TAHARUKI: MFANYABIASHARA AFIA KWENYE GARI, AKUTWA NA MABURUNGUTU YA HELA "MWILI UMEKAA SIKU NNE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 177

  • @guccij6236
    @guccij6236 Год назад +50

    Kama bado upo hai mshukuru Mungu

  • @AndrewWoiso
    @AndrewWoiso Год назад +6

    Ee Mwenyez Mungu tujalie Mwisho mwema

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Год назад

    ❤❤❤❤Mungu nisaidie Mimi na kizazi changu naomba nimalize mwendo salaama

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 Год назад +6

    Mungu tunaomba mwisho mwema

  • @ednajeremiah928
    @ednajeremiah928 Год назад +5

    Mungu tupe mwisho mwema

  • @MSAFIRIMarenge
    @MSAFIRIMarenge Год назад

    Daaaaaaaah jmn poleni sana

  • @gracemallya6423
    @gracemallya6423 Год назад +6

    Pumzika kwa amani Mr BARNABASI MALLYA

  • @mnyangabejowrlicecy1747
    @mnyangabejowrlicecy1747 Год назад +3

    Ee Mungu naomba unijaalie mwisho mwema

  • @mwantumjaff1602
    @mwantumjaff1602 Год назад +28

    Tumcheni sana Mungu hatuujui mwsho wetu😢😢

    • @jacobmakono4399
      @jacobmakono4399 Год назад +3

      Humchi Mungu mpka uokoke,tubu dhambi zako zote na kumaanisha kuziacha kabisa na kumpokea Yesu Kristo kama bwana na mwokozi wa maisha yako akupe uwezo wa kushinda dhambi zako..hapo ukiishi ndo utakuwa mcha Mungu!

    • @tatotato506
      @tatotato506 Год назад

      ​@@jacobmakono4399YESU NDO NANI ALIETUUMBA MUNGU SIO UESU MJINGA WEWE

    • @jacobmakono4399
      @jacobmakono4399 Год назад

      @@tatotato506 Yesu Kristo ndiye kakuumba mjinga wewe,hujijui!Yesu Kristo ndiye njia kweli na uzima ya kwenda pepon..Yesu Kristo ninaemfuata yuko mbinguni..huyo Mohamed unaemfuata yuko wapi?Tumia akilisometimes

    • @masturasudi7394
      @masturasudi7394 Год назад

      ​@@jacobmakono4399acha ujinga wewe

    • @chaucassim4123
      @chaucassim4123 Год назад +1

      @@jacobmakono4399 ujinga. Wenu. Na. Utahira. Wenu. Mbwa. Nyinyi. Wawili. Msipelekee. Kukashifu. Dini. Za watu. Dini. Zote. Ziheshimiwe. Mungu. Ni mmoja. Mmbwa. Nyinyi

  • @YohanaPaulo-zd4er
    @YohanaPaulo-zd4er Год назад

    poleni sana mungu atulinde t

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Год назад +16

    Uyu mzee alikuwa anaishije nawatu 😢😢 tupunguze ubaili tuishi nawatu waje hm wale wa ishi awakupunguzi kitu

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 Год назад +7

    Innalillah wainnaa lillahi rajiun

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Год назад +3

    Hii ni funzo tuwe tunapigiana simu mara kwa mara na ndg, familia, angesema labda mawasiliano muhimu

  • @DonPrince11
    @DonPrince11 Год назад +2

    Mungu amlaze mahali pema peponi

  • @leonardamassati1624
    @leonardamassati1624 Год назад

    Hatari

  • @maphonpnones3208
    @maphonpnones3208 Год назад +4

    Jamani pole sana wafiwa

  • @SophiaZick-t3v
    @SophiaZick-t3v Год назад +4

    Poleni wanaichi wa mkoa wa Arusha.....walinzi tuwe waangalifu saana sehem zetu za ulinzi

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 Год назад +31

    Sku 5 yaani Familia hamjui Baba yuko wapi,hamna mawasiliano kwakweli dah haya maisha sio.

    • @aginsagins-jf4vz
      @aginsagins-jf4vz Год назад +1

      Alikuwa anaishi mwenyewe ghetto

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي Год назад +4

      ​@@aginsagins-jf4vzhata kama ina maana watoto hawajampigia cm

    • @prettymasha2430
      @prettymasha2430 Год назад +3

      Kuishi pekeako sio tatizo mawasiliano ndo tatizo 😢😢

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 Год назад +4

      Huyo nae alikuwa nitatizo yani kwa ufupi wanao ishi geto umakini nimuhimu sana.

    • @salmatanza8133
      @salmatanza8133 Год назад +2

      Pengine walipiga ila tayar alishakyfa

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq Год назад +11

    Inalilah wainali rajighun mungu ampe kauli dhabit

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 11 месяцев назад

      Kauli dhabit ni mpaka uitafute wakati wa uhai wako. hutoitoa kirahisi namna hiyo!

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Год назад

    Duh hii inaskitisha sana,what happened jamani??Mwenyezi Mungu amrehemu.

  • @ElizabethOscar-z8b
    @ElizabethOscar-z8b Год назад +4

    Ee mungu tujalie mwisho mwema😢

  • @nahimanamayassa8305
    @nahimanamayassa8305 Год назад

    Daah😮ila uko kwetu ni hatar sna ati gari lina park over 2days watu mnapishana tu🤔,nnchi za watu gari li Park tu lisaa lizima kwanza unaweka maisha yako hatarin,juu unaeza ukafurahishwa kuibiwa

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 Год назад +13

    Innalillah wainna ilayh rajiun 😭
    Yarrab tujalie mwisho mwema!!

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Год назад +6

    Mtihani kabisa 😢

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro Год назад +2

    Hakika,kifo kwa binadamu Kiko karibu kuliko jicho lake!

  • @angeldamasen6139
    @angeldamasen6139 Год назад

    Sjackia vzr anamazoea yakula kwenye baa

  • @RozinaHamisi
    @RozinaHamisi Год назад +16

    Ina lilahi waina ilaihi rajiun kullu nafsi dhaikatul maut 😢

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Год назад +7

    Innalillah waina ilahi rajiun 😢

  • @HgiHg-i7t
    @HgiHg-i7t Год назад +2

    Innalilah wainaillah rajiwn 😭😭😭😭

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 Год назад

    Fresh tu alotoka Katoka tu

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Год назад +2

    Familia yake hawajawaza yupo wapi ndani ya siku4,hawajampigia simu,kazini kwake hawajajiuliza yupo wapi??hawajapiga hata simu kujua boss yupo wapi??mbona haimake sense jamani.
    Mi sielewi,aliyeelewa anifahamishe

    • @annamlozi4538
      @annamlozi4538 Год назад +1

      Anaweza akawa alipigiwa sana cm, lakini mait haiongei jamani. Maginjwa ya ghafra siki hizi ni mengi. MUNGU Atusaidie tu.

    • @salhamrishoi4943
      @salhamrishoi4943 Год назад

      Halikuwa anaishi mwenyewe uyo mzee sikizaga uzuri

  • @AishaSeleman-m1s
    @AishaSeleman-m1s Год назад

    Daaah innah Lillah waina Lillah lajiuni 😢

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Год назад +3

    M/MUNGU Ilazeroho yamarehem mahali pema peponi

  • @jacklinejacksone1165
    @jacklinejacksone1165 Год назад

    Uho mkoa sio Bure kama unarahana matukio ni Arusha tu😭

  • @DonPrince11
    @DonPrince11 Год назад

    Poleni san

  • @Miasa-rz8le
    @Miasa-rz8le Год назад +2

    Innalillah wainnailah rajiun kwani apo kwenye maegesho hakuna anae kusanya pesa ya pakng kwann siku tano asijulikane mapema

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 Год назад +3

    Kila nafsi itaonja Mauti mda na pahala hakuna ajuae

  • @safinamdingi7912
    @safinamdingi7912 Год назад +2

    Jamani 😭😭😭😭

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Год назад +5

    Hizo fedha zisiyeyuke ni za Marehemu Mungu ampumzishe kwa Amani

  • @hamidaissa4769
    @hamidaissa4769 Год назад +9

    Innalillah wainnaillah ranjiun

  • @LeahNgussa
    @LeahNgussa Год назад

    Pumzika kwa Amani Baba

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv

    Ina lillah wa ina lilajium

  • @elizabethmakaranga218
    @elizabethmakaranga218 Год назад +1

    Mungu acheni aitwa mungu ,mauti na mabulugutu ya hela ,mmejifunza nini wadau?

  • @neemaRamadhani
    @neemaRamadhani Год назад

    Jamani wazazi wetu tujitaidi sana kuishi namtu wakalibu sana

  • @zaykipini4761
    @zaykipini4761 Год назад

    Hiyo dada nae khaaaa

  • @neemaRamadhani
    @neemaRamadhani Год назад

    Duu jamani

  • @Joyce-ob3vj
    @Joyce-ob3vj Год назад

    Jaman

  • @faridahamis2607
    @faridahamis2607 Год назад +7

    Uyu dada alovaa tishet nimuongo.eti amepigiwa risasi upande huu.Dah waandishi angalieni nawatu wakuwaoji

    • @yunyun799
      @yunyun799 Год назад

      😂😂😂kweli kbx

  • @Manyara-Jr
    @Manyara-Jr Год назад

    SKUDO ndo gari gani jamani ebu nijuzeni vizuri.. bila shaka uyu alikua tajiri maana hiyo gari sijawahi isikia

    • @faustinmarko2278
      @faustinmarko2278 Год назад

      Nigari aina ya skudo au vitara suzuki hapo umeelewa

  • @HusseinKagabo
    @HusseinKagabo Год назад

    Watu wanawuwaa sn siku za mwisho

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja Год назад +4

    Arusha,chonde chonde.Acheni au punguzeni kupenda Pesa kiasi hicho,kumbukeni nyie ni binadamu.

  • @rosemkeleja7768
    @rosemkeleja7768 Год назад

    Presha

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 Год назад +9

    Ana maduka, ni zaidi ya moja, wafanyakazi wake hawakushangaa mzee yuko wapi?
    2.mzee ana presha lkn anaishi peke yake? Sio salama sana.
    Wapendwa, kifo tunatembea nacho, tukae tuu tayari😭😭

    • @rizikisam6481
      @rizikisam6481 Год назад +1

      Uwii usiseme kipenzi mm ikishukaga naona kabsa kifo ichi apa 😢😢😢 inatesa jamani

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 Год назад

      ​@@rizikisam6481mtuone tuwatibie

    • @pendo8082
      @pendo8082 Год назад

      ​@@rizikisam6481ni kweli mtu mwingine mwenye presha hatakiwi kuchelewa kula chakula ni hatari

    • @kapingalucy2707
      @kapingalucy2707 Год назад

      ​@@rizikisam6481mkaribie MUNGU pia Ikatae Iyo presha Kwa Jina La YESU ,pia uamin Kuwa Umepona ,

  • @anithaponsianmugiz6492
    @anithaponsianmugiz6492 Год назад

    Aliyegundua dada anaongea kama Elizabet

  • @MonicaMfinanga
    @MonicaMfinanga Год назад

    Jaman 😢😭

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 Год назад

    Huyo mamiloo mbona ana wenge sana

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 Год назад +3

    Leo Arusha yetu ajakaa sawa apa myanzini mataa gari limewagonga toyo moja dah hapo hapo inasikitisha sana

    • @PennyG90
      @PennyG90 Год назад +1

      Saaa ngapi mm naishi Mianzini

  • @LindaMbilinyi-p8s
    @LindaMbilinyi-p8s Год назад +3

    Kiukwel me binafs Arusha na Geita zimenichosha,,,yaan kabla sijafungua hii video nilihis tu kuwa km co Arusha bas Geita,,mna Nini lkn??msitumalizie bando 😂😂😂😂

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py Год назад +2

    Damu wasije wakawa wamempa sumuu tajiiri jamani mbon mauwaji mengii hutokea Arush saan

  • @GiftNoel-r2j
    @GiftNoel-r2j Год назад

    Duuu

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 Год назад

    Mali jamani, uwiiii.

  • @FatumaJuma-h4g
    @FatumaJuma-h4g Год назад

    Karatu njooeni milad Kuna tukio la vitu vinaungua vyenyewe njooeni muone maajabu

  • @AihmAli-d8x
    @AihmAli-d8x Год назад

    Poleni sana wafiwa hii yote pesa

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft Год назад

      Kwasababu umeskia ana maduka ya cm na kafa mbele ya maburungutu ya fedha au !!!??

    • @annanshek6760
      @annanshek6760 Год назад

      😊😮

  • @SumaiyaJemsi-bh5zr
    @SumaiyaJemsi-bh5zr Год назад

    Saida

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 Год назад

    Kijana wa pili kaongea vizuri sana

  • @SiahKurutiki-ly7ge
    @SiahKurutiki-ly7ge Год назад +3

    Sasa familia nayo hawajafikiria yuko wapi?

  • @rasheedmbaraka7199
    @rasheedmbaraka7199 Год назад +4

    Gari haiitwi skudo ni escudo..

  • @janathsuleiman7263
    @janathsuleiman7263 Год назад

    labda stroke ama pressure

  • @kalebiestomihi
    @kalebiestomihi Год назад

    Arusha jamani

  • @GgSaw-vi4mo
    @GgSaw-vi4mo Год назад

    Ndoa zingine za kiroho hazionekani na pesa zingine nazo ni feza haswa

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Год назад +1

    BASI HUWO MTAA KUSIKIA HARUFU ZA KUNUKA NI KITU CHA KAWAIDA.

  • @CAPTAIN_GALAXY13
    @CAPTAIN_GALAXY13 Год назад +3

    Taarifa ya ghafla sana hii

  • @aminamavura6834
    @aminamavura6834 Год назад +1

    Mhuuu yani basi tuuu

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 Год назад

    Kumbe anatumia gari aina ya MAKUDUBELA.

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 Год назад

    Eti risasi?camoon...ulikuwepo?

  • @vero57
    @vero57 Год назад +1

    Cctv camera ziwekwe kwenye sehemu buys kama hizo, poleni sana wafiwa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Год назад +1

      CAMERA ZITAIBIWA TU 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Год назад

    Sasa wapewe familia masikini hizo money

  • @kingfuture7147
    @kingfuture7147 Год назад

    Alikuwa na shingap jamani

  • @wellahsuleiman7881
    @wellahsuleiman7881 Год назад +1

    CHAKULA ALICHOKULA KIPIMWE

  • @Tanzania..cashauro
    @Tanzania..cashauro Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 Год назад

    Scudooooo

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي Год назад +3

    Ila jamani siku 5 watoto na familia walikuwa hawawasilian hata kama anaishi pekeyake mawasiliano na huyu mzee au hana cm

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 Год назад +1

      Wazazi wengine ni makatili, watoto hawana hata hamu ya kuwasiliana nayo ndo maana anaishi mwenyewe bila hata mfanyakazi wa ndani

    • @jacqueisaac8155
      @jacqueisaac8155 Год назад +3

      Wazazi wengi ukisema ukae kimya anakaa hata miez 6 hatawah kukupigia au akipiga ana shida basi

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv

    Mbele yake nyuma yetu

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Год назад

    Watu wasifunge vioo

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc Год назад

      Ili iweje siwezi acha gari vyoo wazi watu waibe umekosa lakuongea bola kunyamaza 😏

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Год назад +1

    R.I.P poleni sana wafiwa

  • @denisjoel1592
    @denisjoel1592 Год назад

    Arusha mmelaaniwa aise

    • @mcback4384
      @mcback4384 Год назад

      Umelaaniwa wewe na uzao wako mara 10

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Год назад +1

    Hii channel inaboa sasa habari ni zaidi ya Arusha na dar tu inaboa sana Tanzania ni kubwa sana tuleteeni Habari za mikoa ingine

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 Год назад

    Kwamba magari yasiwekwe tinted jaman 🖐

  • @everlyne8595
    @everlyne8595 Год назад

    Apimzike kwa amani dahh

  • @OnokaDadu-xf1jw
    @OnokaDadu-xf1jw Год назад

    Garibaldi

  • @CatherineMushi-m7q
    @CatherineMushi-m7q Год назад

    Ndiyo wale ambao hawana mahusiano mazuri na wake zao ama mtu wake wa karibu na ndiyo maana wazungu walituletea hizi cm anagalau tuelemike mwingine anapogiwa cm ni make ama mtoto anauliza unasemaje?hata kama ni rafiki wa karibu ni kumwambia ukweli tu niko mahala kaaribu si anakufuata kwel

  • @DeboraMwita-s1u
    @DeboraMwita-s1u Год назад +1

    Kwenye familia Kuna mengi yawezekana Mzee alikuwa katil had familia inaish Kwa uog

  • @MozesMungai-lm6ip
    @MozesMungai-lm6ip Год назад +1

    Kwani mke wake hayupo mbona Mme wake,afe hadi Sikh tano asijuwe

  • @HarrisKapiga
    @HarrisKapiga Год назад

    Tccia

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Год назад

    😢

  • @DOTOCHARLES-so7rh
    @DOTOCHARLES-so7rh Год назад

    Pengine aliaga anasafili

  • @sheckycobb5240
    @sheckycobb5240 Год назад

    Mnalaumu familia,mkute alikua katili hana ukaribu na watu wake

    • @happymwashimaha5134
      @happymwashimaha5134 Год назад

      Kweli kabisa
      Kuna wazazi wengine hawana ukaribu hata na watoto wao ,kukupigia au kupokea simu mpaka waamue wao.
      Hivyo tusilaumu Sana yeye ndo alikuwa anajua life style yake

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Год назад

    Vioo ya tinted ni ubaya wake

  • @girasoleTV
    @girasoleTV Год назад

    Ivi ni kwel

  • @AishaSeleman-m1s
    @AishaSeleman-m1s Год назад +1

    Daaah innah Lillah waina Lillah lajiuni 😢