Yaan Tanzania Bora mnyamaze tuu Hawa wasouth Africa wanajisikia Sana wanaona South Africa Kama America MTU mwingine Anaweza kukwambia Yaan Yeye Kama msouth Africa haijui Tanzania au Zambia SASA huwezi Amini Unaweza ukasema Hata history hawajasoma Jamani wanaita Wageni kwere kwere
Huku South Africa Ukisema pipi Ni matusi" pipi Kwa Huku South Africa Ni uboo kwahiyo hatuiti pipi tunaita sweet" Kwa Hiyo Ukisema pipi watu watakushangaa sana
Mungu atusaidie,Afrika tunataka nini?Nchi nyingi zimeshakuwa huru,kwasasa tunapigania kuwa na lugha angalau za kwetu (tusikilizane)na kuelewana katika kuleta maendeleo yetu,tunataka nini?jamani tunataka ukoloni ndo urudi au?kwanini Afrika?? Kwanini??kwanini tugombane wenyewe kwa wenyewe?tunamfaidisha nani?kama sio kuridisha maendeleo nyuma,Afrika tusirudi nyuma tusifanye viongozi walioteseka kwaajili ya ukombozi Wa Afrika wateseke huko waliko,Eee Mungu tusaidie,Eee Mungu ingilia kati machafuko haya,Viongozi wetu wameona Nina imani mambo yatakwisha!Afrika tusibaguane,bara letu limebarikiwa.Jamani viongozi wetu kwa umoja wenu tunaomba muungane pamoja kumaliza shida hii.Mungu ibariki Afrika.
nashanga sn wafrica kwa wafrica mnagomban bila sababu ya msingi lini tutapendan jaman oohh mungu tubarik waja wko tutachekwa kwa ujinga wetu mpak lin sisi wafrica
Maybe its a high time African musicians unite and make a collabo to let the world know what is happening in SA. In the 80's America brought awareness to the world during the time of drought in Ethiopia just to mention some countries. Remember this song WE ARE THE WORLD.
Hamuna kitu hawa wazuru wana roho mbaya . Mimi nashindwa kuwaelewa hawa wananchi wa Africa kusini mbona vina roho mbaya mtu anamuchoma moto mwafrica mwenzake . Jamani inauma sana.
Wafrika wali-abuse wema wa watu wa South Afrika. Badala ya kuishi SA na kuwa majirani wema.. wakafanya kazi za kusaidia jamaii.. waafrika wahamiaji wengi walienda huko kuwa wauza madawa, wezi na waendesha madangauro.. huku wakiwadharau wenyeji kuwa ni wapumbavu..! Kama Watu wa SA wangefanya hivyo kwenye nchi ye yote nyingine nje ya SA watu wange-reach the same way..! Tusuidanganyane.. nilipotembelea SA 2002 Niliongea vijana wa waliotoka Arusha ambao walikuwa wakiishi na kuwapiga ngeta watu kula Cape Town Baharini..! Na wakaniambia siku moja walimpiga ngeta mtu akalia kwa kiswahili wakamwachia kwani alikuwa mbongo mwenzao..!
Maisha yamebadilika , Wazee wetu Nyerere , Mandela , Samora Machel na wengineo waliingia msituni kupambania nchi zao , Lakini sasa hivi watu wanatweet tu , Mpaka Rais wa Afrika kusini anatoa tamko kupitia tweeter Zito Kabwe anatweet , Yemi Alade anatweet , Niki wa Pili anatweet , Madeee anatweet , Rosa Lee anatweet . Wanaume walikuwepo zamani , sasa hivi chips mayai tu .
South Afrika ilifungua milango yake.. na waafrika waliosupport juhudi zao dhidi ya ubaguzi wa rangi na wale ambao waliendelea kula na kunywa na makaburu wakajazana huko..! Lakini kibaya nikwamba waafrika walioenda na kuishi huko waliunyea huo ukarimu wa watu wa afrika ya kusini.. wakisahau ya kwamba hata wao walikuwa na matatizo ya kijamaai yaliyotokana na ukandamizwaji wa miaka mingi chini ya siasa za kibaguzi. Badala ya waafrika kwenda SA na kufanya kazi za halahi.. wengi walijigamba kwa uporaji, uuzaji wa madawa ya kulevya na hata kuwaweka wasichana wadogo na wanawake wa nchi hiyo kwenye madanguro..! Na wajigigamba kuhusu hilo pia..! Sasa leo wenyeji wamechoka na wantaka waafrika hao wasio na heshima warudi kwao.. wanalia..? Kurudi kwenu kuna ubaya gani..?? Eneo la Hillbrew katikati ya Johannesburg liligeuka chaka la wauzaji wa madawa ya kulevya wengi wao wakiwa ni Wanigeria..! Binafsi siwalaumu watu wa SA.. wawatie adabu waafrfika wasio na adabu..! Kwendeni kwenu mkafanye uhalify huko au mjenge nchi zenu..!
I think we are living in the end times I quote nations will fight against nations, let's wake up and turn to the Lord and repent our sins. No time is left. Otherwise let's preach unity as brothers and sisters or perish together as fools imgn the world is watching us.
Yaan hii Hali ilitokea wakat Mm mjamzito na mume Wang alikuepo huko South Africa kilikua kipindi kigumu Sanaaaa kwangu wakaburu mambwaaaaa nikimpata mmoja namnyoa na gae
Nawashauri wasouth Africa wasiwanyanyase wageni, nao wako kihalali kama wao wanavyoishi na kufanya biashara katika nchi zetu .waheshimu utu na raiya wa nchi nyingine. Imekua ni unyanyasaji na kituko duniani. Hatupendi kuona wakoloni wana rudi kutuongoza mara ya pili maana tumeshindwa kujiongoza wenyewe. Niaibu wa waafrica wanaojielewa kufanya upuuzi kama huo. Respect Human rights
Jamani Ss tungefanya haya hapa tanzania tungechapwa mpaka tujute anko angetupa heshima ya kutosha lakini kwa nini muwapige wageni na serikali ipo inatambua sheria za wageni jamani kweli Africa kusini wana laana
Mara magari ya mafuta yaungue, mara msitu wa Amazon uwake moto mara ndugu tunauwana....... Ni nini hichi??? Kuna nini nyuma ya Haya matukio (Mungu ingilia kati)
Waafrika wengi walihamia SA wakawa mzingo .. as a matter of fact watu wa huko walivumilia kwa muda mrefu sana. Maji yamezidi unga..! Kumbukeni sio kila muafrika anayekwenda SA nchi yake ilichangia ktk kuondoa siasa za kibaguzi..! nchi nyingi ziliendelea kula na kunywa na makaburu.. na nyingine ziliwakamata na kuwarudisha kwa makaburu wapigania uhuru wa ANC na movements nyingine, wakapotezwa au kufungwa na makaburu.. ! Kwa hiyo tusijifanye Waafrika wote kuwa ni watakatifu.. La hasha..!
Baraa la Africa lina watu Wenye ugonjwa wahakiri Sabu Niajabu mweus kwenye bara laa Africa At Anakua folena Nawazungu kuwapa Uhuru wakuishi Free Ujinga huu utaisha lini Mukitaka Fanyeni muchakato Wakuinganisha Africa Muki shindwa Tumien hata Mawazo Ya Gaddafi Kuiunganisha Africa Bla hivyo Tutatesana Sana
Hii mijitu haifai kuwa na urafik na o kabisa kwasbb hawatak uhusiano na wenzao wameona wapi nchi bila raia wa kigeni cjiw vichwan mwao kuna nn mijitu inaroho mbaya haifai wanaipa sifa mbaya nch yao na wasitegemee msaada kwa haya wanayofanya kwasabb kunawakat mjanga yanatokeaga sasa hawa ni kuwatema tu
Duuuuuhhh wa toto.......wa Diamond
Yaan Tanzania Bora mnyamaze tuu Hawa wasouth Africa wanajisikia Sana wanaona South Africa Kama America MTU mwingine Anaweza kukwambia Yaan Yeye Kama msouth Africa haijui Tanzania au Zambia SASA huwezi Amini Unaweza ukasema Hata history hawajasoma Jamani wanaita Wageni kwere kwere
Huku South Africa Ukisema pipi Ni matusi" pipi Kwa Huku South Africa Ni uboo kwahiyo hatuiti pipi tunaita sweet" Kwa Hiyo Ukisema pipi watu watakushangaa sana
Mungu atusaidie,Afrika tunataka nini?Nchi nyingi zimeshakuwa huru,kwasasa tunapigania kuwa na lugha angalau za kwetu (tusikilizane)na kuelewana katika kuleta maendeleo yetu,tunataka nini?jamani tunataka ukoloni ndo urudi au?kwanini Afrika?? Kwanini??kwanini tugombane wenyewe kwa wenyewe?tunamfaidisha nani?kama sio kuridisha maendeleo nyuma,Afrika tusirudi nyuma tusifanye viongozi walioteseka kwaajili ya ukombozi Wa Afrika wateseke huko waliko,Eee Mungu tusaidie,Eee Mungu ingilia kati machafuko haya,Viongozi wetu wameona Nina imani mambo yatakwisha!Afrika tusibaguane,bara letu limebarikiwa.Jamani viongozi wetu kwa umoja wenu tunaomba muungane pamoja kumaliza shida hii.Mungu ibariki Afrika.
Uchizi.maafa unaleta mastaa yan bongo sisi bado sana.ndio maana amornaize msbani anatnga na eren sikion
Eeeh MUNGU ninakuomba wakumbuke ndugu zetu wafunike kwa damu yako uliyoimwaga pale msalabani kwa ajili yetu
Yani mtuombee tuh kwa mungu tuliopo south duwa zenu watz wenzetu
Aisha Abubakari rudi tu kabla hakujanuka
Mrudi makwenu
Asisha ludi mama mpaka mambo yakikaa sawa utalejea
Hivi nyie wengine mkoje, mbona hamjiilizi kwanini wasouth Africa hawana muda kukimbilia kwenye manchi yenu ila nyie kila siku mnakimbilia huko
nashanga sn wafrica kwa wafrica mnagomban bila sababu ya msingi lini tutapendan jaman oohh mungu tubarik waja wko tutachekwa kwa ujinga wetu mpak lin sisi wafrica
South Africa hatutawakubar hata kidogo
Serikari ya South Africa imekuwa Kama alina uzito kwao mpaka ndugu zitu wanauwawa na sio mala yakwanza kufa kwa wagen nchini umo
Maybe its a high time African musicians unite and make a collabo to let the world know what is happening in SA.
In the 80's America brought awareness to the world during the time of drought in Ethiopia just to mention some countries.
Remember this song WE ARE THE WORLD.
Hamuna kitu hawa wazuru wana roho mbaya . Mimi nashindwa kuwaelewa hawa wananchi wa Africa kusini mbona vina roho mbaya mtu anamuchoma moto mwafrica mwenzake . Jamani inauma sana.
Na huko Tanzania si wana choma mtu kaiba labda njaa ulizeni no pelekeni police No ote mko sawa sawa
Dunia ya sasa binadam tumekuwa wanyama sana
Mimi ninachoona waafrica wote wawatenge south africa
Tusikomee kutoa maoni rahiai tu, mana Afrika kwani walipofikia no pabaya watu wamekufa hatua Kali zichukuliwe halaka
Kwenda mnaenda kufanya ujambazi tu huko, mbona wao wasouth Africa hawaji kwenu
South Africa inabdi itengwe
Wafrika wali-abuse wema wa watu wa South Afrika. Badala ya kuishi SA na kuwa majirani wema.. wakafanya kazi za kusaidia jamaii.. waafrika wahamiaji wengi walienda huko kuwa wauza madawa, wezi na waendesha madangauro.. huku wakiwadharau wenyeji kuwa ni wapumbavu..! Kama Watu wa SA wangefanya hivyo kwenye nchi ye yote nyingine nje ya SA watu wange-reach the same way..! Tusuidanganyane.. nilipotembelea SA 2002 Niliongea vijana wa waliotoka Arusha ambao walikuwa wakiishi na kuwapiga ngeta watu kula Cape Town Baharini..! Na wakaniambia siku moja walimpiga ngeta mtu akalia kwa kiswahili wakamwachia kwani alikuwa mbongo mwenzao..!
Mbona wenzetu wa NIGERIA wameshalianzisha huko kwanini na sisi tusiwaanzishie Wa south waliokuwepo hapa nchini kwetu
☺☺☺☺☺
Na sisi tuwatoe kama mbwa wasauthi watengwee awo nguruee kabisa
Ili iweje,hakuna msouth Africa anayekuja hapa Tanzania kwa njia haramu,
Maisha yamebadilika , Wazee wetu Nyerere , Mandela , Samora Machel na wengineo waliingia msituni kupambania nchi zao ,
Lakini sasa hivi watu wanatweet tu ,
Mpaka Rais wa Afrika kusini anatoa tamko kupitia tweeter
Zito Kabwe anatweet , Yemi Alade anatweet , Niki wa Pili anatweet , Madeee anatweet , Rosa Lee anatweet .
Wanaume walikuwepo zamani , sasa hivi chips mayai tu .
Nime kuelewa sana Mimi Niko South nitumie namba yako tuongee
Onya Man
Kutuma namba hapa si kama kuogea nje ndugu yangu ?? itaonekana na watu woooote , ngumu ndugu yangu .
Ehhh Mungu wa rehema tulindie ndugu zetu walio South Africa🇿🇦😪🙌🏽🙏🏽
Ameeen
Jamani watu wa south sio wafanya kazi wakiwaona wageni wanafanya kazi na kujipatia mahitaji madogo wanaona wivu sana
South Afrika ilifungua milango yake.. na waafrika waliosupport juhudi zao dhidi ya ubaguzi wa rangi na wale ambao waliendelea kula na kunywa na makaburu wakajazana huko..! Lakini kibaya nikwamba waafrika walioenda na kuishi huko waliunyea huo ukarimu wa watu wa afrika ya kusini.. wakisahau ya kwamba hata wao walikuwa na matatizo ya kijamaai yaliyotokana na ukandamizwaji wa miaka mingi chini ya siasa za kibaguzi. Badala ya waafrika kwenda SA na kufanya kazi za halahi.. wengi walijigamba kwa uporaji, uuzaji wa madawa ya kulevya na hata kuwaweka wasichana wadogo na wanawake wa nchi hiyo kwenye madanguro..! Na wajigigamba kuhusu hilo pia..! Sasa leo wenyeji wamechoka na wantaka waafrika hao wasio na heshima warudi kwao.. wanalia..? Kurudi kwenu kuna ubaya gani..?? Eneo la Hillbrew katikati ya Johannesburg liligeuka chaka la wauzaji wa madawa ya kulevya wengi wao wakiwa ni Wanigeria..! Binafsi siwalaumu watu wa SA.. wawatie adabu waafrfika wasio na adabu..! Kwendeni kwenu mkafanye uhalify huko au mjenge nchi zenu..!
jmn mtambue tu hii saouth mzungu bado ananafas kubwa na anaogpeka xn ,wanajifnya wamevurugwa waende wavamie mzungu tuone nn kitatokea.
Watafutwe wasouth wote tz warudishwe kwao wasipigwe warudi kwao tu hee inauma sana duh
Mim na mshukuru mungu nipo cape town salama pia nawapa pole waliopata majanga
I think we are living in the end times I quote nations will fight against nations, let's wake up and turn to the Lord and repent our sins. No time is left. Otherwise let's preach unity as brothers and sisters or perish together as fools imgn the world is watching us.
I'm still heartbroken rest and peace whoever died
Nina hofia kuenea kwa matendo hayo maovu kwa mataifa mengine ya Afrika maan sis waafrik hatuachi kuiga. Polen san ndugu zetu Mola awasimamie
Aboubakar Mansour polen
Yaan hii Hali ilitokea wakat Mm mjamzito na mume Wang alikuepo huko South Africa kilikua kipindi kigumu Sanaaaa kwangu wakaburu mambwaaaaa nikimpata mmoja namnyoa na gae
Nawashauri wasouth Africa wasiwanyanyase wageni, nao wako kihalali kama wao wanavyoishi na kufanya biashara katika nchi zetu .waheshimu utu na raiya wa nchi nyingine. Imekua ni unyanyasaji na kituko duniani. Hatupendi kuona wakoloni wana rudi kutuongoza mara ya pili maana tumeshindwa kujiongoza wenyewe. Niaibu wa waafrica wanaojielewa kufanya upuuzi kama huo. Respect Human rights
ASA hawa wa masaptasapta na master sheif bado wanafikiria kwenda huko
Wakija tz nawao wasiruhusiwe kuingia hasaa mijitu gani hio isiojua utu. Wasiingie kwetu ao tz maadui wakubwa. Watanzania ndugu zetu rudini kwenu
Jamani Ss tungefanya haya hapa tanzania tungechapwa mpaka tujute anko angetupa heshima ya kutosha lakini kwa nini muwapige wageni na serikali ipo inatambua sheria za wageni jamani kweli Africa kusini wana laana
awa siio watu ni mijitu..
May the good Lord forgive us and bring peace, unity in Africa
huku zambai wameliazisha nyie muna subili nin
Mara magari ya mafuta yaungue, mara msitu wa Amazon uwake moto mara ndugu tunauwana....... Ni nini hichi??? Kuna nini nyuma ya Haya matukio
(Mungu ingilia kati)
Umaskini mbaya sana, inaelekea rais wa SA,hawapi fulsa vijana,nchi iyoo,ila inaumiza sanaa
Mungu atalipa Inshaa Allah
Luck dube na Mandela Amkeni muone taifa lenu
Waafrika wengi walihamia SA wakawa mzingo .. as a matter of fact watu wa huko walivumilia kwa muda mrefu sana. Maji yamezidi unga..! Kumbukeni sio kila muafrika anayekwenda SA nchi yake ilichangia ktk kuondoa siasa za kibaguzi..! nchi nyingi ziliendelea kula na kunywa na makaburu.. na nyingine ziliwakamata na kuwarudisha kwa makaburu wapigania uhuru wa ANC na movements nyingine, wakapotezwa au kufungwa na makaburu.. ! Kwa hiyo tusijifanye Waafrika wote kuwa ni watakatifu.. La hasha..!
ngoja tuu turudi nyumbani tuachane na hawa washamba wenye miroho mibaya
Tunaomba update za watanzania wanao ishi Africa ya kusini
Baraa la Africa lina watu Wenye ugonjwa wahakiri Sabu Niajabu mweus kwenye bara laa Africa At Anakua folena Nawazungu kuwapa Uhuru wakuishi Free Ujinga huu utaisha lini Mukitaka Fanyeni muchakato Wakuinganisha Africa Muki shindwa Tumien hata Mawazo Ya Gaddafi Kuiunganisha Africa Bla hivyo Tutatesana Sana
Viongozi wasituimbie nyimbo tuu. Serious action must be taken now, now. Plz
Mungu tuepushe na majanga haya
Watakosa kila kitu kwa ujinga wao , hakutakuwa na maendeleo yoyote na wale waloondolewa kwenye madaraka na Mandela watarudi wajitanue tena mchewwww
Our Almighty father be there Africa kuzini
😢
Kauri ya raisi Sasa nyepes Kama uji wa udaga
like jaman
Chefuuuu 😏
Mfyuuuu wewe like za nn
Unawek mik karibubtunaskia pu puu kwan sisi mwetu amna wa south afrca dstv vp😅😅😅😅
Sawa tu mbona
😭😭Inauma sana jmn
wenzetu wanaungana kutafuta nguvu sisi tunauwana
Jaman kwan tatizo ni nin
kumrudisha mpenzi siku. 3;peteyabahati:0658535229
Mmmh!! Wa south wameshavurugwa hawana unafki awa raia
Hii mijitu haifai kuwa na urafik na o kabisa kwasbb hawatak uhusiano na wenzao wameona wapi nchi bila raia wa kigeni cjiw vichwan mwao kuna nn mijitu inaroho mbaya haifai wanaipa sifa mbaya nch yao na wasitegemee msaada kwa haya wanayofanya kwasabb kunawakat mjanga yanatokeaga sasa hawa ni kuwatema tu
Dah mtihan 😭😭😭
Wakwanza
Wakwanza kufanyaje?
Pumbavu
@@frankyohan2939 hana akili huyo
Kwani rais wao ramaphos analizungumnziaje akiwa km rais je nasi tuwafukuze wafrika kusini?
Acha usenge ww huoni kinachoendelea au
Can I talk about alaine ft willy paul
South Africa hatutawakubar hata kidogo