MWEZI MCHANGA | FULL MOVIE 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 61

  • @AlexMiriti-c6c
    @AlexMiriti-c6c Месяц назад +3

    Kazi mzuri bwana mbwela

  • @Gloriazawad
    @Gloriazawad Месяц назад +3

    Kaz nzur ❤❤🎉🎉 halafu mda pia ukosawa kiukweli hongera ❤❤❤❤🎉🎉🤗🤗🇰🇪

  • @SalmaJana-y9k
    @SalmaJana-y9k Месяц назад +3

    You are good 🎉from kenya

  • @KSA-hu5he
    @KSA-hu5he Месяц назад +3

    Poleni jamani kwakuteswa na penzi nyote😅😅

  • @FATUMABARISA-f5o
    @FATUMABARISA-f5o Месяц назад +2

    Mbwela unafurhisha❤😂😂😂😂😂😂 from Kenya 🇰🇪🥰🥰

  • @YohanaJumanne-m1o
    @YohanaJumanne-m1o 22 дня назад +1

    Nakukubali Sana bro Mbwela

  • @salimmwabora6576
    @salimmwabora6576 3 месяца назад +7

    Team mbwela from kenya nipeni like kwa (big kaka)

  • @KandySamz
    @KandySamz 2 месяца назад +2

    Napenda sana movie zako mbwela haswa ukiwa mpenzi wa mwasi

  • @ClamVevoTV
    @ClamVevoTV 3 месяца назад +4

    🎀✨KAZI NZURI SANA NDUGUYANGU #MBWELA BIGUP📽📺🔮🌍🎋

  • @OengaMildred
    @OengaMildred 3 месяца назад +4

    Kazi safi big kaka ❤❤

  • @SophiaAlifa
    @SophiaAlifa Месяц назад +2

    Aisee mmetisha kinomanoma ❤❤❤❤❤

  • @mwogeramwimeti9902
    @mwogeramwimeti9902 2 месяца назад +3

    Kazi nzuri ndugu yngu just keep it up and also continue with the same spirit ❤

  • @mkallachikoza5830
    @mkallachikoza5830 11 дней назад +1

    No 1

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 3 месяца назад +2

    Naipenda sana hii movie

  • @AllyShemela
    @AllyShemela 3 месяца назад +3

    Bwela unatisha sana bro

  • @mwamvuahassan-z1u
    @mwamvuahassan-z1u 11 дней назад +1

    Mi nmeskia tu wimbo unasaut ya happyvoice😊

  • @Fibi-og9ce
    @Fibi-og9ce 2 месяца назад +2

    Jaman hii movie nzur sana 😂😂😂japo kila mtu anateswa na mapenzi

  • @WanjalaNasokho-y3x
    @WanjalaNasokho-y3x 3 месяца назад +2

    Kazi safi bro naipenda kazi zako nikiwa hapa Kenya

  • @esthermuthoni6642
    @esthermuthoni6642 3 месяца назад +2

    My favourite actor ❤❤

  • @clatfoa4952
    @clatfoa4952 3 месяца назад +5

    bado mwezi mchanga ni season ❤❤❤

  • @SalhaMikuli
    @SalhaMikuli 3 месяца назад +2

    Mbwela na time yake wako vizur sana nawapenda mno ❤

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 2 месяца назад +2

    Pole cn

  • @Pasicke
    @Pasicke Месяц назад +2

    ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @jorimogendo-eq9jt
    @jorimogendo-eq9jt 2 месяца назад +3

    nampenda Wanda

  • @RAJUBAIBAHUBARI
    @RAJUBAIBAHUBARI Месяц назад +2

    Unyama 2 wanangu

  • @KalundeMaganga-w3s
    @KalundeMaganga-w3s 3 месяца назад +2

    Nimeipenda bwela chukua mauwa yako❤❤

  • @nadhiruomar699
    @nadhiruomar699 3 месяца назад +4

    Kwa hakika hini kazi yako ni nzuri nimependa mda umekuwa mwingi sana endelea hivi hivi muendelezo wa kutuwekea mda marefu kaka 🙏

  • @JordanGasper-b8f
    @JordanGasper-b8f 2 месяца назад +2

    Blaza endelea kutumwagia movie kaka Kaz nzur

  • @MundaKyalo
    @MundaKyalo 2 месяца назад +2

    Too much crying 😭😭😭

  • @GravitTaboi
    @GravitTaboi 3 месяца назад +2

    Aki mimi nampenda Tete❤❤

  • @jacobthambu
    @jacobthambu 3 месяца назад +3

    From Kenya 🇰🇪 😍 😄 🙌 mombasa

  • @HalimaHarun-s9b
    @HalimaHarun-s9b 3 месяца назад +1

    Mbwela unajua kucheza part Yako . Hongera ❤

  • @Halimah-ho5us
    @Halimah-ho5us 3 месяца назад +2

    Kuoa ni shughuli 😂😂😂😂😂

  • @joyceezekiel3174
    @joyceezekiel3174 Месяц назад +1

    ❤❤❤

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 3 месяца назад +2

    Duuu mbela nimekuzoeya uko mpole leo una hasira hvyo😂

  • @nadhiruomar699
    @nadhiruomar699 3 месяца назад +2

    Mimi nime furahi zaidi kwa mda wa hini movie ni ndefu sana ajab

  • @HamisZengo
    @HamisZengo 3 месяца назад +2

    Mbwela Hilo Kofi jaman utamuuwa dada angu Wanda by mchina VEVO kutoka kasekese mpanda

  • @saumubiasha
    @saumubiasha Месяц назад +2

    Kwa hiyo hii movie yani ya malizia ule wimbo wa unae pendana nae anapenda mwingine.......

  • @officialrimbareels
    @officialrimbareels 3 месяца назад +2

    Greetings kaka, napendanga films zako. hii ni channel mpya ningeomba kufahamishwa ili kukuza hii channel and in future pia tufanye kazi pamoja. juu me pia ni filmmaker in kenya

  • @Samiasasha
    @Samiasasha 3 месяца назад +3

    Kwani hii movie kilamtu anateswa na mapenzi 😂😂😂😂😂

  • @Kaske-bleumartin
    @Kaske-bleumartin 3 месяца назад +2

    Nice from merekani

  • @DulaManywele
    @DulaManywele 3 месяца назад +2

    Mbwela Bora muwe mnatoa single kama hv zinanoga san

  • @amosmatendo191
    @amosmatendo191 3 месяца назад +2

    Nawapenda

  • @HarrietOnserio
    @HarrietOnserio 2 месяца назад +1

    Huku ni kulia tu jamani😢

  • @mohamedhilali9756
    @mohamedhilali9756 Месяц назад +1

    RUclips mee sinunui muvi

  • @mohamedsheealom8745
    @mohamedsheealom8745 3 месяца назад +3

    Hii team wapo fiti sana na ninavyopenda juu yao nikuwa kila mtu huwa anajitolea kisawasa kwa kipindi cha mwenzake tutasubscribe chanel ya kila mtu kwa hii team ya clam wapo fiti sana ila mbwela umeweza zaidi maana unatoa uchawi kiac unakuwa wa kipekee..❤❤❤🎉

  • @SarahAthumani-i9i
    @SarahAthumani-i9i 2 дня назад

    Akanako kaepy kana piga kelele umu

  • @AlexCosmas-s1c
    @AlexCosmas-s1c Месяц назад +1

    Sasa mimi nitakuita kontawa tu coz ulinibamba sana kwenye mistake

  • @MoussaAbdoul-wo3ur
    @MoussaAbdoul-wo3ur 2 месяца назад +1

    Hiyonyimbo nanikaimba

  • @ManizoTheboy-ko1hw
    @ManizoTheboy-ko1hw 3 месяца назад

    Mbwela nakubali kazi kama utabahatika kusoma comet yangu tulishawai kuonana nzazibar

  • @GHgh-hq3zj
    @GHgh-hq3zj 3 месяца назад +1

    ❤❤❤

  • @CeciliaShangilia-s7r
    @CeciliaShangilia-s7r Месяц назад +1

    So why in the world is everyone in this movie crying though you guys try but I didn’t understand anything

  • @omarbakari3022
    @omarbakari3022 8 дней назад

    Nmechoka kuvumilia mwezi mchanga ni nini

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr 3 месяца назад +6

    Mbwela hii mwezi mchanga si ilikuwa season! Asaivi tena imekuwa full movie.

  • @MuminaRashid
    @MuminaRashid 3 месяца назад +1

    Sinema nzuri ila haina mwisho

    • @mohamedsheealom8745
      @mohamedsheealom8745 3 месяца назад

      Hujaona kwamba imeandikwa 1 means kuna na 2 au kusoma huwa shida ...

    • @mbwelamedia3469
      @mbwelamedia3469  3 месяца назад

      @@MuminaRashid mwisho upo km ni mfatiliaji mzr endelea kufatilia utaona mwisho

    • @KhadijaMasoud-m6u
      @KhadijaMasoud-m6u 2 месяца назад

      Upo sahihi aendelee tu kutuliya😂​@@mbwelamedia3469

  • @ManizoTheboy-ko1hw
    @ManizoTheboy-ko1hw 3 месяца назад

    Mitaa ya nyaruguso