Mwanaume havai herini , herini huva mwanamke anaevaa herini anawalakini kwa kimtizamo wa malezi yetu tusiige mambo ya westen waimbaji wa ulaya wa marekani nao wanawalakin mimi mwanume anaevaa herini simuozeshi mwanangu
He’s right man don’t hide what you like, and first you suppose to not beg for love … first answer is true answer was not must for you to get wife there
Hello habari! Hiki kipondi kiko poa sana ila mimi upande wangu naona itakuwa vzr kama hizo taa za washiriki zibadirishwe rangi kama blue au kijani au zambalau ,na nyinginezo ambazo hata wengine wanaweza kuona kwamba nani wamewasha taa na nani wamezima taa coz rangi hizo zilizopo tokea nimeanza kuangalia zinanichanganya lkn inabidi tu niwe makini kwenye kusikiliza ili nijue kinachoendelea.ni ushauri tu sorry kama nitakuwa nimemkwaza mtu yyt
Jaman huyu ni play boy😂😂Maryam umepigwa
Hey mko powa
Dada utaungua so mume huyo amekataa kukupa heshima ya kuvua usicho kipenda mbele za watu
Uje kwetu na hereni weee subutuu upo kufunguliwa mbwa wetu anaitwa messy atakuonyesha shoo
Mko wap jmn nataman kufika kuona live mr right
Jamani nipeni mrejesho wa uyu brother wa heren 😀
Me mkenya na ningependa
Hivi mnawapimaga kweli kabla muwakutanishe
Mwanamme avae heleni ni muhuni tu wala wazazi hawezi kukubali ujinga huo
Wazazii wako wanaweza wakamkataaa daimond au www
Weee mdadaa huyoo kaka muhuni anavaa mahereni kama shoga
Abgudo dalacha Halake mimi nataka Dem maika25+30 mimi40❤
Mwanaume havai herini , herini huva mwanamke anaevaa herini anawalakini kwa kimtizamo wa malezi yetu tusiige mambo ya westen waimbaji wa ulaya wa marekani nao wanawalakin mimi mwanume anaevaa herini simuozeshi mwanangu
Mpona bahati amevalia herini na wapo vizuri tu na mpenzie diana acha umbea namesake
John Bilokwa in the building umetisha mzee baba
Jamanii ivi kipind niwatu wanaondoka hapo wanaoana kwelii
Dah hapo hamna mume
Jonh Kama jonh from home boy be congertration to your step you have now
Andika tu Kiswahili maana kiingereza chako cha mchongo😂🤣😅
Mmh sidhani sijui labda Mungu asaidie lakni huyo jamaa Dah mbn kama , eb ngoja tuone
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗
Jamaa playboy huyo
I was scared of a disappointment but thank you Maryam
Mhuuu mwanaume anavaa heren na mkeo.avae heren
Hivi Ni kwelii au
Kipindi kizuri mno Jamani!!!!! Hongereni mno!!!
Godmass ayo
Pambana chali angu
Tunaomba mwanaume ukimchukua mwanaume happy tunaomba ukajitambulishe kwawazazi siyo mnaishua mitini
Uyu sio mume walah
Uyu kaka 😁❤️❤️❤️😘
Mbona sielewi unajua kabisa jaman
Ndoa ni kamali
😂😂😂😂nakubali kaka unyama mwingi sanaa💪💪💪
Jamani kinakuwa Lin kipindi
Ni unyakiusa flani mwaisa 🤗🤗🤣
🤣🤣🤣🤣
Hii ni kweli wanatafuta mme au ni maigizo tu,kama ni kweli tumefikia hapo.,tunatakiwa kuiombea nchi yetu sana.
Jamn napend hiki kipnd sana 😍
Jamni me naomba mniunganishe na mimi
Anakijpaji kingine cha golini mount samba,mwanafamilia wangu wa mb,Chelsea
Jamani mm pia natafuta mume
Iv haya mambo huwa ya kweli jamani au ndo yale ya michongo tu.
Jamaa anaonekana Muongo Sanaaa, Maryam chamoto anakipata🤫🤫
😃😃💔
Natamani kushiriki nipo sin
Woow mbona rahaaaa❤❤❤❤
Mwanaume wa kuvaa Helen aisee anakua Kama shoga
Oi nimemuina zuwena jaman mwambieni Mr night wake niko apa😂
Uyu jamaa muun muun tuu😂😂
Mwajuana aiseee😂😂😂
Good san
Kaka nimekuelewa Sana
Mkaa Mwaah
Mmh! Hapo hakuna mume Ila n mzur
Daah unyama unyaman v2 vmeenda gudaah
Mariam mbona kama vile hajafurahia
Kabisaaaa!!sio swaga zake ndo maana🤣🤣🤣
hilda umeniangusha.mbona hilda yeyote anapendwa na kuolewa
Hivi ni wanaume wameisha mitaano au
Kipindi iko sawa
Hereni n shit bro achana nazo hazikupendezi
Nimeipend
Hivi unatakiwa kufanya nn ili uje kuchagua mwanamke hapa😊
Hapo mime amna mvaa hereen
I think uyudada niclassmate Wang amesoma mbez beach high school naanaitwa ayman
Ni yakwel mnaigiza
Team stron'g muko wapi gonga likes tusonge mbele
Kw iyo apo ukimpat ndio munaanz kulana leo leo au
He’s right man don’t hide what you like, and first you suppose to not beg for love … first answer is true answer was not must for you to get wife there
Kaka naona kama bado ana utoto hivii
Nakuunga mkono , hamna muoaji hapo
babygal Irene, nyie hamumuoni jamani
Hello habari! Hiki kipondi kiko poa sana ila mimi upande wangu naona itakuwa vzr kama hizo taa za washiriki zibadirishwe rangi kama blue au kijani au zambalau ,na nyinginezo ambazo hata wengine wanaweza kuona kwamba nani wamewasha taa na nani wamezima taa coz rangi hizo zilizopo tokea nimeanza kuangalia zinanichanganya lkn inabidi tu niwe makini kwenye kusikiliza ili nijue kinachoendelea.ni ushauri tu sorry kama nitakuwa nimemkwaza mtu yyt
Ni kweli kabsa.
Point
Uko saw
Kweli kbs
Kuna wamama wazee wamekosa kazi wako hapo dunia kwisha😂😂😂😂😂
Jamaa kama akon
Nyie Maryam anataka akjionee muachen akahakiki.. hapo hakuna Mume
Atakuwa shoga huyo, mwanaume hawezivaa hereni
Mimi Nimwanaume Hila Cwezi Vaa Ereni Maana Uwalisia Wamwanaume Syo kuvaa Ereni Bhana🤣🤣
Nishoga au Hilo ni pambo la mabinti
Ila kaka ako na kasura kazuri sema tu heren alfu harusi zao hatuzioni
Sidhani kama watadumu hawa! Huyu sio meowaji
Usisem hvyooooo
Hahahhahaha ila ana sauti nzuri sema avue hizo hereni jmn kha
Noma sanaa
Unafungua TV unakuta mtoto wako yupo hapo kaenda kutafuta mme🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😄😄😄😄
Kwakweri inakua majabu lkn mm kipindi hiki sikierew kbs
😁😁😁😁
Una wAxha moto
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Hereni hizoo mweee
Mbwembwe nyingi kama mpata mweu
Herini hapana
Mwanaume havai herini ww
Kwaiyo ndio kusema ndoa ngumu au
Haya ni ya kweli ama ni maigizo😂😂
Mmmmh apo amna kitu
Kinyamwezii 😅😅😅
Ni huzuni kwa kwel
Ni jinsi gani watu wanaweza shirk guys
Kazi ipo 😂😂
Well
Huyu anamsimamo wa helen
Mramba midomo bana acha aende dada usije?ukajutia
Tena na hellen masikioni huyo c mume utalia
My country Kenya wanaigiza hii bt Tanzania mko juu sana
THE KENYAN SHOW IS GOOD TZ shit ladies wengi small standing space, you cant see all the contestant at the same time........................aaarghh
Show show
Jmn ni wapi huko
Hereni shida
Ila kuna wanawake wengine wanakubali kutokana na maisha walopitia
Hamna mime apo utalia na kusaga meno
Namna ya kufika huko kuna utaratibu gani
how can i reach there
Huyu shoga
Nitaenda kwa mwamposa nikaombewe nipate mume sio uku😂😂😂
Nipo
Nipo huku
mbaya
Hawa mademu wa mchongo
Hamna Mume hapo 🤣🤣🤣🤣🤣
Kbs
He's right
Samahani jamani hivi hichi nachokiona hapa ni maigizo tu ama ni serious ishu
Serious
Nimependa hii show,hua inafanyikia wapi?