MR T TOUCH AELEZA A-Z BIFU LA NAY WA MITEGO NA DARASSA, SHETANI ALIPITA KATIKATI YAO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 16

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 2 месяца назад +4

    Mziki wa siku hizi ndio hauna signature! Kamsikilize dj mustard, jermaine dupri, dark child etc

  • @LeilyMwakajumba
    @LeilyMwakajumba 2 месяца назад +1

    Sign ya Mona Gangster, jamaa noma sn cjui kapotelea wapi!

  • @AGREUSNJUMA
    @AGREUSNJUMA 2 месяца назад +2

    Touch anajua sana kustorisha asee

  • @EnockMushogoro-zr1vn
    @EnockMushogoro-zr1vn 2 месяца назад +2

    Nakubali 🎉🎉🎉🎉

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 2 месяца назад +2

    MZIKI WA SASA KILA.MTU AJE NA STYLE YALE MBONA MISSO ANATAMBA😂😂😂

  • @mootown8191
    @mootown8191 2 месяца назад

    ila mr t touch kaongea UKWELI YOOTE DAAH... T TOUCH ANAWEZA PIA STAND UP COMED MAANA HUKO NDANI MUMECHEKESHEKA ATARI HAHAHA😃😄

  • @AhmedAdan-q9l
    @AhmedAdan-q9l 2 месяца назад +3

    T touch ni muongo jamani darasa la tano

  • @salmonmkanulasalmonmkanula807
    @salmonmkanulasalmonmkanula807 2 месяца назад +5

    mwanangu wa mdandamo sec school songea home boy😂

    • @hafidhimarijani4961
      @hafidhimarijani4961 2 месяца назад

      Maisha hayana kanuni classmate wake Geofrey Gama (Gift).

  • @abdallahmazuma9964
    @abdallahmazuma9964 2 месяца назад

    Mtangazaji anahoji anatumia balaa na mkofia wake fala huyu

  • @dynamicmwakibinga4371
    @dynamicmwakibinga4371 2 месяца назад +2

    Una undugu na mpoki T -touch!!!

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 2 месяца назад +3

    KWASISI WAPENZI WA MUZIKI IZO INTRO ZINAKUAGA TAMU SANA,,,NA TUNAZIIMBAGA ADI IZO...MFANO IO TACH TACH,,KUNA ILE YA ABAAA😊

  • @HarryGeniusTGT
    @HarryGeniusTGT 2 месяца назад

    HUYU MWAMBA NAMKUBALI SANA SINCE DAYS ZA EMMANUEL AKIANZA AMBAYE SASA NDIO NAY WAKIWA FREE NATION ..KENYA TUKO NDAAAAAAAAAAAAAANI

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 месяца назад +2

    Kakicheko ka kifuka