"RANGE ZINAZOINGIA TZ KUTOKA 'SAUZI' 90% NI ZA WIZI" - KIJANA ANAYEISHI UINGEREZA AFUNGUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • "RANGE ZINAZOINGIA TZ KUTOKA 'SAUZI' 90% NI ZA WIZI" - KIJANA ANAYEISHI UINGEREZA AFUNGUKA
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 126

  • @mkomatembo
    @mkomatembo Год назад

    Hata Uingereza zipo Za wizi. Si zote za South ni za wizi. Zimelipiwa Ushuru halali na Export Papers Halali acha kutupakazia Watu tulio South Africa na tunaishi kihalali.

  • @benjagabril9994
    @benjagabril9994 Год назад +7

    Uyu niga ana jipya chuma kutoka south Africa ni unyamah sana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Год назад +1

    Nimepata Elim, uwenda na mimi Allah akanijalia nikapata gar yangu.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Год назад +2

    😂😂😂😂😂okay,wapi range zetu😂😂😂

  • @archbordygodfrey2614
    @archbordygodfrey2614 Год назад +7

    Kweli kabisa,kwanza ukiona gari yoyote ya kifahari yenye namba za usajili za SA,asilimia kubwa unakuta ni watakatishaji fedha ,wezi wa mitandao na gari limeibwa huko na huwa wanakuwaga wasouth au wanigeria wanaoishi ktk hotel za kifahari mara nyingi Arusha au Dar, lakini ni utakatishaji tu wa fedha hawana cash ni CRedit card tu wanatumia mahotelini lakini zote ni fedha za deal.

  • @fredymantago3162
    @fredymantago3162 Год назад +3

    thanks boka my discovery from VERITABLE is very comfort bro hope to take next Range from You soon bro.......Big up bro

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty Год назад +17

    Range ya Harmonize na Esma ni zawizi kutoka South Africa...😂😂😂

  • @BressingsmakumbaBregaboy
    @BressingsmakumbaBregaboy Год назад

    Asante Wasafi saiv tuna download post ❤

  • @sajojonas
    @sajojonas Год назад +9

    Watanzania ni binadamu waliojaa wivu sana. Mambo ya mange iphone 13 za Tanzania feki. WATU WEUSI WANA WIVU SANA

  • @josephguerino7416
    @josephguerino7416 Год назад +27

    Umeongea vitu vya msingi lkn mwishoni umeharibu kwa uongo wako... Gari haivunjwi kioo, inafunguliwa mlango wa nguma na dereva anatoka

    • @deogratias4025
      @deogratias4025 Год назад +3

      Wewe ndio unadanganya,na kama gari inaboneti haina mlango wa nyuma dereva anatokea wapi kwenye kontena?
      Kuvuja kioo ili dereva atoke ni kweli inatokea, kama magari yenye boneti mapana yalichokua nafasi kubwa yamepakiwa kwenye kontena.

    • @DUL69
      @DUL69 Год назад

      Aisifuye MVUA IMEMNYEA. Hivi wewe Binafsi ulifanikiwaje katika Issue kama hizo? 🙏🙏🙏

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 Год назад

      Kwani ni gari zote zina milango ya nyuma.?

    • @mcharoimanuel3623
      @mcharoimanuel3623 Год назад +1

      Kwani kioo hakiwezi kutolewa bila kuvunjwa.

    • @chuseboy
      @chuseboy Год назад

      Uwe unaskiliza vizur au wakat namalizia maneno ya Mwisho ulikua Ushavuta bangi mbona kasema wakat mwingine mtu kupitia nyuma Sasa ulijua nyuma kwako nn😂😂😂

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 Год назад

    Dareva anaweza kutoka mlango wa nyuma unaofunguka kwa juu au upande mmoja au miwili ila nyuma baada ya apo unafunga na kutoka baadae wanafunga kontina

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 Год назад +1

    Anaongea point

  • @richardrobert9492
    @richardrobert9492 Год назад +1

    sio 90% gari za south ni za wizi huo ni uongo mbona wengi tu wananunua

  • @yunus-or3ny
    @yunus-or3ny Год назад

    Yeye ndio mwizi mwenyewe

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 Год назад +15

    Tanzania nchi yangu mtihani mkubwaa, hao viongozi wenyewe wanapola pesa za miladi na za wananchi wakati barabara mbovu

  • @georgewambura7695
    @georgewambura7695 Год назад

    Katokea nyuma bana

  • @mambotv1233
    @mambotv1233 Год назад

    Hongera sana broo kwa elimu nzuri

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 Год назад

    Jamaa anajua nimeskiliza

  • @elymollel
    @elymollel Год назад +1

    Ebana wa-K 🇸🇸wanawivu kinoma😀😀

  • @mikestuner9206
    @mikestuner9206 Год назад

    Mbona kaongea ukweli jaman ndugu watanzania amesema wakati mwingine wanapasua hata kioo au wanatokea kwa juu (sunroof) pia kasema au wanatokea kwa nyuma sasa uongo wake ni upi

  • @bonifacewanyonyi3555
    @bonifacewanyonyi3555 Год назад +1

    Mwisho umesema uongo😂😂😂

  • @AMBINHED
    @AMBINHED Год назад

    Huyu nae sasa mbaka uvunje kioo cha Gari si anafunguwa kioo tu . Huyu muongo na anawaonea wivu Sauz. Uingereza magari mengi Pia ya michongo na wana claim insurance. Uwizi upo kote tu

  • @yurikashorov3210
    @yurikashorov3210 Год назад

    Huyubwana ni mfanya biashara wa magari lakini hayajui magari.
    Kuna magari mabovu tu hata yawe mapya na moja kati ya magari hayo ni Landrover Ranger rover haya magari reliability ni mbovu.
    Gari kuwa na kilomita lakimbili sio sababu ya gari kukuharibikia inategemeana na maintenance na gari reliable kama Toyota ziko gari na kilometa lakitano na ziko sawa na tunanunua malori yakiwa na kilimeta mpaka millioni na yanaishi tu. Magari ya wizi south yalikuepo na yalikamatwa kwenye msako lakini si kweli kwamba 90% ni ya wizi ila huwa bei rahisi kwani watuwengi hu upgrade magari yearly na kibali hakiruhusu mtu kutembelea chasis number bali kutembelea usajili wa nchi husika. Inaonekana kalipa ili kujitangaza lakini script mbovu

  • @anthonikabuye6819
    @anthonikabuye6819 Год назад

    Sijui sana kuhusu hv vtu ila inawezekana huyu jamaa anajipalilia biashara yake

  • @sharifaramadhan6515
    @sharifaramadhan6515 Год назад +3

    South Africa kumiliki Gari Ni Jambo la kawaida sana.sio Kama Tanzania magari mazuri mnataka waendeshe Tu wakubwa.tafuta pesa.ukiwa Na Pesa hata ndege unamilikiii😝😝😝😝😝

  • @bahatimahone4922
    @bahatimahone4922 Год назад +1

    Jamaa katudanganya aise khaa gari inapoingizwa kwenye contena wakati inaingia dereva anaingia kwa mlango wakawaida wakati wa kutoka anatokea nyuma ya gari pia kumbuka siyo kila gari inaingizwa kwenye contena

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 Год назад

    Jamaa ongo sana hilo hata hapa South Africa zipo zinazoibiwa ulaya zinaletwa South na zinauzwa hapa South Africa Dunia kijiji acha roho mbaya

    • @allynguba2579
      @allynguba2579 Год назад

      Shoga uyo anafikili atujui kama wa Italy wanaiba uk hapo wanauza afrika wezi wa magari ulaya nzima ni wa itAly

  • @rajabusuleman5111
    @rajabusuleman5111 Год назад +2

    😂😅kupasua kioo umebugi😢
    Bora ungesema wanaptia juu kwenye roof ya gari au nyuma ya gari kwenye boot baada yakulaza viti😂

    • @baltazarmushy1373
      @baltazarmushy1373 Год назад

      Kwa saloon/sedan car utapasua kioo tu hamna namna na kasema vile based on experience,lkn SUV unatokea mlango wa nyuma izo hazina shida

  • @mamsamohamedy9032
    @mamsamohamedy9032 Год назад

    Yaani nyie wa Tz mna roho mbaya na chuki mbona huku Mozambique magari yako mengi tu ya wizi but kila mtu anajali maisha yake, huo ni ushamba na roho mbaya

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 Год назад +1

    NDio zilee za mmakonde kuhonga mbili zilikuwa za mchongo

  • @simba2x
    @simba2x Год назад

    Watanzania kweli wachawi duuuh

  • @francolazaro8646
    @francolazaro8646 Год назад +1

    Sas upsue kioo badala ufungue hyo kioo uweke ndan.. Ety unapsua kioo afu unanunua ingne unaweka ndan ya gar kwel hyo ni akil 😂😂

  • @alexwatae3165
    @alexwatae3165 Год назад

    Pa kutokea ni mlango wa nyuma hakuna pengine

  • @amirabdallah6984
    @amirabdallah6984 Год назад

    Uyu amna anachojua

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 Год назад

    Hume ongeya vyema hila mwisho hume haribu south africa huwezi kuiba kari kubwa kama hizo hikose kushikwa hacha kuongopeya watu😅😅😅😅

  • @wilsonmsenga6447
    @wilsonmsenga6447 Год назад +1

    Huyu ni boya tu, apigie upatu gari ambazo analeta. Siyo aharibu biashara ya watu.

  • @collinsstanley6126
    @collinsstanley6126 Год назад

    Kazi ya remote ya gar ni nin siunabonyeza buti inafunguka unapitia apo nyuma huyu jamaa muongo 🥲🥲upasue kioo tena 🤔😂

  • @RamadhaniAbeid-nf7te
    @RamadhaniAbeid-nf7te Год назад

    Muongo uyoo sisi tunaishi huku gari c za uwizi Bali ni gari ambazo zmepata ajali huku tunaita za kukata aache kualbu biashara za watu uyooo anavutia kwake uyoooo mshamba

  • @LionofAfricantourismLOAT
    @LionofAfricantourismLOAT Год назад

    Wanajaribu kumtangazia biashara ni vile hamjagundua tu

  • @emmanuelmwaka6070
    @emmanuelmwaka6070 Год назад

    Kupasua kioo sio kweli,hapo anatokea kwenye buti

  • @fredymkanza
    @fredymkanza Год назад

    Huyu ni muongo ....Wasafi mnatuletea watu wa ajabu.
    Tuitie Chris Lukosi ndie anayeelewa magari ya Muingereza huyo hajui chochote ukiona mtu amevaa suti jua anaishi kwa Kalamu. Chris Lukosi global link mpango mzima
    Tafuteni hela Range sio gari ya Matajiri😂😂😂

  • @NGUFUSALOMI
    @NGUFUSALOMI Год назад

    TUNATOKA KWENYE MLANGO WA BOOT YA GARI HASA HIZI ZENYE MLANGO NYUMA

  • @emildamas7685
    @emildamas7685 Год назад

    Wanafunguaga milango ya nyuma bana so kupasua kioo

  • @blaymusa9692
    @blaymusa9692 Год назад

    Mmhh jamaa linaongopa'ongopa tu hli🙂

  • @eatlawe
    @eatlawe Год назад

    SErikali kupitia TRA wanajua? Magari yanayoingia kama ya IT na kugeuzwa nchini wanayajua?

  • @sharifaramadhan6515
    @sharifaramadhan6515 Год назад

    Sio kila range rover inayonunuliwa south Africa Ni ya wizi.nakataa tatizo wabongo wengi wanaona range rover ndio Gari latest.wakati south Africa Ni Gari la kawaida sana

    • @collinsstanley6126
      @collinsstanley6126 Год назад

      Hajasema zote na wew kasem nyingi zake 😅😅ulinunua la wizi nin😁😂

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Год назад +1

    Namimi kununua gar kwa mtu aaaaaah
    Stosubutu hata siku moja

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani Год назад

    zikiwa nyingi kuna tatizo gani

  • @rajabmohammed234
    @rajabmohammed234 Год назад

    Unavutia kwako kk,Interpol wana kaz gan?Gar itoke South mpk Tz hapo kati inapaa ama vp n Interpol border zote wamelala?

    • @babazungu3180
      @babazungu3180 Год назад

      Ni hela tu braz ktk hiz nchii,Botswana tu ndiyo mziki

  • @EagleCrown-pb9qv
    @EagleCrown-pb9qv Год назад

    Sasa hapo si dreva anatokea mlango wa nyuma wa buti Au nyie wenye range mtueleze huko ndani Kuna uzio huwezi kutokea kwenye mlango wa Buti?

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 Год назад

    Gali ikiwa na funguo ya remote hyo remote yako itafungua milango yote so ilunaeza ukiwa nje ukatumia remote kufungua hyo milango ukainhilia mlango huo wa nyuma

  • @barakammari2044
    @barakammari2044 Год назад

    Upasue kioo cha nini wakati gari inabuti

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 Год назад +1

    Kwaiyo uyu ndo anajua kila kitu apa duniani ??

  • @jacksontumaini489
    @jacksontumaini489 Год назад

    Nafikiri ungesema kioo kinatolewa, kuliko kuvunjwa yaan jibu jepesi umetoa

  • @givembwilo141
    @givembwilo141 Год назад

    Hapo anatokea kwenye buti

  • @helpers10
    @helpers10 Год назад +1

    Kwanini upasue Kipo wakati Kioo kinashuka na kupanda. Na kama ni coup inakua na mlango wa nyuma! Think!

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 Год назад

    NI KWELI NI GARI ZA WIZI

  • @emildamas7685
    @emildamas7685 Год назад

    Kwenye kupasua kioo ni uongo

  • @husseinallysuleiman4657
    @husseinallysuleiman4657 Год назад +1

    Buti yanyuma inaonekana alafu mtu anauliza katokaje ndani

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 Год назад +1

    Kwa akili yangu ndogo tu gari inafungwa kifaa kinachoweza kuteleza ktk matairi harafu unaisukuma kwenda ndani au unaweza kuivuta..au kifaa chenye matair kinabeba kuingia ndani ambacho kipo kama jec

  • @talikikambi7800
    @talikikambi7800 Год назад

    Ni uongo gari ndogo kwenye kontena mlango unafunguka na mtu anatoka akivunjwi kioo wala nini

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 Год назад +1

    Anajua gari za south ziko vizuri kuliko za kiingeleza sasa anawasomesha lkn ajue dunia kijiji watu wanamuangalia sasa asije jichanganya sana akawa anatia story nyingi

  • @ramboiddrambo3056
    @ramboiddrambo3056 Год назад

    me naisi itakua deleva anaingilia kwenye buti

  • @TimbiloSaid-qc5bs
    @TimbiloSaid-qc5bs Год назад +1

    Mnafk mkubwa uyo gari ukiingiza ktk contena unatokea kwenye buti Kisha unalock kwa funguo au kwa rimot sio kuvunja kioo kaonesha yeye hajui kitu pia katumwa kuchafua gari za Africa

    • @mulijanja4483
      @mulijanja4483 Год назад

      Kuna gar azina boot ya moja kwa moja hadi nyuma

  • @255kessy5
    @255kessy5 Год назад +8

    Hivi wa bongo sijui Nani katuroga Kama mtu kafanya alichofanya na kupata alichopata akijanacho hapa nchini wewe unaumia na Nini wakati hajamzulumu hapa Tanzania tulitakiwa hivi Sasa tutumie hata mafuta ya wizi ili huku kwetu Bei owe ndogo

  • @maase2023
    @maase2023 Год назад +1

    Wivu tu kwa kuwa Huna range rover wala si za wizi

    • @mwitamahende4394
      @mwitamahende4394 Год назад

      Kwa hili la kuvunja kioo kachemka, mlango wa nyuma upo na remote ipo au nayo inakuwa ya wizi?

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Год назад

    Ametokea kwenye buti

  • @wanunegervinho4231
    @wanunegervinho4231 Год назад

    Huwa wanatokea kwa nyuma

  • @joelthomas-mx6gm
    @joelthomas-mx6gm Год назад

    😅😅😅 NIMECHEKA KISENGE.
    sikiliza wewe acha kupotosha watu usidhan uingereza na biashar ya Magari unafny peke,ko' kwa afrika kusini kwanini Magari ni bei rahisi cha kwanza lazima utambue hapa south ambapo mm naishi kwa sas ni kwamba huku Kodi ya gari sio kubwa kama unavyodhani. na watumishi wa huku wanapewa nafasi ya kumiliki Magari kwa mkataba wa makato ya ujira kidogo kidogo. na wengiwao ambao wanauelewa uchukua Magari na badae kuyauza. Chapili kwanini range Rover ya south bei ipochini tofaut na uingereza sbb huku ni sub,Africa sio Europe kuna baadhi ya vtu vitatofautiana na za huku zinatengenezwa kukidhi na kukubaliana na mazingira ya Africa.
    Na kuhusu ukaguzi ukaguzi huku upo Kila mahari. Swali la kujiulz kwnn kuna Magari ya wizi ni kwamba afrikakusini makundi ya kiharifu ni mengi na yanajulikana kbs ambapo hata ww MUANDISHI wa HABARI ukitaka gari ya aina fln ukazama pale SOWETO 5T ni kwerekweche unawapa muda wajuba wanakuletea gari. Na kuhs vibali cjui nn namba ya afrika kusini kwa jangwa la Sahara ndio namba yenye uzito ambao unaweza kuitumia nchi yoyote kwa kulipia malipo eidha ya Kila mwez au miezi mitatu. USITUPANGESANA UKAONA WOTE NI MAANDAZI. ATUJUI KITU.
    -
    TUKIENDA ULAYA kwanini Magari mengi ya ulaya ayafanyiwi ukaguzi sio kweli. Gari la ulaya kabra ya kuwasilisha MAOMBI ya kusafirishwa ufanyiwa ukaguzi na kampuni ya ukaguzi husika na bdae taarifa upewa mteja. TATIZO ni wabongo wachache ambao wanaweza kukataa kusema gari mbovu sichukui. UNAPEWA TAKATAKA ZA ULAYA. nandomana unakuta Magari ya Japan gharama inakuwa kubwa kutokana na sheria za wenzetu wa Japan ni tofaut na ulaya wao wanatoa takataka ulaya na kuhamishia afrika. Na japan wanapunguza uharibifu wa hali ya hewa.
    NA ukubari ukatae Magari madogo mengi yanayotoka ulaya haswa haya ya starehe asilimia 70 uaga ni Yale ambayo yamepata ajari yakafanyiwa marekebisho.
    SASA NINUNUE RANGE YA ULAYA iliorekebishwa AIRBAG kisa imetoka uingereza na bei juu.
    Au NINUNUE RANGE YA kisouth inayoshabiana na mazingira ya kiafrika na ikosawa shughur ni kubadir VIBALI VYA UMILIKI. 😂😂😂😂😂😂.
    -
    KUHUSU MTU ANATOKAJE KWENYE GARI AMBAYO IPO KWENYE KONTENNA kaka umepuyanga sana wew upo ulaya ya Sunderland nn 😅😅😅😅😅.
    Unavunja kioo nani kasema nn maana ya remote nn maana ya kioo cha nyuma cha dhalura. Nn maana ya mlango wa nyuma 😅😅

  • @KATOPE1
    @KATOPE1 Год назад

    Mengi ni salvage

  • @memesandmovi3s407
    @memesandmovi3s407 Год назад

    Sasa kwenye kontena ndo muoneshe ya diamond

  • @mrmhenipm
    @mrmhenipm Год назад +1

    Anatokea mlango wa nyuma

  • @gabrwills6955
    @gabrwills6955 Год назад

    mbona kama nimejiskia jina langu nikireport gabrwills

  • @jiweg-unit5408
    @jiweg-unit5408 Год назад

    Njoo na wewe South Africa uibe😂😂😂😂 kama hujavunjwa fuvu kama AKA😂😂😂

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 Год назад +3

    Swali la kijinga unashindwa kujua mtu katokaje basi hta maisha hutatoka daimaa

  • @kartelgizemc1590
    @kartelgizemc1590 Год назад

    Haitihusu pambana kwa hali yako

  • @barakabaliza639
    @barakabaliza639 Год назад

    Mambo ya magali tuwaachie viongozi

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Год назад

    aacahe ujinga wake kama yeye anafanya biashara afanye aache kuaribu biashara za wenzie sio wote niwezi

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Год назад

      Hao ndio wabongo analofanya yeye ndio halali ila wenzie wezi, anasahau yeye anunua gari huko milioni Kumi ye anauza milioni sabini hilo hasemi kama wanawapiga watu ngoja na sisi tukawasanue wazungu

    • @phinaswai4718
      @phinaswai4718 Год назад

      Sasa unaambiwa ukweli unabishana nao, Bongo nyoso😂

  • @norahazan796
    @norahazan796 Год назад

    Tatizo watanzania mkieleweshwa mnamuona mtu mbaya ebooo

  • @fredykaitani595
    @fredykaitani595 Год назад

    Awo wanatokea kwenye buti mbona nyie akili yenu ndogo.

  • @christophermboya7676
    @christophermboya7676 Год назад

    Nani amekulalamikia kaibiwa gari?
    Acha majungu dogo

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 Год назад

    Wabong tunamaish magumu 😏😏

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 Год назад

    Afadhali umetujulisha mengi mana sisi watz wabishi 😂😂😂

  • @jasiri25
    @jasiri25 Год назад

    Boka fighter

  • @valentinetesha8536
    @valentinetesha8536 Год назад

    hawa viongozi wetu huwa wana agiza magari ya ma bilioni huku barabara ni MBOVU

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 Год назад +4

    Mbali na maelezo mazuri na ushauri wa kucheki historia ya magari kabla ya kununua kama ni la uwizi au laah...hakuna hata mtu aliyesema asante na kumpongeza humu...ila sababu hajasema unatokea kwa kupitia mlango wa nyuma au buti...basi watu wanamzodoa,wabongo kenge sana 😂😂😂

    • @cuvise
      @cuvise Год назад

      Kabisa aisee

  • @novaprince9549
    @novaprince9549 Год назад +3

    Siunaweza kipitia kwenye butt

  • @jeremiahmwanyanje5012
    @jeremiahmwanyanje5012 Год назад +1

    uyo muongo sana sisi tunaingiza gari kila siku kutoka dizonga na sio za uwizi labda yy ndio analeta magari ya uwizi

  • @Faridkhalid-z3p
    @Faridkhalid-z3p Год назад

    Watu wapumbavu kabisa si mtu ametokea kwenye buti hapo au?

  • @Team-t6k
    @Team-t6k Год назад

    Soko langari nilimoja tu Japan wengi wanababaisha tu

  • @hamynas
    @hamynas Год назад

    nyie wasafi mnakua madalali wa kuwatangaza madalali wa magari
    jinga kabisa

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Год назад

    Wewe kuma atakama gari jipya linaalibika tu kenge wewe

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 Год назад

    Tunatokea butumi wewe acha hizo

  • @mcback4384
    @mcback4384 Год назад

    Swali la kijinga kweli, sasa kuna gari isio na mlango wa boot? Kama haina huwa inaingizwa kwa forklift

  • @Richardpaul01
    @Richardpaul01 Год назад

    Wanapita kweny boot bhn acha uongo hawapasui kioo

  • @mxolidymsaky7123
    @mxolidymsaky7123 Год назад

    It's business shut Yu mouth and find money 😂