Oi boa noite Portugal e angola toda africa muito bem com essa dança esta muito bem grande festa eu também estou a ver e dançar não sei qual o país mais esta mesmo quente a festa faz bem para a nossa africa nao estar s pensar em corona viros assim é bom estar a dancar Parabéns ca em Portugal ninguém pode fazer isso vai preso quem fazer isso dancam faz bem beijos para o presidente de pais que está a deixar o povo dançar muito obrigada pela eessa musica africana beijo grande
Mambo ya Roho hutambuliwa na watu wa Roho niwakumbushe tena kila kitu ukionacho hasa wewe unaye mkosoa muimbaji wa Mungu na anaye mchezea Mungu chanzo chake ni Mungu sasa wewe unaweza kumkosoa Mungu ukabaki salama lakini sisi tunafamu mnajalibu kutaka kumtetea mwizi:
Oi boa tarde estou a gostar da música mas não sei qual o país da África não percebi bem mais dancam muito bem e é assim m mesmo fazem festas faz bem para o s jovens para ele nao serem bandidos e nao estar a fuigir da África para eles ir sofrer ca na ouropa não asim eles estao de para bens africa divertem gostei muito obrigada África beijo e um bom natal
Tufanye vitu vinavyoamanisha ivi kweli unaweza kuimba huku ukisheza hivyo kweli hata kama unatumia CD fanya kitu ambacho kinaendana na uwalisia wa uimbaji
Sasa u anyenyekea au unafanya mazoezi dini ngumu sana ila sio hivyo kaka mara kichaa mara unacheza ndombolo haaa mnamchezea yesu nyinyi kaeni kanisani muombe mungu pia kumwimbia bwana sio hivyo mnafanya biashara kwanza mnajaza watu wawashangae sio kuwafunfisha neno la mungu mtafakari
A nyc song ...actually the best ...endelea hivo na utaona mambo makuu
Thank you
Moto sana kaka barikiwa
Lovely brother
@@bethwangoi7514 j
Wawoo nice song I like it
Kwakweli umejua kunifurahisha. Barikiwa
Oi boa noite Portugal e angola toda africa muito bem com essa dança esta muito bem grande festa eu também estou a ver e dançar não sei qual o país mais esta mesmo quente a festa faz bem para a nossa africa nao estar s pensar em corona viros assim é bom estar a dancar Parabéns ca em Portugal ninguém pode fazer isso vai preso quem fazer isso dancam faz bem beijos para o presidente de pais que está a deixar o povo dançar muito obrigada pela eessa musica africana beijo grande
Very Very nice song God bless you 🙏 😊 ❤ ☺
Great work done back
Nice dance brother naona Na hawo wasika wamekuamini unajua kasa mungu akubarikie
Waaah ubarikiwe Sana , umenipendeza endelea usichoke
Pastè amèl laflè
Amen
Lakini huyo wa bluw shart joo
Barikiwa
Very.good. message. through
the. dance. Very. nice. God. Bless
yours. I. will. Pray. for. Yours👌🌼👍💐.
Ukosawa Kaka endelea kumukimbilia mungu na kumuimbia Sababu yeye ndie kimbilio 🙏🙏🙏. Na ningependa niwe mchezaji wako.
Yesuababariki
Niceeee
MUNGU akubaliki ktk utumishi wako nyimbo nzr sana
Amen amen barikiwe🙏🙏
May the lord bless you abundantly bro
HUKU SIO KUMCHEZEA YESU ! HII NI DISCO AU SARAKASI KWA YESU KUNA UNYENYEKEVU !
Balikiwa na Bwana
New subscriber keep up doing good job may God bless your album 🙏🙏🙏
Wow so nice, wimbo wa upako
Wow nice song
Mambo ya Roho hutambuliwa na watu wa Roho niwakumbushe tena kila kitu ukionacho hasa wewe unaye mkosoa muimbaji wa Mungu na anaye mchezea Mungu chanzo chake ni Mungu sasa wewe unaweza kumkosoa Mungu ukabaki salama lakini sisi tunafamu mnajalibu kutaka kumtetea mwizi:
Asante watu Mungu
What a great to praise God waw brotherly Africa is great i love ur song am from Nigeria where are u from Bro? More grace
From tanzania
am from tanzania thank you my best
Sarakasi!!! Unnecessary drama for a good song 😂😂
Nice nice song, dancing is highest,,, congratulation brother in Christ
Wow! A very nice song brother, wah nigependa kuwa dancer wako ak
Cograts brother for nice song
Wonderful brother
Okay
Nyimbo ata ikiwa nzur lakin huo uchezaj hapan ysn km sifa sasa
Inapendeza watumishi wa mungu.
Naeza taman kuwa dancer wako brother
Mko kama chizi sasa mavuvuzela ya nini jamani mnamtania mungu
Nafkiri Hapo watu hawasikilizinujumbe Bali sarakazi ukiwauliza aliimba Nini watasema anajua kucheza😳😳
Be blessed 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
You are blessed my dear 🙏😘🤩
AVoid vituko za embarambamba kujigaragarisha kwa fumbi we are ok with the massage ad your dancing.
Hallelujah
Niceeeee
Nimebarikiwa sana
Barikiwe sana
Amen, glory be to God
Oi boa tarde estou a gostar da música mas não sei qual o país da África não percebi bem mais dancam muito bem e é assim m mesmo fazem festas faz bem para o s jovens para ele nao serem bandidos e nao estar a fuigir da África para eles ir sofrer ca na ouropa não asim eles estao de para bens africa divertem gostei muito obrigada África beijo e um bom natal
@@florindacosta4889 iìiiuiiiiiiij88jkk kind
Tufanye vitu vinavyoamanisha ivi kweli unaweza kuimba huku ukisheza hivyo kweli hata kama unatumia CD fanya kitu ambacho kinaendana na uwalisia wa uimbaji
Sasa kucheza gan uko khaa😂😂
Dadaudi wanasema alicheza Hadi nguo kuvuka je Mimi ninani hatanisimsifu Mungu wangu
🙏Amen nice songs
Asante
@@faidoninyondo karibu
Asante sana
@@faidoninyondo be blessed always
God bless you
Amen watakasiye watakatibu wote
Mungu akupe guvu afya njema amina
Asante
Sasa u anyenyekea au unafanya mazoezi dini ngumu sana ila sio hivyo kaka mara kichaa mara unacheza ndombolo haaa mnamchezea yesu nyinyi kaeni kanisani muombe mungu pia kumwimbia bwana sio hivyo mnafanya biashara kwanza mnajaza watu wawashangae sio kuwafunfisha neno la mungu mtafakari
Ukiwa hai mshukulu Mungu kwa uzima
Wourderful. Dance
Wimbo ni poa jikase na iyo dance
🙏🙏🙏🙏🙏 Amen
Yesuabahezagiremwongerweamavuta
Nimebarikiwa
Zakaria
Kuna zawad mbele yko baada ya kaz
Amen
Be bresd ver nice
Hivi hizi staili za uchezaji ni kumcha mungu kweli au tunapongeza visivyo pongezwa mbona naona kama wanacheza dsko vumbi!?
Ubalikiwe unaweza kutwambia daudi alichezaje
Kbs
Asifuwa bwanna
Huku ndio kupagawa na mapepo
Hakuna yesu hapo
Sawa
Unapatikana wapi naomba namba zako za simu
Okay
William Nelima
Nijeriya
Asante
Amina Amina
บง
Amina