Azam tv hongereni sana kwa ubunifu huu yaani hiki ndio kipindi bora cha michezo yaani ingekuwa vyema angalau ingekuwa hata mara mbili kwa wiki Asanteni kwa kipindi kizuri hakika tubaburudika 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 chukueni maua yenu ❤❤❤❤❤❤❤
Ubaya ubwela,kwani kikombe hicho cha ngao ya jamii kipo wapi!? sehemu kilipo ndiyo kimefika tarehe 8,tutaenda tu kufuta vumbi, wengine watafagia nje🤗funguo ipo ubaya ubwela ❤️
Mimi nilikuwa naheshimu Miraji kama mchambuzi mzuri wa ball,kumbe ni mnafiki kweli,!!!eti Diarra ana miaka Arobaine,!!!nimekutoa kwa wachambuzi ,mchambuzi mzuri huwa neutral na kuongea ukweli
Ndiwo unafiki Sasa.... mchambuzi mzuri kila wakati unakuwa neutral,unaangazia mpira kiukweli lakini yeye ni shabiki mnafiki na kwa kuichambua team hawezi
Azam tv hongereni sana kwa ubunifu huu yaani hiki ndio kipindi bora cha michezo yaani ingekuwa vyema angalau ingekuwa hata mara mbili kwa wiki
Asanteni kwa kipindi kizuri hakika tubaburudika 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 chukueni maua yenu ❤❤❤❤❤❤❤
😊😊😊
Wakwanza mie naomba like zenu kipindi kzr sana hz kwl nongwa😂😂😂
Hizo likes huwa zinawasaidia nn ??
Ila god 🙌 points sana 🎉🎉
Sema miraji unajisaulisha ushawai kusema simba akimfunga yanga labda bonus
Twila Guy Berlin Ujerumani. Kazi nzuri
Mashabiki wa yanga hawajiele wi hasa huyu good
Heri wewe uliejaaliwa uelewa
Ubaya ubwela,kwani kikombe hicho cha ngao ya jamii kipo wapi!? sehemu kilipo ndiyo kimefika tarehe 8,tutaenda tu kufuta vumbi, wengine watafagia nje🤗funguo ipo ubaya ubwela ❤️
Pole dodi😂😂😂,maana siyo Kwa mikofi hiyo ya miraji!😅😅😅😅
GOOD katk watu hawajui mpira kabsa anajua kubisha tu
Dodi akili mingi sana kwa hiki kipindi kuelekea Ngao ya jamii.Bonge la show ni me enjoy sana
Vzr🎉🎉🎉
Nongwa zaleo tamu sana tunaburudika apa 🇺🇸 usa
Nipo USA 🇺🇸 nasikiliza
Vizur saaana
Karb sana
@@immandaru9861 sante
Hiki kipindi ni zaudi ya filamu🎉🎉
Miraji umewaliza watu ❤❤❤❤❤
miraji safiii sana wewe mtuuuuuuu....!
Miraji 🎉🎉🎉🎉🎉
Hichi kipindi kizuri sana🎉🎉😂😂😂
Uyu ustaz anaongea pumba sana yaani alafu kavaa kanzu
Amekaa shari shari tu
Mtafungwa vibaya sana wewe miraji ujue iyo timu bado sana amna timu pale
simba wapo bola kwa majina siyo kwenye uwanja
Nimeamini kabisa nimizengweeeeee😂😂😂😂😂😂
Mizengwe na majungu😂😂😂😂
Mimi nilikuwa naheshimu Miraji kama mchambuzi mzuri wa ball,kumbe ni mnafiki kweli,!!!eti Diarra ana miaka Arobaine,!!!nimekutoa kwa wachambuzi ,mchambuzi mzuri huwa neutral na kuongea ukweli
Ndo huelewi ..umeshaambiwa nongwa ...chukua yanayokufaa mengne tuachie .....😂😂😂😂
We acha ujinga miraji syo mchambuzi zile ni stori za soka yule anajulikana ni shabiki wa wekundu wa msimbazi siyo Nye malalamiko FC chura nyie 🐸🐸🐸
Apo ni matani tu mkuu usiwe serious sanaa
Yani umefanya vizuri kutuletea god ... last time hakua iliboesha sana
Hii kweli nongwa!
Sanda tarehe 8 kisasi mashabiki wa sanda FC wajiandae .,..
Big up God
MZEE MAGOMA ZEE LA KATIBA MAGOMA OYEEEEEE 😂😂😂😂😂😂😂
Yani mashabiki wayanga wanajua kubishana tu lakn point hawana😅
Miraji hapo ndio mzee said anawazidi maana mnaongea kishabiki ww masatu na kisugu
23:22 Gody umenipa back vocal ya obaten hapo😂😂😂
Nawashauli Simba kamainawezakana wasiletetimu uwanjani kunampasuko utawkuta kwa sababu kunakipigo kikubwa.
By Suma TX USA 🇺🇸 moja
Miraji haitoki kwenye asili pamoja na kileta ushabiki Bado umeongelea mpira
Hakuna mpira ameongea,kwanza aongea uongo tupu,Diara ana miaka 40!!!
Azam kala 4 uko
Raha sana😂😂😂
Miraji hunaakili kwa kikosi gani chakumfunga wydady jana Azam na kikosi chake wamepigwa 4 yanı Miraji jiandae kulia
Good yanga anakihelehele
Huyo Miraji mbona haongei bila kupigapiga wenzake
Nimekuj kwajili ya miraji mara moja
kisugu niache kwanza😂😂😂
Milaji mtu wa Maan kabisa
Miraji atamvunja bega DODI ahahah maana CHAGAMBA lake lishavia sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii stesheni iko wap jaman😂😂
Miraji akiwa na chagamba anatoa madini ila akiwa na hawa akina azam akili inafanana na hao majamaa
Ni kweli aiseee..😂
😢😢 MIRAJI WACHA KUWASAGIA SIMBA WEZAKO WEWE😂😂😂
Mzee said ayup
Kipala cha urithi manaake nini😂😂😂
Miraji miraji miraji nakuita mara 3 kitakuramba😂😂😂
Sahv tukubaliane kichapo
Kipindi cha majungu😂😂😂
Dood yanga kwel
tatizo mashabiki wote wa simba ni wazalamu kuongea atuwawezi ila uwanjani akuna kitu waache waonge tutawaona kwanza taree 3 yao
KISUGU ANA UHAKIKA YA MANULA YUPO MISRI ALIESEMA ANAFIKIRI YUPO MISRI SIO KISUGU NI MTU MWINGINE SIO KISUGU MATOPOLO MACHOGO FC WEHU NYIE 😂😂😂😂😂😂
MATOPOLO WANATETEYA MADUKA YAO 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata makolo pia
Mpira sio mdomon eeeeee
Urefu wa mtu ndio umri mkubwa mbona hawa yanga hawana akili?
Doddy,kipindi mbona kifupi?!
Xavi mtupu
Tarehe 8 itaongea😂😂
Sasa ww utoporo mbona munamakerere wanabisha tu wala awana msmamo
Hahaha 😂😂😂 kipindi kitamu hiki
Dodi atakuvunja bega huyu miraji😂😂😂
😂😂😂miraji jamn mbn kijiweni uongei kama tunavyokujua hii kisugu kakuaribu
MALAYA WAKITOKA EDA KELELE DUNIA NZIMA HALAFU EDA YENYEWE BASI MIAKA 26 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
Kwel ni majungu
Miraji akiwa stesheni hua anatoka kwenye umakini wa kuongea point lkn akiwa nje yahapo hua ana madini
Ndiwo unafiki Sasa.... mchambuzi mzuri kila wakati unakuwa neutral,unaangazia mpira kiukweli lakini yeye ni shabiki mnafiki na kwa kuichambua team hawezi
Watu wa yanga wakiongea wasimba wanatulia ilasimba wakiongea sasa watuwa yanga makelele meeengii
Nina wasiwasi kisugu kamuambukiza miraji uongo na kuropoka
United stres ila kisugu kweli wewe ni kioo Cha simba
MIRAJI MARA MOJA🤣
Mnafiki,navile nilikuwa na mheshimu kuwa mchambuzi wa ukweli...!!eti Diarra ana miaka arobaine...!!
@@MartinWekesa-c2xwee nawe unauchukulia vitu siriaz
@@MartinWekesa-c2x KIPINDI CHA nongwa hicho usichukulie sana seriously mzee
Makolo jililieni kabla!
KISUGU KASEMA ANAE PINGA AWEKE MILIONI KUMBE MATOPOLO HAMNA MILIONI MMEBAKI KUGEUZA MANENO 😂😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO 😂😂😂
Miraji hovyo namna hii!