya mawe yakizuia maji yana kata pengine

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 25 дней назад +1

    Maji yame kula aisee