WASHA WASHA FULL MOVIE ¦¦ BONGO MOVIES

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 41

  • @Roserenatusrenatus
    @Roserenatusrenatus 5 дней назад +1

    Saut hamna

  • @IsdoriBango-ke2ov
    @IsdoriBango-ke2ov 29 дней назад +2

    Tunawapenda hivyo tunamkumbusha mharili wa picha aache uvivu wa kukagua kazi kabla ya kuipandisha. Kazi hii no nzuri ila kahalibu kitu muhimu mno kwenye kazi. Kosa la sauti ni baya kutokea kwenye kipande kikubwa cha zaidi ya nusu ya kazi. Mharili umeharibu kazi nzuri sana.

  • @sussymtunga3673
    @sussymtunga3673 Месяц назад +2

    Satiti wanguu❤🎉🎉😂😂😂😂

  • @suleimaanunda
    @suleimaanunda 13 дней назад +1

    kwa uzembe wenu mara mbili tatu nitaanza kuwa muoga wa kupoteza bundles zangu kwenu... yaani saa 4 nimekaa nikiangalia kitu kisicho na sauti... ninakuheshimuni mjuwe 🌝

  • @Evarlyne-zg1ln
    @Evarlyne-zg1ln 17 дней назад +1

    Sauti zenu zinauthi

  • @MaombiEsperence
    @MaombiEsperence 13 дней назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mamakeadlyne
    @mamakeadlyne Месяц назад +1

    Mbna sauti kupoteapotea,,though nice movie

  • @amanusmilambo
    @amanusmilambo 15 дней назад +1

    Sauti inatunyima uhondo

  • @mikembogo6351
    @mikembogo6351 7 дней назад +1

    Sauti

  • @EdisonJonathan-i4o
    @EdisonJonathan-i4o Месяц назад +1

    Subiri mwanzo

  • @esthernib6369
    @esthernib6369 18 дней назад +1

    Sauti iko wapi jamani😢😢 sisikii chochote

  • @francisgitundu8922
    @francisgitundu8922 16 дней назад +1

    🎉

  • @mohammedsalim7681
    @mohammedsalim7681 Месяц назад +1

    Wako rada

  • @UmmyMuhammedi
    @UmmyMuhammedi Месяц назад +6

    Leo mimi wakwanza naona watu wamelala 😢nipeni 🎉mauwa yangu

    • @kakajeff17
      @kakajeff17 Месяц назад

      @@UmmyMuhammedi huu n uzembe tafta kazi ufanye ukue busy

    • @UmmyMuhammedi
      @UmmyMuhammedi Месяц назад

      @@kakajeff17unauhakika sina kazi

    • @kakajeff17
      @kakajeff17 Месяц назад

      @UmmyMuhammedi ungekua na kazi ungekua busy

    • @UmmyMuhammedi
      @UmmyMuhammedi Месяц назад

      @ kazi yangu inaniruhusu utajuaje

    • @kakajeff17
      @kakajeff17 Месяц назад

      @@UmmyMuhammedi sawa basi umeshinda

  • @kakajeff17
    @kakajeff17 Месяц назад +5

    Nan akae 4 hrs kuangalia movie

  • @RizikiAbdallah-n8k
    @RizikiAbdallah-n8k Месяц назад +1

    Rekebisheni kwenye mitambo ya sauti

  • @PeterWambua-p5u
    @PeterWambua-p5u Месяц назад +1

    Sauti inapoteapotea😢 😢😢

  • @HhUhh-io8ix
    @HhUhh-io8ix Месяц назад +1

    Tamu movie sauti no

  • @ApolinaMwitenda
    @ApolinaMwitenda Месяц назад +2

    ❤❤❤❤

  • @AshrathYassin
    @AshrathYassin Месяц назад +1

    Lekebisha sauti bhana

  • @dinisrodriguesdinis1174
    @dinisrodriguesdinis1174 Месяц назад +5

    Tunataka season 2

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so 26 дней назад +1

    😅😅😅😅😅🎉🎉🎉

  • @JavanNandwa
    @JavanNandwa Месяц назад +1

    Ni tamu lakini sauti inapotea, why?

  • @PatrickBahati-e2w
    @PatrickBahati-e2w Месяц назад +1

    4hrs kianani

  • @SaraRobert-io8xv
    @SaraRobert-io8xv 27 дней назад +1

    Tatzo sauti

  • @IsaiahMilia
    @IsaiahMilia Месяц назад +1

    Lakini sauti inapoteapotea sijui kwa Nini?

  • @mwenyipaul
    @mwenyipaul Месяц назад +2

    Sauti imekuwa aje jamani??

  • @PeterWambua-p5u
    @PeterWambua-p5u Месяц назад

    ❤❤❤❤