Aaliyah Ndo Amenifanya niingalie Hii episode Tangu Ina Tease Insta , I Love So Much This Girl,Na Nnachompendea Zaidi Ni Brain Yake , The Way She Thinks,Nimeangalia Interviews Zake Nyingi Zinanifanya Nazidi Kumpenda nazdi Kuamini There Are Best Woman Out there To Marry ❤....Daniel Pia Katisha Sana 🎉 ... Aaliyah I Wish Nikutane na Wewe Mama , Ur So Lovely 😍 😊
Laying some facts from robert greene books DANIEL KIJO, need to convince people we read books. Too much knowledge is out there from the books. Nice podcast today 💪💥 AALIYAH and DANIEL KIJO.
Charles we love you tulikusema unapiga sana kelele leo umepoa poa😂😂usitususie basi changamka kdg iwe professional unless otherwise tunakipenda hiki kipindi tokea kule kwenye kuigiza mpk hapa tuko pamoja
OYAA IV MMEONA HII, AU N MM TU🤔🤔🤔 Mbn km mwanadada kuna ka feeling anadevelop jamaa akiwa anaongea, nmemchek anavopapasa kochi, anavojkunyata as if ana hug,anavo kua anajaliza kwny idea za mwamba pitch ya saut iko juu knoma kuliko alivoanza interview😻😻😻
Km mlivosema "ku'adopt new knowledge& skills kila unapokutana nawatu flan", iv kwann Daniel asimfanyie mpango wa gym session Aaliyah aboreshe muonekane wake wa nyuma🍑(nyash babe) as a media star, make kw alivoeleza kesha develop skills nying sana inaonesha n mtu makn. N maoni tu👊
Apo kwny "ata kunipa mda n upendo" mtego uo,😅 , why, kuna maneno ya hekima yanasema📚 "scarcity create demand and demand multiply value" when you ar available each time yo woman wants u, subconsciously she start to term a cheap guy and her interest will start to fall" 💔 sometym n moja ya FOOLISH TEST🤯- akshajua mda ambao unakuw very tight na kaz ndo mda anaokuw anataka attention🌹maana yake nn, anaanzish ushindan wa kibinafc kuchallenge interest yako kwa mda 🫶/💰en guess what, ukimpa tu io attention anapoteza interest naww na anaanz kutilia shaka io kaz yako🤷♂️😂😂😂 USIJIMALIZE🧠
Daniel anamisimamo ambayo anajua kuielezea au kuitetea lakn leo ndo nmejua Aaliyah hajui kujielezea na kuelezea misimamo yake na hii pengne ndo inamfanya interviews zake anakuwa mkali😂😂😂
Najaribu tu kuwaza, naona n km imekuw fashion kila wasifu (hasa wadada) utaskia " nina hofu ya mungu au ninataka mtu mwny hofu ya mungu", hv n nini maana ya hofu ya mungu? N matendo gan yana justify hofu ya mungu? N matukio gan yanahitaj hofu ya mungu? Personally and generally. As i refer to Aaliyah's reply "nna hofu ya mungu"
Uyu bro n ktabu tosha sema sasa watu km hawapend kuwa karb na mtu mmoja mmoja anahc n bad usage ya knowledge yake, anapenda kuwe na kadamnas kubwa ndo anaenjoi kutoa darasa😅😅
Yes indeed, when Christopher Columbus stumbled on America thinking he just reached india as his goal was, he saw people there but they were not typical indians as he expected so he called them RED INDIANS, the native Americans.
Daniel he’s a genius very intellectual spoke so eloquently. I’m inspired my bro . Great guest Matukio .. the junction never disappoints 🇬🇧🇬🇧🙏🌶️🌶️🌶️🌶️💯
Aaliyah Ndo Amenifanya niingalie Hii episode Tangu Ina Tease Insta , I Love So Much This Girl,Na Nnachompendea Zaidi Ni Brain Yake , The Way She Thinks,Nimeangalia Interviews Zake Nyingi Zinanifanya Nazidi Kumpenda nazdi Kuamini There Are Best Woman Out there To Marry ❤....Daniel Pia Katisha Sana 🎉 ... Aaliyah I Wish Nikutane na Wewe Mama , Ur So Lovely 😍 😊
Kidjo is spitting some really profound stuff! Very relatable as a man.
Am here for Daniel Kijo🙌
Maswali yako charles ni very creative....keep it up
Daniel uko smart sana wadada wazuri wengi nao kuongea mbwembwe kibao unaweza ukawa na point lkn unatutoa kumakinika tupunguze sleng😊
Another one on Christmas Boxing Day … while I’m chilling my belly is full . 🇬🇧💯
Happy holidays fam!
Daniel arudi tena kwenye kipindi ana madini kichwa kina nafasi bado❤❤❤❤
Aliyah too much souce 🌶🌶🌶🔥🔥
Hii naskiliza kama kawaida,lkn sio ile iliyopita ya mganga wa diva,siwezi kumsikilizaga yule jamaa ni jau big time
Wengine tulimsikiliza
@ditrickfrances7488 ok vizuri,kwangu mimi hapana siwezi msikiliza
😅😅😅😅😅 we kama mimi, nimeipita shwaaaa. Binafsi siwezi msikiliza jamaa
sasa ile ninouma kuliko
@@rebbywealth9869 Mbona umepitwa rafiki😅, it's one of the most entertaining episodes. Give it a shot
Nakipendaga hiki ki jama ....happy holidays mwamba
Charles your so talented and gifted
Laying some facts from robert greene books DANIEL KIJO, need to convince people we read books. Too much knowledge is out there from the books. Nice podcast today 💪💥 AALIYAH and DANIEL KIJO.
Charles we love you tulikusema unapiga sana kelele leo umepoa poa😂😂usitususie basi changamka kdg iwe professional unless otherwise tunakipenda hiki kipindi tokea kule kwenye kuigiza mpk hapa tuko pamoja
like za Daniel kijo gonga hapa 💯
Alya apewe ulinzi jamani 🎉❤
Kijo spitting facts 🔥🙌🏾
Charlz naona kama kapoa sana leo 😅
Kabisa kapoa hatujamzoea ivo lkn akichangamka sana napo ana kelele mnoo mpaka wageni waalikwa wanakua wanajiona wako kijiweni
Madini mengi sana humu Charles umetisha
Ili lijamaa🙌🙌🙌
OYAA IV MMEONA HII, AU N MM TU🤔🤔🤔
Mbn km mwanadada kuna ka feeling anadevelop jamaa akiwa anaongea, nmemchek anavopapasa kochi, anavojkunyata as if ana hug,anavo kua anajaliza kwny idea za mwamba pitch ya saut iko juu knoma kuliko alivoanza interview😻😻😻
Km mlivosema "ku'adopt new knowledge& skills kila unapokutana nawatu flan", iv kwann Daniel asimfanyie mpango wa gym session Aaliyah aboreshe muonekane wake wa nyuma🍑(nyash babe) as a media star, make kw alivoeleza kesha develop skills nying sana inaonesha n mtu makn. N maoni tu👊
Naomba umlete na Ally Mwakinyo bro
MUHIMU
Kijo ni mostly potential personal, ukimskiza hutoki tupu
Apo kwny "ata kunipa mda n upendo" mtego uo,😅 , why, kuna maneno ya hekima yanasema📚 "scarcity create demand and demand multiply value" when you ar available each time yo woman wants u, subconsciously she start to term a cheap guy and her interest will start to fall" 💔
sometym n moja ya FOOLISH TEST🤯- akshajua mda ambao unakuw very tight na kaz ndo mda anaokuw anataka attention🌹maana yake nn, anaanzish ushindan wa kibinafc kuchallenge interest yako kwa mda 🫶/💰en guess what, ukimpa tu io attention anapoteza interest naww na anaanz kutilia shaka io kaz yako🤷♂️😂😂😂 USIJIMALIZE🧠
Bonge la episode kama kawaida!!
matukio leo uja-gusa ata kidogo mzee 🍺🍺
Nimejitolea kuptomote hii Movie on all biggest platforms movies show
Kidjo ni hatari sanaaa
YesSir 🤘 👊Inspiration Words 🙌 🎉
Great episode Charles 🔥
Daniel anamisimamo ambayo anajua kuielezea au kuitetea lakn leo ndo nmejua Aaliyah hajui kujielezea na kuelezea misimamo yake na hii pengne ndo inamfanya interviews zake anakuwa mkali😂😂😂
Charles anaumwa
Kocha wamaisha🤔🤔
Nyie wabongo kwani mtu kuongea kiingereza ndio unakuwa mwerevu acheni kujiekti bwana.
Aaliyah you make us wanna loose concentration on this episode.. too spicy 🌶️ especially on Boxing Day all cos of you Matukio .. the man 💯🌶️🌶️🇬🇧🇬🇧
Najaribu tu kuwaza, naona n km imekuw fashion kila wasifu (hasa wadada) utaskia " nina hofu ya mungu au ninataka mtu mwny hofu ya mungu", hv n nini maana ya hofu ya mungu? N matendo gan yana justify hofu ya mungu? N matukio gan yanahitaj hofu ya mungu? Personally and generally. As i refer to Aaliyah's reply "nna hofu ya mungu"
Tunakudai podcast kaka. Sio kila mara ni convenient kuangalia hapa youtube..
Uyu bro n ktabu tosha sema sasa watu km hawapend kuwa karb na mtu mmoja mmoja anahc n bad usage ya knowledge yake, anapenda kuwe na kadamnas kubwa ndo anaenjoi kutoa darasa😅😅
U know nyiiiingiii😂😂
Uzungu tuh
Wrong combo, kidjo alistahili mate mwingine smart zaidi aka kadada ni kumumunya ulimi na kukunja nne yake yamchongo tu ndo kanajua
Aaliyah looks delicious and nutritious!😁
😂😂😂 Eti red indians wanaitwa native americans
Yes indeed, when Christopher Columbus stumbled on America thinking he just reached india as his goal was, he saw people there but they were not typical indians as he expected so he called them RED INDIANS, the native Americans.
Yupo sawa.. go and research better
@ I know what I said they are called Native Americans.. and these are the real Americans 🤷🏾♂️
@@_ema_-yr7vmso laughing emojis were for????
Funny fact...majina ya states za marekani asilimia50 yamepewa majina yenye asili yao kama DAKOTA,MISSISIPI,ARIZONA,CHEROKEE,CHEYENNE Also tribal names
#mefirst