DUDUBAYA:AMTUSI LUKAMBA WA DIAMOND/ANA MWILI WA KIKE/AMETUMWA/KUPIGA NGUMI/MCHEZO MCHAFU/WANANIBANIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 июн 2020
  • KONKI Master Dudu baya amezungumza na kusema kuwa Lukamba ametumika kuharibu brand yangu.
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 124

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 года назад +16

    Dudubaya aka konki konki konki master 😘😘😘 leo ni ukweli tu 😍😍😍

  • @aceotz2579
    @aceotz2579 4 года назад +18

    NAWAPENDA watazamaji wenzangu😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙

  • @janetkemush3784
    @janetkemush3784 4 года назад +4

    Akicheka kweli ananifurahisha💖💖💖💖 much love dudu mbaya

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 года назад +10

    KONKI Kama KONKI you're the Voices of Voiceless preach it loud😁😁😁😁

  • @africantv172
    @africantv172 4 года назад +42

    Huyo jamaa bangi zake nzuri kinoma akivuta huwa anaongea ukweli 😂😂😂😂

  • @janetkemush3784
    @janetkemush3784 4 года назад +1

    I just love you dudu mzuri kwa ukweli unaosema🙏🙏💪💪💪💪

  • @chawalive
    @chawalive 4 года назад +27

    Press yakee inautofauti na zaakina diamond hii ni ya kibabee

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 4 года назад +5

    Nakubali kaka

  • @nyokskinyah8246
    @nyokskinyah8246 3 года назад

    Mimi mkenya na fun mkubwa wa konki master saaaana i luv his courage

  • @alimussa2655
    @alimussa2655 4 года назад +19

    Oya mnanielewa walimwengu 😂😂😂

  • @chawalive
    @chawalive 4 года назад +5

    Duduuuuu nakubaliii mwananguu

  • @bahatijohn4877
    @bahatijohn4877 4 года назад +9

    Ujawah Kaka nakumbuka ulinisalimia vizuri pale global Tv

  • @hemedharouna4013
    @hemedharouna4013 4 года назад +18

    Huyu jamAA some time huwa anaongea fact

    • @shijacs23
      @shijacs23 4 года назад +3

      Sio sometimes, always!!!

  • @shijacs23
    @shijacs23 4 года назад +12

    Tema cheche Konki!!!

  • @aminajuma8098
    @aminajuma8098 4 года назад +7

    My bro from another mother 💪

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 4 года назад +2

    Dudu baba dudu Zuri konki anacheeekaaa nakukubali unaongea kwa kujiamini

  • @neyhb1586
    @neyhb1586 2 года назад

    dudu baya Moto sana

  • @manenojames2011
    @manenojames2011 4 года назад

    Nakukubali kaka

  • @salimumassawe7587
    @salimumassawe7587 4 года назад +1

    King Kong kama king Kong big up mwamba

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 4 года назад +5

    Uwiiiiiiii uwiiiiiiiii

  • @middleplatnumz3629
    @middleplatnumz3629 4 года назад

    Sema mzeeeee

  • @donaldtadeodontado9991
    @donaldtadeodontado9991 4 года назад

    Duuuuuu home boy kabisaaaa daaaaaa masanza Kona to kisesa.wabeja Sana nyanda dudu miningaaaa geteee ...bonyanya

  • @johndieme6402
    @johndieme6402 4 года назад +1

    Mbona Lukambahanashida mwiriwakikeunamufanyanini dudu ukomuchokozisana usiwenataja mungu nakuchambawatu

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 4 года назад

    Una fell sasa,so so#zinazidi

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 года назад +8

    Konkiiiiiiii kumekucha eti bongo la ngoma 😂😂😂

  • @yusraikram2214
    @yusraikram2214 4 года назад

    Dudu sio mzima

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 4 года назад +13

    LUKAMBA SAWA NA LOKOLE TU

  • @africakwetu3936
    @africakwetu3936 4 года назад +5

    Bila shaka kuna kitu kwenye tasinia ya mziki wa bongo

  • @filvobrowbrown6238
    @filvobrowbrown6238 4 года назад +8

    the true is forever

  • @sixfingerthedon4907
    @sixfingerthedon4907 4 года назад

    konk! nimekuelewa snaa

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 года назад

    Hahaha safiiii tumbua baba

  • @theworldproof1221
    @theworldproof1221 4 года назад

    Mm namshauri huyu bro Aingie kwenye siasa itapendeza mnoo Ana ushawishi mkubwa wa kusikilizwa

  • @castobenjamin4074
    @castobenjamin4074 Год назад

    ✊✊✊

  • @easyboygamingtz2109
    @easyboygamingtz2109 4 года назад +1

    Qonqi #master_oil chafu

  • @happylusinde9215
    @happylusinde9215 4 года назад +2

    Mmh

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 4 года назад +1

    kockiiiiiiii dar kumamaye wallah mzeee yani ulishaga piga saana viroba mpka hakili zipo sawasawa kaka me binafsi nakuelewa saana mkuu kweli ww nimwanahalakati wakweli naomba zidi kupambana mkuu nahao mamama

    • @georgemashauri4657
      @georgemashauri4657 4 года назад

      Dudu baya nakukubali sana ila hapo ulipo nikama uko kwenye jiko la mikate naona unateseka na joto

  • @omaryally5555
    @omaryally5555 4 года назад +4

    Sio kumjua baba yako sema hivi kujua historia ya maisha ya baba yako hicho ndio kiswahili sahihi

  • @samsonmtoba3514
    @samsonmtoba3514 4 года назад +3

    Mwamba Sana Huyu Jamaa

  • @richwchrstofer1440
    @richwchrstofer1440 4 года назад +8

    Broo kwa Hilo mm nakubalianaa
    Na ww

  • @devaxtz
    @devaxtz 4 года назад +17

    Sema dudubaya unatusaidia wasanii wachanga kujua nn kilochopo huku kwa mastar wakubwa kumbe wanateseka kinomaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 huenda wanakula mihogo na pilipili na ndizi na miguu ya kuku,😂😂😂😂😂 kina country boy na kina wengineo wanna hastle kisenge 😂😂😂😂😂ruclips.net/video/ZZcHMkMSOSo/видео.html

    • @laurentdamasmumwi2251
      @laurentdamasmumwi2251 4 года назад +2

      Msanii mdogo nitumie nyimbo yako bac

    • @devaxtz
      @devaxtz 4 года назад

      @@laurentdamasmumwi2251 ruclips.net/video/ZZcHMkMSOSo/видео.html

    • @husbaroonlinetv8813
      @husbaroonlinetv8813 4 года назад +1

      Acha nikujuze msanii country boy ni msanii wakishua sana,sio msanii njaanjaa ujue katika familia ya hela yule chukua hyo km hujui

  • @humairyanumiary5994
    @humairyanumiary5994 3 года назад

    Wachane ukweli

  • @amiriallykarata4989
    @amiriallykarata4989 3 года назад

    Bang mbaya jaman

  • @linusrohomoja8856
    @linusrohomoja8856 4 года назад +1

    konk konk konk, unaongea ukweli sana broo, hata mandela alifungwa miaka ya kutosha lakini ameokoa wengi

  • @nyamarungujr7834
    @nyamarungujr7834 4 года назад +3

    “Na ananifata na mwambia kwenda zakoo😆😆”

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 3 года назад

    Hehehehe

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 года назад

    Ni kweli lukamba ankaa kikekike

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 года назад +1

    Dudu baya oyeeee

  • @killymgaya7375
    @killymgaya7375 4 года назад

    Umeishiwa pita hv konk3

  • @mamababa4661
    @mamababa4661 4 года назад +4

    Hili ni donda ngugu haliponi

  • @frankakuno.9511
    @frankakuno.9511 4 года назад +1

    Kayumba wa 2015

  • @MOJAZAIDI.
    @MOJAZAIDI. 4 года назад

    Kama mtoto kama Baba

  • @farhatfarhat3816
    @farhatfarhat3816 4 года назад +3

    Nakuelewa adi naumwa unatumbua majipu kama MH RAIS

  • @sharuclips6641
    @sharuclips6641 4 года назад +4

    Mbona vitu vinakatwa katwa

  • @DannySJ
    @DannySJ 4 года назад +1

    MNYONGEE MNYONGENIII LKN HAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII YAKEEE MPENIIII

  • @anorderastonyondo3726
    @anorderastonyondo3726 4 года назад

    Et unakuta wasanii unakuta wasanii wanagongeagongea vinywaji.....!!!!!😂😂

  • @ewaldantony8494
    @ewaldantony8494 4 года назад

    Duu

  • @anangisyeandalwisye1951
    @anangisyeandalwisye1951 3 года назад

    Huna maana aisee unajiita mpigania haki halafu upo ccm

  • @Wastara001
    @Wastara001 4 года назад

    Nachukia tabia ya kukatakata Interview

  • @hellenimmaculate5953
    @hellenimmaculate5953 4 года назад +2

    I trust milladayo, Wasafi media and bongo five. The rest are takataka shenzi😒

  • @abuukatana7956
    @abuukatana7956 4 года назад

    Kwani ww ni nani?

  • @allymawazo6370
    @allymawazo6370 4 года назад

    We kila mtu anatumika

  • @jumarwambo7420
    @jumarwambo7420 4 года назад

    Kwan dudu baya katoka wcb

  • @pierremlay8717
    @pierremlay8717 4 года назад

    Hizi media hazina cha kufanya kipindi hiki 🤣🤣🤣😭😭

  • @mgenirasimi7771
    @mgenirasimi7771 4 года назад

    Huyu jamaa babake alikua mbabe sana hakuna mfano na alikua na misimamo yake na kwao wote dudu wababe hatari ana mdogo ake anaitwa #Mweta nae mbishi kuzidi neno jenyewe ubishi mbabe hatari..

  • @majutosanaelias4307
    @majutosanaelias4307 2 года назад

    Aaaaaa. Kumbe amekuabukiza mtoto ake kugobana na watu

  • @johnmswachi1814
    @johnmswachi1814 4 года назад

    Ww dudubaya umeishiwa mziki kila siku kulalamika ww tu.

  • @njauxonstudio
    @njauxonstudio 4 года назад +3

    Kuelekea pambano langu na tinampay, tafadhal subscribe..ruclips.net/video/b9Vm4oa9ZQo/видео.html

  • @devaxtz
    @devaxtz 4 года назад +9

    Jaman jamn jamn Leo hii dudubaya kakusanyiwa maic Kama zote 😂😂😂😂😂😂😂 kumbe inawezekana kuita place conference na kuongea chochote ebu fungueni hii link hapa kuisikiliza hii ngoma ruclips.net/video/ZZcHMkMSOSo/видео.html😂😂😂😂😂😂

    • @kaulimbiu181
      @kaulimbiu181 4 года назад +2

      Press mkuu sio Place conference 👍

    • @12322879
      @12322879 4 года назад

      Acha usenge..ndo maana haujui kuandika.

    • @ananiamkasu8847
      @ananiamkasu8847 3 года назад

      Unakalia si bure!!

  • @mackenziengolo7mabula132
    @mackenziengolo7mabula132 4 года назад

    Mbona mnakatakata sana interview pumbafu haieleweki

    • @kenybenjiz7850
      @kenybenjiz7850 3 года назад

      Kama ametumia lugha siyo lazima wakate

  • @doreenchiragwile3424
    @doreenchiragwile3424 4 года назад +2

    Kajikusanyia maic mwenyewe konk master

  • @jerushanyawera4964
    @jerushanyawera4964 3 года назад

    😀mwenye atamwelewa uyu jamaa atakubaliana na mimi,ushujaa flani iko ndani yake one day he will be the worrio for something in Tz. Wtz kueni na maono. Worries wengine tuliwasoma kwa histories walifanya mambo na kusema maneno mengi bila uoga,atimae leo hii wanaitwa mashujaa though they're late,but wana day yao yaitwa mashujaa day and we celebrating it every year kwanini walipigania mambo mengi watch out🇰🇪

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 4 года назад

    Wewe huwezi kushindana na Serikali kama kujiamini fanya kama hutohama hii nchi.

  • @kelvinmichae728
    @kelvinmichae728 4 года назад +1

    Basata na nyie muangalie maana mnavyomfungia muziki mnataka aishije?

  • @omanomana3958
    @omanomana3958 4 года назад

    Huyu Nae Hana Jipya Badala Ya Kufanya Kazi Kakalia Kutafuta Kiki Wakati Hata Mia Hana 😂😂😂😂😂😂

  • @williamwilifred6563
    @williamwilifred6563 Год назад

    Huyujamaa Kweli nikuma hanachakufanya falauyu umeshafulia Historia yababaakoinatuhusunn falaww

  • @davidkhaleed6676
    @davidkhaleed6676 3 года назад

    A

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 года назад

    Sijari rafikiwangu mutumishi asate

  • @chaulee20c58
    @chaulee20c58 4 года назад

    ruclips.net/video/mw8sfeIgq44/видео.html
    tazama maajabu ya acha lizame remix nandy ft harmonize

  • @gucciwambura6468
    @gucciwambura6468 4 года назад

    Kuona video zaidi subscribe RUclips channel (Gucci wambura)

  • @devaxtz
    @devaxtz 4 года назад +3

    Yn hii nyimbo nzr jamn ebu gusa link Kama unamuelewa dudubaya anaongea nn 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ruclips.net/video/ZZcHMkMSOSo/видео.html

  • @dottokulwa7075
    @dottokulwa7075 3 года назад

    hahahahahah dudu unamaneno jembe langu

  • @khalidndemo4386
    @khalidndemo4386 4 года назад

    Dudu unatakiwa uwe mkuu wa pale basata .. Akina mwana FA wanafiki tu

  • @thoyathoya5904
    @thoyathoya5904 4 года назад

    Ila hicho kirumu kina joto sana unapata shida Konki

  • @libraindavie
    @libraindavie 3 года назад

    Hiki ndicho kitakacho mkuta Nay wa Mitego kama asipo tubu, Tazama video nzima hapa>> ruclips.net/video/wvxwz3jqnlw/видео.html

  • @devaxtz
    @devaxtz 4 года назад +7

    Jmn huyu mtu anaanza kurudia ile tabia yake taratibu tu kila kukicha taratibu tu mwisho wa Siku ataanza kutukana Tena yan basata watamfungia nakumfungulia huyu jamaa mpk mwisho wa dunia hatochoka harakat zake 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 huyu ndy konk konk konk master 😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂
    Ebu gusen hii link hapa kuona Kaz hii nzr jmn inafaa kumyamazisha #dudubaya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ruclips.net/video/ZZcHMkMSOSo/видео.html

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 4 года назад +4

    POMBE HAINAGA URAFIKI 😠😠😂

  • @merynjau5614
    @merynjau5614 4 года назад

    Yn huyu jamaa sijawahi kumuelewaga ata kidogo na mm ninavyojua na nilivyomzsikia lukamba alisema yeye sio meneja wa dudu baya ila anapenda kuniitaga meneja na huwa ananiombaga ushauri sasa unalalamika nn ushapitwa na wakati wewe tulia uko sio kuchafua kazi za watu wewe ninmasanii km unona wanakubania siufungue na wew radio yako km mond acha lawama wewe unamaneno machafu ndo maana kila siku basata

  • @habibagysi5751
    @habibagysi5751 4 года назад

    Yaan napenda unavyoongea huongopi mtu nyonyote

  • @12322879
    @12322879 4 года назад

    Ulifungiwa ajili ya matusi sasa unalilia kufunguliwa...wewe fala kweli.Maisha pumbu za mbuzi..

  • @12322879
    @12322879 4 года назад

    Hivi alikuwa anaongea nini?

  • @tonyelshabbaz
    @tonyelshabbaz 4 года назад +2

    Dudubaya unaumia kipi mzee?Hata usipofunguliwa, Umeimba kuisifu CCM ili ufanye kampeni ama kwakua unaipenda? Kama unaipenda kaa kimya , Kama lengo ni kampeni utakua UNAFIKI

  • @nakalikyumile4370
    @nakalikyumile4370 4 года назад +1

    Wimbo mkali?uutoe wapi wewe?ah unazingua😁😁😁😂

  • @ankobonge
    @ankobonge 4 года назад

    ruclips.net/video/nqsDX8IeYgk/видео.html gusa link kuona zaid

  • @devaxtz
    @devaxtz 4 года назад +3

    Jmn hii nyimbo inawakosha warembo Sana ebu isikilizeni naninyi mtoe maoni jmn 😂😂😂😂ruclips.net/video/ZZcHMkMSOSo/видео.html

  • @hamudmahrouk1556
    @hamudmahrouk1556 4 года назад +3

    Baba ako anatuhusu nini wewe 😂 bangi nibangue kudadeki 😂

  • @amosmwanaume5923
    @amosmwanaume5923 3 года назад

    Kweli umevurugwa ww Zero brain

  • @surayakhan3955
    @surayakhan3955 4 года назад

    Hivi kwanini akiongea lazima alambe midomo kama nyoka sasa unawezaje kukusanya waandishi wa habari na wewe umefungiwa sio msanii tena 🙄🙄🤔😳😳

  • @neltonneka1903
    @neltonneka1903 4 года назад +2

    Dudu baya ni mshamba

  • @mwaminiwivine2840
    @mwaminiwivine2840 4 года назад

    Uyu anamutusi juyanini Lukamba mbonahana madrama na watu